MZUNGU APAGAWA NA TANZANIA, AOMBA URAIA KWA RAISI SAMIA, ONA KISWAHILI CHAKE

  Рет қаралды 184,714

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 927
@aishaissa2512
@aishaissa2512 Жыл бұрын
Jesse anaroho nzuri mungu akubariki tunakupenda watanzania 🇹🇿🇴🇲
@matatomlik1846
@matatomlik1846 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana na karibu Tanzania 🇹🇿 yetu
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
jess Mungu akubali una roho mzuri sana mashallha karibu Tanzaniq
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Wawooo 😘 thanks So nice iloveyou Tanzania 🇹🇿
@nataemsuya
@nataemsuya Жыл бұрын
Wema huu hauozi, ujana wako hadi uzeen utakuwa mtu Wa furaha saana.MashaAlla watu wa pepon hawa.❤❤❤
@saadaAbdalla1371
@saadaAbdalla1371 Жыл бұрын
Mungu ambariki awe muislam
@AllyRashidy-km7sr
@AllyRashidy-km7sr 18 күн бұрын
Me nawapenda Hawa wazung il nawaogopa nilidet n mchina duuh nilibloock maan roho hainipi
@AllyRashidy-km7sr
@AllyRashidy-km7sr 18 күн бұрын
Kua muislaam besty uswal utapeendeza sanaa
@oswaldsambaya4422
@oswaldsambaya4422 Жыл бұрын
You're welcome to Tanzania. You're a good person
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 Жыл бұрын
Mtangazaji hongera 😍😍😍ni mzuri na rangi yako 😘😘😘😘😘😘nimekupendaaa🫂♥️
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 Жыл бұрын
Mimi nimemuewa Jessy,hii sio biashara!ni mapenzi!nimenda tabia zako my boy,all the best and my prayers in shaa Allah salama
@hallowkij5677
@hallowkij5677 Жыл бұрын
me nampenda mtangazaj jaman jins anavyo tangaza kama ww unamawazo kama mimi nipe like jmn
@FaizaSalim-y6v
@FaizaSalim-y6v Жыл бұрын
Hata mimi mkenya jamani naipenda tanzania ❤❤
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Hata mm mtanzania nakupenda sn ww unae ipenda tz❤
@FaizaSalim-y6v
@FaizaSalim-y6v Жыл бұрын
@@asiamohd5516 basi tupendane kwa ajili ya allah ❤️❤️
@aishadotto3640
@aishadotto3640 Жыл бұрын
❤❤
@norahfrank
@norahfrank Жыл бұрын
Njoo tukae.
@FaizaSalim-y6v
@FaizaSalim-y6v Жыл бұрын
@@norahfrank wapi 😂😂😂😂
@Mapesa01
@Mapesa01 Жыл бұрын
Dada ongea nawo kwa kiswahili chote awo mana sisi tupo nje huku wanavotusomesha lugha zao hawatuongeleshi kabisa kwa lugha ambazo tunaelewa kwa asilimia zote na wao tuwafundishe lugha ikue iyo❤
@oman7710
@oman7710 Жыл бұрын
Masha Allah karibu Tanzania kaka
@alexndabatinya7953
@alexndabatinya7953 Жыл бұрын
Hii interview ni nzuri sana. Lakini kuna kitu hapo kinanishangaza saba. Huyu mzungu anajitahidi kuongea kiswahili, japo kwa shida lakini anajitahidi aeleweke. Cha ajabu huyo dada anakuwa anachanganya kiingereza. Badala amsadie mzungu aongee kiswahili lakini nikama huyu mdada anataka kuonesha kama anajua kiingereza. Tuipende lugha yetu jmn. Kama unataka kuongea kiingereza fanya interview ya kiingereza. Sahamani sana kama nitaeleweka vibaya
@fatmaalisaid816
@fatmaalisaid816 Жыл бұрын
Hakika hajielewi
@KIMBY3-z8c
@KIMBY3-z8c Жыл бұрын
anajibrand sii unajua wakinadada
@alexndabatinya7953
@alexndabatinya7953 Жыл бұрын
@@KIMBY3-z8c 😀😀
@RhodaHidicky
@RhodaHidicky Жыл бұрын
Yaaaa haiko sawa hyo my sister,
@kazezaageneral1830
@kazezaageneral1830 Жыл бұрын
Ume eleweka lugha lazima atumie Ile inayo tumika na mhojiwa
@NeemaBwomaBaraka
@NeemaBwomaBaraka 6 сағат бұрын
😮Neno la mungu linasema pendaneni ko ujakosea kuwapenda watanzania❤❤❤❤❤ ukifungua kituo cha salama maomba kazi kituonikwao
@HassanAli-rw5go
@HassanAli-rw5go Жыл бұрын
Nakupenda buree tabia zako nzuri sanaa kwanza hulewi naomba uingie uislamu
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Жыл бұрын
Huo ni ubinafsi fanya sehemu yako ktk maisha uache rekodi
@MpekaThomas
@MpekaThomas Жыл бұрын
Afu mwanangu aume😂😂😂😂unashobo
@esthermachangu4970
@esthermachangu4970 Жыл бұрын
Kwa hiyo wakisto sisi ni nyau
@PhinaAthuman
@PhinaAthuman Жыл бұрын
Mungu akubariki Jesse karibu sana Tanzania nimekupenda Bure I wish nikuone live 🎉🎉🎉🎉❤❤
@jawahirkahinmadar1459
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Jecy mungu akubariki sana kijana 🎉🎉🎉❤
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov Жыл бұрын
Jesse hongera kwa vigezo vyako ,vyakuowa karibu Tanzania tunakupenda sanaaaa unaonekana unaroho nzuri
@PeterNzinza
@PeterNzinza 11 ай бұрын
Ongera sana
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Karibu sana sana Tanzania 🇹🇿
@fainesbrown6854
@fainesbrown6854 Жыл бұрын
Asante kwa upendo wako Jesse,Mungu akubariki
@cptornado5267
@cptornado5267 Жыл бұрын
Kama muzungu anajifunza Kiswahili, what about us Africans? Nimeshukuru kwa sababu I’m in intermediate level now, I’m definitely learning it🇸🇸
@cleophacemahendeka4937
@cleophacemahendeka4937 Жыл бұрын
Hongera sana kwa jese kujua kiswahili vizuri sana atakuwa balozi mzuri wa kuitangaza Tanzania uko kwao
@PeterNzinza
@PeterNzinza 11 ай бұрын
Ongera sana
@EsterMwendawila-wj2ks
@EsterMwendawila-wj2ks Жыл бұрын
Story ni ya kweli kabisa god bless you jese
@eggysulle7988
@eggysulle7988 Жыл бұрын
god??
@brilliant08
@brilliant08 Жыл бұрын
@@eggysulle7988It’s God /GOD
@SaumuAlly-i6u
@SaumuAlly-i6u Жыл бұрын
Love you 😘 sana kwa kupenda nchi yangu
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 Жыл бұрын
Nimependa sana huyo jamaa anasema wanawake wengi wa nchi zilizoendele hawataki kuwa mke. Hilo ni kweli asilimia 100. Na dunia inawaharibu wanawake wakiafrika na haki sawa. Singlemothers wameiona hiyoo??
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 Жыл бұрын
Kwel kabisa
@ZamoMartin-i2e
@ZamoMartin-i2e Жыл бұрын
Mkweli kbs
@tinapius1865
@tinapius1865 Жыл бұрын
@@ZamoMartin-i2e kijana huyu mtu wa MUNGU sana natamani nimpate anisaidie masuala yangu ya kutoa elimu kuhusu ukatili hasa kwa watu wanaoishi na vvu UKIMWI.
@sarahkahaki1913
@sarahkahaki1913 Жыл бұрын
Watching from Kenya i like the guy.venye anasaidia hao watoto,hope anaeza kunja Kenya pia kusaidia pia
@josephstephen2047
@josephstephen2047 Жыл бұрын
I hope one day atafika na Kenya pia
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Mungu ibariki TANZANIA, Mungu ibariki AFRIKA. Karibu Tanzania Kaka nchi ya Amani.
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 Жыл бұрын
OOOh..... VERY COOL ... Jamaa ni poa sana na anamtazamo mzuri kimaisha na anachokifanya kuwasaidia wengine ..NI KITU KIKUBWA SAAANA...#BLESSINGSS👌👍👊👊
@samwelyremy4103
@samwelyremy4103 Жыл бұрын
We are all connected in love ❤ Good job brother 💚
@cipriano3040
@cipriano3040 Жыл бұрын
Great guy....i support the guy....i wish to get him & give him a word
@salamamsusa
@salamamsusa Жыл бұрын
Karibu Tanzania 🇹🇿 tunakupenda sana❤️❤️❤️
@cipriano3040
@cipriano3040 Жыл бұрын
Count in in the NGO Foundation...its my dream & this is what am working towards...
@woah.africa99
@woah.africa99 Жыл бұрын
Huyo ni.mwafrica ana dam ya kiafrica mana babake ni misri
@RonnieBertin
@RonnieBertin Ай бұрын
Ukizaliwa uingeleza wewe ni muingeleza no matter what
@maryandason1815
@maryandason1815 Жыл бұрын
❤❤ ss tunawapenda wale waotupenda, piya kma uko n ofu ya MUNGU
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty Жыл бұрын
Karibu Tanzanian tuna amani sana
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 Жыл бұрын
Thank Jesse tuna kupenda sana am from Tanzania 🇹🇿 but I work house media in Omani well come Tanzania
@laurenciazacharia9197
@laurenciazacharia9197 Жыл бұрын
Jesse ni mcheshi kweli karibu sana Tanzania❤
@OmanOman-m9n
@OmanOman-m9n Жыл бұрын
ubarikiwe Sana jesse na pole Sana mungu akusaidie Sana Sana mkasa
@OmanOman-m9n
@OmanOman-m9n Жыл бұрын
uliokpata
@EpiphaniaMallya
@EpiphaniaMallya Жыл бұрын
Mpe hongera zake. Kiukweli amefanya kazi kubwa na nzuri
@restcyprian1598
@restcyprian1598 Жыл бұрын
You are born naturally with humanity love.
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Definitely
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 10 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu jessy, loved 😍 ♥️ ❤️
@MashaSayi-ui7dz
@MashaSayi-ui7dz Жыл бұрын
Jese Mungu akubariki Kwa yote unayoyafanya...... May Lord our God bless you for what you're doing.... Additional money
@NoelKomba-s9d
@NoelKomba-s9d 3 ай бұрын
Jess upo vizuri sana dogo
@MariaKojoa-dx3ru
@MariaKojoa-dx3ru Жыл бұрын
Wow kiswahili kizurisana jamani😘😘😘
@chachamtiba1069
@chachamtiba1069 Жыл бұрын
Ubarikiwe mno kaka,, I hope GOD is with you in all your life , be blessed brother
@AnnaMwailenge-hy3xg
@AnnaMwailenge-hy3xg Жыл бұрын
Karibu Sana Tanzania waambie waje ss tuko poaa sana
@bahatidominic8923
@bahatidominic8923 Жыл бұрын
Mbengo TV msimpoteze huyu mtangazaji. Ni mzuri mnooo!!! Labda mumboreshe kwa vitu vidogo vidogo tu, lkn kwa kiasi kikubwa she does great ☺️☺️,, Ushauri wangu kwenu Mbengo TV mjitahidi kumnoa kwenye lugha ya kingereza.
@lailaabeid717
@lailaabeid717 Жыл бұрын
Kwakweli mtangazaji nj wetu na atabakia hapo daima
@FamtamAli-vl2wx
@FamtamAli-vl2wx Жыл бұрын
I love you Jesse ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯💯👍
@RahelLemburis
@RahelLemburis 9 ай бұрын
Mungu akubariki Jesse
@zainawangu5838
@zainawangu5838 Жыл бұрын
Dah nampendaga sana huyu kaka ❤❤ila dada yangu kipenzi unamuuliza maswali marefu ambayo yeye mwenyewe anazani nimagumu kumbe ni vile tu kiswahili bado akija kaa sawa kichwani 😂😂😂
@MonkeyDLuffy-p4g
@MonkeyDLuffy-p4g 10 ай бұрын
Wow nimemekupenda bure jesse❤️♥️💖💓💕👌🙏
@zuhuraibrahim2529
@zuhuraibrahim2529 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu mtangazaji ❤❤❤❤
@HAPPINESSCHUWA
@HAPPINESSCHUWA Жыл бұрын
Very good Mr Jessie
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Mungu akutunze kijana unaroho nzur❤
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Mungu akubariki Jesse akuinue
@AbouDahya
@AbouDahya Жыл бұрын
Asante kuitangaza vizuri tanzania
@ZainbZainb-s6f
@ZainbZainb-s6f Жыл бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥maisha marefu kwako ❤❤❤❤❤
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kaka karibu Africa akunamatata
@athanaschacha.9424
@athanaschacha.9424 Жыл бұрын
Tanzania ni nchi yenye fahari nyingi mno,.🇹🇿❤
@rechosamwel241
@rechosamwel241 Жыл бұрын
Hakika nchi yetu ninzuri sana👍
@graceamran326
@graceamran326 Жыл бұрын
Tanzania 🇹🇿 hakuna matata❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤karibu
@magesajohn3402
@magesajohn3402 Жыл бұрын
Ungehoji kwa Kiswahili ingekuwa vizuri zaidi. Kiingereza chako kina matege mengi. Kwa mfano kutamka lean badala ya learn., basket badala ya bucket. etc. Jesse yuko vizuri.
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
KARIBU SANA TANZANIA, UNA ROHO NZURI SANA JESE 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@rozinamoshi9651
@rozinamoshi9651 Жыл бұрын
Asante sana kwa lupita vita ukeketaji
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 Жыл бұрын
Jesse anayoyasema ni kweli kwa Ulaya Marekani nk,hasa unaposafiri ndani ya Treni na mabasi kila abiria unakuta yuko busy na sim au kusoma kitabu.Usafiri huo huo wakiwepo waafrika wanaomgea na kucheka. Life goes. Funny things kwa wazungu ukikutana nao kwa walking street au vituo vya usafiri ,ukimsalimia anakuangalia kwa hasira na hata wakati mwingine aweza kukuuliza je unanifahamu ndo maana unanisalimia???😢😢😢😢😂Most of them are too cold anyway.
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 Жыл бұрын
Karibu Tz. Utawaoa wengi nahivi una kasura kazuri mh! Hatari😂😂😂
@WaweruG
@WaweruG Жыл бұрын
They are called Lightworkers, Starseeds, Earth angels. Spirituality Awakened humans. Usually they are here on Earth to raise it's vibrations. His fast grasp of Swahili language or any other languages is divinely inspired so it's get easy for his earth mission. The problems he faces, struggles, rejections etc make him strong.
@abdouaishafuzna2345
@abdouaishafuzna2345 Жыл бұрын
Big up
@mohamedsaid2882
@mohamedsaid2882 Жыл бұрын
Bullshit dude just learn to treat each task from the point of view of first principals. Learning how to learn is the most worth while skill to master each language has 100 words that we use at least 80% of the time learn them then you move on to other things light workers my ass 😂😂😂
@AsmaKassim-bj9hm
@AsmaKassim-bj9hm Жыл бұрын
Mashaallh mashaallh inapendeza kwakweli
@AsmaKassim-bj9hm
@AsmaKassim-bj9hm Жыл бұрын
Mungu atakulipa Inshaallah
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Kitu kimoja tunapaswa kujua kwa Wazungu, Wazungu wapo wa aina 3 wapo wazungu ambao hawapendi kabisa Waafrica hao ndo wanaiba hadi leo mali zetu, wapo wazungu ambao hawajali chochote kuhusu waafrica wamepigwa sawa wameonewa sawa kifupi hawajali chochote na wapo wazungu wanaowapenda Waafrica ndo kama huyu Jossee
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Kuibibwa nikwasababu ya upumbavu na ujinga wa waafrika wenyewe na viongozi wenyewe, so ata waafrika wapo ambao hawawapendi watu weupe nasi wazungu tu pengine na waarabu
@DavidKilusu-p4d
@DavidKilusu-p4d Жыл бұрын
Wa Aina ya nne ni mzungu rafiki mnafiki, makusudi kwamba ana malengo ya siri. Nahisi huyu ni wa aina hiyo. Hautamwelewa haraka. Muwe makini na ushoga -unaenezwa ktk mataifa yanayoupinga kijanja sana. "Be aware!".
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
​@@DavidKilusu-p4dKabisa Hatamkija Kujua Tayari Mambo yameharibika, Wana mbinu Nyingi Sana.
@mariawilson2698
@mariawilson2698 Жыл бұрын
Wamejaribu kuniua .. mtangazaji waooo
@Naima-g1n
@Naima-g1n Жыл бұрын
Mtangazaji kwa ubora wake nimependa maswali❤
@YorandaBonephas
@YorandaBonephas Ай бұрын
Kijana mwema mungu akubaliki kalibu tanzania.
@DrPiusTV
@DrPiusTV Жыл бұрын
Kiswahili kizuri kuliko mtangazaji, mtangazaji anauliza kwa kingereza halafu anajibiwa kiswahili😂
@jeffyjerry8129
@jeffyjerry8129 Жыл бұрын
Ndo hao wanataka kujionyesha kama ana jua kingereza
@TatuRajabu-cz6jz
@TatuRajabu-cz6jz Жыл бұрын
Watanzania tukijua kingereza kidogo tuu ni shida,ndyo mana tunatekwa na wazungu
@NuhuMohammed-nu6ni
@NuhuMohammed-nu6ni 11 ай бұрын
😂😂😂
@zamzamharoon332
@zamzamharoon332 Жыл бұрын
Jessy Mungu akujalie umpate mke anayokufaa na upate uraia
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 Жыл бұрын
Dah umejifunza kiswahili vizuri Sanaa, usikate tamaaa
@FatmaJuma-w6g
@FatmaJuma-w6g Жыл бұрын
Jasse nipe no yako❤ nakupendaaaa jess we unanitesaaaaa😂😂😂😂😂 mzungu kachachawa na shepu mtumeeee
@sofiamasseelyas7553
@sofiamasseelyas7553 Жыл бұрын
Bravo à toi ❤❤❤❤
@jameswanyancha5940
@jameswanyancha5940 Жыл бұрын
Hongera kijana fanyaka utabarikiwa sana
@abelubamba7409
@abelubamba7409 Жыл бұрын
Baki na sisi Tanzania Jessy
@angelajoseph4643
@angelajoseph4643 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@NeemaGadiely-z8x
@NeemaGadiely-z8x 19 күн бұрын
Hongera Jessy una roho nzuri sana
@evalineisaya8217
@evalineisaya8217 Ай бұрын
Ninempenda sna huyu kaka, ana rohi nzuri.,
@Bishopdavidndaki7184
@Bishopdavidndaki7184 Жыл бұрын
Jese MUNGU akubariki sana kwa moyo huo
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Jesse huyo kijana wa Kikurya huyo moja kwa moja toka Butiama..😂❤️❤️👏🏾
@ClayMwamba-f7t
@ClayMwamba-f7t Жыл бұрын
Haaaa wee kurya boy tena
@YusraHamadi
@YusraHamadi Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@jumahamad3723
@jumahamad3723 Жыл бұрын
Kwa Imani yako Mungu akubariki
@Feisalaljeddawy
@Feisalaljeddawy Жыл бұрын
He's speak fluently in Swahili I wish I could speak it .
@onetake2292
@onetake2292 Жыл бұрын
Upo tayari Nikufundishe?
@fainesbrown6854
@fainesbrown6854 Жыл бұрын
Hellow,i can teach you swahili language
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 Жыл бұрын
​​@@onetake2292Nipo tayari. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili kwa mwezi mmoja. Huyu jamaa anajaribu kuongea Kiswahili, ataiongea kwa usafaha hivi punde.
@JudithCristopher
@JudithCristopher 8 ай бұрын
Jesse barikiwa sana
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr Жыл бұрын
Mashallah anahuruma kalibu Tanzania
@navioma4882
@navioma4882 Жыл бұрын
Karibu tanzania❤❤❤
@Anthony_Genge
@Anthony_Genge Жыл бұрын
Safi sana bwnmdogo jesse, karibu sana mara🇹🇿
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 Жыл бұрын
Hawa ni wapelelez hawa wanakuja kututoa kwenye reli kwa kisingizio cha msaada ata kule kwao kuna maskini tena wa kuyupwa wanakuja kutufundisha uchafu sisi tunaona tunasaidiwa ujinga kabisa
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Yani watuwasiejielewa wanababaika na ngozi wanapagawa hawawatu hawanaga utu ni tabiambayati hawa
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 Жыл бұрын
Hakika kabbisaa ,hawa wanakuwa wapelelezi wa muda mrefu sana ,na riport zao ni za miaka 100 mbele ...
@EsterMwendawila-wj2ks
@EsterMwendawila-wj2ks Жыл бұрын
Jess tuna kupenda pia god bless you
@kingbyaro6016
@kingbyaro6016 Жыл бұрын
Wa Kenya 🇰🇪 wanawake wanameza mate 😁😁😁wanavyo penda wazungu
@Judemwenda-hz7gh
@Judemwenda-hz7gh Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@VeronicaWanjala-x4x
@VeronicaWanjala-x4x Жыл бұрын
Wanawake wengi afrika sio Kenya tu pliz!
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Wanawake qengi sio Kenya tu😊
@linluxe101
@linluxe101 Жыл бұрын
Wow🎉 nice interview ❤
@EvaristoNgimba-nq1ld
@EvaristoNgimba-nq1ld Жыл бұрын
Tanzania bad Sana yani baadaa ya kujivunia kishwahi chetu kinapenya kimataifa sasa waandishi sasa
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js Жыл бұрын
Upo vizuri jese
@kassimsalum1479
@kassimsalum1479 Жыл бұрын
Uyu jamaa anaimani mungu ambaliki sana 🙏🏼
@violetcarroll4930
@violetcarroll4930 Ай бұрын
Mungu akubariki kijana
@christinaernesto4636
@christinaernesto4636 Жыл бұрын
Yani siku zote usifananishe mzungu ana roho mzuri kuliko waaarabu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mwarabu anarohonzuri kulikomzungu maashaallah ilatu nikwambie kilammoja anarohoyake awemzungu hawe mwarabu au mwa Afrika
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 Жыл бұрын
Waarabu wana roho nzuri ila wenyewe kw wenyewe lakin ni wabaguzi san
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
​@@menalikechildren8836ubaguzi kila mahalia duniani hata Makabila y kiafrika wanabaguana usidanganye watu
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 Жыл бұрын
Waarabu wengi wao ni wazuri sana❤
@SalumuSaidi-kv2rl
@SalumuSaidi-kv2rl Жыл бұрын
Karibu sana njoo uku nyumban tupige stori maana unajua sana kiswaili
@sirisya
@sirisya Жыл бұрын
Mtangazaji, tumia tu Kiswahili dada, Kiingereza kimekulemea.
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 Жыл бұрын
😂😂😂😂Wat mek you😂😂
@PeterNzinza
@PeterNzinza 11 ай бұрын
Pole sana jese
@mapromedia_
@mapromedia_ Жыл бұрын
Mtangazaji leo umezingua sijui unataka uonekane unajua kiingereza, mtu anaongea kiswahili wew unamuuliza kwa kiingereza
@MustaqimMuhsin
@MustaqimMuhsin Жыл бұрын
Kalibu tanzania
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН