Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kiukweli huduma yenu huwa inanibariki sana zaidi ya sana
@dynesssanga19482 жыл бұрын
amen baba kwakunipa ujasiri kufanya kaz ya Mungu
@elinazadaniel3721 Жыл бұрын
Ni haja ya Moyo wangu siku moja tufanye mkutano Mkubwa sana Mkoa wa songwe
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Mtumishi mafundisho yako yanatubadilisha Sana kifkra nakumjua Mungu wa kwel ambaye anatupigania kwa Kila kitu tusiish ka tumejiumba barikiwa Sana mtumishi wa Mungu.
@angeloelia82242 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaaaa mutumixhiii
@jonasphilemon6956 Жыл бұрын
Neno lako mungu naomba ulitie mhuli katika moyo wangu niwe nalisoma nakulielewa nyakati zote
@jaliasuleiman61252 жыл бұрын
Amen ubalikiwe sana mwalimu. Wetu
@olivaerasto6669 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇮🇱🇮🇱🇮🇱 Mungu ibaliki Tanzania. Mungu ibaliki Israel
@BlandinaMganga2 ай бұрын
Ahsante Bwana Yesu amen
@peakybinderstz57512 жыл бұрын
Amen🙏🏻.Mwenyezi Mungu Azidi Kumbariki Mtumishi wa Mungu @Christopher Mwakasege..Na Aibariki Nchi Yetu Tanzania Na kila Mtu Katika Msimu Huu Mpya.
@jaromemikael70432 жыл бұрын
Neno hili lifanye Kaz ndani yangu.amen
@annapeter35182 жыл бұрын
P
@daudimkoma4839 Жыл бұрын
Hallelujah
@kuphakumbo7578 Жыл бұрын
Ameen
@rosemarypaul9182 Жыл бұрын
Amina kubwa mtumishi wa bwana hakika unafaa kiukweli wewe ni baba wa Iman iliyo kuu yaani kila siku unanifurahisha sana na kunipa nguvu ya kimungu.
@user-ie3yd4bb8o Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@furbenj7405 Жыл бұрын
Amen my Father thanks so much Mungu anisaidie nisiwe na hofu ktk ya upinzani be blessing
@rosemarypaul9182 Жыл бұрын
Watumishi Mungu wa Mbinguni kiukweli awafunike wote
@juvenalkimario522311 ай бұрын
Amen Ee Mungu niondolee hofu maishan mwangu 🙏🙏
@_.sheisherself._2 жыл бұрын
Amen amen uu ujumbe umekuja wakat wa sahihi
@damymarandu90182 жыл бұрын
Mungu tujaaliee tuione njia ya kwel Asante mtumishi kwa neno tamu sana la kiroho
@heavenlight50842 жыл бұрын
Amen dady,MUNGU AKUTUNZE sana kwa somo zuri,MUNGU anisaidie nivuke kwa imani
@evamwinga9212 жыл бұрын
Ahsante Mwl Mwakasege kwa somo hili, nimejifunza.
@vivianlyimo6708 ай бұрын
Yesu Naomba usikie kulia kwangu 😢
@tupokengwala20272 жыл бұрын
Mungu azidi kumtumia mtumishi wake.Mungu ni guse siitaki hii hofu.
@seebs11562 жыл бұрын
Ameni mtumishi ubarikiwe sana kwa neno hili
@jacquilinemvungi9719 Жыл бұрын
Amen ....🙏🙏🙏...uzidi kubarikiwa mwana wa Mungu
@tumainijumanne21262 жыл бұрын
Hakika Wewe ni msaada wangu milele, M2SH Bwana Yesu Kristo Amina.
@jamesmshanga10982 жыл бұрын
Nitasimama a Mungu ktk misimu yote atakayoruhusu kwangu.Amen.
@veronicajerome1184 Жыл бұрын
Amin baba mungu akubariki enderea kutupa mafundisho ya mungu
@babyjoh84638 ай бұрын
Amen
@josephkandinda67512 жыл бұрын
Ubarikiwe
@lowinadauson72272 жыл бұрын
Am blessed 🙏,,,SweetJesus🙌🙌🙌✍️
@neemalaizer97132 жыл бұрын
Amen mtumishi nimebarikiwa sana
@gelgadakajan13692 жыл бұрын
Nabarikiwa sana Mtumishi WA Mungu
@ebenezermachange-zp4es Жыл бұрын
Amen..ntafanikiwa katika msimu mpya
@florianmgata28582 жыл бұрын
AMEN..Msimu mpya uwe kama wa YOSHUA KWA JINA LA YESU
@powerofgospeltorecover8047 ай бұрын
Ameen hakika nimebarikiwa
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Mim kabisa amen
@carolinesumary16712 жыл бұрын
Amen kuna wakati mgumu hapa ila kwa neno hili ntavuka
@veilamoshi93022 жыл бұрын
Amen hofukimbia kwa Jina la Yesu
@somyfrank12 жыл бұрын
nimebarikiwa na Neno Mungu akubariki mtumishi
@davidsedekia82452 жыл бұрын
Amina Baba
@witnekidoti61602 жыл бұрын
Amina namshukuru sana Mungu kwa mafundisho haya hakika Mungu ni mwaminifu
@sabrinaking2 жыл бұрын
U are a blessing to us God bless you
@josephmahundi22522 жыл бұрын
Amina sana
@emmanuellazaro59902 жыл бұрын
Ahsante Yesu, Neema yako yatosha!
@sabrinaking2 жыл бұрын
U ar a blessing to me professor
@vannyndayake80442 жыл бұрын
Nisaidie baba Mungu masikie wazi kusikia uhakika,niondolee hofu
@sabratally7688 Жыл бұрын
Hofu initoke kwajina la yesu 🙏🙏🙏
@clinton79902 жыл бұрын
Baba bwana yesu asifiwe uifathiwe na mungu wa Abraham mungu wa Elijah
@evastesheni80242 жыл бұрын
amen nimejifunza kusimama kwenye mapenzi ya Bwana
@eliyamoshi58922 жыл бұрын
Ameen God bless you man of God
@carolinepolepole5402 жыл бұрын
Eeh Mungu wa sifa zangu usinyamaze🙏🙏
@rehemamwasomola43622 жыл бұрын
NAMSHUKURU MUNGU KWA UJUMBE HUU BARIKIQA MTUMISHI
@sifarukeba76062 жыл бұрын
Niko apa baba.
@sifarukeba76062 жыл бұрын
Kweli kabisa.
@StanleyNjiku-zy7jy15 күн бұрын
Amina
@joshuamwambene60412 жыл бұрын
Asante Mtumishi wa MUNGU
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Saw.kabisa
@daudimhoha320 Жыл бұрын
Amen.ubarikiwe.sana.kwakunikumbusha.ujumbe.mzuri
@gelgadakajan13692 жыл бұрын
Ni kweli
@rachelaugustino92572 жыл бұрын
Mungu mara hii tena
@rhodanangoma7386 Жыл бұрын
Ameeen Mwal!
@minahlema97442 жыл бұрын
Regardless of what I will reach my destiny dady
@upendoeliudi51962 жыл бұрын
Ameeen barikiwa sana mwalim Christopher mwakasege
@ashuraahmed86442 жыл бұрын
Amen baba
@sifarukeba76062 жыл бұрын
Amen amen
@priscajonas19782 жыл бұрын
Amen Amen 🙏
@esterpmtena73512 жыл бұрын
Ameniii Ameniiii
@sifarukeba76062 жыл бұрын
Sama bwana mutoto wako anakusikiliza bwana.
@abigailfrank68077 ай бұрын
Ameen baba
@Lucy-nr2sm2 жыл бұрын
AMEN 🙏 🙏 🙏
@skilindaissa54412 жыл бұрын
Ameeen.
@princesstaes54832 жыл бұрын
Ameeeeeen
@sifarukeba76062 жыл бұрын
Nakufuata MUCHUNGAJI.
@hilgathjoshua88042 жыл бұрын
Ameni
@sifarukeba76062 жыл бұрын
Ndiyo
@neemamachangemachange88742 жыл бұрын
Amen Amen
@bilugwemwanzije Жыл бұрын
Milango ya kheri itufungukie mtumishi !!?
@angeloelia82242 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@dorcaskahwarakaliza81902 жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@anangilempalala40112 жыл бұрын
0
@isabelmwansasu90162 жыл бұрын
Iv kanisa kw dar la mwalimu mwakasege liko maeneo gani
@peakybinderstz57512 жыл бұрын
Mwalimu Mwakasege Hana Kanisa, Yeye Ana Semina Za Neno La Mungu Zinazofanyika Karibia Kila Mkoa Ambayo Roho Mtakatifu Amempa Fursa Kwenda Kuwahudumia Watu wake.Ila Ana Ofisi Zake Arusha.