Uo ni zaudi ya ukweli shekh wetu tumuomb Allah ailinde zanzibar yetu
@suleimanmuhammad-bu7pe5 ай бұрын
Historian safi kabisa
@user-tm3hr5xc5f5 ай бұрын
Mashallah
@hamilsaleh-zo3hp5 ай бұрын
بارك الله فيك
@najashdawood96805 ай бұрын
Vizuri kwa kurudisha record za zamani watu wajue ukweli❤
@hakiyangu4 ай бұрын
Uzuri wa hapo ni nn au hujui kama dini zilitumika kutupora raslimali zetu na waarabu walitumia watumwa wa kiafrika kupampana na maadui zao? Think big beyond your faith to know the truth.
@najashdawood96804 ай бұрын
@@hakiyangu Kasome history vizuri ........ww upo na uafrika na udini hujui kitu kabisaaaaa..pole sana ..Ss tunayoyajua ndio maana hatutaki upuuzi wa kufanywa wajinga ..nyie ndio mnfata tamaduni ..Baada ya ku kaa kwenye Tamabora
@hakiyangu4 ай бұрын
@@najashdawood9680 hauko sahihi labda kama hujui kwamba mipaka iliwekwa na wakoloni pia wakati wa sayd alikua mporaji kama wenzie na alitanua himaya yake kwa kupora ardhi za wanyonge, au unadhani alikuja na ardhi yake toka omani? Fikiri kabla hujaongea
@user-gg1ef9gc3t4 ай бұрын
Mungu akulinde ut
@shakirashakira-gc2yw5 ай бұрын
Upo sahihi shekhe
@issakhamis95815 ай бұрын
Upo sahihi sheh wetu
@phantyrhymes95364 ай бұрын
Intelligent...knows history.
@yassinhamza19693 ай бұрын
History safi sana
@SMG109L5 ай бұрын
Maashallah, Allah akulipè sheikh wangu. Hivi nikweli Nyerere, karume na okello na makafiri walishiriki mauwaji ya waarabu/waislamu kwenye mapinduzi zanzibar? Wallahi inaniuma sana sana nikifikiria ndugu zetu wameuawa dhidi ya makafiri wakishirikiana na baadhi ya waislamu. Naomba kujua hilo!
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Kweli
@user-tb5mc2wm1z5 ай бұрын
Ndio
@Chettymlambalipsi-lb9km4 ай бұрын
Yani nyie mnaumwa kwann mnaita watu makafiri Ili Hali wewe sio mkamilifu?
@geofreyndambo86354 ай бұрын
Ukisikia matahila huyu ni mwehu sana tena kuliko chizi,hawa vibaraka wa waarabu yafaa kuwachinja bila huruma,sisi ni waafrika kabla ya waarabu tupo sisi ngozi nyeusi,hao waarabu,wazungu walikuja kutawala na ndio waliowaua waafrika,sasa hiyo dola ya wauzaji wa mababu zetu ni yupi alikuwa mtawala mkuu wa Zanzibar,kenge mkuu wewe
@vincentcharles43854 ай бұрын
@@geofreyndambo8635Kabla ya kuchinjwa wafirwe kwanza
@user-cy1od5xr8x4 ай бұрын
Waislam wanahadaliwa na makafiri kuwa waarabu waliwatesa wazanzibari wakati waraabu hawakutaka kutawala isipokuwa kwa ridhaa ya Wazanzibari wenyewe
@almaarifonlinetv4 ай бұрын
Anayoyasema ni kweli. Ramani ya Dunia ya mwaka 1600 inaonyesha huku bara kote to near south Africa ilikuwa inaitwa Zanjibar
@user-um8xn4ge4i4 ай бұрын
Acha uongo wewe, serikali ya ki Islam ilitawala east Africa toka karne y 7 chini y Ottoman Empire, makao makuu yake ilikuwa kilwa, na nchi iliitwa kilwa sultan, Zanzibar ilikuwa sehemu y biashara y utumwa, walikwenda bara kuwachukua watumwa adi bagamoyo na tanga kuingia Zanzibar
@alialamoudi97294 ай бұрын
Kusema kweli maneno yake ni sahihi
@user-jx7ot4ru7l5 ай бұрын
Ndio shehe tupe ukweli uwoo wauficha ccm.wanaujua lakini ukweli hua mchungu maisha yote watanganyika wametumeza mzimu wa nyerere umetubana kweli unatula kila cku nyerere ndo injinia za vurugu za zanzibar zote alitumwa na wazungu waengereza Walimtuma nyerere zanzibar aichafuwe tusijitawale
@alialamoudi97294 ай бұрын
Sahihi huo ndiyo ukweli
@reformerthrone9725 ай бұрын
Jee huyu kijana bado yuko Hai??!!! Jamani
@muhammedbakari28675 ай бұрын
Inshallah muda si mrefu heshima,hadhi na haiba ya wazanzibar itarud haki haiwezi kupotea inachelewa tu ila ipo njian inarud makafir hawawez kututawala milele.
@fahadfaraj64745 ай бұрын
Ishu sio ukafiri ishu ni kujikomboa leo tunaweza usingizia ukafiri ila je dini yenyewe ki Lillah ipo leo vijana wangapi au wanzibar wangapi walioko ulaya na marekani je iyo ikoje leo angalia hata hao tunaodhani wanauislam ndugu zao wapalestina wanachinjwa hawafanyi lolote inatokea afrika kusini ambayo sio waislam imaipigania Palestina, lazma tujue shida yetu nini haswa na si kuamini jambo ambalo silo adui wa uislam ni muislam wala si hao japo tumeonywa juu yao
@AllySully5 ай бұрын
Jidanganye
@highbodzaina4 ай бұрын
siasa na din
@goodluckmolleltennis59804 ай бұрын
Swali Haya maeneo yalitawaliwa na nan kabla ya ujuo wa waarabu na wazungu
@cleophaxgeremy21484 ай бұрын
Africans were the responsible of this African Continent...
@user-zj6uz6dt9j5 ай бұрын
❤
@allythabiti81505 ай бұрын
Yani ukiangalia vzr Kuna ukweli kabsa, ukicheki hata mambo yalivo ni sahihi, maeneo yote yaliojengwa makao makuu ya utawala wa zaman ni Raman kabsa za manzar za kiarabu au kizenji, na pia juu ya milango imendikwa "Bismillah rrahmaan rahiim" Hii dunia Kuna ukwel mwingi ulifichwa.
@coolbz1334 ай бұрын
Ok kumbe kuna ma shaikh walio toka mombasa kuja kujenga miskiti Zanzibar afadhali tujue
@Worldunite4 ай бұрын
Wazanzibari mnajiona mmetakasika sana????
@fransiscomlolere96584 ай бұрын
Wote mnayoongea na kusimulia ni Historia nanyi mmesoma kny VITABU,vitabu viliandikwa au vimeandikwa na Watu au Binadamu,Hivyo ni Vyema kila Mtu Aheshimu vile mtu anavyoamini,hamna haja ya Makasiriko.
@saidhamad97235 ай бұрын
ndio mana mumeipatisha laana nchi mpk leo tunatawaliwa na kuonewa ...ety muungano
@user13375Ай бұрын
Akili ndogo haiwezi kufundisha lolote,akili za mtumwa aliyefurahia utumwa😮😮😮😮
@youngchezo27445 ай бұрын
Uyu jamaa kiboko kasoma wapi hii historia
@SelemaniMndai-ox8dy4 ай бұрын
Mimi nauriza sio kwa ubaya nataka kuelewa ZANZIBAR inamakabira mangapi? Maan mtu akisema Mimi mzanzibar ni nchi na makabira
@adnanidarous31175 ай бұрын
😓
@yusoboy_tz5 ай бұрын
Ukitaka kujua kama waislam ndio wamejenga ikulu ya dar pale mlangoni pana bismillah
Kwani Tanganyika inamaslahi makubwa sana kwa muungno huu?
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Tena Sana we soma historian t utajua kwani Aling'atuka a kumpa tunda mwengine ili seif asipate kuekwa wazir kiongozi na hatimae kumfukuza chama
@cadabra74024 ай бұрын
Tena snaaa zaidi ya snaaaaaaa
@deusmtiri63414 ай бұрын
cha kushangaza hakuna hata mwarabu mmoja anayejivunia kuwa mwafrica,lakini hao wafrica sasa wanajiona wao ni waarabu kuliko waarabu
@cleophaxgeremy21484 ай бұрын
😂🤣😄😅😆
@divaimafuru68444 ай бұрын
Uislam 😂😂😂
@andreauisso32255 ай бұрын
Shekhe hivi wafaransa washawahi kufanya biashara ya watumwa Tanganyika
@aziziatumanially4244 ай бұрын
Anawafunga watu kamba utadhani ukweri yani
@user-tl2ks4fl4h5 ай бұрын
Shukra
@gasperjohnson33884 ай бұрын
Mama yangu😂😂😂😂😂 huyu muongo mkubwa
@khalmudodoma62714 ай бұрын
Wewe mkweli twambie mpuuzi wewe
@Jamila-cz5ge5 ай бұрын
wape ukweli sacha wajue hao wanao jidai kujua
@gasperjohnson33884 ай бұрын
Huyu Sheikh ni muongo😂 qmmk Sultan said said ndio alikuwa mtu wa mwisho kukubali kuacha biashara ya utumwa hii historia ni uongo mtupu
@cleophaxgeremy21484 ай бұрын
eeeeh buaanaaaaaeee
@daudminzi-pb3je4 ай бұрын
Mhhhh hata huko kenye dini ya uislamu hakuna amani kila siku vita mtafika mmechoka
@impeccablerito79224 ай бұрын
Ao wanaopiga vita sio waislam ni makafiri wanaotumia kivuli cha uislam ili kuchafua Uislam. Ukweli siku zote unapingwa je ushawahi kusikia wakristo wanapigana vita?? Bila shaka..Vita (Jihad) ilikua zaman kwaajili ya kupigania Uislam. Ila sasa hivi Uislam unatambulika dunia nzima ivyo akuna sababu ya kupigana vita. Na izo vita unazosemea ni njama za wamarekani kuchafua uislam kwenye ukristo wanajua tayar washafanikiwa kupotosha. Ndomana ata Maaskofu wanapitisha Ushoga, Usagaji na mambo mengi ya kukufuru mungu ila wanajua Uislam ni ngumu kuleta Agenda izo
@whatisthetruth.87934 ай бұрын
kipofu anawadanganya vipofu 😂😂😂
@hamadali50624 ай бұрын
Nyamanza ufahamishwe
@bausiwessaomar9834 ай бұрын
Dola ya Zanzibar na Dola ya Kilwa ipi ilianza
@mshua3374 ай бұрын
Kilwa ilikuwa Dola kubwa sana na ndio ilianza.hizi historia nyingine za kubumba achana nazo
@coolbz1334 ай бұрын
kilwa iko kitambo kuliko Zanzibar
@vincentcharles43854 ай бұрын
Kafirwe na babaako masikini wa akili,dini ya mkoloni inakutoa povu,
@davisfidelis41494 ай бұрын
Acha uongo pumbavu! Unadhani sisi historia hatuijui?
@hiarijuma26844 ай бұрын
A mini Qur'an yako, Unaowataja mmm Heee!!!
@user133755 ай бұрын
Útumwa ni kitu kibaya sana,
@alialamoudi97294 ай бұрын
Utumwa gani bwana wewe ah
@mshua3374 ай бұрын
😂😂😂😂
@godfreymwanguku33964 ай бұрын
Nkotakota sio nkotankota
@user-rg5sg1xz8p5 ай бұрын
Mm simuelew uyu
@KhamisMasms4 ай бұрын
SIASA TU HAKUNA JENGINE
@HafidhKhamis-ph8qg4 ай бұрын
Kwani Kuna ubaya kuzungumza siasa au kikuumacho Nini? Au siasa useme wewe tu utakayo, vzr nawe ukasome usiburuzwe kibubusa
Makafiri ndio kawaida Yao kudanganya history ili kuwachafua waislamu na waarabu.
@hakiyangu4 ай бұрын
Acha uongo saydi ndiye alikua kinara wa utumwa na ndio maana hadi leo uarabuni utumwa upo sana, alafu waislamu bhana sometime wanazingua huyo mwarabu alifuata nn africa kama sio unyonyaji, unatoa historia za uongo za kidini hapo huna lolote. Tunaijua pia historia ya uislam na hata tabia za mtume
@user13375Ай бұрын
Hayanaga akili😢😢
@zangzang15744 ай бұрын
Mbona unaongea lugha ya makafiri
@Chettymlambalipsi-lb9km4 ай бұрын
Wewe ndo kafiri Kwa kuwa wewe sio mungu na sio mkamilifu
@TajiriOne4 ай бұрын
Waarabu ndo waliyoleta utumwa , hiyo historia ya wapi ya ufaransa?
@nabbeely52954 ай бұрын
Zanzibar ina history mbili kwa wageni ..inategemea ngemi wa dini gani akiwa kafiri anaambiwa utumwa warabu wameleta akija mgeni muislam ndo anapewa history ya kweli sasa
@TajiriOne4 ай бұрын
@@nabbeely5295 mi Mzanzibari hakuna kitu kama hicho historia ipo wazi na siyo kwa Nzanzibari tu inajulikana cha kushukuru ni dini imeletwa Kwa njia yoyote ile nchi zote hizo za kiarabu zina watu weusi walipelekwa na Ufaransa...
@annassuleiman45084 ай бұрын
Basi ni wanafiki wenye ndimi mbili@@nabbeely5295
@morrisabdon78815 ай бұрын
😂 acha nicheke😂
@peterjoseph47715 ай бұрын
Kumbe Zanzibar haikuwa na wazawa wabantu!walipelekwa na waarabu!Babu wa Babu wa Babu zetu bila wao sisi tusingekuwepo huu umasikini wa akili na kabla ya kuletewa Ukristo na Uislamu tulikuwa tunamuabudu Mungu kwa Mila zetu tumeaoshwa kiakili mpaka tunawakana Babu wa Babu zetu ni aibu!
@ALIKHAMIS-un4fv5 ай бұрын
Sikushangai upagani umekujaa katika akili yako
@peterjoseph47715 ай бұрын
@@ALIKHAMIS-un4fv ahsante
@stevenclaud66484 ай бұрын
Ukiongea hivyo watakuua wanajiita vitukuu wa mtume wakati wakienda huko Uarabuni wanaonwa nyani ila wanavyoungangania uislamu acha kabisa
@abubakarrahim84824 ай бұрын
Wazanzibari si wabantu maana Jina la bantu alikuthibitika katika maeneo ya pwani ya zanzibar hadi mombasa lamu pate na kismayu barawa na mogadishu hawa niwa shungwaya ambao shina lao liko katika maeneo ya Burkavo kusini mwa somalia katika mpaka baina ya Somalia na kenya. Jina la bantu walibandikizwa na wazungu central afrika ikiwemo wakongo na nchi zao katika karne ya 18 na katika kipindi cha utumwa makabila mengi yalishuka kwa mchanganyiko na kuzaa makabila mengine kwenye hilo eneo la tanganyika ambalo leo ni Tanzania hao ndio waliokusudiwa kuitwa bantu na sio wazanzibari maana weusi wa wazanzibari hawakutokea magharibi Bali walitokea kusini mwa somalia huko shungwaya. Maelezo kiufupi
Uko sawasawa wewe, nchi za Rwanda na Burundi zilikuwa mikoa midogo ya zanzibar??????? Hiyo znz ina ukubwa gani hadi ukajiamini kusema hayo???? Nakushauri kamuone mwanasaikolojia na ukasome historia, ETI NCHI ZA RWANDA NA BURUNDI ILIKUWA MIKOA MIDOGO? mnajiona mmetangulia kuelimika ehh???
@gordiansoko91134 ай бұрын
Sasa hiyo stori unayoitolea povu inawasaidia nini wazanzibar.Dunia inasonga mbele hairudi nyuma sasa wewe baada ya kuwahamasisha waachane na mawazo mgando na wapambanie maendeleo wewe unawaongezea njaa.
@Chettymlambalipsi-lb9km4 ай бұрын
Umeongea point kubwa sana hongera
@user13375Ай бұрын
Masikini siku zote hujisifu ,hata kwa akiwamfagia banda languruwe kwa tajili😮😮😮
@reubenalfred97074 ай бұрын
Yaaani kuna watu wanampigia na makofi 😂😂😂😂 hizi dini zinabana akili za watu kufikili
@whatisthetruth.87934 ай бұрын
yaani anadanganya ikulu ya magogoni wamejenga wanzanzibar wakati ile ikulu wamejenga wajerumani 🤣🤣🤣🤣.
@NizoTV4 ай бұрын
Una ukichaa wewe
@cleophaxgeremy21484 ай бұрын
sasa dini na island ya zanzibar ni wapi na wapi,,😂😂😂infact Said Sayid he didn't bring Islamic in Africa,he came to grow crops like cloves....so muache history isiyokuwa na maana,,nyie semeni tu mnataka kueneza Uislamu basi
@vincentcharles43854 ай бұрын
Labda wakaeneze chooni
@cleophaxgeremy21484 ай бұрын
Nashindwa na nyie mnaotoa sapoti kwa kuunga mkono,,yaaani ivi mmesahaau hao hao waarabu Ndio walikuwa wakuja Africa wanaachukua watu Africa wakienda kuuzia hao hao wenye mnawaita kafiri..hebu sometimes tuache Ujinga wa kupandikizwa mitandaoni jamani...Arabs brought slavery in African Countries..then Europeans came to stop slave trade...so Sheikh don't insult people in what they know is right,I wish ungekuwa Kenya iyo KZbin channel Yako ingefungwa kitambo saaaan,coz it's like you want to bring war against religions..
@SylvesterAmbokile-ur2vd5 ай бұрын
Huyu anahubiri dini au historia?Hichi anachokisema hata babu yake hakijui.Kasoma wapi huyu aeneza uongo.Imendikwa wapi?
@chingaboy11495 ай бұрын
Nyinyi upande wapili hapendikuthikia ukweli wallai nimtihani huu emu amkeni
@muhamedkhatib49135 ай бұрын
Umetafuta hicho kitabu ukakosa au ndo kwakuwa hujakiona ww ndo Hakuna yan wabongo wanawivu na wazanzibari hatarii
@muhamedkhatib49135 ай бұрын
Na umejuwaje kama Babu yke haijui kama si uongo unasema acha chuki za kijinga zinazosababisha ushindwe kuelewa ukweli
@sondice33645 ай бұрын
hujielew wew
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Huenda ikawa wewe ni mzandiki baada ya yeye kua muongo maana daima ukweli hautakiwi, nikawaida ukweli hautakiwi, Haki na uadilifu, huenda ikawa wewe hujui hi ilirikodiwa lini
Makafiri kazi yao ni kupinga ndio maana hamjui lolote hata kufanya krismas lkn hata haijaandikwa popote...mbumbumbu nyie, kaa usikilize somo likuingie ili upate mwanga
@talibsaid80965 ай бұрын
@@mbwanarajab7238 hakuna history hio
@ZINDUKAMUISILAMU305 ай бұрын
Tunasubir ukwel
@omarmohammed51575 ай бұрын
Ikiwa watu wameuliwa washindwe kukatwa mikono ?Akili zenu zipo kwenye makalio mukinyanyuka tu na akili zinatoweka
@user-et9vf2ro2k5 ай бұрын
Wazaniba wanafanyiwa mkubwa kuliko kukatwa mkono wewe sio mzanzibari wewe ni muhaini mzandiki tokea 64 mpaka Leo madhila t kila baada ya miaka mitano kupigwa kubakwa kuvunjiwa nyumba kutekwa na mengi mengineyo wewe Nani iv unaweza kusema JUMA WA JUMA yuko wapi