UTAMU WA HALUWA KUTOKA ZANZIBAR - JIFUNZE JINSI YA KUIANDAA

  Рет қаралды 14,713

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 6 жыл бұрын
Shukran Ktv tz ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU
@idrisayahya8340
@idrisayahya8340 6 жыл бұрын
Dah Ali nimesoma nae huyu long time sijakuona kumbe yuko hapo mashallah
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 6 жыл бұрын
Shukran kaka Masoud kwa kutukaribisha wacha tule kwa macho🙄kupitia video
@rahimasaid6721
@rahimasaid6721 Жыл бұрын
Mimi najaribu kujifunza kuipika lakini bado sijaiweza uzuri Insha Allah nitafanikiwa جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
@firstname600
@firstname600 6 жыл бұрын
MashaAllah
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 6 жыл бұрын
safi sana k TV kw kutujuza vitu mbali mbali
@shammoha5297
@shammoha5297 6 жыл бұрын
MashaAllah 😋👏🏼👌🏽
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 6 жыл бұрын
Masoud maganga unajitahid sana kw kutafuta habar mbali mbali.
@allysaid6742
@allysaid6742 6 жыл бұрын
Masha Allah
@a.856
@a.856 6 жыл бұрын
Asanteni
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 6 жыл бұрын
Naipenda balaaa
@issamohammed2458
@issamohammed2458 5 жыл бұрын
kinakuzuwia nini usiwe usiile kila uchao.
@فيصلفرج-ر2ه
@فيصلفرج-ر2ه 6 жыл бұрын
mm hata nilipoona hio picha nimedhani aluwa igine coz hyo demu walomueka wamepeleka mbali kifikira..
@issamohammed2458
@issamohammed2458 5 жыл бұрын
sijuwi hio picha imehusiana na nini na hio kazi
@fifo262
@fifo262 6 жыл бұрын
Nendeni wete mkajionee khalua
@hamil7895
@hamil7895 2 жыл бұрын
Kila kt kina uzuri wake
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 5 жыл бұрын
Kweli maneno ulosema Ally zamani ilikua inasonqwa uko mbele ( Nje ) njian ukipita unaona,tushadowea sana makoko toka walivokuwepo kina Doto Na sijui kapotelea wapi doto.
@chekisiela
@chekisiela 5 жыл бұрын
Doto na Kurwa watoto wa Bernado, Doto sijui yuko wapi lakini Kurwa kishatangulia
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 4 ай бұрын
Haluwa ya znb Tamu sana
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 6 жыл бұрын
Nenda na malindi kwa kidemi khalua
@issamohammed2458
@issamohammed2458 5 жыл бұрын
bi zuhura tuweke sawa sio khalwa ni Halwa, khalwa ni kitu kama simanzi
@najmasulleyman7695
@najmasulleyman7695 6 жыл бұрын
Kwa kweli huyu anatangaza biashara yake tu.”@hajakusudia kutufahamisha anavopika mana hafahamiki na haelezei ipasavyo. Anaripua ripua tu.
@suleimananwar970
@suleimananwar970 6 жыл бұрын
Ktv tz online hio picha ya huyo mwanamke youtube inahusu nini na halua hebu muogopeni Allah wekeni kitu nyengine infront line picture na sio fitna za wanawake kama hivo hiki kipind kinaangaliwa ktv tz na waislam jitahidini muweke picha za maadili hata kama youtube inazungumzia uchafu basi musiweke picha mfano kahaba amevaa nguo za uchi au ana makalio makubwa mbele ya uso wa youtube haifai Allah atusameh kiendelee kipind kwa kheri na tupate radhi za Allah . Allahu A'lam
@allymtz4348
@allymtz4348 6 жыл бұрын
Hata mimi nilijiuliza hili swali maana sijaona uhusiano wowote wa yule mwanamke na halua hii.
@Abla_habiba02
@Abla_habiba02 4 жыл бұрын
Hakika upo sawa kabisa, wanawake tumekuwa matangazo kila kona, subhanallah yani tuko tofauti kabisa na wanawake wa zamani, hususan wake za maswahaba na mitume waliokuwa wakiongea na wanaume nyuma ya pazia, wacha tu kujianika mitandaoni walikuwa na aibu na heshma zao mashallah ndio mana wakaitwa wanawake wema na sio sasa kama ilivo, Allah atuongoe katika njia iliyonyooka amiyn.
@rashidramadhani9264
@rashidramadhani9264 2 жыл бұрын
Nataka kujifunza kupika haluwa.
@abubakarmzee3374
@abubakarmzee3374 5 жыл бұрын
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
@idrisayahya8340
@idrisayahya8340 5 жыл бұрын
wacha Zanzibar iitwe Zanzibar wazanzibar oyeeeee
@chekisiela
@chekisiela 5 жыл бұрын
Dah!.. haluwa kwa bom
@josej9888
@josej9888 6 жыл бұрын
Khalua yapemba wete ndio nzuri ninayoikubari Mimi.
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
Umekujuwaje wete? Ushawahi kufika?
@josej9888
@josej9888 6 жыл бұрын
@@utaani1 hahaha! Hii sura usiione hivi ukaichukulia poa, imeshatembea sana! Pemba naijua vizuri sana hunipotezi, wete, micheweni, konde, vitongoji, tumbe nasehemu zingine unazozijua wewe huko Pemba.
@utaani1
@utaani1 6 жыл бұрын
@@josej9888 basi kwanini huwa unaidandamiza Pemba wakati kutwa unakuwa Pemba?
@albait5227
@albait5227 6 жыл бұрын
ktv tz île ya pemba mbona siiyoni imeenda wap au wameodoka
@fatmaalzaroni811
@fatmaalzaroni811 6 жыл бұрын
Naitaman na niko mbali siipati duh
@jumahaji3609
@jumahaji3609 5 жыл бұрын
Saivi huyu mpishi ni mla unga dah maskini Ali zari
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 6 жыл бұрын
Umenichekesha eti ladha naijuwa mwenyew
@khamisshehe8634
@khamisshehe8634 6 жыл бұрын
Zanzibar hawajui kupika halua wanapika sukari tu na huo unga halua ipo wete Pemba huko unaweza kuiskia ladha ya haluwa. Na pia picha ya mwanamke inahusiana na nn na halua hem tunaomba ufafanuzi jui ya hiyo picha
@hamil7895
@hamil7895 2 жыл бұрын
Kwani Zanzibar ni nn
@hamil7895
@hamil7895 2 жыл бұрын
Halafu kuna sehemu wametangaza halwa ya wete unaweza kuipata mtendeni kwahiyo hii inalingana na hiyo unayoisema
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 жыл бұрын
Samahani naomba kujua uwanga ndio nini?
@abdillahmuhammad8475
@abdillahmuhammad8475 4 жыл бұрын
Starch
@abdullahkhamis3196
@abdullahkhamis3196 6 жыл бұрын
Hii picha ya mwanamke vp haluwa hiyo
@suleimananwar970
@suleimananwar970 6 жыл бұрын
Astaghfirullahi
@AHMED-qn5pn
@AHMED-qn5pn 6 жыл бұрын
mi siiti Halua hiyo naita maradhi maana hiyo sukar unayoingiza kwenye mwili ndo maana kila mtu mgonjwa siku hizi.......
@mauwam3627
@mauwam3627 6 жыл бұрын
Tokea wew uke umeumwa na nn acha zako ww mbn halua ipo tokea zaman ao wazee wtu hawakuumwa uje uumwe weye sema tu una maradh yako mengine uko
@mauwam3627
@mauwam3627 6 жыл бұрын
Na kwan iyo sukar unaila mbichi ama ebu tuache
@AHMED-qn5pn
@AHMED-qn5pn 6 жыл бұрын
@@mauwam3627 for the record I'm perfectly healthy Alhamdullilah sina maradhi hata 1 ila kabla hujabisha dada yangu soma kwanza ujue kitu kwasababu hakuna kitu dunian kinaongoza kwa maradhi na sumu ktk mwili kama sukar na 85% ya maradhi yanatokana na sukar kama hujui dada yangu ila soma kabla ya kubisha.......
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 6 жыл бұрын
Kubwa la Maadui hahahah wangekua wagonjwa wengi kwani ndo utakula kama wali au maji huachi
@AHMED-qn5pn
@AHMED-qn5pn 6 жыл бұрын
@@bahatinassorali5222 hivi wajua side effects ya sugar in a body ? hivi wajua insulins spike wanakuwa vipi ? ndo maana nikakwambia someni kwanza na magonjwa ss hivi yameongezeka kila mtu mgonjwa si Mzee si kijana ukimkuta mtu hana ugonjwa bas japo pressure anayo au maradhi ya kichwa( Migraines) etc sukar ni adui wa mwili wako
@abdulsalim8900
@abdulsalim8900 6 жыл бұрын
Alafu uyo banati anaenusa uwa mbona hatujamuona ndani
@suleimananwar970
@suleimananwar970 6 жыл бұрын
Astaghfirullahi
@ukhtyrahma.3922
@ukhtyrahma.3922 6 жыл бұрын
MaashaAllah
How to make halwa haluwa| Habshuu TV
19:06
Habshuu Tv
Рет қаралды 9 М.
TUFUNUWE KITABU (SILSILA 28): Revolution in Zanzibar cha Don Petterson
1:28:36
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
TENGENEZA TAMBI ZA BIASHARA BILA KIFAA MAALUM
8:32
keki plus
Рет қаралды 313 М.
Kenyan Chapati Pamstyle
12:00
Let's Cook With Pam
Рет қаралды 8 М.
KASRI YA MFALME WA ZANZIBAR
14:34
S MEDIAZ ONLINE
Рет қаралды 9 М.