MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIAMWANMKE NI NANI [ 5 ]

  Рет қаралды 86,161

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

SEMINA YA WANAWAKE DAR ES SALAAM 2017

Пікірлер: 71
@gospel624
@gospel624 2 жыл бұрын
Mungu wako awe Mungu wangu babangu roho anaekufunulia mafundisho pia mimi neema hiyo ini ambukie kwa jina la Yesu Kristu
@happymollel6716
@happymollel6716 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mama kwa kumlea baba hadi kufikia kiwango hicho kwa msimamo ulio pewa ❤️❤️❤️❤️
@happymollel6716
@happymollel6716 2 жыл бұрын
Mungu nipe neema ya kuubeba udhaifu wa mume wangu nimejifunza kitu kikubwa sana ahsante Yesu kwa mtumishi wako
@godfreymagoso2689
@godfreymagoso2689 2 жыл бұрын
Mabinti au wamama wa Leo wamesahau wito wao,,,, mostly ni wafujaji no malengo! Mwenyezi Mungu atusaidie!
@nancykigamwamureli9197
@nancykigamwamureli9197 2 жыл бұрын
Thanks for wonderful preaching imenigusa sana moyo wangu ubarikiwe na family yako amen 🙏 watching from Germany 🇩🇪
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 2 жыл бұрын
Mungu Baba asante kwa ajili ya Mtumishi wako huyu na Diana mke wake wamekuwa baraka kwangu na uzao wangu ninajifunza mengi na upako wao umeweka ndani yao unaakisi kwangu siku kwa siku nami niwe baraka kwa wengine. Utukuzwe Mungu Baba milele kwa neema hii.
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 2 жыл бұрын
One of the best teacher the greatest thanks may God bless you sir
@doreenmusee6908
@doreenmusee6908 2 жыл бұрын
Mwalimu you have depths of wisdom that is a tree of life....we just honor you Sir
@soberkaleya5148
@soberkaleya5148 2 жыл бұрын
Esta 8: 16 Ikawa nuru na furaha na shangwe na heshima kwa Wayahudi. *FURAHA, NURU, SHANGWE, HESHIMA, KARAMU NA SIKUKUU VIWE SEHEMU YA MAISHA YETU SASA NA HATA MILELE, AMEN!!!*
@yuliahenry3383
@yuliahenry3383 2 жыл бұрын
Amen. Mungu akubariki sana Mwalimu Mwakasege. Ahsante Yesu Kristo Kwa neno hili la hekima kupitia mtumishi wako.
@ismailsichone9365
@ismailsichone9365 2 жыл бұрын
Samahan mwl nahitaj kujua nmeskilza haya masomo na hasa hili somo hadii limeisha umezungumza ukasema BIKIRA MARIA alkuwa na watoto wengine mbali na BWANA WETU YESU KRISTO naomba tafadhal mwalm reference 🤲🙏
@waruth3142
@waruth3142 2 жыл бұрын
Ni kweli
@sedekiabilijite5516
@sedekiabilijite5516 2 жыл бұрын
Mungu akutunze baba yangu , semina zako zinaendelea kuni inua Kiroho sana , sina maneno Mengi ila Mungu akutunze wewe na familia yako
@bettykajuna9071
@bettykajuna9071 2 жыл бұрын
Mwalimu kunawakati unamshauri mume kitu cha msingi kabisa na anakataa hapo mwalimu tunafanyaje
@subirachristopher4480
@subirachristopher4480 2 жыл бұрын
Mungu abaliki neno Lake nimejifunza mengi sanaa mim pia sikujua nafasi yangu kama mwanamke mungu akubaliki sanaa
@magdalenajuma6229
@magdalenajuma6229 2 жыл бұрын
Bwana akutunze mtumishi waMungu nimebarikiwa na ujumbe asante Roho mtakatifu
@juvenarylauriani4359
@juvenarylauriani4359 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki na kukutumia zaidi.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 жыл бұрын
What a wonderful teachings, MUNGU aendelee kukutumia ipasavyo. Glory to GOD... Amen
@marcokihwili8965
@marcokihwili8965 2 жыл бұрын
Hallelujah... Mungu akutunze Mwakasege
@testitestinen9685
@testitestinen9685 2 жыл бұрын
Ninakuombea kwa mungu akupe maisha malefu
@williamlulale8791
@williamlulale8791 2 жыл бұрын
Upande wa kibinadamu au wa masilahi hauwezi kukukanya au kukwambia Ukweli na Kweli ni Neno la Mungu , Lakini upendo wa Mungu humsahihisha Mwaminio , Tunapenda kuwa Wakristo Lakini Ukweli hatuupendi , Paulo aliagiza yeyote atakayehubiri tofauti na alichohubiri ......,awe ni Malaika au binadamu , Paulo alikataza Mwanamke kukata nywele , leo Wakristo wa kike wanamapanki vipara n.k Lakini jambo Hilo ni chukizo mbele za Mungu afu wakati huo huo mnataka kuwa wanawake Bora , mnapenda kusikia mnachotaka SI kile Mungu anataka msikie Hilo ndilo tatizo , siwezi kukuhubiria baraka wakati Kuna baraka kuu ya Neno la Mungu unaikana.
@ErastoMwangupili
@ErastoMwangupili 4 ай бұрын
God bless you and your family❤❤❤❤❤❤❤
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Daaaaaah Kwa Kweli Mi Sijuagi Kubishana Bei , Ni Mara CHACHE Sanaaaaaa🤣🤣🤣🤣
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 2 жыл бұрын
Mwalimu Mwakasege unaongea vitu vya akili kubwa sana. Amen
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 2 жыл бұрын
Barikiwa Baba.
@bitesimon679
@bitesimon679 2 жыл бұрын
Amen , barikiwa Sana mwalimu ujumbe mzr Sana
@samsonkawesa1016
@samsonkawesa1016 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri, ahsante mungu
@nisilemponi3747
@nisilemponi3747 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu.
@mtesigwalulale5867
@mtesigwalulale5867 2 жыл бұрын
Mwanamke wa kwanza kupotoka ni Hawa , ni mfano wa Kanisa la kwanza kuanguka lile la pentekoste kuolewa na upagani wa kirumi na kuliacha Neno la Mungu ndipo ukaja mfumo wa upapa serikali kanisani ambao ni uongo wa kuzimu , ndivo Hawa alivofanya kwa kuacha Neno la Mungu na kusikiliza nyoka mafundisho ya uongo , mwanamke katika agano la kale au kanisa limeonyeshwa kwa mfano ahabu na yezebeli ahabu ni mfano wa Kristo na yezebeli Kanisa likaingiza kuabudu Mizimu ,kuacha Neno la Mungu , ndiye mwanamke wa kwanza kujipodoa Kama paka na Mungu alimlisha na mbwa .wanawake mnaojikoboa Kama paka mwisho wake ni dhiki kuu hayo ni maandiko uapende uaipende utaishia kuzimu ,damu ya yezebeli ililambwa na mbwa mwisho wa madhehebu na katoriki ni kuzimu maana si mpango wa Mungu inauma ee ndio injili .rudini kwenye Neno la Mungu
@roidaalphonceyou2227
@roidaalphonceyou2227 2 жыл бұрын
Asante Sana Mtumishi Kama mama nimepata kitu Cha kunisaidia ubarikiwe baba
@nesseniftyjoseph5686
@nesseniftyjoseph5686 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia Na Kukubariki 🙏🙌
@selfcontainer1365
@selfcontainer1365 2 жыл бұрын
Ninaomba.namba.zako.mwl.mwakasege.nina.shida
@vivianmarco178
@vivianmarco178 2 жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe na familia yako
@UpendoDaudi-iq6hy
@UpendoDaudi-iq6hy 11 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI
@farajawellbeingchannel7997
@farajawellbeingchannel7997 2 жыл бұрын
Ubarikiwe , unatubariki mno mtumishi
@wilbardkweka4572
@wilbardkweka4572 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa Amina
@vivianmarco178
@vivianmarco178 2 жыл бұрын
Amina mtumishi
@barakaskigora9670
@barakaskigora9670 2 жыл бұрын
Madini adimu
@tuliamkamilo9736
@tuliamkamilo9736 2 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzito !! Mungu akubariki sanaaa
@alpherhaule8870
@alpherhaule8870 2 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,nimebarikiwa, sana, samahani ninashida ya kuzungumza na wewe, ili nisaidiwe Zaid. Naomba namba zako
@stellamganga2021
@stellamganga2021 2 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA
@neemamollel8506
@neemamollel8506 Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 2 жыл бұрын
Ya lini hii jamani sijaona kwenye tv
@addya.bernard9580
@addya.bernard9580 2 жыл бұрын
2017
@rehemamwamundela2717
@rehemamwamundela2717 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@mtesigwalulale5867
@mtesigwalulale5867 2 жыл бұрын
Mwanamke kwa fasiri halisi ya kibibilia ni Kanisa , mwanamke anawakilisha Kanisa , katika ufunuo tunamuona mtu anayeitwa mwanamke na majina ya makufuru ni Kanisa lenye mafundisho ya uongo yaliyochanganywa na theolojia , na hiyo ni katoriki na washirika wake . Mafundisho ya katoriki au mwanamke ni ubatizo wa uongo wa baba mwana na roho , ni uongo wa miungu ya Rumi ni uabudu mizimu kanisani .
@udimisemunga310
@udimisemunga310 2 жыл бұрын
Unateseka na katoliki we mtu
@mtesigwalulale5867
@mtesigwalulale5867 2 жыл бұрын
@@udimisemunga310 Katoliki. Iko hata hapo ulipo ; ni maandiko au Neno la Mungu ndilo linalosema bishana na Mungu . Kwani sanamu ya Daniel huwa huisomi na kuelewa maana yake ?
@aristidisamba1573
@aristidisamba1573 2 жыл бұрын
acha ufala wee jamaa unaumia sana eeh
@mtesigwalulale5867
@mtesigwalulale5867 2 жыл бұрын
@@aristidisamba1573 kimjazacho mtu ndicho kimtokacho , Nini kimekujaa ukidini? Dini zinamwisho Bali neno la Mungu halitapita Baki na dini au mungu
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Amen
@salomefaith2410
@salomefaith2410 2 жыл бұрын
Amen. Amen. Amen
@AliceNgandu2023
@AliceNgandu2023 2 жыл бұрын
Amen amen hallelujah asante sana 🙏🙏
@apolinabahati2168
@apolinabahati2168 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏amen amen Mungu akubariki sana mwalimu kwa mafundisho mazuri
@sophiaanthony5496
@sophiaanthony5496 2 жыл бұрын
Mabula
@mtesigwalulale5867
@mtesigwalulale5867 2 жыл бұрын
Ni wapi na lini mwanamke aliwakuingia patakatifu pa patakatifu ? Au kuwa kuhani ? Madhehebu yamewadanganya ati mnaweza kuwa wachungaji huo ni upinga Kristo ulioanzishwa tangu nyuma kwa mwanamke kutaka hekima za nyoka , ati siku hizi mmeachana na mafundisho ya kubatiza Yesu Kristo habadiliki waebr 13:8 ,lazima ubatizwe ubatizo wa kweli wa Jina la Bwana Yesu Kristo , lazima ujazwe na Roho mt wa kweli so wa uongo roho Mt akwambie uvae suruali ati kisa unehuzulia semina ? Roho mtakatifu akwambie kuzalau Neno la Mungu ??? Huo ni uongo Bali hamuwezi kuambiwa .
@patrobamalema8631
@patrobamalema8631 2 жыл бұрын
Ameeeeeeen
@nicksonlyimofundivyunguvya6220
@nicksonlyimofundivyunguvya6220 2 жыл бұрын
Ticha
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏 Amen!!
@josephyasinta4910
@josephyasinta4910 2 жыл бұрын
🙏💪
@jamesmlingwa9771
@jamesmlingwa9771 2 жыл бұрын
P
@glorykessy6942
@glorykessy6942 2 жыл бұрын
Amen
@vemchannel2018
@vemchannel2018 2 жыл бұрын
Ameeeen
@teddyerasto3345
@teddyerasto3345 2 жыл бұрын
🙏
@testitestinen9685
@testitestinen9685 2 жыл бұрын
Ameeeen
@pilisinde8830
@pilisinde8830 2 жыл бұрын
Amen
@neemasiju1745
@neemasiju1745 2 жыл бұрын
Amen
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 2 жыл бұрын
🙏
MWL C. MWAKASEGE: NAMNA YA KUJITOA TOKA MADHARA YA VITI VYA ENZI VYA MIUNGU JUU YA MAISHA YAKO. [1A]
41:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 60 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
54:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 123 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 129 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 13 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA MWANAMKE NI N ANI [ 4 ]
39:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 38 М.
UKIONA DALILI HIZI KATIKA UCHUMBA,TAMBUA NI HATARI
23:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 116 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 21 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE , SEMINA YA VIJANA.
1:01:52
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 178 М.
1.KUSHUGHULIKIA AINA MBALI-MBALI ZA ROHO YA MAUTI
1:26:26
MGMN TV
Рет қаралды 54 М.
Baraka Ya Sadaka | The Big Church Service | Pastor Tony Osborn
19:23
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 19 М.
MWL C. MWAKASEGE: NAMNA YA KUJITOA TOKA MADHARA YA VITI VYA ENZI VYA MIUNGU JUU YA MAISHA YAKO. [2C]
47:05
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 48 М.
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 129 МЛН