Mzinga wa Nyuki wa Kibiashara Mwaka 2010, Kisaki-SINGIDA,Tanzania.

  Рет қаралды 10,998

KIJIJI CHA NYUKI

KIJIJI CHA NYUKI

4 жыл бұрын

Beekeeping Villages, Singida-Tanzania, Ni sehemu Pekee Duniani unayoweza Kujifunza na kuelewa kwa Vitendo Maswala ya Nyuki iliyolusanya watafiti, Vijana na wadau mbalimbali wa Nyuki Nchini Tanzania.
Leo tarehe 01.01.2020: Wamezindua Mizinga yao mipya Ikiwa Ni Jitihada za makusanyo ya Maarifa kwa miaka 10 iliyopita Katika kituo Cha Utafiti wa Maswala ya Nyuki kwa Vitendo ( Action research) na hivyo Jitihada Zao kutumika zaidi Nchini Tanzania na Duniani kwa Ujumla.
Tunawatakia heri ya Mwaka mpya na zawadi ya Mizinga ya Singida Techno- hive.
Call 0765895805/0656104141 , kupata Mzinga huu POPOTE
KARIBUNI WOTE.

Пікірлер: 37
@AsmanRashid-ht2hj
@AsmanRashid-ht2hj 8 ай бұрын
Ahsante sana nimefurahia sana haya mafunzo Niko Kenya nitapataje hii mizinga
@DeodatusMassong
@DeodatusMassong Ай бұрын
Huo mzinga bei gan
@omarhamad9489
@omarhamad9489 Жыл бұрын
Huo mzinga na nyuki wake bei gani
@marwajuma8054
@marwajuma8054 4 ай бұрын
Naombeni mawasiliano yenu
@mjasiriamalishupavulailamu1558
@mjasiriamalishupavulailamu1558 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana one day yes
@danielmoses2244
@danielmoses2244 2 жыл бұрын
Hakika hii ni commercial beekeeping ..... Thank you so much for uploading this wonderful video ... I've got something unique today ...
@simonchifuka9968
@simonchifuka9968 Жыл бұрын
nahitaji mzinga nipo mwanza naupataje
@musamwanisawa8250
@musamwanisawa8250 3 жыл бұрын
Kazi njema sana,vipi kuhusu bei
@gerardasendemmeba4910
@gerardasendemmeba4910 2 жыл бұрын
Naitaji mizinga Na mm tafadhali tuwasiliane basi Nipo kigoma mm
@josephmafuru676
@josephmafuru676 3 жыл бұрын
Vizuri Sana
@franklujaji4895
@franklujaji4895 4 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri..
@willsonpaul7241
@willsonpaul7241 3 жыл бұрын
Napataje hii mizinga
@jacksonzezetv114
@jacksonzezetv114 2 ай бұрын
Habali watalam wanyuki naomba namba yacm nataka mizinga
@elisantegibeni6457
@elisantegibeni6457 3 жыл бұрын
well boss
@user-lf5kf7yi7n
@user-lf5kf7yi7n 10 ай бұрын
Gharama za mzinga zipoje?
@mwambumediaprostudio2492
@mwambumediaprostudio2492 4 жыл бұрын
Mawasiliano tafadhali nahitaji Mizinga
@moshacav1061
@moshacav1061 2 жыл бұрын
Unauzaje
@joshuamuro5532
@joshuamuro5532 3 жыл бұрын
Nahitaji Queen excluders
@mwakahaji8943
@mwakahaji8943 2 жыл бұрын
Kazi nzuri, bei ya mzinga mmoja kiasi gani? na vipi naweza kuupata mimi nipo Zanzibar.
@user-qw9wy6ed6g
@user-qw9wy6ed6g 10 ай бұрын
Naomba names ya cm
@alifakimati9614
@alifakimati9614 2 жыл бұрын
Kiasi gani mzinga kama huo.
@johnjhon4192
@johnjhon4192 4 жыл бұрын
MIZINGA hii ni kiasi gani na inapatikana DAR? Pia jinsi gani ya mawasiliano nawe kuhusu huumzinga
@revocatuschailla1027
@revocatuschailla1027 3 жыл бұрын
Vipi sisimizi mbawazyiaje mnaporumia stand ya matodari? Maana tunaambiwa sisimizi wakiingia kwenye mzinga nyuki wanahamaa??
@jovinjonasbuy6092
@jovinjonasbuy6092 4 жыл бұрын
Naitaji queen EXCLUDERS 0762276275
@benjaminmmary3421
@benjaminmmary3421 2 жыл бұрын
Pia ni bei gani?
@benjaminmmary3421
@benjaminmmary3421 2 жыл бұрын
Napataje hii miznga?naomba namba ya simu
@sammarley1413
@sammarley1413 3 жыл бұрын
Frame anapo eshi malkia ziko vpi na nyuki wanafikaje sehem ya juu kunapo tengenezwa asali ? Wanapenyaje kwenye hiyo queen excluder?
@danielmoses2244
@danielmoses2244 2 жыл бұрын
Queen excluder ama "kizuia malkia" humzuia malkia pekeake hivyo nyuki watengeneza asali (workers) hupita hiyo queen excluder na kuenda box ya juu (honey super) kutengeneza asali
@danielmoses2244
@danielmoses2244 2 жыл бұрын
Queen excluder ama "kizuia malkia" humzuia malkia pekeake hivyo nyuki watengeneza asali (workers) hupita hiyo queen excluder na kuenda box ya juu (honey super) kutengeneza asali
@dmtv6448
@dmtv6448 4 жыл бұрын
Mimi naomba kuuliza urefu wa stand ni mita ngapi ili kumrahisishia nyuki kuingia
@franklujaji4895
@franklujaji4895 4 жыл бұрын
Mimi sio muhusika, lakini naomba nikujibu kutokana na matofali yalivyopangwa. Tofali imepangwa kutokea chini kwa upande mrefu kabisa wenye takribani 450cm na imelazwa kwa upande wenye takribani kipimo cha 230cm, jumla ni 680cm ambayo ni zaidi kidogo ya Nusi meter.
@jovinjonasbuy6092
@jovinjonasbuy6092 4 жыл бұрын
Ok
@yahayabihoga1890
@yahayabihoga1890 3 жыл бұрын
Contact zenu
@kijijichanyuki6715
@kijijichanyuki6715 10 ай бұрын
0765895805
@mjasiriamalishupavulailamu1558
@mjasiriamalishupavulailamu1558 2 жыл бұрын
Kazi nzuri sana one day yes
@kijijichanyuki6715
@kijijichanyuki6715 10 ай бұрын
0765895805
Mkulima I Ujenzi wa Mizinga ya Nyuki ya Kisasa
14:58
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 471
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 102 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 35 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
How to Construct Kenya & Saltpond Topbar Bee Hives - Peace Corps Ghana
9:49
🔴Maziwa ya nyuki na maajabu yake. , Machi 15, 2023.
23:49
ITV Tanzania
Рет қаралды 2,2 М.
Mizinga ya Kisasa Kutoka Kijiji Cha Nyuki
6:41
DMM Visual Channel
Рет қаралды 108
a first in the world. new system modern mobile beekeeping
8:17
Harvest time
Рет қаралды 246 М.
KIJIJI CHA NYUKI -SINGIDA: FULL DOCUMENTARY
14:00
KIJIJI CHA NYUKI
Рет қаралды 7 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 102 МЛН