Mwanzo Mwisho Hotuba ya Mbowe Babati

  Рет қаралды 7,393

The Chanzo

The Chanzo

8 күн бұрын

Leo Juni 28, 2024 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amehutubua wananchi wa Babati Mkoani Manyara katika muendelezo wa ziara zake za kufanya mikutano ya hadhara ya chama hicho nchi nzima.
Hata hivyo mapema kabla ya kaunza mkutano huo Mkurugenzi wa Babati amelalamikiwa na Chama hicho kuwa amezuia kwa muda shughuli za mkutano kufanyika katika eneo hilo na kuwataka CHADEMA kutafuta eneo jingine la kufanya mkutano wao huo. lakini baadaye waliruhusiwa kuendelea na mkutano wao.

Пікірлер: 36
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 6 күн бұрын
Wanaichi wamekosa furaha sababu ya macicim yamewanyonya ndiiyo maana wanasikiliza tumaini jipya katka maisha yao CHDEMA
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 6 күн бұрын
Akili Kubwa Mh Mwenyekiti Taifa Na Na Kanda Lema 👏
@StewartKileva175
@StewartKileva175 5 күн бұрын
Yasitufike ya Kenya2
@eliaschessa5728
@eliaschessa5728 6 күн бұрын
Mbona mnazimazima hutuba ya mbowe mzuia watuwatisikie ukweli
@Annastaziarobart
@Annastaziarobart 5 күн бұрын
Sauti jaman
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Kwa hivyo unataka wazungu wanyonye nchi na wasilipe kodi. Kodi wasipolipa ndio tukakope kwao maisha wakati huku wanasomba madini bila kununua na kulipa kodi
@Annastaziarobart
@Annastaziarobart 5 күн бұрын
Ukwer utabaki kua ukwer chadema mnamaono mazuri kweri lakini kwa nini msimsaidie mama yetu mawazo yenu ayafanye tupate maendeleo kuliko kumtoa kwenye urais
@Annastaziarobart
@Annastaziarobart 5 күн бұрын
Kwer mh
@pendaelmollel1847
@pendaelmollel1847 5 күн бұрын
Facts tupu
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Mbona mnaongea porojo badala ya kuhutumia wananchi
@user-nd4tq6nd8s
@user-nd4tq6nd8s 5 күн бұрын
Wengi hatujapa kadi ya chama naitwa Alex Petro nipo Kilimanjaro
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Si mlimkimbia Magufuli sasa Mama Samia kawarudisha mwanamwita Samia wa ovio.
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Chadema mnatekana wenyewe acheni kusingizia
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 6 күн бұрын
Akili Imeoza
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Kwanza badilisheni katiba ya Chadema Maana ndani ya chadema mpaka kufa viongozi ni mbowe na lisu.
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 6 күн бұрын
Chawa Hovyo Sana Nyinyi.
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Chadema acheni kuhamasisha watu wafanane na kenya. Wakenya sasahivi wengi wamekimbia kwao wapo hoteli za Tanzania wamejiifazi roho zao kwa kuwepa vurugu zinazoendelea kenya. Sisi Tanzania tunahimiza amani na utulivu. Na kama mnashindwa kuhutumia siasa za amani na utulivu acheni siasa
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b 6 күн бұрын
Hapa penyewe wanaotekwa na kuuawa kunatofauti gan na Kenya?
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 6 күн бұрын
Elimu ya kupigania haki yao wananchi sio kuhamasisha fujo! Haki inapiganiwa haiombwi ! Mwalimu Nyerere angedhamini mshahara wake wakati Ukoloni uhuru wa Tanganyika isingepatikana! Acha mambo yako ya kudanganya watu.!
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 6 күн бұрын
HAKUNA AMANI KAMA HAKI HAIPO. MWALIMU NYERERE HAJAWAHI KUWA MWIZI WA RASILIMAL ZA NCHI!
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 5 күн бұрын
Vijana tujitambue tumerara sana
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Mbowe mwongo we mbona ulidanganya bunge kuwa ulivamiwa na ukapigwa kumbe ulikuwa unakùla konyagi
@mgm412
@mgm412 6 күн бұрын
Msenge ww tulia dawa ikuingie
@othmanali5362
@othmanali5362 6 күн бұрын
Hutoba imekwenda shule
@stanleymanya438
@stanleymanya438 6 күн бұрын
Imekwendashulu Ila sio Ila haijaingiadarasani itakua inayopenda kipindi chamapumziko, tumechoshwa na watu walewale
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Chadema chama ni ya watu watatu tu mbowe lema na lisu.
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 6 күн бұрын
Ukweli unauma sana? Kama Mbowe anaongea porojo mbona unamfutilia? Au wewe ulipelekwa Dubai kupokea ?
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 5 күн бұрын
Rais Samia Suluhu Hassan hakurusi mikutano siasa Ni Katiba ya Tanzania inatolewa haki hiyo! Chama hakiweze kuunda tatizo ( Create) na kuja kusema inatowa suluhisho! CHADEMA KEEP IT! WATAELEWA TUU ,AU TUTAWALAZIMISHA KUELEWA!
@JacksonFrances
@JacksonFrances 5 күн бұрын
Hiyo siyo hoja ya kuongea kwani hao uliowataja siyo viongozi?!?!"​@@Simions-q2i
@Annastaziarobart
@Annastaziarobart 5 күн бұрын
Chadema tuambieni mkipewa nchi mtafanya nini? Tunahitaji pointi za ukwer na siyo lawama tu yote unayosema wananchi tunayajua toa njia sahihi
@Annastaziarobart
@Annastaziarobart 5 күн бұрын
Hiiiiiiiiiiiiiiiiii
@Simions-q2i
@Simions-q2i 6 күн бұрын
Mbowe na lisu ninyi ni waongo hakuna wa kuwapa nchi. Mtauza nchi maana mlikuwa mnashadadia ndege ya nchi kushililiwe na watu wa nchi zingine. Chadema mmepoteza dira na mwelekeo hamna siasa safi siasa zetu chafu 😅😅😂
@JacksonFrances
@JacksonFrances 5 күн бұрын
Acha Uchawa wewe Hayo Maneno kamwambie Mama Abdul "
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 5 күн бұрын
Ww fara kweli unatapika
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 45 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 11 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 11 МЛН
MASANJA SIJAITWA KAMA WACHUNGAJI WENGINE / WANANISHANGAA
13:47
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 141 М.