Shekhe shukran Mwalim wangu Allah akulipe inshallah.kunanukta muhim nime kuelewa
@coolvoices66086 ай бұрын
Wallahy sheikh Ahdaly hikma nyingi Allah atulindie
@AminaJuma-wb6cz6 ай бұрын
hikma kubwa San Allah akuhifadhi shekh
@AliHamad-xl2mm6 ай бұрын
Shehe allah akuhifadhi Inshallah
@sadamawaz26136 ай бұрын
Shekh wote wangekua kama huyu tungekua mbali saivi, yan anaongea jambo kubwa ambalo linawagusa wengi wenye nyadhifa mbalimbali lakini hataki kujionesha kua yeye ni mbora kuliko bali anafikisha tu ujumbe, Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kwa jamii yetu
@KulsumWalji6 ай бұрын
Amiiin
@IbrahimuAmiry6 ай бұрын
Hikma kubwa sn
@manricky1006 ай бұрын
sheikh unataka kutuambia hujamskia yule jamaa anajiita Dkt S, mtetezi wa dini ya kiislamu kwny majukwaa???
@HamisAbdallah-cj2sc6 ай бұрын
Sheikh huyu muoga wakati DK Sule anaongea kwakutoa dalili hajateleza anamaanisha sheikh nyoosha maelezo watu watapotea inamana wewe hujamsikia anavyoihalalisha Pete ? Sijamsikia kiski naye kimyaaa kwasababu DK NI swaiba wake
@KalimagiFeruzi6 ай бұрын
Huyu Ndio kaka na mwalimu wa kishk ujumbe umeshafika
@binaamour3186 ай бұрын
Huyu sheikh ndio tunaowataka Hawa hkima nyingi bila kejeli zarau kujiona na kutu kana mashekh na kuwtoa na kuwaingiza kwenye dini huyu hafanyi hivi hichi anachota afanye kumpigia simu ndio sahihi
@user133756 ай бұрын
Shehk inamaana huwafahamu wanaodai pete za bahati zimewasaidia😂😂😂