DJ SAID SHEIKH MUHAMMAD BACHU HUMUWEZI NI BORA USHINDANE NA TENGE HIYO NDIO FANI YAKO

  Рет қаралды 13,384

ANSWAR STUDIO

ANSWAR STUDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 172
@yassirswaleh7127
@yassirswaleh7127 Жыл бұрын
Mashallah ustadh said unatisha🙌, nasubiri siku ya ziara In Shaa Allah mambrui angalau ututumbuize pamoja na qaswida
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Innaalillaahi wainnaailaihi raajiun😢 Yan awatumbuize😮 huko ndiko dini ya Allah mlikoipeleka? Hivi km Maswahaba wangepiga ngoma, vinanda na piano 🎹 wakacheza leo sie tungejua na dini kwl? Allah atuongoe sote🤲
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Ndugu yangu haya mmb ya miziki na nyimbo yamekatazwa ktk qur ani kwa wazi kabisa
@hashimshariff2743
@hashimshariff2743 11 ай бұрын
Shida sio kupiga piano si kila kitu mwataka dalili haya tupeni hiyo dalili inayo kataza. Hatujakatazwa hufurahika kama kweli mwafuata sana mambo ya dini wakatazeni watu marungi na mugokaa
@shazyahya4121
@shazyahya4121 10 ай бұрын
😁😃🤣
@Mohammad_shidogo
@Mohammad_shidogo 9 ай бұрын
Toa dalili yako aya gani ime taja ama hadithi gani​@@abdulmohd6880
@khalifa_kuchi
@khalifa_kuchi Жыл бұрын
SubhanaAllah kumbe ni mtihan mtu wenyew anapiga gitaa ni sw na mzee yussuf yahitajika kwnz aje ktk hakki ya kujua dini yk hlf ndio aje ktk mijadala ya kielimu bx nilijua ni sheikh kumbe ni mpiga gitaa SubhanaAllah kwnz allah amsamehe na atubie kw kuwa mpiga gitaa hlf ndio aanze kuleta hoja, hawa watoto wadogo asiovunzw na wazee namna ya dini ilivyo ndio wanavyokua wanajifany na maneno kumbe puvu la soda huyu hafai hata kupewa uongoz wwte ktk dini...
@HemedSerious
@HemedSerious 2 ай бұрын
Ilo suala ni jengine na elimu ni kitu chengine, inaonesha mlishindwa kielimu sasa mnatafuta madhaifu yke, ni na kusema ni kweli tulishindwa lkn mtu mwenyewe alonishinda ni mwizi, lkn si kakushinda? Tukiamua kutafuta madhaifu nani atakua salama, Kwa vyvyote bachu aliangushwa, ata mkisema hafai , tuwe wakweli ifike wakati mtu akishindwa na mlevi akiri kweli nimeshindwa na sio kusaka madhaifu yke, huo ni umwehu
@alwymohammed2460
@alwymohammed2460 Жыл бұрын
Huyo dj ndio kamkojoza bachu😂😂😂
@khalidabas252
@khalidabas252 Жыл бұрын
Subhana Allah. Jaman waislamu tuwache kutoleana aibu zetu. Hwenda ikawa amekwisha tubia zambi zake. Mambo mengine tuache ushabiki. Heshima ya muislamu ni muhimu. Ifute hii video
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Mawahabi hawana ilimu wala adabu ila Allah yuwawasubiri kwa kupotosha watu to tenge pia muisilamu sasa mtu kama huimba hajui dini aletwe bachu watu wapambane kielimu
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
yeye mwenyewe amesema atatutolea video nyengine, aibu unaona ww c o yeye
@mbchitaofficial6487
@mbchitaofficial6487 Жыл бұрын
Yani ck zote napenda sana misimamo yake ila kujadilian na jitu km hili kiukweli bachu bn kafeli saa mtu gn wakutueka masaa mawili mtu apiga kinanda wallah matwarika mwapotosha umma na hay mnayoendelea nayo mtakuj kujuta siku ya kiama wacheni hy mamb ni kikafir ktk uislam hakun piano hakun ngoma mbn dini yet ina vitu vzr tu kwan lazm tujifananiz n makuffar kweli sheikh said simba mche Allah fuat njia y saw saw ht ss tulikuw uko ila Allah katuongoz nanyi wengin Allah atawaongoz in shaa Allah
@HemedSerious
@HemedSerious 2 ай бұрын
Hakuna uhusiano mwehu weye apa kati ya elimu na dhambi alonayo mtu elimu ya Haki hata ikitoka Kwa kafiri sisi waislam tunachukua, sheikh said bado ni muislam so kama bachu alishindwa itabaki hivyo kwenye historia Wala kupiga kwake Gita hakumsaidii chochote bachu kwenye kushindwa kwke hoja huo ni umwehu wenu tu😂😂😂😂😂
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
والدف والطبل من هذه المعازف قطعاً، قال ابن الأثير في النهاية في غريب الحديث والأثر: (العزف: اللعب بالمعازف وهي الدفوف وغيرها مما يضرب به) وقال ابن القيم في مدارج السالكين (١/ ٤٨٤): (وآلات المعازف: من اليراع والدف والأوتار والعيدان). وقال ابن حجر في الفتح (١٠/ ٤٦): (وفي حواشي الدمياطي، المعازف: الدفوف وغيرها مما يضرب به). فالدف والطبل لغة وشرعاً من المعازف التي ورد النص بتحريمها. والفرق بينهما على الراجح أن الدف مفتوح من أحد طرفيه وليس له جلاجل أما الطبل فمغلق من الجهتين، قال الحافظ ابن حجر: (الدف الذي لا جلاجل فيه فإن كانت فيه جلاجل فهو المزهر) (الفتح ٢/ ٤٤٠) إذا علمت هذا الأصل فاعلم أنه قد جاءت أحاديث مستثنيةً استخدامَ الدُّفِّ للنساء والصغار فقط وبقي الرجال على الأصل، وليس هناك حديث عن رسول الله صلى الله عليه وسلم أو أثر عن صحابي أو تابعي أن رجلاً ضرب بالدف أو ضرب أمامه رجل. ومما يدل أيضاً على أن الأصل في الضرب بالدف التحريم إقرار النبي صلى الله عليه وسلم لأبي بكر رضي الله عنه في نعته للدف بمزمور الشيطان عندما سمعه من الجويريات، وهذا النعت لم يأت إلا نتيجة لما استقر في ذهن أبي بكر رضي الله عنه من التحريم العام للمعازف، ومنها الدف، إلا أن النبي صلى الله عليه وسلم بين له أن الدف أبيح استثناءً للجويريات في يوم العيد، بل إن رسول الله صلى الله عليه وسلم نفسه نسبه إلى الشيطان بقوله: (إن الشيطان ليخاف منك يا عمر) لما ألقت الجارية الدف عند مقدم عمر بن الخطاب رضي الله عنه فلو كان في أصله مباحاً ما نسبه للشيطان
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
أحسنت يا شيخ وبارك الله فيك
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 Жыл бұрын
Mutajua uzur kma ni sheikh piano ao laa kwanza bachu atarekebisha lafdhi yake ya lugha anakosa mbaya sana ajikaze hhhh
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 Жыл бұрын
😂bora asingemkubalia mjadala tu huyu mtu angevumilia matusi yao mwisho wangetulia kuliko mtu km huyu kujadiliana nae mambo ya kidini hamna kitu hapa
@ameirameir4349
@ameirameir4349 Жыл бұрын
Kweli kabisa kumbe MTU mwenyewe muimbaji
@Yussuphmm
@Yussuphmm 11 ай бұрын
Sasa hizi biti ukimuekea diamond c ana flow nazo fresh
@MordiySB
@MordiySB Жыл бұрын
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا يَسْخَرْ قَوْمٌ مِنْ قَوْمٍ عَسَىٰ أَنْ يَكُونُوا خَيْرًا مِنْهُمْ وَلَا نِسَاءٌ مِنْ نِسَاءٍ عَسَىٰ أَنْ يَكُنَّ خَيْرًا مِنْهُنَّ ۖ وَلَا تَلْمِزُوا أَنْفُسَكُمْ وَلَا تَنَابَزُوا بِالْأَلْقَابِ ۖ بِئْسَ الِاسْمُ الْفُسُوقُ بَعْدَ الْإِيمَانِ ۚ وَمَنْ لَمْ يَتُبْ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الظَّالِمُونَ- سورة الحجرات
@HusseynSingano
@HusseynSingano 7 күн бұрын
Mashallh shekh said
@HakizimanaMoustaphat
@HakizimanaMoustaphat 9 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh saidi mpuuzi kweli kweli lakini nyie haifai ku post upuuzi wake anaofanya mnakuwa kma mna mpromote
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 Жыл бұрын
Rejeeni kwa Allaah acheni ala za musiki ni uchafu wa shetwani.
@yassirswaleh7127
@yassirswaleh7127 Жыл бұрын
Ata mtume Mohammad alipijiwa matwari. Kwahiyo nashangaa ukisema ala za muziki ni uchafu wa mashetani😂
@FathiSaid-j6v
@FathiSaid-j6v Жыл бұрын
Kuna hatari kubwa sana kuja kuimbiwa nyimbo za mzee Yussufu na kibukii kweli jamanii huyu naona sio mzima
@sheeqassim6274
@sheeqassim6274 Жыл бұрын
Mwamuita wa piano na sheikh wenu kajikojolea haaahaa mpaka kukimbia😂😂
@شيخنيف
@شيخنيف Жыл бұрын
Dah jamaa anapiga mpaka mnanda! Innalillahi Wainna ilayhi Raajiun
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын
Muhammad huyu inatakiwa umradi kwanza aache hizi ngoma afu ndo aingie kwenye mnakasha wa barzanjii
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Ngoma gani hio ni kaswida ya kumsifu mtume s a w hata maswahaba walimsifu mtume sasa ww wasema ngoma muogopeni Allah
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
​@@fikafikan8484 hio qaswida 😮 hii muogope Allaah we mja . au kwako wewe mziki ni nini?
@شيخنيف
@شيخنيف Жыл бұрын
@@fikafikan8484 Qaswida Gani taarabu hizo
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
@@شيخنيف sawa kama kaswida ni tarabu na tarabu utazitaje unapo ongea fikiria mwanzo kabla hujaongea sawa sikiza kaswida hayani jamaa tumswalieni tumwaa kila saa tumtukuzeni tumwa kila saa tumtukuseni na mola bala tatuepushia swala ya mtume s a w tukimswalia ni moja kwa kumi na kumi kwa Mia hio ni tarabu chunga mdomo wako mchafu huo
@ebraheeemkibua6273
@ebraheeemkibua6273 Жыл бұрын
Mahanisi hao wapiga minanda
@ramadhanimwinyi-7445
@ramadhanimwinyi-7445 Жыл бұрын
wasenge wale dini gani hao wapotoshaji kumamae zao
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
DJ utapigwa knock out, 1st round. Allah atuweke mpaka j2 tushuhudie ushindi wa kishindo wa ansaaruddiin.
@ABDULFATTAAHNASSIR
@ABDULFATTAAHNASSIR Жыл бұрын
kumbe m2 wenyewe ni mpiga tarabu duuh halafu wataka kushindana na bachu kasome kwanza
@omarmuhamud3302
@omarmuhamud3302 Жыл бұрын
Allah Amhifadhi sheikh mohamed Bachu kwani hawa watu wa mawlid hawana kheyr mungu awaongoze. Aaameeen
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Awahifadhi nyinyi wapotofu na awaongoze na bachu wenu mana mumepotea
@rajabathman97
@rajabathman97 Жыл бұрын
Mungu akuongoze ww kwanza wahabi hujaijua haki ndo maana kila kitu mwapinga
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
​@@rajabathman97 Dini imekuja kukata matamanio ya watu hvy ukiambiwa hili ni katika matamanio ya nafsi hua huelewi.
@Nusrat_Khalifa
@Nusrat_Khalifa Жыл бұрын
Allah Atuongoze sote🤲🏻
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Ww ndio huna kheri watu wa maulid wanao tena kheri mzuri adhkar kumswalia mtume s a w ila ww na bachu wako muko kwenye upotofu na huyo sio ustadh huyo muhuni tu bachu hana ilimu
@abuutwalha8796
@abuutwalha8796 6 ай бұрын
Musiwekee hizi lakin weken picha tu msiweke saut
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
😂😂😂sasa mkiweka hizo Piano ndo kuwa hakusoma au?? Na sie mitusi ya bachu
@rajabmembe6695
@rajabmembe6695 Жыл бұрын
DJ Said, SubhanAllah
@omarmuhamud3302
@omarmuhamud3302 Жыл бұрын
Chakushangaza zaidi ni kwani hawa waatu wa mawlid hawana wasomi wakutegemewa mpaka wawa aminie mafanani tu, chengine ningesema Al sheikh mohamed Bachu asijaribu kufanya mijadala na hizi zitoto waaje wale wanajidai kuwa wao hawashindwi 😀😀😀 haasa mohamed hatimy
@MohdKhamisSoud
@MohdKhamisSoud Жыл бұрын
Hafai hata kusafisha vyoo seiuze kufanya minakasha ya kielimu .KUMBE MPIGA GITA SALAA LA
@bintsilim762
@bintsilim762 Жыл бұрын
Hamuwezi munakasha wa ilimu Mutaweza tarabu ya zanziba(mzee bazaar
@Muslimashukri
@Muslimashukri 11 ай бұрын
mawahabi kasomeniiiii eeeeh
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
Ustadh said anataka awaongeze hizo video kupiga hizo nai na mapiano muwe mnazipost kwenye hii akaunt yenu ya answer studio ila kwa shart Muhammad bachu afanye munaqasha na yeye😂
@aswilaahmed5027
@aswilaahmed5027 Жыл бұрын
Salalaaaaa huyo ndio wakusikizwa jameni ujahl huu au ni elimu
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 Жыл бұрын
Watu wa bidaa ni vituko tu hamna kitu
@Stanbul.Y
@Stanbul.Y Жыл бұрын
Hata tenge hamwedhi
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 Жыл бұрын
Hamuwedhi kabisaaa mwenechu Sheikh said ni mkali wao kwa piano
@arafatabubakar001
@arafatabubakar001 Жыл бұрын
Saidi malizana na yussuf ndio uje kwa bhachu tafadhali
@selasboy3966
@selasboy3966 Жыл бұрын
😂😂😂😂hahaha kumbe maalim wa twaarab ...shekh mohammad bachu usikubali kushindana na wanamuziki hawa😅😅😅
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Ajee afundishwe usishangae bachu akifundishwa ilimu na dj bachu hakuna kitu
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
​@@fikafikan8484 ajifundishe yeye kwanza kuacha maasi
@yusufhamisi8191
@yusufhamisi8191 Жыл бұрын
aibu mtupu hii baatwir ya waz
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 16 күн бұрын
DJ SAID KWA HAPO TUNAKUSHAURI UFUNGUE BENDI YAKO YA MUSIC KABISAA MAANA HAPO HAMNA DINI NI UHUNI.
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Жыл бұрын
Shekh Muhammad eeeeeeeeee
@kugotwa004
@kugotwa004 Жыл бұрын
Mnanda aujua na elimu kaitoa
@abubakarbakari9372
@abubakarbakari9372 Жыл бұрын
Ustadh fadhil alimtaka sana bahero lkn bahero alikua akimkimbia naomba hiyo niqash Ustadh fadhil amualike nae bahero apate kichapo 😂😂😂😂😂
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Lbda ustadh fadhil ashindane kuhusu falak ndio mambo yake amuwezapi shekh bahero
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Tushawawazoea mawahabi elimu kwao ni zero wameshindwa mpk na mshia hawezi mijadala ya kielimu hawana mtu mwenye elimu shekh wao mkubwa ni google 😂😅😂
@jumu1964
@jumu1964 Жыл бұрын
Bachu unataka kushindana na mtu wa taarabu wambie wakutafutie mtu mwingine
@jumu1964
@jumu1964 Жыл бұрын
Kweli we ni sifuri bachu mmoja hamlali bado unasema wahabi hawana elimu labda elimu ya mavinanda
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Asa mtu wa taarabu abishane na sheikh bachu kweli kituko😆
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Tarabu wapi weka mpaka mwisho usikie kama yuwaimba tarabu dunia inawadanganya na bachu azidi kuwapotosha ila siku ya qiyama mutamjibu nn Allah kuzushia muisilamu mwenzako urongo
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
@@fikafikan8484 uisilamu sio dini ya mavinanda na mziki icho kinanda anachopiga apo kinatofauti gani na taarabu mze
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
@@fikafikan8484 uisilamu sio dini ya mavinanda na mziki icho kinanda anachopiga apo kinatofauti gani na taarabu mze
@jumu1964
@jumu1964 Жыл бұрын
Acha ujinga dini ya kiisilamu hajaruhusu vinanda hizo ni taarabu
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
@@jumu1964 kwa ushahidi gani ni tarabu kwani hakuna maswahaba waliomsifu mtume kimashairi wacheni upotofu wenu mawahabi
@FarajMbarak-ml7yp
@FarajMbarak-ml7yp Жыл бұрын
Hahaha c ngoma tena jamani hizii duuh naona
@abuahmad1206
@abuahmad1206 Жыл бұрын
Waende Zanzibar kushindana kuimba
@hajiabdullakoba-jz5vj
@hajiabdullakoba-jz5vj Жыл бұрын
Zanzibar hakuna atakae waendekeza nyie wanajitambua labda wanaotaka dunia kimaclahi
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 Жыл бұрын
Bachu amebachuliwa tayari na huyo ambae munamwita Dj
@makambomakambomtumweni9095
@makambomakambomtumweni9095 Жыл бұрын
Sasa wewe mpiga kinanda unatofauti gani na muimba taarabu
@amaniamokachielmorisho1007
@amaniamokachielmorisho1007 23 күн бұрын
Huyu saidi ni cheikh ao ni mwanamziki Kama diomond naona hakuna tofauti yahuyu na diomond
@muhammedbadi4782
@muhammedbadi4782 Жыл бұрын
Dalili ya kuogopa ndio hiyo sasa nyinyi mumeitwa kimjadala sasa musha anza vitimbi venu kama wale wenzenu walio mfanyia mtume vitimbi
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Hapo wamekosea sana hata mimi nimewashangaa
@ammoahmed2561
@ammoahmed2561 Жыл бұрын
Mcheni Allah
@tumainizaidu7095
@tumainizaidu7095 Жыл бұрын
kwa hiyo . kupiga piano ni haramu ?
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Жыл бұрын
SIO KIANDA TU ATA HUYO BACHU WENU ATAMPIGA KAMA MNABISHA MPELEKENI MAMBRUI
@nyipindamlimited1629
@nyipindamlimited1629 Жыл бұрын
Mbona sasa kawashida mmeshindwa bachu kimyaaaa kafunga mdomo toka atoke mamrui
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf Жыл бұрын
MATOKEO YAKE MPIGA KINANDA KAMGARAGAZA AIBU KWEL KWEL
@MordiySB
@MordiySB Жыл бұрын
Kwa mawahabi nyimbo za nasheed zenye muziki ni haram , kwa watu wa twarika si haramu , n akuna ikhtilafu katika hili swala , sasa kutengeza video ya upuzi kama hii haipunguzi wala kuongeza chochote . Na kama bachu ataka kuongeza swala kama hili la nasheed za muziki katika munqasha pia alete , lakini kufanya 'sughriya' mtandaoni ni haramu.
@almagram5838
@almagram5838 10 ай бұрын
Ungesema ashindane na babako ndio vyema kama ni ustadh said alimfanya bachu ajikojolee kwa kiti
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Жыл бұрын
Lkn sasa mbona mnaanza kuzungumzia tabia za mtu binafsi nyie mlichotakiwa mkutane naye mfanye mjadala sio kuanza kuangalia makosa yake ya kibin adam hiii sijaipenda kwa ajili ya Allah mAna kila bin Adam anakosea
@IptiswarMustwafa
@IptiswarMustwafa Жыл бұрын
Hilo nikosa kwa itikadi ya kiwahabi lkni ki twariqa wamekubali kwa ijtihadi zao kwahiyo hilo kwake sikosa kisa ni kwako kueleza yambo la makosa
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 Жыл бұрын
DJ amemfanya bachu akatoroka
@IbrahimOrma
@IbrahimOrma Жыл бұрын
MWAMBIE BACHU AJE AFUNDISHWE😂 HATIMAE KELELE NYINGI ZA MUHAMMAD IMEFIKIA KIKOMO
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
Ama kwa kupiga ngoma muhammad hamuwezi na ndio maana muhammad akamtaka huyo baba enu nyny bado hamjamaliza kucheza, bado kabbisa
@muhamadyabubakary6750
@muhamadyabubakary6750 Жыл бұрын
Kumbe huyu ni mtu wa tarabu
@omarlee3297
@omarlee3297 Жыл бұрын
muhamad bachu ukienda mabrui kilakitu tutakulipia sawa wee njoo
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
kuchaza ngoma
@salimabdalla6290
@salimabdalla6290 Жыл бұрын
Sasa mwaogopa kuja kwa niqash ama tusemeje c mshaambiwa atawakilisha twariqa tena wa kutoka mabrui
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Sawa awe d j hakuna shida bachu jitokeze dj akufundishe ilimu
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
ilimu usiyoifanyia kazi ni sawa na punda aliebeba vitabu na afadhali huyo punda huenda akajua thamani ya alichokibeba
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
@@AliDaud-si3fg unayo yasema ni yakweli ama umejitungia kichwani mwako huyo ni ustadh na anafundisha ilimu iweje mumuite dj kwa sababu ya kaswida ama nashid
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
@@fikafikan8484 Qaswida gani wakati mtu anapiga ngoma za kihindi huyo. hebu muogopeni Allaah. Allaah amekataza mziki wazi wazi yeye anasema tukitaka video ngoma zake nyingine tumuambie. Ss ww unataka zaidi ya vipi wakati kila kitu kipo wazi. Hyo ni PUNDA ALIEBEBA VITABU atamfundisha nini bwana wake?
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Жыл бұрын
@@AliDaud-si3fg ww ndio umuogope Allah yy amepija rimoni sijui mwaitaje nyinyi ila hajaimba yy kihindi wala madrasa hafundishi nyimbo ama ushamuona akifundisha nyimbo
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
@@fikafikan8484 Kwa hio RIMONI sio dhambi?
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
@USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY Жыл бұрын
TWASUBIRI VITENDO MIPASHO KWENYE DINI IMEPITWA NI WAKATI, HIZO NI SERA ZA WATU WA SIASA
@hutiswalehe2444
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mwenye Chanel anatafuta ugali
@bilalikaoneka5080
@bilalikaoneka5080 Жыл бұрын
Miziki sio haramu tena???. Mbona umepost miziki??
@IptiswarMustwafa
@IptiswarMustwafa Жыл бұрын
Hawa watu hawajielewi kitu kikiwa haramu kufanywa hata kueneza piya niharamu lkni hawlijui hilo
@AsiaAa-s1d
@AsiaAa-s1d Жыл бұрын
Kwa msioijua mambrui katka elimu basi ni hivi teja wa mambrui elimu yake ni sawa na ulamaa wa kiwahabi popote alipo duniani sikuambii kuhusu madj na wala miraaa.
@kavumohemedi871
@kavumohemedi871 Жыл бұрын
Acheni bidaa 😀
@aswilaahmed5027
@aswilaahmed5027 Жыл бұрын
Mpeleke Kwa Maher Zain Maher ni Bora kuliko huyo bachu sio sawa kusimama nae ashaanguka pre trial kabla trial yenyewe
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
وأما الأحاديث الوارد فيها الأمر بصيغة الجمع كحديث عائشة رضي الله عنها وفيه (واضربوا عليه بالدف)، وحديث معاذ رضي الله عنه وفيه (دففوا على رأس صاحبكم)، وحديث أنس رضي الله عنه وفيه (اضربوا على رأس صاحبكم). فكلها ضعيفة لا تقوم بها حجة. إذاً فالدف أبيح استثناءً من الأصل وللنساء والصغار فقط كما تقدم. وقد تتبعت جميع الأحاديث التي أباحت استخدام الدف فكانت كلها للنساء والصغار ولا تخلو من حالتين: العرس والعيد وهناك حالة ثالثة فيها خلاف بين أهل العلم سيأتي الكلام عنها مفصلاً وهي عند قدوم غائب. فمن الأحاديث التي أباحته في العرس حديث الربيع بنت معوذ رضي الله عنها قالت دخل علي النبي صلى الله عليه وسلم غداة بُنِيَ عَلَيَّ فجلس على فراشي كمجلسك مني وجويريات يضربن بالدف .. ) رواه البخاري ومن الأحاديث التي أباحته في العيد: (حديث عائشة أن أبا بكر رضي الله عنهما دخل عليها وعندها جاريتان في أيام منى تدففان وتضربان والنبي صلى الله عليه وسلم متغش بثوبه فانتهرهما أبو بكر فكشف النبي صلى الله عليه وسلم عن وجهه فقال دعهما يا أبا بكر فإنها أيام عيد وتلك الأيام أيام منى) رواه البخاري
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Hahaha dj saidi
@AljamaldinAljamir
@AljamaldinAljamir Жыл бұрын
Njooni msiogope tuna subiri
@mashaaallah.8016
@mashaaallah.8016 Жыл бұрын
subhanAllah
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Жыл бұрын
Subhaanallah
@hajiabdullakoba-jz5vj
@hajiabdullakoba-jz5vj Жыл бұрын
kwanza nifurahi uyondio wakumfundisha elem bachu aendelee kupiga mziki
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Жыл бұрын
Mtaedit sana mwisho wenu ni trhe 24 hatutaki tena midomo midomo na huyu bacho aturudi znz akiwa pua yake imegusa mchanga
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
Acheni kumuaibisha sheikh bachu aonekane muoga kwahuyo dj musemae
@abuidifundi2016
@abuidifundi2016 Жыл бұрын
Huyo Ni mwanaume wetu mawahabi mwamuogopa hatari
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Жыл бұрын
Kwa kweli kwa taarabu hizo hata mimi namwogopa😂😂😂. Atatetea dini gani mwanamuziki
@mohammadkassim9937
@mohammadkassim9937 Жыл бұрын
Kiboko yenu amevathirisha namakaratasi. Yenu. Yakiswahili kasomini
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Жыл бұрын
Kwa mziki ni haramu?
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 Жыл бұрын
Wallaahi wahabia mwajichekeshesha mnooo, mbona mnaaza kuunya unya
@muadhammwenyeamin5028
@muadhammwenyeamin5028 Жыл бұрын
Nyinyi hamuna la Kusema..Challenge mumepewa..Nendeni Kijana mdogo Ustadh Said Awanyoroshe..Wacheni propaganda..
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
kwa huo udogo wke ndio tukamtaka babake. so, aongee na babake waje wote ndio nac tutakuja
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Жыл бұрын
kama sheikh mwenyewe ndio huyo basi challenge tumeshindwa sisi😄😄😄, acheni msihara na dini😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@muadhammwenyeamin5028
@muadhammwenyeamin5028 Жыл бұрын
@@mobilespecialschool4216 sheikhe Wenu kimyaaa ankimbia..Malizana na vijana mwanzo ndio muende kwa wazee..Twasubiri challenge..mwambie ajitokeze akubali tu tarehe..😅😅😅
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 Жыл бұрын
@@muadhammwenyeamin5028 akijitokeza kujibizana na mwimba taarabu basi atakua anaanza na yeye kupotea
@IslamSufism385
@IslamSufism385 Жыл бұрын
Hamuwezi mjadala sasa mwatukana watu !!! Kitawaramba
@Mohamedharith-wb4op
@Mohamedharith-wb4op Жыл бұрын
Hao wapenda kujitukuza sanaa hawana ilmu wako na maslah ndio wanaitumia dini kwa mambo yao...na watu wa sunnah allah awape umri mrefu muwafundishe watu haki na kukataza maovu
@abuuaminah
@abuuaminah Жыл бұрын
Sasa Tenge aingilia wapi jwa mambo ya munaqash. Mwaweza mdharau mtu kesho mbele ya Allah mkashangaa. Tungali hai tuwache dharau.
@al-akhsalimoo6394
@al-akhsalimoo6394 Жыл бұрын
اتقوا الله أحباب، هذا الأسوب ليس من الدعوة بشيء، أهدفكم إعلاء الحق او توسيخ أعراض الناس؟! أقيموا الحجج والبراهين ولا تنشروا مثل هذه المقاطيع الفِدْيُوْوَات، فالأمة الإسلامية لا تستفيد منها بشيء. >اللهم اشهد أني قد بلّغتُ #Akili huru😎
@MuhammedBalkiss
@MuhammedBalkiss Жыл бұрын
Subhanallah astghafirullah ladhim
@ngarejumaa1730
@ngarejumaa1730 Жыл бұрын
ata mtoe taarabu sisi watu wamaulidi hata hatujali njoo ktk mjadala mambrui tujekuunyoosha khabiith ww
@ABUUALLY-b3t
@ABUUALLY-b3t Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 subhanallah
@mwinyijumamwinyi4656
@mwinyijumamwinyi4656 Жыл бұрын
Na hawa ndio answari sugu ninaowajua mimi,lazima wawe na vita na wanaelimu wa dini woooote duniani ISIPOKUA AWE ANSWARI SUGU MWENZAO
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
Dj 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Жыл бұрын
Hahahahhahahahahaahah watu wa twarika bana
@abiabi9353
@abiabi9353 9 ай бұрын
Clip hii na nyengine kama hizi wanazorusha mawahabi zinadhirisha wazu akili ndogo na uelewa finyu walionao mawahabi. Sasa hapo ukiwauliza hoja yao kubwa nini kwenye clip hii hawawezi kukwambia. Nahii nidalili yakuonyesha mawahabi wameshindwa kwenye midahalo yakielimu sasa wameishia kutengeneza clip za propaganda. Hii yote inaonyesha mawahabi walivyo filisika kimawazo
@ahmadal_muhaajir8091
@ahmadal_muhaajir8091 Жыл бұрын
Isiwe sababu ya kuhepa niqaaash jitokezeni hebu jamani
@ramadhanimwinyi-7445
@ramadhanimwinyi-7445 Жыл бұрын
washenzi wakubwa nyie kumamae zenu hii dini sio ya baba yenu we unapiga mziki kweli machoziyamenitoka asa huo mjadala unamaana gani wasengerema nyinyi msitualibie dini mbona zamani hakukua namaikhtilaf nawatu walikua wachamungu mno kuliko sasa
@AljamaldinAljamir
@AljamaldinAljamir Жыл бұрын
Nyinyi ma wahabis mume shindwa
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Bachu kojo 😂😂😂
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 6 ай бұрын
😂😂😂 mawalah hili jisufi jahil kweli upiga vinanda na kujiita dj arafu ajifanya kulingania dini subuhana llah kweli masufi mmefilisika kihilmu, sasa siakakate mauno kama mzee yusuphu kuliko kugonga vinanda miningekuwa bachu nsingekubali kuja kujadiliana na jahili kama hili.
@Captainome
@Captainome Жыл бұрын
Huyuu dawa yake tunaipika mwacheni alete mbwembwe tu kama almajazz twawapenda watu kama hawa.
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Жыл бұрын
wewe na shekhe wako bachu muna kheri ipi?
@omarlee3297
@omarlee3297 Жыл бұрын
acheni maneno nyinyi tengezeni video zenu mukamuona uyokijana anapiga mnanda acheni maneno nyinyi nyi mulikua munahamu ya njadala kidume iko apo sisi hatupndi maneno njooni uwajani.tunajua vidio za kutngeneza izo na hata kama kweli.kama mfano alikua akifanya kwani anaendelia hatuangalii mmnanda hoja ndo tunahitaji .na muhammadi bachu nakukumbusha kitu uyo kijana na elimu yke tufauti simama nae uyo uone atakavo kufanya utakuja kusema anatokea ukoo ea hizri
@eastzooadmin6416
@eastzooadmin6416 Жыл бұрын
Pwahahah kama kweli video ya kutengeza na aje aikane, watu wa bid'aa mna tabu 😂
@maulanaomar
@maulanaomar Жыл бұрын
Hahaha..... porojo zote izo mbona bachu kanyweya. Katoka matandaoni. Aingie. Asiogape. Naona kimya. Kirefu bacho. Ametoa masharti. Yame jibiwa. Lakini. Mbona hasemi kama kasha kuatayari kwa mnaqasha maana ilikua sabasi al kubra hampi punzi au ali mjua kama nikilaza. Hahaha du naivisasa ameshawasili hapa zenji. Sufi mwengin anaitwa. Khalifa musa .yup ngamia andi bachu
@SuleimanHassan-o6f
@SuleimanHassan-o6f Жыл бұрын
Bacho alimuomba Abdul Qadir Katika muhakaqasha Mwanzo ataka jibu Kwa Abdul Qadir Kisha baadae ndio awashulikie kina dj
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
​@@maulanaomar bachu ataka baba co huyo kinda
@abubakarbakari9372
@abubakarbakari9372 Жыл бұрын
Said ako na vipaji vyote kwahivo mutachoka nyinyi kumuharibia twende nalo Said Omar Abdullah lengo letu Bachu mwendo kasi afike mambrui tumfundishe barzanji na tumfunze adabu
BACHU AADHIRIWA NA MWANAMKE NO: 01  FEDHEHA ZA WAZI
17:57
SAUTI YA HAKKI
Рет қаралды 10 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
MUSIDANGANYE WATU NYINYI NDIO MNACHELEWESHA MJADALA.
8:31
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 15 М.
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
MUFTI SHABAN. A. MUSA Mombasa Kenya
Рет қаралды 25 М.