Asante Mchungaji kwa kututetea Watanzania wakati wote. Wewe na mchungaji Gwajima pekeenu ndio munatupambania watanzania Mwenyezi MUNGU Awalinde Ameen". Hakika viongozi wa serikali wanatuponza watanzania
@AnfacaBulshada3 жыл бұрын
Kweli wewe humuamini mwenyeazimungu unamuamini mtu aliye kua na uongo mtupu🤣🤣kweli umepotea njia mubmbee🤲 Allah akuongoze kwenye njia ya haki
@martsmart16663 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa kutujalia Tanzania manabii ambao watatuongoza tufike salama.Mungu awalinde Nabii Rolinga na Gwajima .
@mariahaling98933 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa unabii mzuri, GOD bless you
@lawrencetoel91832 жыл бұрын
Eee Mungu wangu kwa jina kuu la Yesu, Macho yangu yanakuelekea wewe Mungu Bwana nimekukimbilia wewe usiniaje nafzi yangu unilinde na mtego walionitegea na matanzi yao watendao maovu, Wabaya na waanguke katika nyavu zao wenyewe pindi Mimi ninapopita salama.Amen
@Ruth.n.o3 жыл бұрын
Tanzania nawapenda sana,watching u live 4rm Gulf hyu Nabiii anatumiwa na Mungu 💯💯💯 🇰🇪🇰🇪nahisi ningekuwa n mtanzania ningejivunia lkn hta vo najifunia bado yy kwa kweli kwa mafunsho anayoyatoa km waamini tufunguke macho tushike kile anachosema en be prayerful napendezwa zaidi mafundisho yake kila mara akiwa live nafuatilia ili nam niwe miongoni wa wale wazalendo ktk Kristu🙏🙏🙏🙏🙏🇸🇦🇸🇦
@walterp.makundi56403 жыл бұрын
Please don't mislead the nation! Its nonsense, you should be praying for the nation instead. Kujitafutia tu umaarufu. Count me out.
@monrisofficiel59163 жыл бұрын
Mungu aku bariki from Canada 🇨🇦 tuko kwenye Ali mbaya, tariki 1/09/2021, aturuhusiwi ku ingiya restaurant kula, gym, cinéma, show etc....kama utuna chanjo mbili. Mungu atukumbuke sisi tulio kata chanjo.
@risperkubai84313 жыл бұрын
Ooh no mungu awalinde...But I believe in the Bible.. I may not know the verse...but its say you will eat the poison and it will not harm you.
@risperkubai84313 жыл бұрын
May God protect you man of God for His authority is above every other.God protect us all.
@bienvenuebisimwa93083 жыл бұрын
Nabii wa Mungu,nakufata 100% apa Congo,Mungu akulinde,Dunia yaleo haitaki sikiya Mtu kama wewe🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@dephaomanona7973 жыл бұрын
In TX2nd in
@josephinemichael15143 жыл бұрын
He's for real, Mungu amlinde Prophet
@denismikinga8553 жыл бұрын
Amina Mtumishi.......Wewe na Gwajima Mungu awaweke kwa ajili ya watanzania
Mungu atusaidie sana, Heeeee Yesu hatuwezi bila wewe ,Damu ya Yesu INENE MEMA KWAKO Mtumishi wa Mungu
@wycliffochieng80043 жыл бұрын
,m KC me
@henrymsomi16573 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu brother, never give up Man of God
@zipporawangeci34523 жыл бұрын
I prefer to listen without an interpreter
@omanabcd92493 жыл бұрын
Amen
@elnorahmjomba13113 жыл бұрын
God bless you man of God.i have heard you i believe God is turning the table.God will hang them on their own galow
@peninamusyoka91253 жыл бұрын
No weapon formed against any Man of God shall prosper in Jesus Mighty Name. Emmanuel.
@blueeyes59523 жыл бұрын
This is prophecy and not faith my dear let us prépare ourselves for raptures.
@P4Principle3 жыл бұрын
Amen
@mackfasonmoshi46293 жыл бұрын
Amen Amen..
@irenenandutu50293 жыл бұрын
AMEN
@sallygrace14953 жыл бұрын
Amen
@henerikorenatusngokoihenge67263 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,Mungu akulinde na utufunulie zaidi Amina.
@alimondbenson17513 жыл бұрын
Wew ndo mtetezi wetu mtumishi wa mungu. Mungu akuliende akupe maisha marefu
@btsanime61383 жыл бұрын
Ni wakati wa kuomba sana wapendwa. We are going to have difficult time please stand up church of God.
@francokahwili90743 жыл бұрын
Amen
@nyaxx383 жыл бұрын
Amina
@Happizo3 жыл бұрын
Amen
@raymondndeanka26083 жыл бұрын
AMEN
@leahmwaura75293 жыл бұрын
Yesu apewe sifa, jina lake litukuzwe, huo ndio ujumbe wa Nabi, asante Yesu, sifa kwako juu mbinguni, tupe nguvi ya kupigana na ufalme wa Giza, walinde manabi wako wa ukweli, asante Yesu 🙌🏾🙌🏾🙏🏽
@khalfaninassor53223 жыл бұрын
Mshukuru "Yehova ndo Mungu" siyo Yesu. Kasome isaya 26:4) Zaburi 68:20) Zaburi 83:18) Yesu mtumishi wa Mungu. Kasome Yohana 17:3) Yesu aliomba, Yesu alishukuru Mungu. Luka 6:12,13) Matayo 11:25)
@noelswai26603 жыл бұрын
Tumpate wapi mtu kama huyu? Ambaye Roho wa Mungu akaa ndani yake. Mungu akutie nguvu pia akulinde nabii wa kweli wa Mungu.🙏🙏🙏
@designdesign44263 жыл бұрын
We upo dunia gani hayoyalishasemwa miaka 8iliyopita
@tamarimahega73843 жыл бұрын
Hyu ni nabiii wa uongo, tena ni Freemason, nan anaejua yes atarud lin
@ellietyboniface51663 жыл бұрын
Ameeeeeen! Barikiwa Baba Mungu azidi kukupa maisha maref 🙏🙏 unatufngua na kuyajua mengi
@irinenanciebarasa55663 жыл бұрын
Ooh God help us thank you prophet of God mungu tusaidie.. ambaye tuko inje my God help us so sad my hearts shake... mungu tusaidie..mungu wangu waaaaah saa wenye tuchaolewa.. itakua shinda waaah let me sitting with Our God God .... help us...in the world's oooh mungu wangu kuwa msaada wetu
@serahheta54843 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu may God reveal t u everything utwambie ukweli mwenye kuskia askie. May God help the whole nation t hear this. Be blessed
@SARASARA-rl2jl3 жыл бұрын
Oh God protect US in this last days until the end of this time. In the mighty name of Jesus Christ.
@millybonareri27703 жыл бұрын
Amen
@abigaelnyanchera76943 жыл бұрын
Amen Amen,aki Mwenyezi Mungu mkuu Sana uketiye kwenye kiti cha enzi tuokoe na kifo na kaburi,nlidingwa hizi shindano ju ya kufanya kazi illa Jehova Daddy niokoe na uokoe wengine ,Mwenyezi Mungu tusaidie Tu na utuhurumie
@susunsusy88723 жыл бұрын
Thanks mtumishi wa mungu. Be blessed. Our God help us in all
@julesngama25083 жыл бұрын
Wahooooo Asante Ndugu yangu Ume funuliwa Una sema kweli kabisa. Mungu akulinde kabisa apo ina omba mwenye akili kusema tu elewe Yesu iko njiyani kucukuwa kanisa lake . Ubarikwe sana mutumishi .
@patrickjoseph28073 жыл бұрын
Nikweli mtumishi ubarikiwe sana.kwa sasa hatuna viongozi wenye msimamo na waliokuwepo wameshatoweka duniani😭😭ubarikiwe
@selfaakinyi78243 жыл бұрын
Thank you Prophet of God, my campany was telling me to get vaccine, but I told them to wait, and lord lead me here, Am blessed Praised the living God 🙌🙌🙌🙌🙌.
@kimaniwachamba54093 жыл бұрын
Pliz dont
@selfaakinyi78243 жыл бұрын
@@kimaniwachamba5409 I wont even if is to come back home better, am in Qatar
@beatricepaul61933 жыл бұрын
Mkipiga magoti itapendeza zaidi machoni pa Mungu
@korasteve3 жыл бұрын
Nobody will live forever
@lovedbyjesus48823 жыл бұрын
I got the vaccine but I have to speak the blood of Jesus over my sister and I believe nothing can happen or will happen to me even years to come
@eliakalimluwa35043 жыл бұрын
Huo ndio ukwel asante kwa kuufunua, God bless u
@catherinesichangi90512 жыл бұрын
Thank so much the servant of God. You can remember me with some of prayers, Nina jambo nzuri la sirini limenitesa kiasi. lakini sio ugonjwa. Mungu atakufunulia jambo hili. linanipa maswali.
@timboxlee9193 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu,ombeni wafe wote walioleta chanjo, Tanzania hao vibaraka wa wazungu
@rahimwaziri10873 жыл бұрын
Ndugu yangu kumbuka mungu amepanga dunia ianze na iishe kwahyo huu ndio mwisho hakuna jinsi kikubwa tumrejee mungu wetu
@amosmlanga56273 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki na azidi kukutumia ,usimame na wewe kwa uwezo wa Mungu,Utusemee watanzania na Taifa la Mungu.
@edefridalivigha60492 жыл бұрын
@@amosmlanga5627 Amina amos
@doriskilele40253 жыл бұрын
Oh God our Father our Maker tusaidie na ulinde wateule wako by Your mercy and grace in Jesus mighty name Amen...Baba wetu uliye mbinguni tumesikia ujumbe wako, eeh tuepushe na utuongoze🔥🔥🔥🔥🔥
@doriskilele40253 жыл бұрын
😭 Jesus usiache wateule wako wateseke
@blessedlily67193 жыл бұрын
When I listen to you Man of God I feel like I'm studying the Book of Revelation! May God reveal to you more & more! May God reveal to us too so that we may not be deceived by the Antichrist! You're the John of this age!
@ruthachayo80383 жыл бұрын
Juzi niliota nabii Rolinga akielezea unabii huu na mimi leo napata mahubiri haya leo 😭😭😭🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@gracerose17853 жыл бұрын
Am in Doha,qatar..from Kenya 🇰🇪, am vaccinated, this message has reached to me when am already vaccinated,I will Pray and fast for my life and the entire family of people who have no idea what's happening. I truly Trust in the God of a second chance who shall heal us and cover us with the blood of Jesus Christ after Praying.Its not a joke,we're approaching the rapture, thank you for the message God bless you Apostle 🙏
@tripplem81883 жыл бұрын
Nko dub's pia nimedungwa dear tuko wengi,,,mungu pamoja nasi 😭😭
@Kariuki_Jimmy06.3 жыл бұрын
Feel strong the word of God in Mark 16:17-18....those who believe in the Lord even if they drink any deadly thing it shall not hurt them
@1970johnkim3 жыл бұрын
Repent and take Holy Communion
@karizmacell52953 жыл бұрын
Me too but not vaccinated yet but I have no choice I have to take it
@langatdavid66873 жыл бұрын
Mimi niko kenya bado nasitasita kudungwa haki. Tumepewa deadline by 21st Dec hakuna services za magari, mahoteli,duka,na kila kitu ya serikali kama hujapata chanjo.
@julianj.tarimo6163 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa kutuweka wazi pmj na kutufunulia mambo ya rohoni
@carolinembelaboltau41433 жыл бұрын
God bless you my Prophet for this revelation. May God Almighty strengthen us during this end times. Come Lord Jesus Christ come
@tamarablack2543 жыл бұрын
Amen...Mungu atufunike na mbawa zake takatifu ...Tunakutanbua wewe ndiwe Mungu ..miungu mingine ni kazi ya binadamu...Ewe Jehovah Ulie kufa mtini kwa ajili ya dhambi zetu....Tusamehe sisi na usituache tuangamie,Tunakiri nakutambua na kusujudia kitini pako kwa kuwa Wewe ni mfalme nchini na duniani daima....Usitusahau hata Paradiso 🙏🇰🇪
@pendocoster41703 жыл бұрын
😭😭😭😭inauma sana baba tunakutegemea sana mungu akup maono mengine..l.miss uncle magufuli mtetez wa wanyonge
@andreamndeme15393 жыл бұрын
Hahahahhahahahaa
@maryr40333 жыл бұрын
I miss him too😢
@ruthchikira39922 жыл бұрын
Amen Amen Amen huo ndio ukweli ulio wazi kabisa mwenye masikio asikie neno hilo ambalo roho anawaambia wampendao Mungu.barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
@liliandollarhyde46463 жыл бұрын
I support this information,May the BLOOD OF JESUS Flash all side effect to all Who have been affected..and protect his own
@emmanuelmtonyole99583 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaaa Pastor . napenda Sana NAFASI ipatikane mkafanye maombi hayo bungeni MUNGU ATAFANYA NJIA . AMEEEEEN
@gathonindungu34873 жыл бұрын
Mungu amprotect Huyu pastor jameni. Mailluminatti wapinga mungu hawependi kusikia maongeo kamma hii. Magufuli aliuliwa kwasababu ya kuongea hivi May the most High YAH protect him❤️❤️❤️ Pastor be bold,be strong 💪🏾 be courageous ❤️walk with Just like INOCH to all beautiful places🙏🏾❤️
@alimussa26553 жыл бұрын
Unawajua walie muuwa??
@gathonindungu34873 жыл бұрын
@@alimussa2655 kama unaishi Chini ya mawe, endelea Kuishi huko Chini Utakuja kunjua siku mawe itavunjika.
@annnyaga35363 жыл бұрын
Powerful prophetic message. May God and protect you. May God bless and protect the entire world.🇰🇪
@jumamkakile36493 жыл бұрын
O
@drAnggiaShinta3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/g6HZiKiHa7dlgMU
@alvynewilliams93763 жыл бұрын
Amen
@annahndaka64223 жыл бұрын
Amen,Amen,we should search our souls en prepare for rupture,mungu atusaidie
@zipporahmoraa19333 жыл бұрын
Amen
@miriamkarata74953 жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa Mungu.ee Mungu uturehemu😭😭😭😭😭
@Gaynor12343 жыл бұрын
Amina baba yangu, Mungu awaondoe wote miungu watu na kuwaweka wanyenyekevu waendelee kutuongoza. Maana kama kwa Mungu miaka elfu moja ni sawa na siku moja, basi tunaomba Mungu afanye upya kwa kutuongezea siku zingine tuendelee kuishi kwa unyenyekevu na kuendelea kuutafuta uso wa Baba yetu wa Mbinguni. Asante Mungu Baba kwa sababu unakwenda kutupa MWANZO MPYA KWA JINA LA YESU MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.
@alicensabimana21373 жыл бұрын
Jazwaaaa zaidiiiiiii Funikwa Lindwa Tumikaaa 🇨🇦
@bernardsamizi72893 жыл бұрын
Hongera! Hongera! Sana mtumishi wa MUNGU umetimiza wajibu wako . HAIWEZEKANI WOTE MUWE WASARITI. (JESUS BOY HOYEEEEE!) Simameni imara msiogope maana Mtumishi wa Mungu DANIEL HAKUOGOPA MIALI YA MOTO. Geuka uungalie Wachungaji wenzako wamevaa ( BARAKOA )TAYARI WAMETEKWA.
@mercylily28163 жыл бұрын
Wako wapi manabii kama hawa wasemao ukwel mataifa yaokolewe, Yesu Kristo tuhurumie
@adoniaceisaya7003 жыл бұрын
Wanasiku chache Maana Dunia Haiwataki!!!!!!
@batridapaul923 жыл бұрын
Nimempenda Sana anaongea ukweli
@janethayo49673 жыл бұрын
Akika mungu anatupenda ametutumia mtumishi wake Asante Yesu kwa upendo wako wa ajabu Eee Yesu tunakuitaji maali apa peke yetu atuwezi🙏🙏
@salmatanz9483 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akuatamie paster na atuondoe kwenye wingi hili jeus
@geraldbenjamin93023 жыл бұрын
Hofu hofu hofu! Ni zaidi ya ugonjwa! Tunamtukuza Mungu kwa Kuishi kwako mtumishi wa Mungu
@kinjowadad24223 жыл бұрын
God bless you Prophet,huu ni ufunuo mkali sana ,watu wa Mungu waombee ndunia yote sana.
@osamaalfani32103 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana na ufunuo huu hakika tutapona 🙏🏿
@mummyjei56343 жыл бұрын
Ameen glory to GOD barikiwa mtumishi wa mungu
@kingsuleiman72013 жыл бұрын
Hongera Sana rolinga kwa kusema ukweli na gwajima
@innocentoisso68693 жыл бұрын
Kwani huyu mchungaji akiumwa anaenda wapi kwa madaktari au
@lliliannyangoma70193 жыл бұрын
@@innocentoisso6869 Uyu Prophet yuko mkoa gani
@zacharianicodemas1843 жыл бұрын
Akiugua nini
@chaomadedo3 жыл бұрын
@@lliliannyangoma7019 kama sio Mwanza huenda Dar es salaam
@joyelia53563 жыл бұрын
@@innocentoisso6869 wala hajawahi umwa na hawezi kuumwa
@raiszongo15803 жыл бұрын
I see you and JOSEPHAT GWAJMA truely men of God...we ar behind you may God bless you and all of us ,we ar running last days 😥😥
@ellytech975710 ай бұрын
Him and who? 😮
@deoruge3 жыл бұрын
Hakika Mungu ameipendelea nchi yetu Tanzania.Bwana walinde watumishi wako waendelee kusema kweli yako
@titomdolloh61583 жыл бұрын
Hawatafanya lolote Mungu yu nawe na yu nasi pia
@stevenrichard1893 жыл бұрын
Mtushi wa Mungu, Mungu akutunze na kukulinda Mungu akupehekima na maarifaa na Bwana akufunulie siri zaidi na kuzijua nia mbaya za viongozi na wafalme na wakuu wanchi na duniakiujumla, nauyaweke wazi maskioni pa wa mtumainio Bwana Yesu Kristo mwana Wa Mungu aliehai.
@geraldbenjamin93023 жыл бұрын
Gwajima, Lolinga na Mwakipesile Mungu awatie nguvu ya kuusimamia ukweli, maana wenzenu katika kristo wameamua kwenda njia ya wengi
@halimajuma30773 жыл бұрын
Kweli kabisa,, hawa watumishi watatu tuu ndio wamethubutu kulizungumzia hili kwa ujasiri,,,
@samwelimoshi56143 жыл бұрын
@@halimajuma3077 na pole pole
@geraldbenjamin93023 жыл бұрын
@@samwelimoshi5614 Pole Pole Pia, Asante ndg Samweli
@gracethomas6833 жыл бұрын
Mwakipesile ndo nani tena niambie vizuri na yeye ni mtafute
@geraldbenjamin93023 жыл бұрын
@@gracethomas683 Mwakipesile ni mtumishi wa Mungu, Anachunga kanisa linaitwa kikosi kazi cha Injili, Yeye pia kajipambanua kupinga hi kitu bila woga. Ingia KZbin andika Mwakipesile utaona clip zake hakika zitakupa nguvu
@geraldbombamaster39763 жыл бұрын
Asante kwa maono yako , ni wakati wa ku fanya mabadiliko Amina
@asifiwempagama273 жыл бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU, MUNGU mwenyewe atusaidie ahsante sn.
@s.kmacharia52403 жыл бұрын
Mambo ulioyo yanena leo ni ukweli kabisa.. Mungu akubariki sana unapoendelea kutoa huduma kwa watu wa Mungu...ahsante Macharia
@magnam68073 жыл бұрын
Thanks, keep speaking the truth💯 Many's love will wax cold because as in the days of Lot, they won't be ready to part with the comforts of this world
@Sarawarren38152 жыл бұрын
Nashukuru Mungu sikuchanjwa kwani my spirit ilikataa kabisaaa,and i tried giving some people the same message but nikachikiwa na baadhi ya watu. Nashukuru Mungu kwa kupeana huu ujumbe mtumishi wa Mungu
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu musimamiao kweli 🙏🏾
@sarahisaac24893 жыл бұрын
Hakika Mungu ana watu wake....ubarikiwe prophet Rolinga.
@mwilemshani2363 жыл бұрын
Asante Nabii Rolinga. God bless you.
@emmanuelmayunga15183 жыл бұрын
Mungu AKUBARIKI mtumishi wa Mungu...tunaimani nawew kuwa ni miongoni mwa watu ambao Mungu anawatumia kulikomboa hili Taifa.. Mungu usituache watanzania tuangamie TUSAIDIE NA UTUVUSHE NA JANGA HILI LA CHANJO ZA IBILISI...zishindwe kwa uwezo wako Yesu kristo mwana wa Mungu ulie HAI
@NicholasMuteti3 жыл бұрын
Rolinga I remember you prophesied the death of Magufuli.... God Bless You
@vanebichanga94663 жыл бұрын
God protect our prophet in jesus mighty name. Save our world ooh God. We without you God we are nothing 😭😭😭😭🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️🙏🙏🙏🙏were I will be for the next three years from now God 😭😭😭😭🧎♀️🧎♀️🧎♀️🧎♀️save us God
@redemptamumina64193 жыл бұрын
Am blessed ma of God by this insight.May the Lord give you more wisdom
@RIP_BOYZ3 жыл бұрын
Pastor umeongea kweli kabisa..... Tuombe sisi Wana Kenya 🇰🇪
@godfielddashina3 жыл бұрын
“Watoto, ni wakati wa mwisho; na kama vile mlivyosikia kwamba mpinga Kristo yuaja, hata sasa wapinga Kristo wengi wamekwisha kuwapo. Kwa sababu hiyo twajua ya kuwa ni wakati wa mwisho. ” - 1 Yohana 2:18 (Biblia Takatifu)
@ceciliawandia39313 жыл бұрын
Blessed tz in E.A, with bishop Gwajima and prophet Lolinga, we are going far in east africa, come Lord Jesus come.
@eucabethnyagero96363 жыл бұрын
Mungu akufunike na damu yake nabii ,nafuatilia mafudisho zako sàna ni ya kutia nguvu kwa neema tutamshinda muovu hasa mpinga kristo.
@carolinelipesa10563 жыл бұрын
I lord have mercy on us, protect us we are innocent. We shall never die in Jesus mighty name, Amen
@lavishvish21733 жыл бұрын
Amen Amen
@mildredalukudo73853 жыл бұрын
Eeeeeh Mungu wangu Rehema zako zinatosha kushinda yote duniani 🙏🙏🙏
@franciscambatha43143 жыл бұрын
Glory be to God my prayer I was hoping for good news God blessed is your holy name. Amen
@franciscambatha43143 жыл бұрын
I will train my soul to stand till with word of God because is the light of the world .
@neemajoseph91093 жыл бұрын
Ameen mungu akubariki mtumishi kwa unabii mzuri nanikweli kabisaa eee mungu tusaidie ata siwezi kuchanja mie.mungu akulinde baba
@gladyskiplimoart3 жыл бұрын
Asante Mungu, yatatimia lazima ni tuwe tayari. 🏃🏃🏃🏃🏃 Chanjo simo.
@mamamesia77843 жыл бұрын
Amina MUNGU nimwaminifu kwetu atatusaidia
@mamamesia77843 жыл бұрын
Mmmmm😭😭😭😭😭😭 MUNGU tusaidie 🏃🏃🏃
@joycekimorgo52393 жыл бұрын
Asante mtumishi wa mungu, wote tunaomba kwamba watu waovu waondolewa, ijmn.
@nancysimon10583 жыл бұрын
Nimetoka kupona Covid ... Niliumwa karibu kufa.. namanisha najua Corona ni nini... Ila aishivyo Mungu cnta wai kuchoma hiyo sindano milele 🙌🙌
@nancynoellahc21763 жыл бұрын
Amen pole sana mpendwa
@maryr40333 жыл бұрын
Your blessed my Nancy! Keep up the faith.
@bahatisunga16423 жыл бұрын
Amina pole sana Mungu mkubwa
@rahimmarions57123 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde na atulinde sote tusioamini katka chanjo yao..ninyi pekee yan ww na gwajima mmethubutu kusema ukweli katikati ya wanafiki walio wengi katika nchi hii..
@catesam32873 жыл бұрын
Asante Mungu kwa ufunushi wako… Mimi ni mtumishi wa Mungu 🇰🇪Mungu kanionyesha watu wakichanjwa hicho chanjo na waliponikaribia nikawambia sichanjwi, ndipo nikawaambia wanionyeshe chanjo wanatumia.. Daah! Kuangalia hizo chajo zikawa zimejikuja😢😢😢hapo nikajua kuna kitu ambacho kisicho cha kawaida…Watu wa Mungu tuendelee kuomba na zaidi ya yote tuache maovu yote na tutaokolewa🙏
@azizabdallah5853 жыл бұрын
Watanzania bila kujali Dini zetu, Makabila yetu, Vyama vyetu tuko nyuma yako....Mwenyezi Mungu Mtukufu akubariki.
@habibumuhaba30733 жыл бұрын
Pumbavu kabisa
@SARASARA-rl2jl3 жыл бұрын
Unless the lord shortened those days no one would survived .But because of the righteous God shortened those days. Oh God protect US from the evils in the mighty name of Jesus Christ.
@pamelahezron83263 жыл бұрын
BWANA YESU mlinde mtumishi wako,kwa kweli hizo chanjo zikifika mipakani kwetu zigeuke kuwa Maji katika JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH.AMEN
@willisonTheonest10 ай бұрын
Kwa imani inawezekana
@MaikoMaiko-s7p4 ай бұрын
Ameen 👏👏👏🙏
@yuonneumurundi81193 жыл бұрын
Natamani nihame nitoke kwetu Burundi nikae TANZANIA maana daddy Rolinga ananifunza mengi Mungu azidi kukulinda baba na akutie nguvu
@shafiihssan7383 жыл бұрын
omba sana kwa jina la yesu usichanjwe au ineneee chanjo utakayolazimishwa isikudhuru baadaye
@yuonneumurundi81193 жыл бұрын
@@shafiihssan738 Ameeeeeennnn nina imani Mungu atanisaidia kwa hilo
@shafiihssan7383 жыл бұрын
ndiyo rafik yangu maana hiyo chanjo ni mpango mpinga kristo kuhusu microchip ya 666 utakayochomwa kwenye mkono au paj la uso
@Blessings31763 жыл бұрын
Aki pastor Mungu akulinde Kwa jina la yesu
@sifamtasha42913 жыл бұрын
Baba umejilipua, damu ya Yesu ikufunike kwa utukufu wake, uishi milele baba.
@SARASARA-rl2jl3 жыл бұрын
Nashangaa sana kwanini watu wanapenda kuwaita watumishi baba.even if theywere spritual father. Jehovah is the only father.
@sifamtasha42913 жыл бұрын
@@SARASARA-rl2jl baba wa kiroho maana wanatulea na wanatuhudumia vya rohoni
@SARASARA-rl2jl3 жыл бұрын
@@sifamtasha4291 nimeelewa thank you. God bless you
@mackfasonmoshi46293 жыл бұрын
@@SARASARA-rl2jl Ninebarikiwa sanaa jinsi Sara ulivyomwelewa na kuelewana na Sifa haraka hivyoo. God bless both of you...
@SARASARA-rl2jl3 жыл бұрын
@@mackfasonmoshi4629 welcome dear you too God bless you so much.
@leahmoses26252 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe Mungu atukumbuke Africa
@leoncemgweno46223 жыл бұрын
Tanzania always we have gift🤗 Asante mungu
@eaglecrown11013 жыл бұрын
Ulijuaje🥂
@Tmk53423 жыл бұрын
What gift
@godblesshappiness76413 жыл бұрын
Kbsa
@sizzyplus49323 жыл бұрын
God bless You coz !! U OPEN US UR MIND AND EYES... 🙏
@milabutambali79503 жыл бұрын
May God be with you Eeee mtumishi wa aliye JUU🙏🙏🙏🙏🙏
@bettyohany50163 жыл бұрын
Amina,Mwenyezi Mungu Akuzidishia kuongoza kondoo wake
@josephlimo90373 жыл бұрын
Was to go get vaccinated last week but for no good reason I just didn't go and now I find myself here... I believe God has a bigger plan for me. I claim it, Lord. Use me. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@albertulikaye59513 жыл бұрын
The end time false prophets, this one is among them.
@josephlimo90373 жыл бұрын
@@albertulikaye5951 Contrary opinion is allowed in a democracy. I however suggest you keep it to yourself coz salvation is a personal thing. I respect your opinion though.
@EmeldaMapunda11 ай бұрын
Haleluya. Mungu tuinulie mtu sahihi wakutuongoz awe mwenye hekima eemungu
@faridaelias71373 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kuongea ukweli na kutetea watanzania
@sakinamohamedy87363 жыл бұрын
Baba tutakufuata daima watanzania tumsikilize huyu mtumishi wa Mungu hii ni neema kwetu kusikia maneno kama Mungu tutie uelewa vichwan mwetu
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
@@sakinamohamedy8736 ulikuwa mwislam pia?
@annwanjiru79503 жыл бұрын
Kama Saudi Arabia imekuwa ni lazima uoewe iyo chanjo bila hiyo haukuna kuingia Mall,hoteli ama kutravel n train wala ndege so remember us here sababu mm hiyo chanjo naenda keshokutwa n no Ile nimelazimishwa n mm sikuwa nataka niombee Sana prophet rolinga and God will bless you nilioewa hiyo chanjo isikakuje kunidhuru🙏🙏🙏🙏
@monicasimpilu62573 жыл бұрын
Mungu ibariki nchi yetu ya Tanzania. Tuna manabii ambao Mungu anawaonyesha maono makubwa sana..Mungu endelea kuwapa maono manabii wetu. Pia tuaikataa corona nchini mwetu kwa jina la Yesu.
@pendosimon26493 жыл бұрын
Amen
@beatricemwanzia58003 жыл бұрын
Preaching the truth to sent us free pastor God bless you man of God
@jacquelinesamson3 жыл бұрын
Amen Hallelujah Glory be to God MAY GOD BLESS YOU AND PROTECT YOU AND YOUR FAMILY 👪Prophet Rolinga in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God