WACHUNGAJI WAPITIA WAKATI MGUMU

  Рет қаралды 20,968

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 123
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Жыл бұрын
Allah akupe kila kheri unayo hitaji sheikh Ramadhan wewe pamoja na wenzako na masheikh wote duniani Aamiin
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
اللهم أمين
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Amiin
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
Leo ndiyo nmejuwa ni kweli kuna watu hawajui kama kuna Mungu l'm proud to be a Muslim
@abdullazizmohammed7015
@abdullazizmohammed7015 Жыл бұрын
Alhamdulillahi kuwa Muislamu
@abdiwelibishar4289
@abdiwelibishar4289 Жыл бұрын
Ni neema kubwa Ile kitu ilinishagaza sana ni waislamu wenzetu pengine ATI wamezaliwa na kiislamu na tunafanya dhambi kubwa Sana na Tunafikiri tunaingia jana Ya Allah mungu atusamehe walahi nimejua wakati nimeona waislamu wenzetu wa Saudi Arabia Wana celebrate sjui Halloween ndio nikajua Hali no hatari mungu atusemahe unaona leo wa brothers na sister's zetu wa falastina wankufa na hta hakuna nchi moja ana uwezo ya kumsaidia 😢 Ya Allah forgive us
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Alhamdulillah kwa neemah ya UISLAM ❤❤❤🤲🤲🤲
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
ALHAMDULILLAH mimi kujua kweli kuwa mola ni mmoja jina lake ni moja Allah.
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Жыл бұрын
Alhamdulillah MMUNGU kakupenda
@megg1586
@megg1586 Жыл бұрын
Allahu Akbar
@Khalifaathumani-cy5om
@Khalifaathumani-cy5om Жыл бұрын
Islam remains the right religion and a religion of all prophets. May Allah guide them inshallah.
@HusseinLimbe
@HusseinLimbe Жыл бұрын
Waislam wengi tunaishia kusema tu tunashukuru kuujua ukweli ya kuwa Mola wetu ni Allah na Mohammed (SAW) ni Mtume wake Lakini hatuswali 😢 sasa sijui Jahannam tutaikwepa vipi… Tujitahidi Waislam wenzangu Allah atufanyie wepesi tufaulu.
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Жыл бұрын
Allahumma aamiin Yaa Rabb Al 'alamiin
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Amiin thumma Amiin
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy Жыл бұрын
Ameen
@batulialmass8914
@batulialmass8914 Жыл бұрын
Allahuma amini
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Жыл бұрын
Sitachoka kumshukuru Allah kwa neema alionijaalia.... alhamdullah kwa kuzaliwa muislam 🙏🙏
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Жыл бұрын
That's why we have evaluation at school, to reward the best.
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 Жыл бұрын
❤❤❤ maashallah
@abukarosman7312
@abukarosman7312 Жыл бұрын
Maahalah wallahay shaqo fcn ayaaad wadaan alaha idin barakeyo
@zohramariga6678
@zohramariga6678 Жыл бұрын
Mashala asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Жыл бұрын
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
Subhana Allah 😢
@ShamimMsofe
@ShamimMsofe 11 ай бұрын
Kurya Mwenyezii Mungu qkulipe hatua zako . Akupe Leo na kesho ahera Kwa uwezo wake . Unapambana Sana na Allah atakulipa Inshalah . Kazi unayofanya n kubwa Sana
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Hawa watu hata hawajui, sheikh Ramadhan unakazi ngumu but unajua kuwafundisha kwa hekma Allah akulipe mema duniani na akhira
@modyismael3653
@modyismael3653 Жыл бұрын
ASSALAM ALEIKUM.WAAAH.MWENYEZI MUNGU AZIDI KUTUONYESHA NEEMA YAKE YA KUWA WAISILAMU.WENGI WANATAKIWA KUFUNDISHWA SANA.AHSANTE KWA MAFUNDISHO HAYA YA KUMJUA MWENYEZI MUNGU.
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 Жыл бұрын
Mashallah mashekh wetu Alhamdhulillah kuzaliwa mwislamu nineema sana kua mwislamu
@hirewarsame5992
@hirewarsame5992 Жыл бұрын
Alhamdullilah
@guyogalora2736
@guyogalora2736 8 ай бұрын
Masha Allah shukran jazeelan sheikh ramadha kuria
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Sawa kabisa.
@richardomar6820
@richardomar6820 6 ай бұрын
Mazeee hi yachekesha sanaaaa....wow brothers ndugu welcome to Hollywood people
@MasoudAli-h4r
@MasoudAli-h4r Жыл бұрын
Masha Allah ALLAHU AKBAR
@MaliganyaWilson-ef3pk
@MaliganyaWilson-ef3pk Жыл бұрын
Unaweza ukacheka kama mazuri mwenyezi mungu awasamehe
@barasasilali9600
@barasasilali9600 Жыл бұрын
MashaAllah
@HalimaJuma-n1k
@HalimaJuma-n1k Күн бұрын
Subuhanallah huku ni wapi ambao hawajui kua kuna mwenyezi Mungu
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 Жыл бұрын
Masha Allah Ustaz Kuria.
@Issaali-it4nt
@Issaali-it4nt Жыл бұрын
❤😂 masha allah 😅 uislamu ndio dini ya haki
@abdulzakaria4588
@abdulzakaria4588 Жыл бұрын
Baraka Allahu Sheikh wetu Ramadan Kuria, Allah azidi kukubariki zaidi hapa Duniyani na kwa Huruma yake Insha Allah uta lipwa na Janatul Firdaws. Amin. Amin. Amin.
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Astaghfirullah..huyo kakaetu anae mlaumu mungu..mungu amsemehe na amuongoze maana akitaka watu wote wawe sawa nani atamuajiri mwenzake kila kitu nmtihani katika hii dunia mungu ndie mjuzi zaidi
@seifissa9705
@seifissa9705 Жыл бұрын
Alhamdulilah shekhe kwa kuwafahamisha hao
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy Жыл бұрын
MashaAllah sheikh Ramadhan Allah (s.w) akujalie kheri na baraka inshaAllah. Ameen
@umazimwambezi8092
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Waaa subhana Allah eti hakuna mungu Allah Akbar
@ghyslainmulume8301
@ghyslainmulume8301 7 ай бұрын
Ramandani kubali yesu Kristo a kufunze apana ku distrere wa tu wa Mungu,una soma bibiliya ila haujuwe tafsiriyake.
@SaidMgeni
@SaidMgeni Жыл бұрын
SubhannaAllah Allah atujalie mwisho mwema ya Rabbi
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Жыл бұрын
Allah awabariki
@saeedisa9798
@saeedisa9798 Жыл бұрын
Sasa huyo mtu anataka maisha ya paradiso katika dunia. Sasa kama hakunge kuwa na sheri angejuaje kwamba kheri ni kheri na kushukuru. Mwenyezi Mungu ndiye anaye jua.
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka Rakhman ❤
@ashrafissa778
@ashrafissa778 Жыл бұрын
Allah akuifaz Ramadhan kuria mana unakazi gumu kufahamisha watu ambao leo hawafahamu
@malogaming506
@malogaming506 Жыл бұрын
mashaAllah
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Safi!
@Prettyxbears3588
@Prettyxbears3588 Жыл бұрын
Alhamdulillah❤
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 Жыл бұрын
Alhamduililaahi kuwa Islam
@sarahronoh540
@sarahronoh540 Жыл бұрын
Lazima ufanye kazi Ndio upate pesa
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Alhamdulillah ala neematul islam
@millicentwawira1779
@millicentwawira1779 Жыл бұрын
That my teacher
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awaongoe hawa watu
@yia73
@yia73 Жыл бұрын
Tell josephat that Allah mungu ni democratic and that is why he created us and gave us consciousness. He gave us quran and told us what is required. It's up to us
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Hawa wawili vichwa ngumu sana
@abdiabdullahi2937
@abdiabdullahi2937 Жыл бұрын
Shukran shekh
@hassansharif9216
@hassansharif9216 Жыл бұрын
Masha Allah Bro
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR ♥️ ❤️ 🙏 ♥️
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@aishaally6602
@aishaally6602 Жыл бұрын
Astaghfir jamani kweli kuna watu hawaamini kama ALLAH yupo ALLAH awaongoze awaonyeshe haki alhamdulilah kwa neema ya usilam
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 Жыл бұрын
In the creation of the heavens and the earth and in the creation of yourselves is a sign. ( Quran)
@jamamohamednooh5802
@jamamohamednooh5802 Жыл бұрын
MASHALLAH
@SuleimanRwanga-gc2lv
@SuleimanRwanga-gc2lv 8 ай бұрын
Aiseee kweli nimeamini kuwa kenyeakumbe bado kunawajinga sana dawa inatakiwa ifanywe kwa sana iliwapate kujua ili wawe waislaam
@barasasilali9600
@barasasilali9600 Жыл бұрын
You can't have something out of nothing.
@jumamsembe1213
@jumamsembe1213 Жыл бұрын
Tatizo ya wa kristo wanapenda kubuni idea zao kwenye dini..wanaleta vitu zao..
@kingtv693
@kingtv693 Жыл бұрын
Mashaallah ustazi huyo your colleague anaitwa nani
@ashrafissa778
@ashrafissa778 Жыл бұрын
Leo upo nakazi Ramadhan
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
dah mtihani hata jamaa haamini mungu anaona kajiumba
@shaddymiheso7334
@shaddymiheso7334 Жыл бұрын
Ati usipokuwa muislam utamkosea mungu,achaneni kudanganya wanainchi
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Kisii kuliendaje watu wa hellen g w. Wlijikoroga tu.
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Hawana jipya inshaAllah tutarudi
@SALIMHINZANO-f7m
@SALIMHINZANO-f7m 3 ай бұрын
Unapitia mitihani bro ramadhan kweli watu kama hao
@Naw89
@Naw89 Жыл бұрын
Astaghfirullah Kweli mtihan watu na akili zao wala wanywa na hawajui zote zi fadhila za Allah
@AliAbdullah-oy6yo
@AliAbdullah-oy6yo Жыл бұрын
Sheikh Ramadhan marahii umekutana na Vichwa vibovu.
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 10 ай бұрын
Mbona hilo helmet ulilolivaa husemi ni necha 😂😂 dalili za uwepo wa mwenyezimungu zipo tena nyingi Sanaa
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Watu wote waki kuwa sawa, nani atafanya kazi.
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Жыл бұрын
Who is the cause the Nature? God Allah.
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm Жыл бұрын
Yaani sitaman kukutana na watu kama hao wanao sema hakuna mungu
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Kuzaliwa muislam sio hoja nikufata sheria za Allah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kabisaaa
@brightzone.
@brightzone. Жыл бұрын
Genesis 1:26 Mbona huzungumzii uwingi uliotumika kwa Aya hii. Au kwa Quran 50:38, uwingi uliotumika hapa ni Allah na nani? (Kama tukisoma kama ilivyoandikwa tutasema Allah wako wengi) Hayo ni maandiko ya Mungu, sio Gazeti.
@abasingaruka1872
@abasingaruka1872 7 ай бұрын
Wachungaji wasio na uwezo wa kuielewa Biblia fikieni mumtumie ndacha na wanaojiweza, Vinginevyo mtakuta mnafungwa magoli bila kujielewa, wapo wenye uwezo,
@LydiahKundu
@LydiahKundu Жыл бұрын
Waisilamu mnichukue sasa, nmekubaliana na nyinyi, anyone to give me directions ❤❤
@batulialmass8914
@batulialmass8914 Жыл бұрын
Upo wapi wewe
@LydiahKundu
@LydiahKundu Жыл бұрын
@@batulialmass8914 nyumbani n kitale lkn Kwa Sasa nko Saud Arabia
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 10 ай бұрын
Karbu ndugu ktka dini ya Allah
@mwanakomboomari1145
@mwanakomboomari1145 11 ай бұрын
Kaka ramadhani hapo kunakazi ngumu
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 4 ай бұрын
Suali moja. Yesu wanayo amini leo akı rudi kama ni mkiristo kuna makanisa tafauti ata ingia gani tu ijue Islam tuko ma mskiti moja hakuna mskiti 10 hata sumbuka
@JuniorAlik
@JuniorAlik 11 ай бұрын
Iyo lakini ndio inaleta shida
@MaliganyaWilson-ef3pk
@MaliganyaWilson-ef3pk Жыл бұрын
Eti kula chuma hicho😂😂😂😂😂
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 7 ай бұрын
Kama Kuna watu wamepoteya kwa hiyi dunia Kwanzaa Ni hawa majaa wawili Alafu shetan nyuma yao
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
ukichunguza hao wanaosema hakuna Mungu wako na majina ya Kikristo na wakizaa watoto wao wanawaita watoto majina ya Kikristo...ilimradi tu wapinge
@BashirMahero
@BashirMahero Жыл бұрын
Wape chuma hicho
@SCSI523X
@SCSI523X Жыл бұрын
Ingelikuwa watu wote madereva na wanagari zao nani angepanda ya mwengine
@jumamraba5391
@jumamraba5391 5 ай бұрын
Daaah.sheikh. huyu mtu unamuuliza massali mengi kukusumbua akili.yy asema alikua drv.swali ni hakwenda driving?alikua dereva tiar?sasa vile vile mungu akupa mitihani wamaisha.ndio vile vile ulienda drv kuendesha gar
@rizikiali328
@rizikiali328 Жыл бұрын
Hawa mapasta wao wamawafundisha nini
@douglasmokua1539
@douglasmokua1539 9 ай бұрын
1john 5:7-8.matthew 28:19. It's shows us God is three yet one.i know waisilamu hawasiki wala kuhelewa all about that.Just wait for your Mohamed so that u can ask those questions becoz ata nyinyi u don't know anything about the bible or quran.
@yabdul1782
@yabdul1782 Жыл бұрын
Kama huna dini, ukifa ni bora ujipate peponi kwa kuamini ama kuji pata uko motoni milele?
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Bw. Salim, hiyo nafsi 3 ndio changa la macho kwa WAUMINI WA Kikristo haiko popote ndani Biblia.
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Nimependa ulivyomjibu huyo pastor.. umetumia hekima.. tatizo ni kwamba walioanzisha ukristo wamewatia chuki wafuasi wao kuhusu Mohammad (s.a.w).. wanajua kwamba wafuasi wao wakimjua mtume wao.. wataifata njia.. utawaskia wanasema mamake Yesu ametajwa katika Qur'an.. mbona mamake mtume hajatajwa.. jibu lako ni la hekima zaidi.. wasilojua ni kwamba Mariam alikuwa muislamu na alikuwa mtakatifu.. Amina hakuwa muislamu.. japo alikuwa ni mama yake Sallalahu aleyhi wasallam.. kwa mtu mwenye kufikiri mambo.. hii ni ishara tosha kwamba dini hii sio ya mtu binafsi.. ikiwa mamake mbora waviumbe vyote duniani anakufa akiwa kafir.. na mtume mwenyewe alishasema wapo motoni.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Wazazi wa mtume wako motoni?
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw yes ipo hadith sahih inayosema kwamba alikuja mtu kumuuliza mtume .. alimuuliza " ewe mtume wazazi wangu wako wapi " aliuliza kuhusu wazazi wake waliokuwa wamefariki wakiwa waabudu sanamu .. mtume akamwambia kwamba "wazazi wako wako motoni l" yule mtu akawa anaondoka .. mtume akamuita akamwambia "hata wazazi wangu wako motoni" .
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@badmanno.1650 he hiyo nilikuwa sijajuwa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
@@badmanno.1650 asante
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
@@Catherine-mh8sw there's no favoratism in Islam .. and your family or friends can't avail you from punishment even if they are muslims and you didn't accept Islam .. hata Mtume Muhammed alitaka kuombea jamaa zake i.e Mama, Baba na Babu yake .. ila Allah alimkataza .. ila alimruhusu kuzuru makaburi yao lakini sio kuwaombea msamaha. Ukisha kufa na hujakubali uislamu hakuna cha kukuokoa.
@isseamin2017
@isseamin2017 Жыл бұрын
hilo ni mtihani ustadh Ramadan huyu atheist
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Hawa watu wame potezea na WaZUNGU walio Wa letea biblia! BiBLIA ime jaa Ma STORY zaku sikilizwa, na nyingi za hizo ma STORIES, ni zaku TUNGWA na WAZUNGU! Kama ’New Testament’ ni STORIES Tupuu, au BIOGRAPHY ya MZUNGU anaye itwa 'JESUS', zilizo TUNGWA na WaZUNGU waNNE(4), WASIO JULIKANA! Na Neno GOSPEL, is an Ole English word la 'good spel',na ma'ana yake ime elezea kuwa ni a 'GOOD STORY', Yaani POROJO TAMU! Na...Hawa WAZUNGU walio TUNGA BiBLIA Mzima, in 1611 AD, walio kuwa WaKORA wenye AKILI, as quoted by Abiria Wa Sotik. Kuna DINI MOJA TUU duniani, my friends, ya ISLAM, na Hizo zingine kama UKRISTO na JUDAISM, ni CULTS za WAZUNGU, zilizo TUNGWA HIVI juzi tuu, Kule EUROPE, in 1611AD na 1800AD, respectively! TabarakAllah Team!
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
SWADAKTA! Hio iNfo ni ya IKWELI!
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
Mb9na WaKristo woteeeeee, hawa fuati biblia? Kila moja wao ako na 'LAKINI' yake, na kuleta UWONGO walio fundishwa na MaPASTORS wao! Na MaPASTOR lazima wam FANYE yesu kuwa 'mungu" kwa Ndonye, 8li MaPastors, wa weze ku itisha SADAKA, "in the mighty name of jesus"! Na hawa Wajinga on the Steets, wana kubali UWONGO! "panda BEGU kwa jina la yesu.mutaka kitu".! Ai, WaFrika AMUKENI! TabarakAllah Team mzima, pamoja na Cameraman!
@lokedavid4949
@lokedavid4949 Жыл бұрын
Ramadan Ali nataka unieleze Kama Mohammed alikuja kusahisha maovu kama kunywa pombe Kwa Nini alifanya mapenzi na mtoto mdogo Aisha? Na Je uislamu Ni Dini YA lustful Na nyege ju Mohamed alikua Na wake 11
@sheemaryam
@sheemaryam Жыл бұрын
Uko na hadithi ama aya alilala na mtoto mdogo .na kwani kwani alipooa wake kumi na moja ni makosa? Umejisahau Solomon na wengine walikuwa na mabibi wengi Unajisahau nyinyi mnatukana manabii kwa kusema walizini na wengine kulala na watoto wao walipokunywa pombe Mnajisahau nyie mmejaza mipango ya kando huku nje Toa tongo la kwako kabla la mwenzio
@lokedavid4949
@lokedavid4949 Жыл бұрын
@@sheemaryam Aisha
@sarahronoh540
@sarahronoh540 Жыл бұрын
Ni wawapi wewe ujui kama Allah yuko
@kelvinkelly5517
@kelvinkelly5517 Жыл бұрын
Ww usidhadhi kiboko yako Ndacha unafwata ambao hawajasoma vizuri Bible
@michaeljuma8179
@michaeljuma8179 Жыл бұрын
wewe bwana ramadhan, unatumia maandiko vibaya na isivyo takikana.You are creating your own contradictions from the bible which is very wrong if we were to look at the quran keenly it has a thousand to a thousand clear contradictions which cannot even be explained.Secondly you are looking for week and amature christians so that you can bully them with fear and lies.tafuta watu waliosoma bibilia wakabobea baba, dont ride on the glory of killing a sick lion. The same way umeisoma quran ukaielewa pia tafuta walisoma bibilia na wakaielewa kwasababu kwa maoni yangu, bibilia hauijui hata kidogo waisoma kama gazeti kwa kupachika maoni yako.wewe naona waelewa quran bakia kwa quran....wacha wanao ielewa bibilia wakusaidie kuielewa....these coversations are one sided and not fruitfull at all...ningependa kusikia mtu akiichambua biblia vile unavyoichambua qurani so tafuta ligi yako achana na watoto wangali wanakunywa maziwa.....it is like a full grow beaded man playing football with a grade 2 kid then going through the villege claiming "tumewaweza"...swali ni umeweza nani?
@nooradodaro9533
@nooradodaro9533 7 ай бұрын
wcha porojo,toa andiko
@seifissa9705
@seifissa9705 Жыл бұрын
Alhamdulilah shekhe kwa kuwafahamisha hao
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
MashaAllah
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
WAKRISTO WALEVI WATAMANI KUSILIMU ILI WANUSURIKE
52:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 21 М.
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
風船をキャッチしろ!🎈 Balloon catch Challenges
00:57
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 93 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 3,1 МЛН
MWANASIASA AUKANA UKRISTO MARA TATU || WEWE KURIA TOA KITAMBULISHO
1:35:56
Straight Path Dawah
Рет қаралды 26 М.
KUNDI LA WAKRISTO LAJISALIMISHA KWA ALLAH NA KUINGIA MSIKITINI.
1:09:41
Straight Path Dawah
Рет қаралды 10 М.
WAKRISTO WAJITOKEZA KUONA QURAN KWA MARA YA KWANZA
1:41:06
Straight Path Dawah
Рет қаралды 26 М.
MASWALI NA MAJIBU KATIKA DA-WAA BAXTON MOMBASA COUNTY 001 PART 1 DAY 2
47:43
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 3,8 М.
Sheikh Qassim Akifundisha katika muhadhara Eastleigh...... 26 January 2023
43:49
Abass Online Tv, Daawa Kenya
Рет қаралды 8 М.
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН