Duu hatariiiii, wataipata sana mwaka huu! Kumbe nimejua kwa nini Msigwa alitaka kupandikizwa ili kuzuia nguvu ya Sugu!!
@markoshem-ij6cf3 ай бұрын
Kamanda pambana mwaya mwenzako amesha kimbia kwa wahuni ccm
@DandasiKundi3 ай бұрын
Viongozi pambaneni Mimi nikiona kiongozi anatoka upinzani anaenda chama tawala hafai Kwa sababu mkomavu wa siasa hoja zintolewa ndani ya chama ndio ukomavu wa siasa pambana mwenyekiti wa Kanda.
@InnocentJohn-l5y2 ай бұрын
Sugu wenye akili wanakuelewa sana mazuzu hawakuelewi wao nikidumu chama chamapinduzi dawa hospital hakuna
@isayamwashibanda58193 ай бұрын
Mwambaa
@mbikamtanganaki2 ай бұрын
Acheni wengine wagombee mbona nyie tu Kila siku
@emmanuelmayunga15183 ай бұрын
Tupo pamoja Taita😂😂
@MonayLai3 ай бұрын
Na tulia mbeya ajiandae kweli kweli!
@jumannentimizi90003 ай бұрын
MH SUGU JAMAA YETU KAJITAMBULISHA KÙWA MWANASISIEMU FAHAMUNI KUNA WATU WAPO CDM WAKITAFUTA CHEO AKIKOSA TU ANAHAMA NI HATARI SANA NCHI HII SIJUI ITAKOMBOLEWA NA NANI.WANANCHI TUMUOMBE SANA MUNGU ATUSAIDIE KUIOKOA NCHI YETU
@odoieriasmonga65913 ай бұрын
mimi nimeshapita na mbili
@ndogoroedson1993 ай бұрын
Huna sera kabisa! Unaacha kuzungumzia sera za chama unazungumzia habar za magufuli mtu ambaye alipendwa na watu kwenda zako huko. Huna maana kabisa nyumbu ww
@abubakarimussa91312 ай бұрын
Wewe ccm saangapi utaelewa sera alizoongea we wasikilize ccm hovyo
@ndemabhwila3 ай бұрын
Fedha ya abdul imemnunua mwenzio wewe wameshindwa dau?
@GodfreyOsward3 ай бұрын
Siku moja huo ujinga wa kutekana, utatuangamiza
@mbikamtanganaki2 ай бұрын
Mnatuharibia nchi pumba u nyie mnajiteka wenyew
@JacksonMartin-pb2vq3 ай бұрын
Huyu jamaaa hatoshi kabisa ukimsikiliza ni pumba tupu