Рет қаралды 68
Pumzika Kwa Amani Mwana wa Afrika na Mpigania Uhuru, Hayati Mhe. Ally Hassan Mwingi, Rais wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Ally Hassan Mwinyi atakumbukwa kwa jitihada zako alizozitoa katika Ukombozi wa Bara la Afrika Hususani kwa Nchi za Kusini Mwa Afrika.
Hayati Mwinyi alipinga ubaguzi wa Rangi na udhalimu uliooneshwa na makaburu na mapepari, alishiriki vikao vya OAU na kupingwa waziwazi ukiukwaji wa haki za binadamu kwa wakoloni kungangania Uhuru wa Nchi za Kusini Mwa Afrika.
Hayati ndie aliyempokea Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani na kuja kuitembelea Tanzania kwa kuishukuru kwa Mchango wake katika Ukombozi wa Afrika Kusini.
Hayati Mzee Mwinyi atakumbukwa kwa Mengi katika Uhuru wa Nchi za Afrika.
Mungu ampe pumziko Jema. Nasi tutaenzi kwa vitendo Urithi aliyotuachia.
Urithi wa Ukombozi Fahari ya Afrika