NAMNA YA KUFANYA KAZI NA ROHO MTAKATIFU PART 3 - MIN SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 31,036

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@gasprtina236
@gasprtina236 11 ай бұрын
Hakika jina la Bwana libarikiwe sanaa na kutuhudumia leo Ameeen Mungu akubarik mtumishi kwa kazi yako
@neemadabana9341
@neemadabana9341 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu sana na nguvu zake hazifungwi kwenye mpaka wa muda. miaka 2 baada ya hii ibada na leo nikiwa peke yangu chumbani nafuatilia maombi, nimeona kitu cha ajabu sana. Pastor Mungu aendelee kuinua huduma yako.
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Ameeeen! You’re blessed my Sister
@dokasimwamlima3550
@dokasimwamlima3550 2 жыл бұрын
Eee yesu nijaze na roho mtakatifu kwa damu yako yesu kiristo ubalikiwe Sana Sana mtumishi uishi miaka mingi mungu akujaze zaidi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🧎🧎🧎
@carowanjugu7911
@carowanjugu7911 2 жыл бұрын
Watching from Kenya na nimehisi nguvu za Mungu
@dorahmeena5702
@dorahmeena5702 5 жыл бұрын
Dear Holy Spirit. Thank you, thank you, thank you. Distance is not a barrier. Glory to you alone my God🙌🏽
@mirambonegymoja77
@mirambonegymoja77 3 жыл бұрын
Bwana Mungu awabariki Pastor Sunbella Kyando na Watumishi wa ROC, nimebarikiwa sana Na Mafundisho Haya yaliyojaa Upako Mbichi na Mzito .Sifa, Heshima na Utukufu kwa LORD JESUS CHRIST sasa na Milele, AMEN.
@evansongitau461
@evansongitau461 2 жыл бұрын
Jesus is the same yesterday, today and forever, Amen.
@happymichael6209
@happymichael6209 3 жыл бұрын
amina mtumishi wa MUNGU..kiukweli mafundisho yako yanibariki sana dhidi ya sana...ubarikiwe na aliye juu ya vyote...
@charityfaustine319
@charityfaustine319 Жыл бұрын
Blessed after 4 years
@robsonsadiki
@robsonsadiki 5 жыл бұрын
Mungu anazidi kuonekanika Kila eneo kwa msaada wa roho mtakatifu, Yupo mungu ambae hajawai kushindwa na neno lo lote, Mungu asante hata sasa unatenda kwetu
@gadimbajo
@gadimbajo 2 жыл бұрын
@@havijawamasanja8451 nguvu za Mungu zinakuwa zinawashukia, kuna vitu anakuwa anafanya ndani yao, uwepo wa Mungu huwa hauji bure tu au bila sababu bali kutusaidia zaidi zaid ni kuimarisha na kuganga mioyo yetu
@gadimbajo
@gadimbajo 2 жыл бұрын
Ukitoka hapo unajikuta umepata nguvu mpya kabisaa, katika kumtumikia Mungu tunahitajika kutiwa nguvu kila mara sababu vita ni kubwa na kukataa tamaa kwa mwanadam inakuwa rahisi sana
@gadimbajo
@gadimbajo 2 жыл бұрын
Ni kama gari ikiishiwa mafuta inataiwa kuongezewa
@kisumbomairi6375
@kisumbomairi6375 3 жыл бұрын
Asante Yesu tunapokea Utukufu wake ulio Mkuu
@themirrow3433
@themirrow3433 5 жыл бұрын
Thank you Holy Spirit for locating me today.
@nginamugwe8093
@nginamugwe8093 5 жыл бұрын
Asante Roho Mtakatifu tenda kazi kwangu
@evainnocent9520
@evainnocent9520 3 жыл бұрын
Hakika Mungu Yupo hapo Mungu Awabariki sana
@MarkMaithya
@MarkMaithya Күн бұрын
Amen god🙏
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 3 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho haya
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 3 жыл бұрын
Yesu Kristo azidikuwarinda
@rahmahamisi7604
@rahmahamisi7604 4 жыл бұрын
Asaante my LORD
@breezy9398
@breezy9398 Жыл бұрын
Wow
@annambeya1317
@annambeya1317 3 жыл бұрын
Upakoo nilio utamani kwa mda mlefuu nimeupataa asant sana
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 3 жыл бұрын
Leo nisiku ya furaha CRDB wataludisha gar langu jumatatu Kwa msada Wa Mtumishi Wa Mungu.baba David W.mwanjoka kanilipia deni kiasi cha milioni 3521000 nawashukulu watumishi Kwa maombi Mzee uyu nilikutana nae kwenye uber siku moja lakini Mungu kamtumia kaokoa maisha yangu
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 3 жыл бұрын
Namshukulu Mungu
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 3 жыл бұрын
Ninamshukulu Sana Mungu nilipata MTU wake kanilipia m3521000 lakini maofisa wa Benk walichukia Sana kulipa walitamani nishindwe
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 3 жыл бұрын
Sijawai ona mwanadam anakua mwekundu kisa mdaiwa kalipa jamani wadada Wa Benk Mungu anawaona Mimi namshitakia yeye
@gooddeeds162
@gooddeeds162 2 жыл бұрын
Umebarikiwa sana 😊
@bandekepaul6955
@bandekepaul6955 5 жыл бұрын
Yes nimeona nimecikia.
@favourndila8474
@favourndila8474 2 жыл бұрын
Ameeen
@paschaldavidrichard2672
@paschaldavidrichard2672 2 жыл бұрын
How can communicate with Pastor Sunbella, kiyando?????
@verdianakagombola2635
@verdianakagombola2635 5 жыл бұрын
Holly spirit I need you.
@kimbiliolawote7547
@kimbiliolawote7547 2 жыл бұрын
YOH;4;-34 ROHO HASIYE NA KIPIMO KILASEHEMU ANATUMIKA ,MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI
@sebastianmukambe1414
@sebastianmukambe1414 2 жыл бұрын
Amen glory to God
@stellahmnema9279
@stellahmnema9279 2 жыл бұрын
Glory to God🙏🙏
@anniemoshi8288
@anniemoshi8288 5 жыл бұрын
Amen thank you Mtumishi Sunbella. Mungu akubariki sana.
@boniventurematta1419
@boniventurematta1419 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@emilykona1436
@emilykona1436 5 жыл бұрын
O yes LORD
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 жыл бұрын
tuned
@clementemmanuelmanu1610
@clementemmanuelmanu1610 5 жыл бұрын
NIJAZE NA NGUVU ZAKO EEE YESU, HOLY SPIRIT I NEED YOU IN DEED.
@paschaldavidrichard2672
@paschaldavidrichard2672 2 жыл бұрын
Where the Church is found????
@jaychagagaltv659
@jaychagagaltv659 11 ай бұрын
Dar es salaam at Sinza Mori near TAMWA offices name of the church Reality of Christ ministry
@eliamanimodesttesha8608
@eliamanimodesttesha8608 5 жыл бұрын
napenda sana mafundisho ya huyu mtumishi was Mungu na nabarikiwa sana ila mavazi ya hawa wadada nimeshindwa kwa kweli kila vazi kina sehem yake
@lucymhina4510
@lucymhina4510 4 жыл бұрын
Hiyo ndio shida! Mungu atusaidie, ubarikiwe
@evainnocent9520
@evainnocent9520 3 жыл бұрын
Mungu atawafinyanga watabadilika tu Kidogo Kidogo hutaona mavaz hayo tena sisali hapo sitetei Ila najua Mungu hutoa watu mbali nakuwatengeneza vizuriii kabisa. Sisi tuendelee kula chakula hiki kizuri kabisa.
@irenefrank2644
@irenefrank2644 3 жыл бұрын
Kweli mavazi shida kwakweli Ila mchungaji yupo vzr kwa mafundisho
@hopeeli9641
@hopeeli9641 3 жыл бұрын
Ni kweli MUNGU Atawafinyanga ila ni vema kuwaambia waumini suala hilo, hata viongozi wanatakiwa wawe mfano, unakuta ushers wengine wamevaa vibaya kuliko hata muumini mgeni. Roho Mtakatifu Atufundishe hata kwenye eneo la mavazi kwenye nyumba za ibada tusimwekee mipaka. All in all, Nabarikiwa na Mafundisho yao naendelea kujifunza na kupokea.
@evansongitau461
@evansongitau461 2 жыл бұрын
Jesus is the same yesterday, today and forever, Amen.
@godlovewarwa
@godlovewarwa 5 жыл бұрын
Amen
@stellawilson7453
@stellawilson7453 4 жыл бұрын
Amen
UAMINIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:29
Reality of Christ Church
Рет қаралды 25 М.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 22 М.
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,6 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 68 МЛН
HII NDIYO SIRI ILIYOPO KATIKA ARDHI AJABU SANA!!!!
1:07:09
NABII JOE (PROPHET DR. L.A JOE)
Рет қаралды 724
KUPAMBANUA ROHO(NDOTO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:37:34
Reality of Christ Church
Рет қаралды 55 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 21 М.
UELEWE ULIMWENGU WA ROHO ILI UFANIKIWE KATIKA ULIMWENGU WA MWILI - IX
28:08
Reality of Christ Church
Рет қаралды 10 М.
HATARI YA MAOMBI YA KUFUNGULIWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:56
Reality of Christ Church
Рет қаралды 22 М.
SHUHUDA: MAMBO YA KUTISHA ALIYO PITIA EMMANUEL KUTOKA MOROGORO
1:54:31
Reality of Christ Church
Рет қаралды 54 М.
SHUHUDA: NI ZAIDI YA MIAKA KUMI TOKA NIMEPOKEA UNABII HUU.
16:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 1,1 М.
UMUHIMU WA KUIFAHAMU VITA UNAYOPIGANA NAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
45:59
Reality of Christ Church
Рет қаралды 46 М.
KUPAMBANUA ROHO (SAUTI ZA GIZA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 15 М.