Mziki wa dansi zilipendwa- OSS -Fifty fifty

  Рет қаралды 49,948

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@legendmmari8094
@legendmmari8094 6 жыл бұрын
Nyimbo kama hii ukikumbuka maisha ya zamani unaweza toa machozi aaaa kasheba mungu amrehemu
@swalehmdoe3473
@swalehmdoe3473 9 жыл бұрын
OSS mwaka 1982..Vocals walikuwepo Kalala Mbwebwe, Kabeya Badu na ndugu yetu Kababa nkomba ambaye anasema yuko Sweden sasa.Molay, Jumbe Mobali Jumbe na Skasy kasambula.solo kulikuwa na Mutombo Kembe, samba wa Mikalay. Second Solo kulikuwa na Matuka Mwenda na Tshibangu Otrish. Rythm kulikuwa na Mbabu Kazady na Monga kiombo, Bass kulikuwa na Kibambe Ramadhani, Na Rugambwa Kales. drum kulikuwa na Juma Prupa na Ramadhani Mutono. tumba kulikuwa na Kulukutu Abandoki Moto na Zagalo Emmanuel. Sax walikuwa Twahir Mohamed ally na alex Kanyimbo.trumpet zilipulizwa na kan Kukele,ngoy Mubenga, Mbarak Rajab, ng'enda Kalonga na Lushiko chini ya uongozi wa Supreme Ndala Kasheba
@mgenikisukari1371
@mgenikisukari1371 9 жыл бұрын
Kaka umetisha!!hongera sana
@johnmapunda99
@johnmapunda99 4 жыл бұрын
Historia kama hii ni muhimu sana. Hongera.
@iddiiddi5585
@iddiiddi5585 3 жыл бұрын
KWA HIYO WATz KIDOGO NAO WALIKUWEMO HUMU ?
@mariamabdullah489
@mariamabdullah489 2 жыл бұрын
@@iddiiddi5585 Huyu mtu wakuitwa Twahiri Ali ni mtanzania alikuwa akipuliza Sax alikuwa anatisha kama njaaa huyu jamaaa marehemu mola amlaze pema Twahiri
@bensonmerooficial
@bensonmerooficial 10 ай бұрын
Nyimbo kali sana🔥🔥🔥
@johnmapunda99
@johnmapunda99 4 жыл бұрын
Kabeya Badu alikuwa na sauti ya kusisimua sana. Akiwa analalamika sauti yake... Huwa najikuta machozi yananitoka.
@husseinsimbano1466
@husseinsimbano1466 Жыл бұрын
Wimbo naupenda Sana, unanipa kumbukumbu nzuri miaka ya themanini, daah.....
@heriissagombera5168
@heriissagombera5168 10 жыл бұрын
Hapo Kina Chibando Sony, Kabea badu huku kwenye solo ndala Kasheba, hao ni wanadukuduku
@swalehmdoe3473
@swalehmdoe3473 9 жыл бұрын
Big up Eddie,,,,nakumbuka mzee wangu akisikiliza nyimbo hizi kila Jumapili kupitia RTD na Club Raha Leo Show
@agnessmartin8773
@agnessmartin8773 2 жыл бұрын
Haya Mambo si mchezo napenda Sana kuusikia wimbo wa MAMA MARIA NYERERE Kuna vionjo vya wataalam wawili wa solo SUPREME NDALA KASHEBA NA NGUZA VIKING na balaa utafute uwepo pia
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 10 жыл бұрын
NAKUMBUKA.waimbaji KABABA NKOMBA GABY; MOLAY; MOBALI; SONY; MTUNGAJI KASHEBA :SAFI SANA ;OSS!
@flowila82
@flowila82 9 жыл бұрын
Eddie kaka asante sana na wana Dukuduku, yani hapa asante kwanza mdoe kunijuza sababu mm mpenzi sana waTumba huyu kulukutu Abandoki Moto si mchezo nakubali sana
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 8 жыл бұрын
Na una sema ukweli ndugu Fower Twila
@erickwambia2653
@erickwambia2653 10 жыл бұрын
shukran kwa kutupandishia wana ndeku ndeku ndekule.ngoma hizi zinazua hisia nzito kwa kweli.inanikumbusha mbali mno.ukiwa na Kipipa Ayubu ya IOSS tuwekee nayo.thanks in advance.
@jobbwai2939
@jobbwai2939 10 жыл бұрын
Eddie unatuliza na hawa OSS.......wakati huu kumbi za starehe zinahesabika huku kigongo bar buguruni kule mkirikiti bar msasani huku white house kimara kule flamingo bar huku Amana club.......dar tutafutie za wakati wa masantula, dukuduku ni adimu sana kupatikana hawa oss.
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Job Bwai Burudika kaka
@iddiiddi5585
@iddiiddi5585 3 жыл бұрын
NADHANI NA TIP TOP MANZESE, WAPI WAPI BAR CHAN'GOMBE ,
@jobbwai2939
@jobbwai2939 9 жыл бұрын
Big up Eddie........tupia sasa za Uda jazz wana bayankata ....ndio yenyewe.......hizi ndio starehe zetu bwana
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Zipo nyimbo za Uda Job hewani,wewe unatafuta upi??
@emanuelkilinga9196
@emanuelkilinga9196 7 жыл бұрын
Anko Juliasi Nyaisanga na kipindi misakato siku za jumamosi saa nne za asubuhi hivi
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 9 жыл бұрын
BILA KUSAHAU SINGA WA SINGA KU BASS!!!:
@albertmariki1145
@albertmariki1145 5 жыл бұрын
Unaweza kulia aisee
@emmanuelbushiri9628
@emmanuelbushiri9628 5 жыл бұрын
Hii miziki, we acha tu..
@nkombakababa5959
@nkombakababa5959 5 жыл бұрын
@@emmanuelbushiri9628 Hihi ilikuwa wakati yetu na tulistarehe sana!
@denisjoseph8754
@denisjoseph8754 4 жыл бұрын
Mungu awarehemu wote, awasamehe makosa yao
@georgebongi1181
@georgebongi1181 5 жыл бұрын
Nakumbuka safari resort fifty fifty ukipigwa mziki huu unaambatana na nyimbo nyingine ikiitwa Nampenda Molay anakula nyama ya nyani.. nadhani wimbo huu wa Molay haukurekodiwa na kama kuna mtu anayo audio yake aiweke hewani
@ismailfundikira6357
@ismailfundikira6357 9 жыл бұрын
Umenipeleka Stereo Bar Kinondoni! Ahsante Eddie
@georgebongi503
@georgebongi503 5 жыл бұрын
Namupenda Molay anakula nyama ya nyani..hii nyimbo haikuwa ikipatikana radioni lakini pale kimara safari resort ilikua nyimbo maarufu
@josiahmuthemba115
@josiahmuthemba115 3 жыл бұрын
Hapana hata hapa nasikia solo ya ndala kasheba nikama kikohozi hakiwezi fichika basi nikama hio solo yake
@eddienassor480
@eddienassor480 7 жыл бұрын
Enzi hizo kaka! RIP Nyaisanga
@omaryrwegasira1032
@omaryrwegasira1032 6 жыл бұрын
Eddie Nassor hongela sana kaka Eddie aisee raha sana
@lekamoi
@lekamoi 9 жыл бұрын
RIP Kabeya Badu
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
Lenjo Lekamoi PIP Kabeya
@nowelaraymond5986
@nowelaraymond5986 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@ابنعثمن
@ابنعثمن 2 жыл бұрын
4:30 ( gusa hizo namba za bluu usikie kazi)
@Andres-qt6kp
@Andres-qt6kp 6 ай бұрын
Mohamed Twahili mtoto wa Zanzibar
@iddiiddi5585
@iddiiddi5585 3 жыл бұрын
JAMANI ENZI HIZI NDO ZILE ZA MABASI YA LEYLAND ALBION AU !!!!!!!!!!!!!!!!
@ayubsalum5594
@ayubsalum5594 3 жыл бұрын
Asante sana.
Mziki wa dansi zilipendwa- DDC-Pata potea
7:08
Eddie Nassor
Рет қаралды 44 М.
Mziki wa dansi zilipendwa -Kasheba- Pakamanga
6:29
Eddie Nassor
Рет қаралды 28 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 51 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 13 МЛН
Mziki wa dansi zilipendwa - OSS na Kasheba- Maudhi ya roho
7:09
Eddie Nassor
Рет қаралды 125 М.
Molema
9:37
Mose Se 'Fan Fan' - Topic
Рет қаралды 14 М.
Yellow Card by Freddy Ndala Kasheba
8:29
Dekula2 Band [official]
Рет қаралды 55 М.
Bujumbura
6:44
Studio One
Рет қаралды 3,1 М.
MWAKA WA WATOTO
11:07
IskaJoJo Studios
Рет қаралды 28 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Washirika -Julie
6:56
Eddie Nassor
Рет қаралды 122 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Marquiz- Wanasema mrudie- Kamanyola
8:32
Mziki wa dansi zilipendwa- Bima lee -Aziza
6:37
Eddie Nassor
Рет қаралды 76 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 51 МЛН