NDOA YAVUNJIKA SIKU MOJA BAADA YA KUFUNGWA ,BIBI HARUSI ATUMIWA PICHA NA EX WAKE KAMA ZAWADI

  Рет қаралды 47,080

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 387
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Hicho kinembo kiko hapo juu kinaboa
@Ahmed-g2b
@Ahmed-g2b Ай бұрын
mara ya kwanza nilidhani ulisema kinembe kumbe kinembo😅
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
@@Ahmed-g2b 😆😆😆
@user-nl6yp7ku9x
@user-nl6yp7ku9x Ай бұрын
Pole baba yangu waharibifu wengi katika ndoa mungu atakusaidia. Ulienda kutafuta nini kwa x wako hovyoo
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k Ай бұрын
Wanaume tanzania ni wachache wengi ni wavulana mwanaume kamili utamgundua akikutwa na changamoto kwani uyo mwanamke wewe ulimkuta bikra? kwa maana yake umemnyanganya mtu
@Yu-jr9uf
@Yu-jr9uf Ай бұрын
lakini siku moja kabla ya ndoa ndo utata sasa
@mariamharuna-co4it
@mariamharuna-co4it Ай бұрын
Msamee mkeo
@MajaliwaMhungati
@MajaliwaMhungati Ай бұрын
Piga chini Malaya Hilo...litaja kukuua na Ukimwi
@mariumseif6751
@mariumseif6751 22 күн бұрын
Huenda ni X wa mwanaume kaamua kuwavuruga muachane. kwenye zawadi mtu anaweka kitu chochote
@mariumseif6751
@mariumseif6751 22 күн бұрын
Ila kwenye nguo sikutetei hapo umezungua huyo ni bwana wako.mpige chini hafai
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Ай бұрын
Braza kaa ngumu, la sivyo utaweza hata kuleleshwa mtoto sio wako... Wanawake wana vitimbi vikubwa mno😢
@teedullah5708
@teedullah5708 Ай бұрын
Kwakweli Hilo nalo neno😂😂😂
@user-lr6us4zy2t
@user-lr6us4zy2t Ай бұрын
@@lenniefei6710 sio wote kuna watu wana jieshimu broo....Sema baadhi ya wanawake
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Ай бұрын
@@user-lr6us4zy2t sio maneno yangu, vitabu vitakatifu na wazee wa zamani walishayaona hayo !
@jacklinemwita
@jacklinemwita Ай бұрын
kumbuka Hiyo picha ilikuwa Kabla ya ndoa
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale Ай бұрын
Kaka mshukuru MUNGU amekufungulia mambo mapema katoe sadaka man hyo demu SIYO wako ni wa serikaliiiiiiii 😭😭😭💔❤️‍🔥❤️‍🔥
@RayOmar-vk2nn
@RayOmar-vk2nn Ай бұрын
Mkaka mzur
@NdayishimiyeAgnes-of2tn
@NdayishimiyeAgnes-of2tn 25 минут бұрын
😂😂😂mmejua kuect kweli,ila kuna funzo apo,ila wanaume bhana,mna roho ngumu nyie,yaan mkosee nyie kusamehewa msamehew nyie,ila si wanawake aaah😢Mungu anawaona
@faa9842
@faa9842 Ай бұрын
Watazamaji wenzangu mm nisha wahi kuektu michezo ila niwape siri hii ni owongo sio kweli watu watafta pesa kupitia mb zetu kwa comment na n.k mwanamme ana tabasab kwa kicheko cha camera men😂😂🙋🙋 we hugopi
@evalinemalole6709
@evalinemalole6709 Ай бұрын
Uko sahihi
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 Ай бұрын
Kweli
@saidimiarage
@saidimiarage Ай бұрын
Hiyo ni fitina umefanyiwa kama umchukue mkeo maisha yaendeleee hiyo ni memol tu je kama ungemkuta na mwanaume kitandani kwako?? Usiyafatishe hayo
@redemptervictor5006
@redemptervictor5006 Ай бұрын
Kabisaa
@ChristinaMushi-t4f
@ChristinaMushi-t4f Ай бұрын
Pole sana kaka ila mwombe mungu akufunulie maana waharibifu wa ndoa ni wengi kaka mpaka kufikia kukuletea hayo yote ili tuu kukuharibia kuwa mvumilivu ufatilie taratibu msamehe tuu nahisi kwa yote yaliyotendeka hatorudia tena😢😢😢😢
@viatorykashabizi2538
@viatorykashabizi2538 Ай бұрын
Haya ni maigizo kabisa Inaonesha,ila inafundisho kubwa sana kama mtu akiwa makini kuiangalia
@KukuWaMayai
@KukuWaMayai Ай бұрын
Umekurupuka mkuu, huyo dada hana tatizo ww ndo una tatizo, hakuna mkamilifu😢
@bintimbuto5740
@bintimbuto5740 Ай бұрын
Mmmmh wekuweza
@angelmizubo484
@angelmizubo484 Ай бұрын
Haswaaaaa
@user-um7kj5kf6p
@user-um7kj5kf6p Ай бұрын
Hutakiwi kumuacha Kama unampenda mwite huyo mwanaume mwonye usichanganyikiwe kwa sababu ya picha . Onyesha ujasiri bila.kujali.picha akikisha unakutana na huyo mwanaume. Mpeonyo Kali .na huyo mdada mpe onyokali .
@shabanisalimu7391
@shabanisalimu7391 Ай бұрын
Kunguru hafugizki bro unataka kulea tatizo
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k Ай бұрын
Lakin wanaume wengine huwa ni ving'sng'anizi huenda aliachwa na hakuridhia smeamua kimharibia dada wa watu
@olicej7837
@olicej7837 Ай бұрын
​@@shabanisalimu7391na kama huyo candrick ana hasira za kuachwa anamuaribia tu vitu vingine nikutumia hekima
@janesterbatikinasabuninzur3628
@janesterbatikinasabuninzur3628 Ай бұрын
Shetani yupo kazini
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd Ай бұрын
Awawezi kuachana je ii vidio uliangalia mpaka mwisho wanapendana wenyewe usijidqngqnye alichoamua ni sahihi sana kwamaana kuna mawili kumletea ndani kama sio mimba ya mtu au maradhi tu kwakua ameligundua mapemabasss uyu mwanake sio kabbisa
@lucypeter7804
@lucypeter7804 Ай бұрын
Hata uso wa Recho unaonyesha moyo uko kwa Cendrec😅
@agnesjohnson2393
@agnesjohnson2393 Ай бұрын
😅😅😅😅😂😂
@sidathmwanga547
@sidathmwanga547 Ай бұрын
Dah hii content angeipat kiredio ingekuwa safi sana
@user-bo5qp9gz8m
@user-bo5qp9gz8m Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@frankpatrik-fd9gh
@frankpatrik-fd9gh Ай бұрын
😂😂😂 jamani kiredio yupi tena huyo
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 Ай бұрын
Kama miezi 2 umejichanganya kabisa ni mapema mnoo
@kachechemrope4496
@kachechemrope4496 Ай бұрын
ogopa sana majina ya kina Amina na Recho humu yamenikuta haya majina kama vile yamelaniwa yani
@olicej7837
@olicej7837 Ай бұрын
Huyo candrick alivokaa sasa 😂😂😂😂😂😂dada your single again 😂😂😂😂
@Elliesillayo
@Elliesillayo Ай бұрын
Hiyo sio kweli brother huyo anataka kuwaaribia ukisema Cha nini kuna wanaosema nitakipataje mpe onyo
@JosephZackalia
@JosephZackalia Ай бұрын
Shida picha na sex ya jana nguo kanunua mshikaji hata wiki bado haijaisha acha kumshaul ujinga wanawake waongo ukiweza kuacha piga chin
@user-gy5fo6zv6w
@user-gy5fo6zv6w Ай бұрын
Unajuwa kwanini nacheka,, hii ni maajabu 😅😅😅😅😅😅
@eshymohammed8837
@eshymohammed8837 Ай бұрын
we mwana zakayo
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Ай бұрын
Hata mie nacheka jamani 😂😂
@EllyMoshi-vd9ds
@EllyMoshi-vd9ds Ай бұрын
😂😂😂
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og Ай бұрын
Yani Jamaa alimletea kama zawadi alafu mumewe akawa wa kwanza kuifungua,ni mambo hutokea jaman😅😅
@righitkileo
@righitkileo Ай бұрын
Ni maiqizo au ? Kama ni kweli bac akaolewe na huyo jamaaa.
@olivamwaikuyu80
@olivamwaikuyu80 23 күн бұрын
Recho umezingua kulala na mtu mwingine alafu kesho ndoa yako,but Yohana mungu akupe hekima zaidi
@Nchunde
@Nchunde Ай бұрын
Mh we dada Umepata mwanaume hapo chunga sana usije ukaludia kama utapata bahati kusamehewa
@user-rr8cw8yl5o
@user-rr8cw8yl5o Ай бұрын
Mwanamke mjinga sana wew kaka achana nae huyo hakufai
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 Ай бұрын
Usifikirie sana hayo maneno ,huyo x mbabaifu
@GervasKajembe
@GervasKajembe Ай бұрын
jikatae kk ujeulee mtoto siwako
@rosemsaki1111
@rosemsaki1111 Ай бұрын
HYO HAWARA YAKO AMEKUWEZA MMH NJIA YA MUONGO NI FUPI
@SaudaYalanda
@SaudaYalanda Ай бұрын
Msamehe tuuu maisha yaendeleee
@user-xz7mn9bn2n
@user-xz7mn9bn2n Ай бұрын
Ndugu yangu usifikiri kila mtu anapenda mafanikio yako mpende mkeo achana na maneno ya kwenye picha
@VicentBakila
@VicentBakila Ай бұрын
Huyo alietuma ujumbe huyo ameamua kumukomoa mkeo Kwa kumuharibia tu ,coz alietuma alijia zawadi lazima msome wote ,na ujumbe huyo utauona kuwa na ufaham bro ,,huyo ni mkeo
@user-mn5yq3xc7j
@user-mn5yq3xc7j Ай бұрын
Filamu ni nzuri mmejitahidi kuigiza😂😂😂🤣🤣🤣
@olivamwaikuyu80
@olivamwaikuyu80 23 күн бұрын
Kaka yangu,huyo anahitaji kusamehewa,na Recho dada,kweli wewe unaenda kufunga ndoa jana unalala na mtu mwingine kweli??? Hapo umezingua,
@neykombe8831
@neykombe8831 Ай бұрын
Uwongo wanaigiza tu
@shabanisalimu7391
@shabanisalimu7391 Ай бұрын
Angalia anavyohema ndo utajua sio utani
@neykombe8831
@neykombe8831 Ай бұрын
@@shabanisalimu7391 pole inaonekana unadanganywa sana ww
@olicej7837
@olicej7837 Ай бұрын
​@@shabanisalimu7391mbona huyu mkaka kama yupo seriously 😒
@user-mk6eu2jq6j
@user-mk6eu2jq6j Ай бұрын
Pole sana mwanangu yohana
@lenniefei6710
@lenniefei6710 Ай бұрын
Bendera nyekundu hiyo kaka....ukimkubali jambazi huyo ujue utakuchezea hadi kiyama 😂
@GodfreyMolel
@GodfreyMolel Ай бұрын
Huyo mtu ni wa kuharibu ameamua kumwaga fitina, mchunge sana huyo ni adui wa maisha yenu Kuna namna ya kuset picha unaona ni ukweli kumbe sivyo ni konection ya mtandao we una bahati ameongelea penzi siku hizi hatfungiwi zawadi inawekwa wazi niliona arusi Fulani imeletwa kichwa Cha umbwa imefunywa vizuri bahasha ya garama kweli kijana tulia umepata mke lakini shetani kaona wifu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Ай бұрын
Hapan ni picha halisi maana mwanamke mwenyewe kasema alienda kupiga picha na mwamba Kendrick
@JosephZackalia
@JosephZackalia Ай бұрын
Kichwa cha ubwa bora ingekua hivyo tungesema ushilikina we mwambie broo amshukulu mungu kumuonesha mapema la sivyo hata watoto angelea wa kendrick kwa yule mchezaji alie lea watoto wa 3 bila yy kujua kumbe sio wa kwake
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale Ай бұрын
Kaka epuka kifo Kendrick ni wa milele mkeoo
@alexandernyambo7739
@alexandernyambo7739 Ай бұрын
Huyo binti yuko sawa, Aliyeandika na kutuma hizo picha hakuwa na nia njema hata kidogo... Kwanini aweke kwenye zawadi za harusi!!!!!!! Huyo alikuwa na nia ya kumvurugia tu huyo binti.... Huyo kijana naye ni Kibaka tu, hata yeye hana uaminifu wowote, ni malsya tu
@thecklamgaya6032
@thecklamgaya6032 Ай бұрын
Mpaka kwenda kaenda na mambo wakayafanya! Hawawezi kuachana hao! Bora yaishe mapemaaa!!!!
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Ай бұрын
​@@thecklamgaya6032ya kuingia akili kweli haya, Jana iyo kaolewa Jana iyoiyo kenda jigiji uoni uongo uo, uyu jamaa kaamua kumuaribia tu..
@isunga1964
@isunga1964 Ай бұрын
Kama anasafili safili na jana alimuaga 😂😂😂😂pole mdogo wangu Yohana
@AsiaHussein-u9h
@AsiaHussein-u9h Ай бұрын
Assalam Alykum daaaa pole sana yohna kwa mtihani ulio kupate ila nakupenda kwasa Babu mungu amekupa loho ya ujasili
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 Ай бұрын
Tafuta ukweli wa hilo jambo kabla ya kuamua ili usijeumia upande wowote.
@NeemMshahala
@NeemMshahala Ай бұрын
Mhhh pagumu hapo sema hilo linahitaji wakubwa ili kumshauri mr yohana huenda wanataka kumhalibia ndoa mdada wa watu hata kama alikuwa mahusiano na mtu mwingine hilo ni kawaida kwa kizazi hiki
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 Ай бұрын
Pole mwanangu huyo mdada mbona kama mkubwaaa!!
@RujaynaRashidi
@RujaynaRashidi Ай бұрын
Anavyo jitetea sasa,, kaka fukuza kunguru 🦇
@LydiaMussa
@LydiaMussa Ай бұрын
Hiyo ndoa haipo pia huyu binti nimuongo asijefanya watu wakauana bure wewe achana nahuyo binti akaolewe nakendri
@AsiaHussein-u9h
@AsiaHussein-u9h Ай бұрын
daaa pole sana yohna nakupenda sana mi Asia mungu amekupa loho yaujasili
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Ай бұрын
Pole sana mwanangu
@user-wu7sy6dp2o
@user-wu7sy6dp2o 24 күн бұрын
Uyo sio mwanamke achana nae pasua kichwa uyo kwanza muongo kabsa uyooooo
@user-ps4oc3nt3u
@user-ps4oc3nt3u Ай бұрын
Dada unajichanganya mwenyewe kumbe unachit kwel mara nguwo za mda mrefu mara mme wangu kan nunu liya duuu tumuogopen mung jaman
@sophiarajab5476
@sophiarajab5476 Ай бұрын
Wewe sio mwanaume,wewe ni choko,unamdhalilishaje mtu na hujamfumania??Kama mtu kaamua kumuharibia je??We sio mume we ni fala msenge mmoja huyo mwanamke humfaii katafute malaikaa mbuzi wewe.Unavunja ndoa kwasababu ya usexxx kwendraaaa.
@HezronPedias
@HezronPedias Ай бұрын
Mpumbavu niwewe ukikuta kwa mmeo hata sms hupigi kelele
@saidimiarage
@saidimiarage Ай бұрын
Hizo picha ni za zamani kwa nn uzifatishe?? Wewe itakua humtaki huyo mwanamke siachi mwanamke kwa ajili ya picha zilizopigwa muda ambao umepita
@JosephZackalia
@JosephZackalia Ай бұрын
Shida penzi la jana
@user-sb4md5ri1e
@user-sb4md5ri1e Ай бұрын
Huyo mwanamke hakufai kaka muache aende
@roseambrose5858
@roseambrose5858 Ай бұрын
Dada umeyatimbaaaa pole saaana huyo ex wako kibokooo😅😅😅😅
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 Ай бұрын
😅😅😅 jmn nimecheka Leo kifala mungu anisameh lkn nimemuonea huruma uyo kaka wallah wanawake tunatia aibu 😂😂😂uyo mwanamke ataanavoongea anaonekana ni mnafiki nimsaliti kabisauyo uyo kaka ni mstarabu sana mwingine angeshabanjuwa iyo sura
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Huyo anamvurugia tu hskuna hsyo na hakuna ukweli anataka aharsbikiwe huyo ni mshenzi
@ValentineFrisch
@ValentineFrisch Ай бұрын
Dogo tafuta mke hapo bado hujajipata hata kidogo usikubali kikao mbona bado unaumri mdogo TU atakutia kichaa huyo hapo unamwanamke bado haujapata mke
@robsoncruzy5932
@robsoncruzy5932 Ай бұрын
Kudadek hawa viumbe tofaut yao ni ndog san na shetan ni kama tui la nazi na maj ya mchele😢
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t Ай бұрын
Jamano mwingine ni kumharibia tu huyo dada yeye apige moyo konde tu maisha yaende je angekuwa yeye wa kiume angefanyiwa hvo ingekuwaje
@devothahaule6665
@devothahaule6665 Ай бұрын
Kaka fikiria tu endelea nae tu kutaka kumwalibia tu uyo dada huenda Mungu amepanda muwe watu wazuri sana
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y 26 күн бұрын
Huyo alie andika balua akamatwe tuuu ni mvunjifu wa Amani
@AgnesKimoge
@AgnesKimoge Ай бұрын
duuh pole San kaka Bora ukosee ktafuta maisha kuliko ukosee kuowa maan mapenz yanauma san
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga Ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲
@user-yh6mq4ds1m
@user-yh6mq4ds1m Ай бұрын
Huyu mwanamke muongo sn ata kujitetea hawez ingekua mm nshamrudisha kwao mapema
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj Ай бұрын
Bwana harusi afanye uchunguzi Kwanza kabla hajamuacha
@FabianiNguvumali
@FabianiNguvumali Ай бұрын
Iyo Jana itamim na waza fanya uchunguzi Kama Jana walikutan nakushauli fatilia sim yake Kama Jana walikutana iyo mipago fanya uchunguzi
@hosanabwasi9826
@hosanabwasi9826 Ай бұрын
Daaaah nimeiangalia mwanzo mpaka mwisho kwa umakini nimegundua dada ana makosa na nimpongeze jamaaa aangu yohan anajua kuongea aise na ana moyo kwa kwel
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 Ай бұрын
Huyo mdada ukisafiri atamleta aje alale hapo kahaba huyo. Achana nao
@challemartin
@challemartin Ай бұрын
Jaman kuchitiwa inauma
@AnnaMzava-yl1su
@AnnaMzava-yl1su Ай бұрын
Picha isisabishe kuachana huyo anakuonea wivu ili umwache
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke Ай бұрын
Mtangazaji ww ni mnafik
@user-bo5qp9gz8m
@user-bo5qp9gz8m Ай бұрын
Duh apo kwenye wake wa milele yohana anashindwa kuvumilia pole kaka
@AgnessPalangyo
@AgnessPalangyo Ай бұрын
Sasa unakaaje miezi miwili kwenye uchumba hata hamjajuana mnaoana,hiyo ndo tatizo
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx Ай бұрын
Huyo mtu kaamua kuharibu, mi pia ilinitokea nililetewa picha, lakini sikupanik niliamua kufuatilia, nikagundua kunamtu alitaka kuharibu, wanadamu wabaya sana
@JosephZackalia
@JosephZackalia Ай бұрын
Sex ya jana nguo kanunua mshikaji hazina wiki broo
@FatmaMohamed-vd5zc
@FatmaMohamed-vd5zc Ай бұрын
Watu wagombanishi kaka embu achana na hizo habari kwa ushauli tu
@MwaiphaMkuruto
@MwaiphaMkuruto Ай бұрын
Huyu sst hayuko serious alitaka kujificha kwa ndoa ila ana Jambo lake kwann hakuamua kuachananae hyo jamaa then aingie hku na akatae hadi zawadi sasa enda kwenu akufate hko hyo recks
@Upendo6405
@Upendo6405 Ай бұрын
Yohana usikate tama wala usimuache recho MUNGU amesha waunganisha binadamu asiwatenganishe yohana uyo kijana alitaka kualibu yani nyote mkose yohana kaka samehe utapata swawabu kwa MUNGU
@GodfreyMolel
@GodfreyMolel Ай бұрын
We wacha utoto walioandika ni wahuni wa mjini na mchezo mbaya wacheni mambo mengi
@JudithAdonis
@JudithAdonis Ай бұрын
Naomba kuuliza hv kwa miez miwili unaweza kutafuta na kupata mtu wa maisha eee 🤔🤔🤔 Huyo mheshimiwa amefanya haraka sana kufika hatua ya kuoa
@mariakibusi5914
@mariakibusi5914 Ай бұрын
Huyo x aliamua kwawaaribia tu,achaneni nayo sameheaneni hakuna mkamilifu,mtoeninshetani
@user-gy5fo6zv6w
@user-gy5fo6zv6w Ай бұрын
Ndo ukubwa huoo,,
@FurahaNishishikare-ks4zn
@FurahaNishishikare-ks4zn Ай бұрын
Alakini kaka yangu tazama vizuri uyo kaka anataka aharibu sababu angekuwa anampenda hangezituma kama zawadi ,anataka arudi nyumbani aje anamtumia gisi anavyo taka.msame kaka mkeo arakini uchunhmguze sana na we dada Uwe makini
@NelisaNelson
@NelisaNelson Ай бұрын
Huyu mwanaume n complicated man😅
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 Ай бұрын
Utakutana na mimba ya cendrec
@BeatriceMtuy
@BeatriceMtuy Ай бұрын
Dahhh Kaka pole sie tunatafut hizo fursa yeye anacheze naona huyo dada ni bwege tuu
@user-ox7vk9cb6m
@user-ox7vk9cb6m Ай бұрын
Aaaaaha myezi miwilii nihalalii kwailoo janamkee daaah sema nawew jamanaa ulimistakeyezi miwili unamuamina mwanamke nakumuwekaa ndanii hata ujamchunguza kaaah
@JaydonnyTz1
@JaydonnyTz1 Ай бұрын
Wanawake wengi niwapuuuzdhi wachache wenye akili
@ASBELABila
@ASBELABila Ай бұрын
Ww Dada unamakosa halafu husemi ukweli mbona uko hivyo wengine tunatafuta ndoa ww unachezea😢😢😢😢
@gracemugozi8436
@gracemugozi8436 Ай бұрын
Ndoa zinamengi lkn hakuna anae penda mwenzake apate
@user-lg5xd1ui4v
@user-lg5xd1ui4v Ай бұрын
Huyo siyo mwanamke dogo langu,achana naye maneno yote anapoongea hapo ni uwongo mtupu jamaa siyo chizi hadi atume ujumbe huo,huyo ni demu wake kabisa.wanawake hao ni mashetani 😢
@user-lr6us4zy2t
@user-lr6us4zy2t Ай бұрын
Sio wote kila mtu na tabia yake
@LucyRafeali
@LucyRafeali Ай бұрын
Huyu dada anajizima data kweli nenda kwenu ukasoto
@LucyRafeali
@LucyRafeali Ай бұрын
Yaani wewe dada umetia aibu loo hata ujitambui kaka mi mwanamke ila huyo hakufai
@LucyRafeali
@LucyRafeali Ай бұрын
Mwuandishi naye eti Ludia tena hapo ulikuwa hujasikia au
@user-lr6us4zy2t
@user-lr6us4zy2t Ай бұрын
@@LucyRafeali Alistuka ndio akauliza tena
@DevothaMhaiki
@DevothaMhaiki Ай бұрын
Recho, Unachokosea Si Mkweli. Picha Si Tatizo ila Unasahau Uliyotamka Nyuma. Ulikili kuwa Kendrick ni Ex Wako na Ulitoroka na na Kwenda Kupiga Picha Nae ya Ukumbusho wa Mapemzi yenu Siku 1 Kabla ya Harusi na Ukamualika ktk Harusi Yako. Wewe si Mwaminifu. Ukiwa Muongo Usiwe Msahaulifu. NyiebNdio Mnasababisha Vijana Waalibikiwe Maisha Kwa kuwafanya Mshikaki au Kiwachoma Moto. Kukosea Si kosa Usimtie Majaribuni Yohana wa Watu. Rudi Kwa Kwa Kendrick Wako wa Milele.
@Kaneelly
@Kaneelly Ай бұрын
Sister hajatulia. Nikaongo mno. Temana nae mapem aise
@cabylake2320
@cabylake2320 Ай бұрын
ila yowana mzuri 😢😢
@habibumbawala1173
@habibumbawala1173 Ай бұрын
Hawa wadada ndo wanaosababisha wanaume tuwe tunapiga na kuondoka
@allyjabiri
@allyjabiri Ай бұрын
Pole sana ndugu yangu
@JudyDavid-h6n
@JudyDavid-h6n Ай бұрын
Huyo syo mwanamke mungu kashakuonyesha naunaambiwa kuwa kosea njia ila syo mke huyo ninyoka utakuja kulea watoto wa Kendrick ukiwa haupo atakusaidia kwanza hauna hasira jaman unaongea nae kistarabu tu lakini hyo dad syo mke atakusumbua ushajuwa ukweli utayakanyaga ana lahisisha et picha tu anakudanganya hyo Tena anamambo mengi hyo
@ElizabethHeche
@ElizabethHeche Ай бұрын
Ila kama huyu kijana anampenda huyu dada anashindwa kutumia akili yake achakate mambo vizuri
@saidomar3291
@saidomar3291 Ай бұрын
Pole kakangu na dadangu ila nikwambie kitu kakangu huyo alietuma picha huenda alimpenda mkeo ila hakuweka isia zake kwa huyo mkeo
@Furahazawadi-ym4be
@Furahazawadi-ym4be Ай бұрын
Kunawatu wachonganishi mumusamehe mungu naulemume shetani❤😢
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi Ай бұрын
Uchumba wa miezi2 umewahi sana ,ungekuwa na subira hata mwaka hyo Kendric ungemjua tu,kama umempa nguo wiki1 then akapiga picha na x wake kiukweli hawataachana ila wewe utakuwa ukitafuta pesa x anatunzwa.
@user-xl6ox4kp7j
@user-xl6ox4kp7j Ай бұрын
Ni hivi, hata cku moja huwez kwenda kununua nguo ukiwa uchi ni lazma uwe umevaa nyingine haijalishi imechakaa ama umependa rangi nyngine, alichobugi huyo dada ni kukubali kuolewa kwasababu mchiz wake hayuko vzur kiuchumi na bado akaendelea kum-bless hadi cku 1 kabla ya harusi hiyo ni dharau kubwa mno na huyo lazma atamrudia tu Kendrick tena ukifanya masihara utalea watoto wa mwanaume mwenzio
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 27 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 92 М.
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 22 М.
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН