Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI

  Рет қаралды 30,771

BONGO 24 NEWS

BONGO 24 NEWS

4 күн бұрын

Пікірлер: 139
@bahatikulwa56
@bahatikulwa56 3 күн бұрын
Mungu akubariki Kwa hilo. Naona sasa utatusua bro nakutia moyo wa nguvu
@geey7893
@geey7893 2 күн бұрын
Huyu jamaa ana akili kuliko watu wengi sana nchi hii. Duuh
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 2 күн бұрын
Godfrey Matumaini a.k.a Dudu baya,safi kabisa😂😂😂
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 3 күн бұрын
Umesema ukweli wanasiasa wa kweli walikuwa ni hao ulowataja.nakukubali kulikoni
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 күн бұрын
Tanganyika ni ulaji tu hakuna mwenye chama, wenye vyama vapo Zanzibar.
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 3 күн бұрын
Dudu nimecheka Sana Hasa hapo pa kudaiwa na Tajiri na Chama kinakutaka
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 күн бұрын
Hawa njaa tu kaka umeingea safi wapumbavu hawa
@user-ku4xq4nd9v
@user-ku4xq4nd9v 2 күн бұрын
Oyaaa! Bana kwenye yale madeni 😂😂😂😂😂😂😂
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 3 күн бұрын
😂😂😂hapo kwa Mbowe kumpiga upako umenivunja mbavu
@Meiruzibwe
@Meiruzibwe 3 күн бұрын
Umeongea vitu vikubwa 🙏
@stevenkuhanwa7819
@stevenkuhanwa7819 Сағат бұрын
Hakika, most of the politians are oppotunist. Future ya gari alilokuwa amepanda imepotea kabisa, so kaona ni bora aingie kwenye gari ambalo linampa uhakika wa maslahi! Dudu baya anajitahidi kuzungumza vizuri.
@kwisa4899
@kwisa4899 2 күн бұрын
Dudu anauwezo mkubwa sana,sijui alisoma wapi maana uwezi wake sio wa kawaida
@frankmushendwas37
@frankmushendwas37 17 сағат бұрын
Kama unaona dudu anauwezo basi ww zombi la elimu
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Күн бұрын
Msigwa alikuwa karibu sana na Mbowe aliwasaliti watu wengi sana kwa kupelekea wenzie maneno mabaya sana kwabowe kila alipokuwabowe yeye humkoai ghafla mbowe akambwaga mpaka uchaguzi wa majimbo akambwaga msigwa alochanganyakiwa sana
@AthumanDauda
@AthumanDauda 2 күн бұрын
Umeongea point
@aaronswai3092
@aaronswai3092 2 күн бұрын
Duh! Dudu baya akili kubwa sana. Hongera sana hebu lete hizi akili kwenye INJILI ya BWANA!
@protasmligo4032
@protasmligo4032 Күн бұрын
Hapo kwenye kuteuliwa na Mungu sikuungi mkono
@frankmushendwas37
@frankmushendwas37 17 сағат бұрын
Huyu tahira amshauri mbowe unafikiri mbowe kawa mwenyekiti chadema anavmalu zake wewe lofa nyerere kakaa madarakani miaka 27 umeshindwa muziki utajua siasa
@RobertMeleka
@RobertMeleka Күн бұрын
Dudu baya hongera sana
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 3 күн бұрын
Huyu jamaa kwa mara ya kwanza namkubali na nitakuwa namsikiliza
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo 2 күн бұрын
Kupita bila kupingwa itakuwaje Ni mungu acha kumdhihaki mungu
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 күн бұрын
Ebu tafuta radio Moja ikuajili utatonoa Sana dudu baya nenda wasafi ama crown
@neemanziku5403
@neemanziku5403 9 сағат бұрын
Konk umependeza hongera pia afya yako imerudi
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 12 сағат бұрын
Watu wanatakiwa kujua hakuna aijuae kesho!
@geofreydamas1697
@geofreydamas1697 Күн бұрын
Huyu ndiyo mwana hip pop siku zote uwa ni wanaharakati wana madini sana
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 2 күн бұрын
Kweli ww ndio Dudu 💪🏽🤣🤣🙏🏼 👊👍
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 3 күн бұрын
Hapo umejichanganya Rudi kwa Nyerere alikuwa TANU kwa muda Gani kabla ya kupata uhuru
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 2 күн бұрын
Hapo na mimi kaniacha hoi.
@eddyedduu6912
@eddyedduu6912 17 сағат бұрын
Zee Dudu mwenyewe. Madini kila mda.
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 күн бұрын
P msigwa alisema:akihama cdm,nyumba na magari yake yachomwe moto. Mfuateni,mmbananishe kuhusu kauli yake!
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 күн бұрын
Kauli inafutika.
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman 9 сағат бұрын
Me nigekuwa nazijua nigezichoma maana kutimiza kauli yke
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 күн бұрын
Huwa napenda kukusikiliza....akili iko...... Fact facts
@praygodmawalla7884
@praygodmawalla7884 3 күн бұрын
Lini huyu amekuwa mchambuzi wa habari? Okay every one can be mchambuzi right? This is Tanganyika bana.
@Fesary
@Fesary 2 күн бұрын
Hili jamaa lifala halijui vitu vingi
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 3 күн бұрын
Wachen choyo kwa mbowe hata kwa maalim seif ukisema sana .Mungu humteuwa kiongozi wa kupigania hak
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 күн бұрын
Hii imeandikwa pia katika Biblia lakini Mungu aliwaahidi Israel kwamba wao hawatakopa, watakopesha, watatawala na watabarikiwa
@dynamicmwakibinga4371
@dynamicmwakibinga4371 Күн бұрын
International pure points
@robertadolf562
@robertadolf562 2 күн бұрын
Dah...mnawajua vizur hawa wanasiasa. kwa kifup wanasiasa ni maslah yao kwanza..sisi ndo tunahangaika na kurubuniwa tu. watanzania tuzinduke
@januarysila1569
@januarysila1569 3 күн бұрын
mamba ukombari sana kwa uerewa aikiu yako iko juu
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 2 күн бұрын
Sio kwamba wengine hawaelewi ila wamejizima data mpaka siku likiwafika wakapata pa kusemea ndo watasema sasa ila kwa sasa!
@neemanziku5403
@neemanziku5403 9 сағат бұрын
Msigwa we ulikuwa mnafiki kumbuka pia maneno yako msigwa
@user-zn5vu5yi1d
@user-zn5vu5yi1d Күн бұрын
Uko vizuri
@user-yc3hb9wl6b
@user-yc3hb9wl6b 3 күн бұрын
Nimekubali sana ongeza bidii
@eliaskemiti7785
@eliaskemiti7785 2 күн бұрын
Jamaa anachekelea kama mzee Lwaitama 😂😂😂😂
@user-iq4rv8dq5r
@user-iq4rv8dq5r 2 күн бұрын
Huyu jamaa anajiamini sana Yupo huru kuwakilisha mawazo yake tena kwa mambo magumu ambayo wengine wanaogopa napendaga sana watu huru na ajilinde asiyekuwa chawa maana kuna baadhi ya viongozi wanaweza mfuata ili awasifie kwa malipo fulani uchaguzi unakuja.
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 3 күн бұрын
Yes dudu.baya
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 күн бұрын
YIYI WANDISHI HAKUNA MTU WA KUMULIZA KUHUSI SIYASA MNAMULIZA HUYO DUDU YEYE MWEYEWE MAISHA YAKE HAYAELEWI ATAELEWA SIYASA KWAZA UKIMCHUNGUZA KAMAMTU ALIE PUGUKIWA
@zeelamipango
@zeelamipango 3 күн бұрын
NENDA SHULE KASOME NDIO URUDI KUKOMENTI MJINGA WEWE
@elibarikilukasimakala5534
@elibarikilukasimakala5534 3 күн бұрын
😅😅😅​@@zeelamipango
@kwisa4899
@kwisa4899 2 күн бұрын
Huyu jamaa shule ipo kichwani
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 2 күн бұрын
Wewe na mama ndio hameleweki
@rucaserasto8154
@rucaserasto8154 Күн бұрын
utos mpaka unyao😅😅😅😅 dudu umetisha baba
@AnyegileMwamaluka-ud9xf
@AnyegileMwamaluka-ud9xf 2 сағат бұрын
Kwa nn mboye acwapshe wenzake je yy ni mtawala wa milele km ilivyokuwa kwa kamzu banda?
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 күн бұрын
ujuhi kama hana Akili nzuri 🤣🤣🤣🤣
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 сағат бұрын
Nani sasa msigwa au
@ibinmgeta2406
@ibinmgeta2406 3 күн бұрын
Upinzani wa bongo nikinyesi tu.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 3 күн бұрын
Ww akili zako ndio zimejaa kinyesi tu
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 2 күн бұрын
Bro upinzani sio kinyesi walitutawala since 1961 wanatakiwa watueleza until when? Mambo yatakaa sawa
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 2 күн бұрын
Konk Master chukua huu ushauri wangu ...ww una kipaji Mungu amekupa cha kuchambua mambo ...sio kila mtu hata awe amesoma vp anaweza fanya kama wewe unavyo fanya. Huu ni muda sasa wa kubadili icho kipawa alichokupa Mungu kikuingizie pesa. Please take this and act immediately.
@juliusmix
@juliusmix 2 күн бұрын
Mkimtoa Mbowe atakaa nani? Ndiyo Hawa kina Msigwa na kina Sumaye?
@josephatikirutu9739
@josephatikirutu9739 2 күн бұрын
Una uelewa mdogo mno. Ukipata nafasi ya kuongea azimisha smiling
@juliusnyerere5393
@juliusnyerere5393 2 күн бұрын
Wanafiki tu. Hakuna lolote lile ni unafikiii tuuu. Hakuna lolote hao matumbo yaoooo tu wanafikiriaaa.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 сағат бұрын
Nyama choma unatoa kura😂😅
@babazungu3180
@babazungu3180 17 сағат бұрын
Nenda south Africa uone kama Mandela ni kuongoz jins alivyowauza watu weusi
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 3 күн бұрын
Kwer Kaka Wapinzani Wa Kwer Kwenye Nchi Hii Bado Tuko Njee Hila. Kunawakati Muda Utaamua
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 3 күн бұрын
Lakini Lisu anatofautiana na wewe kuhusu Nyerere. Lisu anamwona Nyerere kama ndio chanzo cha matatizo hapa Tanzania. Ninakubaliana na wewe siasa za nchi hii ni kinyesi na kila anayetaka uongozi yuko tayari hata kuua. Mfumo wa kuwapata viongozi una milango ya rushwa kuanzia kwenye vyama vya siasa mpaka kwenye uchaguzi wa kitaifa. Mtu mwenye akili hawexi kuutafuta uongozi kwa gharama zaidi ya uwezo na weledi wake. Lakini hili nalo ni neno " Mbowe kile ni kiwanda chake hawezi kuondoka mpaka afe."
@juliusnyerere5393
@juliusnyerere5393 2 күн бұрын
Wako Wapi wake wanafiki kina lema lissu na wengine Mbona mko waongo chadema maslahi yenu mbele.
@jumashimba9620
@jumashimba9620 3 күн бұрын
Dudu unajua siasa sana
@mtakamatv
@mtakamatv 3 күн бұрын
Ccm imeongoza muda mrefu mbona husemi?mbowe hawezi kutoka sababu yeye ndie hahongeki na ccm,wengine wanakuita chama mapema tu,kama vyama vingine vya uponzani vilivyo dhaifu sana,ccm wanambinu chafu,wanataka mtu imara kwelikweli
@henrymmbando5930
@henrymmbando5930 2 күн бұрын
Si kweli viongozi uliowataja(Magu, Majaliwa, Samia na Mizengo eti ni wa wa Mungu!!!! si kweli. Ila hapo na wewe umetia uchawa angalau wakukumbuke. Ungemtaja pia Warioba, Mbowe, Lissu etc ningekusikiliza.
@corporatethugsent7380
@corporatethugsent7380 2 күн бұрын
Ila kweli hata mimi dudu kanishangaza asee kuna aman na upendo na mungu wa aina gani kwaviongoz hao hapo?
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 2 күн бұрын
Mzee salimu ahamed,mzee butiku,mzee Edwin mtei,mzee warioba,BABA TAIFA,mzee kawawa,mzee karume,mzee sir George kahama,mtikila,kambona,nk ni wazalendo halisi.siyo wazalendo mafisi.
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 күн бұрын
point
@tatizojoseph8702
@tatizojoseph8702 Күн бұрын
Big up mkubwa duh!!! Dudu wewe ni Darasa tosha kabisa!!
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 күн бұрын
Bibilia inaseama mkopaji ni mtumwa wamkopeshaji kweli madeni yanatesa
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 2 күн бұрын
Kwa asilimia 70,umezungumza ukweli,lakini asalimia 30 umeingiza uchawa
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 3 күн бұрын
Msigwa njaa inamsumbua na ni mamluki mkubwa
@dynamicmwakibinga4371
@dynamicmwakibinga4371 Күн бұрын
Kumbe jamaa una akili sana!??lakini unamkosea mbowe ulitaka mwenyekiti awe msigwa
@nashonkibayayu3776
@nashonkibayayu3776 16 сағат бұрын
Aisee! Huo no ukweli mtupu!
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 3 күн бұрын
Umesema kweli baba.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 күн бұрын
Wapenda kula
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 күн бұрын
Hata mbowe alikaa gerezani ili atukomboe kutoka mikononi mwa wakoloni weusi siyo wakununulika
@saxannjo6173
@saxannjo6173 2 күн бұрын
GENIOUS DUDUBAYA
@onlythestrong8659
@onlythestrong8659 2 күн бұрын
huwa sikosi interview za Dudu.
@Nyanda506
@Nyanda506 3 күн бұрын
Kagombee udiwani home
@Fesary
@Fesary 2 күн бұрын
Jamaa uchambuzi unabahatisha bahatisha, akili za kifala sana, chama akiachiwagi ivyo
@isyukyugha2681
@isyukyugha2681 2 күн бұрын
Dudu Baya Konky Master sasa umekuwa akili imekujaa unatoa Madini sasa
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 3 күн бұрын
Uchawa ni shida sana katika nchi hii mtasema sana kuhusu MBOWE
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 күн бұрын
Eree mama ana madeni korea na waarabu wanafanya nini Ngorongoro?
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 күн бұрын
Wanawanunua kwa pesa yetu walipa kodi hiyo wanayohonga siyo ya kwao
@hadijauledi6995
@hadijauledi6995 6 сағат бұрын
Hapo kwenye madeni nimecheka 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@HumphreyNyiti
@HumphreyNyiti Күн бұрын
Jamaa kaongea fact sana
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 8 сағат бұрын
Asali aliyoilamba ikulu amuiyoni mnasema haongeki
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 күн бұрын
Na ndiyo maana wanakufa na magonjwa ya moyo kumbe
@mtakamatv
@mtakamatv 3 күн бұрын
Mbona hamsemi wanaorithishana madaraka na watoto wao,wakina mwinyi,makamba,kikwete,mwigulu,Hadi watoto wao wamepewa nafasi za chipkizi ccm.hamuoni?
@raymondsekabigwa5907
@raymondsekabigwa5907 2 күн бұрын
Msigwa mpenda cheo tu si mwana mapinduzi
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv 3 күн бұрын
Wewe uko sawa jembe tu jembe
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv 3 күн бұрын
Nitumie na number yako
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 3 күн бұрын
Na maalim seif je alikuwa na kiwanda wakat wa cuf .?
@sf2tv
@sf2tv 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nice
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 күн бұрын
Waganga njaa wanasiasa wanaohama vyama hawafai kuwa viongozi
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 күн бұрын
Kuhusu madeni ya watumishi wa umma,pikipiki 700 kila mkoa ni za nani?
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff 12 сағат бұрын
Ila dudu😂😂😂😂
@user-vm2wk1mb4v
@user-vm2wk1mb4v Күн бұрын
uyu jamaa munamwingine anajitambua sana
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 2 күн бұрын
Amechaguliwa na Mungu? Excuse me ❗️
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 3 күн бұрын
Umeongea fact kinoma
@markwafula2282
@markwafula2282 3 күн бұрын
Angelikua mkenya tungeshaiteketeza kitambo ilo ji nyumba
@lupakisyoassa1579
@lupakisyoassa1579 2 күн бұрын
Je mapikipiki⁉️
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 күн бұрын
Kwa mama hujasema hoja lo lote
@justiceshelukindo
@justiceshelukindo 2 күн бұрын
Aache uchawa
@joshuandabazaniye7642
@joshuandabazaniye7642 2 күн бұрын
uko sahihi
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 сағат бұрын
Madeni unauza utu wako mzee mimi pia spendi hata kusikia
@rashadmohamed4357
@rashadmohamed4357 3 күн бұрын
Philosopher
@joshuandabazaniye7642
@joshuandabazaniye7642 2 күн бұрын
anomba namba yako uko sahihi
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 күн бұрын
Mataikun🤸🤸🤸🤸
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 3 күн бұрын
Kumbe wew ni chawa
@Fesary
@Fesary 2 күн бұрын
Chawa ki vip, fafanua
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 106 МЛН
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,6 МЛН
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 33 М.
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 59 М.
ТЮНИНГ РУЛЯ НА СТАРОЙ BMW😱#истории #тюнинг #bmw
0:46
АРХИВ ИСТОРИЙ
Рет қаралды 433 М.
Незапланированный краш тест автомобиля
0:23
Новостной Гусь
Рет қаралды 831 М.
Попрошайка на BMW😅 #shorts
0:42
PANKOV
Рет қаралды 3,4 МЛН
Batman in traffic sportbike public ##funny #foryou #shorts #prank #bike #moto #scary
0:40
EXiAN BATMAN / Dont Touch My Bike
Рет қаралды 15 МЛН
#рек #automobile #авто #обзор #машина #топ #mercedes
0:52
Анастасия Адаева
Рет қаралды 1,7 МЛН
heavy equipment
0:26
Mr PumpOperator Saudi Riyadh
Рет қаралды 8 МЛН