Mutumishi fundisho linaumiza sana moyo wangu ninauchungu mwingi sana moyoni.mimi niko kazi ugaibuni na mume wangu yuko kenya na watoto so nikaambiwa na watoto baba ana lala na mfanyikazi mama.mtumishi hapa nilipo nahisi uchungu nipe muelekeo nifanye nini mtumishi wa mungu
@pambana2594 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wake 1.Unatakiwa kumsamehe mumeo Mathayo 6:14-15 2.Unatakiwa kuishi kiroho ,usiishi kimwili ,wewe ishi kiroho na Mungu atakubariki Warumi 8:13 Mungu akubariki sana ombea familia yako kila siku na usisahau kujiombea ,mwinue Yesu ,msifu Yesu ,usimwache Yesu. 3.kama haujaokoka hakikisha unaokoka mpe Bwana Yesu maisha yako na kama umeokoka usimwache Yesu Zaburi 23:1
@eliasiravuga75396 ай бұрын
Mungu wetu Jehovah atuhurumiye sana kabisa,,, iyo ni kweli Pastor... ❤️📖🕊️
@ChrisSiwale-kl8nv2 ай бұрын
Kweli pastor niombee msamaha kwa Mungu
@johngervas-yw1es3 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 jamnii Mtumishi nimepata somo na nimelielewa sanaaa Mungu akupe maisha mazuri sanaa jamani
@joyyjoyy5474 Жыл бұрын
Mungu atusaidie, mtumishi hiyo ni kweli kabisa
@FadhilLabison-ex6qh7 ай бұрын
Hongela sana Mungu akupe maisha malefu sana utupe mafundish mengi sana maana duniani ya Leo imemuas mungu ez🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-yh4zv2mn8m Жыл бұрын
Pastor ubarikiwe sanaaaa
@abrahammwambije2769 Жыл бұрын
Maneno yako Niya kweli Ila mengine nimakali sana Hongera kwa ujumbe mzuri.
@jere1009 Жыл бұрын
nakuele waga sana ubarikiwe
@user-zp9td3gt7c Жыл бұрын
Asantee kwa neno mtumishi ubarikiwe
@emmaculatekarembogarama6709 Жыл бұрын
Barikiwa mno mtumishi wa Mungu 😅
@tobiaskamwela8785 Жыл бұрын
Amen mtumishi
@euniceamwayi565311 ай бұрын
Barikiwa mtumishi , u r a blessing to me 🙏🙏🙏
@gee_gm Жыл бұрын
Giving shows how much you love GOD!
@FarajajamesMbuba10 ай бұрын
Nikwer,kabisa mtumishi. Ila mambo turio beba ktika mioyo ni hasara kabsa
@user-rh4bu6jt9p6 ай бұрын
Ahsante kwa neno nimejifunz,,
@DevotaJohn-id1td Жыл бұрын
Kweli pastor
@user-zq9wx6mj8q Жыл бұрын
Amém pastor
@furahasmart1516 Жыл бұрын
Amen
@user-cw3oi8ds2f5 ай бұрын
Ameen baba ubarikiwe sana
@kakubadiana216 Жыл бұрын
Hatari Mungu aingiliye kati
@NancyKahindi-qy8vh Жыл бұрын
Asante kwafundisho zuri
@NancyKahindi-qy8vh Жыл бұрын
Asante mtumishi kwa ushauri wako mimi nimeokoka nampenda yesu ni mokozi wa maisha yangu namuona akinitetea nikiwa mahali huku..nitayatilia maanani uliyo niambia na mungu akubariki sana
@NancyKahindi-qy8vh Жыл бұрын
Kwa majina yangu naiwltwa Nancy kahindi na mungu amenibariki na watoto 4 mabinti 2 na vijana wawili