MWL NDACHA ACHARUKIA "KONDOO" NA WACHUNGAJI WA MAFUTA YA UPAKO; EZEKIEL, PST. MACKENZIE NA ZUMARIDI

  Рет қаралды 5,328

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 85
@andersonthuva9259
@andersonthuva9259 10 күн бұрын
Mungu azidi kukukuza Mtumishi wa Mungu Ndacha, barikiwa sana♥️
@NovisMgeni
@NovisMgeni 12 күн бұрын
Asante mwalimu ndacha NUNGU AKUBARIKI,,
@PaulRuben-eu5nh
@PaulRuben-eu5nh 12 күн бұрын
mungu akubariki sana mtu wa mungu
@pastorafande142
@pastorafande142 10 күн бұрын
I really appreciate you Mr Ndacha kwa kunitoa huko
@josephineobure3420
@josephineobure3420 11 күн бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu akulinde na akuongoze
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 11 күн бұрын
Very correct mr ndacha
@stellakajuju-gj7fq
@stellakajuju-gj7fq 3 күн бұрын
Whenever I plan to hate ndacha I just Fall in love in his teaches please God I beg you bless ndacha abundantly
@stephensena7195
@stephensena7195 11 күн бұрын
Barikiwa sana Mwalimu Ndacha
@JoyceHs
@JoyceHs 11 күн бұрын
Amen
@ngerejaboniface2596
@ngerejaboniface2596 11 күн бұрын
Napenda Sana kukusikiliza mwamba umejaa madini Sana kichwani mwalim!
@MuunganoChrisanth
@MuunganoChrisanth 11 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 11 күн бұрын
Wakristo hata kila dini i love ❤️ you all njooo mnijenge na mm kifefha
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 12 күн бұрын
Asante sana ndacha bado kidogo tu usilimu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 12 күн бұрын
Hatosilimu huyu
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 12 күн бұрын
​@@Catherine-mh8swbasi ajiandae kuchomwa kuliko LossAngel
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 11 күн бұрын
Huuu sasa ndio ukristo sikia vizuri uwelewe,ufanye namna ubatizwe
@johnnyamache2943
@johnnyamache2943 11 күн бұрын
Atumikie majini sio? 😂
@pastorafande142
@pastorafande142 10 күн бұрын
Uko ni unajisi tu😂😅😅
@SaimonLungwesa
@SaimonLungwesa Күн бұрын
AMINA
@SaidIsmail-f1j
@SaidIsmail-f1j 12 күн бұрын
Wallah ndacha Allah akujalie na akupunguzie kibri na akuongoze uijue kweli na dini ya haki Allah muongoe ndacha
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 12 күн бұрын
Amiin thumma Amiin
@samuelmuiruriMwaura
@samuelmuiruriMwaura 12 күн бұрын
Eti Dini ya haki...ipi hio? ile ya majini
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 12 күн бұрын
@samuelmuiruriMwaura ya kiislam
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 11 күн бұрын
Aka swali na Majin ndugu zenu
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 11 күн бұрын
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 11 күн бұрын
I love how you teach us
@stanleyndicuwainaina
@stanleyndicuwainaina 12 күн бұрын
Pamoja na pasror njoroge
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 12 күн бұрын
Ndio mana hata waislamu wanao ingia katika ukristo huwa wamekimbia sheria na kufata jina la yesu wataishi huko wasibughudhiwe na sheria yeyote vimini kwenda mbele ,unzinzi na mapombe bila kutishwa kuingia motoni.
@Khalidmghosi
@Khalidmghosi 12 күн бұрын
Pia mtuonyeshe wa kristo wa kweli
@moshantoj
@moshantoj 12 күн бұрын
Ni wale wanafuata maandiko. Alafu wewe pia utuambie uislamu ya kweli Shia, shufii, Ibadi na kadhalika
@Khalidmghosi
@Khalidmghosi 11 күн бұрын
@ maandiko Yesu anafundisha Mungu wa pekee na Yesu kristo alienituma kwa maaana ya mtume, sai Yesu kwenu ni Mungu
@hassanmuktaar1198
@hassanmuktaar1198 12 күн бұрын
Karibu islam ndacha is good for you and your bones!!
@matukioyasikuzamwisho7653
@matukioyasikuzamwisho7653 12 күн бұрын
Mazinge,Dr Sule nao wamekuwa matapel eti nao wanauza maji na mafuta ya upako
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 12 күн бұрын
Wamejifunza utapeli kwa wachungaji
@AbdulKijonjoo-i2z
@AbdulKijonjoo-i2z 12 күн бұрын
Na wao wameona watafute pesa kwa wehu.
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 12 күн бұрын
@@AbdulKijonjoo-i2z kabisa
@josephmuchina3051
@josephmuchina3051 12 күн бұрын
​ @ZayyanaBamuni Usisahau allah ni muchungaji pia na mupotoshaji mkuu!! kulingana na Koran
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 12 күн бұрын
@@josephmuchina3051 kulingana na nini au kulingana na akili yako
@PeterObiri-wj1iz
@PeterObiri-wj1iz 11 күн бұрын
Waislam mm kwanza sina shida, pia wakristo tuko na shida. Iwapo uko na swali kwangu usione muislamu ni mbaya alafu wewe ndio umefika. Allah Akhbar
@matukioyasikuzamwisho7653
@matukioyasikuzamwisho7653 12 күн бұрын
Mwamposa ni tapeli ndio maana huwez kuona akiponya kiwete asiye na mguu
@ulimwengumaulid7397
@ulimwengumaulid7397 12 күн бұрын
Haya mambo tukisema sisi waislamu mnasema hatuna iman sasa je ndacha hana iman?? Hana kristo ndani yake??? Ukweli utaendelea kudhihilika
@leonardadd
@leonardadd 12 күн бұрын
Waislam hukumu watu kwa kupitia Bibilia ilivyo kuwa kinyume na maandiko
@ulimwengumaulid7397
@ulimwengumaulid7397 12 күн бұрын
@leonardadd Bibilia ipi iliyo nyuma na maandiko???
@JoeZeno-q1b
@JoeZeno-q1b 12 күн бұрын
@@ulimwengumaulid7397kumbuka baadhi ya Wahadhiri wanadawa za kisuna
@morgantemu656
@morgantemu656 6 күн бұрын
INA BIDII WANAWAKE WAAMKEE
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 12 күн бұрын
Hao wanaoenda kwa eti wanaojiita manabii kwanza hawatumii akili na kujiuliza hivi kweli tunauziwa hivi vitu eti ni ponyo? dah alhamdulillah kuwa uislamu ni neema kubwa sana
@SabraBazi
@SabraBazi 12 күн бұрын
Sumulizi na ndacha mnapendeza kuwa waislam karibuni sana
@matukioyasikuzamwisho7653
@matukioyasikuzamwisho7653 12 күн бұрын
Uislamu ni dini ya Shetani
@GSaleh-xr3vn
@GSaleh-xr3vn 12 күн бұрын
​@@matukioyasikuzamwisho7653unaushaid gan?
@legendaction202
@legendaction202 12 күн бұрын
Nan kakwambia usilamu ni dini ya shetani?​@@matukioyasikuzamwisho7653
@MudiMshindo
@MudiMshindo 12 күн бұрын
​@@matukioyasikuzamwisho7653Ukristo ni dini ya nani?alafu toa andiko ukristo ni dini
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 12 күн бұрын
​@@matukioyasikuzamwisho7653Shetani yupo kanisani bana wacha kuipinga biblia
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 12 күн бұрын
Juzi moja Kwa Mwamposa viwete walitembea😂😂😂😂😂😂😂
@AbdulKijonjoo-i2z
@AbdulKijonjoo-i2z 12 күн бұрын
Unawajua hao viwete ni jirani zako au ni ndugu zako?unazijua historia za maisha yao,na unajua sababu ya ulemavu wao?tuonyeshe na watembezwe kote tuwaone na tuwafahamu,kuliko kuongea .
@kennah03m
@kennah03m 12 күн бұрын
Waisilamu pia wanauza mafuta 😂😂 siku hizi uisilamu Dili tu
@legendaction202
@legendaction202 12 күн бұрын
Sisi tunauza imani sio mafuta😅😅
@JoeZeno-q1b
@JoeZeno-q1b 12 күн бұрын
@@legendaction202DAWA za Kisuna
@aghaashia4021
@aghaashia4021 12 күн бұрын
Mambo mawili wanakwambia huwezikupona kwa sababu hunaimani au Mungu hajaribiwi
@NovisMgeni
@NovisMgeni 12 күн бұрын
Kazi hyo ya kuponya vipofu wa uongo ,ndio kaz ambayo mwaipopo alikua ana fanya alipo kua mkristo ,alikua ni tapeli tu,,sasa hivi utapeli huo ana fanya kwenye uislamu saivi ,,ana uza mafuta na madawa ya uongo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 12 күн бұрын
Mwamposa kawa mwislam?
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 12 күн бұрын
😂😂
@Abdulraheem2003-g
@Abdulraheem2003-g 10 күн бұрын
Ndacha nakuona kwenye uislam soon
@hassanmuktaar1198
@hassanmuktaar1198 12 күн бұрын
The peppers of Mathew 12-37-39,how your translate isnot richt is wrong,so ur lair,shame on you,dont play
@matukioyasikuzamwisho7653
@matukioyasikuzamwisho7653 12 күн бұрын
Mwamposa,Mazinge,Sule wote matapeli wanauzia watu Mafuta,maji eti yana upako Ni wezi kama wezi wengine
@ABUUALLY-u6x
@ABUUALLY-u6x 7 күн бұрын
Huyu ndacha ni msaniii tuu kazi kubwabwajaa porojo jingii hata point ya msingi hanaa 😂😂😂 kiswahili hakijuii kazi kuropoka tuu kama kasukuu😂
@messiahistheonlyway...3365
@messiahistheonlyway...3365 12 күн бұрын
Ndacha ni mkora mkubwa sana..anatumiwa na shetani
@matukioyasikuzamwisho7653
@matukioyasikuzamwisho7653 12 күн бұрын
Mazinge,Dr Sule nao wamekuwa matapel eti nao wanauza maji na mafuta ya upako
@JohnOuya-w7j
@JohnOuya-w7j 11 күн бұрын
Wamopotea hao
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
TUWAFIKISHIE WAISLAMU INJILI, UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA
52:12
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 1,1 М.
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 12 М.