"Nasikia NISHER ananiambia haya rohoni" maneno ya NABII MKUU kwa mara ya kwanza baada ya kifo cha...

  Рет қаралды 15,059

Habari Digital

Habari Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@mussajeremia9072
@mussajeremia9072 Жыл бұрын
Watu wasikuhukumu kwakuangalia mwili mungu anaangalia roho💯💯 point kubwa sana nabii
@graciatully4937
@graciatully4937 Жыл бұрын
Pole baba yagu mungu akutulize wewe na mama sababu maumivu ya mutoto muzazi njo anajuwa🇨🇩
@TausiMokiwa
@TausiMokiwa Жыл бұрын
Pole sana baba nimejikuta naliatu ila mungu ndie muweza wa yote dunia tunapita tu hatujui siku wala saaa kikubwa tuwaombee tu walio tangulia mbele yake nyuma yetu pumzika kwa amani kaka 🙏🙏🙏
@agnessmalyeek9387
@agnessmalyeek9387 Жыл бұрын
Baba MUNGU akuongezee,mama mungu akuongezee ,awatunze wote familia nzima
@yorandayorandan4018
@yorandayorandan4018 Жыл бұрын
Pole sana baba tumwombee azidi kupumzika kwa amani mbingungu
@sweetluc2660
@sweetluc2660 Жыл бұрын
Pole Sana Baba Mungu akutie Nguvu
@mauleenkiwia6022
@mauleenkiwia6022 Жыл бұрын
Poleni sana familia Mungu awape faraja yake. Sio jambo rahisi kijana alikuwa bado mdogo na alikuwa na ndoto zake za kutimiza bali yote Mungu bado atabaki kuwa Mungu
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Жыл бұрын
Aki mungu akupe nguvu, mtumishi sio rahisi,
@euniceyalledy1745
@euniceyalledy1745 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 miaka 34?💔💔💔💔💔💔💔💔💔💔 Mungu awatie nguvu kazi yake haina makosaaa😭🙏🙏 tulitoka mavumbini 🧎🧎
@ramlamohamed4401
@ramlamohamed4401 Жыл бұрын
Inalilahi ws inailah rajuhun Baba utayavuka usijali tupo na mungu kila wakati kila mara
@LevinaMvungi
@LevinaMvungi Жыл бұрын
Pole sana nabii mkuu Mungu akawe mfariji wenu 😢😢
@rachelmongi4222
@rachelmongi4222 Жыл бұрын
Poleni sana Family ya Nabii mkuu
@janethmlacha6177
@janethmlacha6177 Жыл бұрын
Pole sana baba angu vijana tuombee sana
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج Жыл бұрын
Pole weee baba mtoto anauma,,, ila km kwel hayo n maagono ya kishetan achen. Amungu atusamehe km tunafikiria vby ila mtt anauma na msiba unauma mno.
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 Жыл бұрын
Pole Sana
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 Жыл бұрын
Dah mungu akutie nguvu
@jeffmasapala4194
@jeffmasapala4194 Жыл бұрын
Pole babayetu wa kiroho mh dkt mungu akuongoze😪😪😪
@dicksonjonas1799
@dicksonjonas1799 Жыл бұрын
Polee sana Baba
@judiththobias5132
@judiththobias5132 Жыл бұрын
Poleeeee
@Monica-vq2iy
@Monica-vq2iy Жыл бұрын
Pole sana baba na familia yako sijawai kufika kanisani kwako lakini nimekua nikikufwatilia yutubu poleni sana jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@samirazuberi186
@samirazuberi186 Жыл бұрын
WATU wangu Wana angamia kwa kukosa maarifa
@MaryKaula
@MaryKaula Жыл бұрын
Amin
@Monica-vq2iy
@Monica-vq2iy Жыл бұрын
Naumia jamani
@Happizo
@Happizo Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@sweetluc2660
@sweetluc2660 Жыл бұрын
Dada ya Nick Ana roho ya ujasili Sana
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Жыл бұрын
Mama yangu alikufa siku ya kuaga tulikua wakavuu ila siku mbili nyuma tulikua tunalia hadi hamu imeisha
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Жыл бұрын
We unadhani utalia hadi lini walishalia tangu siku ya kwanza hao
@baoussenesombair8007
@baoussenesombair8007 Жыл бұрын
Cromado linajumalizeni
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
Naumia jaman
@AmadeMbezy
@AmadeMbezy Жыл бұрын
Pore baba usivunjike moyo
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
UJUMBE WA MONICA DAVIE KWA MARA YA KWANZA 2023 - GeorDavie TV
32:44
GeorDavie TV
Рет қаралды 181 М.
CHRISTINA SHUSHO APEWA MILLIONI 10 NA NABII MKUU - GeorDavie TV
5:20
Зачем Путин сменил главу «Роскосмоса»?
25:32
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 20 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН