Mwana kilitafuta mwanakuulipata kilichomfanya aende kupiga pochi nini cku chache kabla ya ndoa ni nini na hawa ndiyo wanakuja kuuwawa cku chache kabla ya ndoa
@aby211112 ай бұрын
Owa bibi mzungu we iko handsome good boy.
@renathakalamage49312 ай бұрын
Yohana usihuzunike coz mwanaume mwenyewe alie fanya ndoa yako ivunzike hakufiki kwa lolote jaman relax uyo mkeo mjinga sana huyu wa kukusaliti nae
@teedullah57082 ай бұрын
Ski Tena yohana mzuri lkn huyu km mchina shenzi huyu kwanza hawaendani
@MartinaAgustino-fp5eo2 ай бұрын
Muhuni anajua sana kupenda 😂😂 ndio maana recho haelew kwa kendrik
@musalwambo910819 күн бұрын
Wengi yashatukuta kama haya ila kijana aliazimia kualibu ni ushamba sio kupenda ila Nia yake imetimia hayo mambo yakizamani
@jerome314316 күн бұрын
dada tama zilimzidi huyo dada alitaka kuwachanganya hawa jama angelikuwa mkoa wa mara wengimfinya huuyo dada vibaya
@GabrielMwakabalile2 ай бұрын
Yohana,achana na huyo mwanamke,hakufai kabisa,ukizingatia na kazi yako ya kusafiri,huyo ni Jalala la wenzako,tulia utapata mwanamke wa maisha yako
@Ax-xpress2 ай бұрын
Wee muandishi ungeuliza maswal yanayohusiana na tukio mambo ya kwa nn ulishindwa kumuoa Recho , inamaana unaweka wap mumewe aliyepigwa tukio.?!
@bahatilyimo6592 ай бұрын
Mwanamke anazeeka hivyo alichoka kusubiri umri hausubiri. Na hiyo tabia ya kuweka maagano muache.
@JudithAdonis2 ай бұрын
Kendrick na Recho ni wapenzi na kwa mtu yoyote kwa huo muda waliokuwa karibu hakuna namna WANAPENDANA Issue ni Kendrick kuchelewa kufanya maamuzi
@isackpius126520 күн бұрын
Vijana kama hawa mchango wao ni mdogo kwenye taifa hili😢😢
@ShakiraEdward-z2t2 ай бұрын
Recho pole ila ikitokea mume wakakusamehe bac eshimu ndoa yako maana ndoa c poa
@JudithAdonis2 ай бұрын
Hayo ya mwanaume gan mbona kama kichaa / rasta cjui zinanuka hayana uzito......
@vickytango55912 ай бұрын
Inavyoonekana huyo ndo mwanaume wake wa kwanza na hakuwa na mwingine ndomana alimpenda japo alikuwa anamdanganya angekuwa ana wanaume wengi asingekutwa na haya ujinga tu unamsumbua
@RamadhaniKiloboАй бұрын
Dah nilivo skia stor ya kule kijan nilikuon mualibifu lakin kw maelezo yko kijan umegusa maish ya watu
@OraionSabibi2 ай бұрын
Upendo wa kweli haupo kwenye pesa yohana na pesa yako haupendwiii imependwa pochi TU yalishanipata hayo mahari nilisamehe TU msasani dar
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg2 ай бұрын
Huna hela una haribu ndoa ya watu
@AndrewShola-ts5lp2 ай бұрын
Je wazazi wake walikufahamu au...
@samwelidomayo61952 ай бұрын
Kama Hawa hawafaamiki nyumbani Kwa mwanamuke siuna mwona alivo
@namungolubala17882 ай бұрын
HUYU ANAONEKANA HAKUA NA NIYA YA KUOA ALIKUA ALISHAZOEA KULALA NA RECHO BURE .MHARIBIFU MKUBWA WEWE NYANGAWU😢😢😢😢
@vickytango55912 ай бұрын
Kabisaaaaaaa lecho ndo mwenye malengo alichokosea kakuwa sirias kuonyesha msimamo
@jerome314316 күн бұрын
kula amini sasa apo sioyo pakujadili tena mnatu hosha
@ephraemlucas68802 ай бұрын
Na mbona ulisema picha huusiki nazo na ujumbe uliopo ndio unayoyazungumza? Umezingua
@Haarun-h4q2 ай бұрын
Kendrick sikia vizuri. Umevunja ndoa mpya na Recho anayo milia kubwa.Hao ni Wazaramo,watakuroga.
@atuganilemwakasangam20182 ай бұрын
Sio mstarabu huyu kaka. Umeachwa kubali.kumvunjia ndoa mwenzako sio vema. Kila mtu anariziki yake.
@JuhudiJotham2 ай бұрын
Rasta umekosea Sana,sasa chukua hatua umuoe Rachel
@happynkya97702 ай бұрын
Kiukweli Kendrick umezingua sana jamaangu hukupaswa ufanye ivyo hata kama ni mtu uliimpenda, hapa unakataa lkn ukweli unaujua
@BerthaMisana2 ай бұрын
Yan Kendrick ndo wa hvyo kama kibaka tu we Rachel mbona ata huendan nae duuu anafanana kama kibaka
@vickytango55912 ай бұрын
Kabisa then anaonekana kabisa Hana adabu
@mariumseif67512 ай бұрын
Yaani hili jamaa ni fara halikubali kuachila ndio maana limevunja ndoa ya mtu
@OraionSabibi2 ай бұрын
Kweliii mapenzi ya kweli hata madonda ya tumbo unapata
@KephaDanieli-jl4rl2 ай бұрын
Ila wanawake hamufiki mbinguni kama hiki kijamaa ndo chakuvunja ndoa kah
@frankpatrik-fd9gh2 ай бұрын
Sasa ndugu kama kweli we ulikuwa na malengo na mtu miaka yote hiyo mbona hujajipanga ndomana mwenzio kaona upepo wako kama hauelew mana kwa jins unavyonekana na maongezi yako ni kama unampotezea time yule mtoto wa watu ko kwenye maisha unatakiwa uelewe kupenda siyo kazi unahitajika ulijar hapo kaka kwanza lazima uwe mchapa kazi na huwezi ukawa unapiga kazi miaka yote hiyo useme mpaka leo et bado unajipanga siyo kweli we hufai
@LunchmanKoya2 ай бұрын
we umezingua sana dogo hivi ungekua ww umefanyiwa hivo aisee kwani wanawake walio wengi si bora umwache aolewe una haribu unavunja ndoa
@morisgonzalo2 ай бұрын
Ka umefatilia huu mkasa tangu so siku yohana kamleta mwandish wa habar utajua recho muongo sn tena sn na hampend yohana ni tamaa ya ndoa mana alisema kendrick ni rafik wa kawaida wamesoma wote lkn kumbe wapnz wa mda mrefu tangu primary
@AishaRamadhan-o7v2 ай бұрын
Kaka pole sana
@AminaMsimbe2 ай бұрын
Huyo mdada Hana akili alifata Nini Kwa huyo mtu mtu umeshapata wa kukuona anaekuthamini huyo Kendrick wa kazi gani?
Kuhusu uandishi mimi nahisi baadhi ya watu wanakuwa na miandiko zaidi ya miwili umuhimu nikutoshiriki au kuwa karibu na mtu ambaye hajakuowa
@AmaniRashidi-i9b2 ай бұрын
Tatizo mwanamke alikataa ni rafiki tu hamuoni ni muongo ila nyi wanawake shkamooni
@dafredylusatira51042 ай бұрын
dah! brother hizo nywere huzifanyii usafi
@AgnessNgogo2 ай бұрын
Sisi ndo wanawake bhnaaa tunaachana na mwanaume mwenye VISION tukakimbilia kwa mwenye TELEVISION😃😃😃
@Furahazawadi-ym4be2 ай бұрын
Uyubwana mushezi wapedwa ashidwe❤😢
@YOSHUAMWAMPETA2 ай бұрын
FURAHA Jifunze somo hapo huyo sio mshenzi ila wewe unahitaji somo zaidi. WOTE WAWILI WALIFANYA AGANO LA MILELE WALICHANGIA DAMU KATIKA AGANO NA IBILISI KALISHIKILIA AGANO LAO.Ili kulivunja agano lao NI LAZIMA TOBA IFANYIKE NA MAOMBI LAZIMA DAMU YA YESU ITUMIKE KULIVUNJA AGANO LAO Kwa ROHO MTAKATIFU.
@PhilimonKikende2 ай бұрын
Recho sio mwanamke ni jambaz tu maana akiulizwa anasema hana mahusiano kabisa na kendilik anasema ni rafiki tu tulie soma nae kweni panamke hapo jamani
@vickytango55912 ай бұрын
Hicho ndicho alichokosea angekuwa muwazi tu km atasamehewa au la make km aibu ashapakwa
@drisakamwakitalima19372 ай бұрын
Kimsingi huyu ndio mume wake recho .PERIOD
@aboudijaaboudija2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂daah
@AsiaHussein-u9h2 ай бұрын
ila sijaolewa bado naswala Sina mchumba bado na pambana
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Kuna mapenzi ya akili ya utoto na kuna mapenzi ya ukomavu wa akili kuna wakati akili ya kupambanua mambo ikifikia huamua jambo sahihi
@MonicaNathanael2 ай бұрын
Ila recho ni muongo kendrick kaongea ukweli wake woteeeeee
@harithwhite5892 ай бұрын
RECHO: Kendrick ni rafiki yangu tu tulisoma pamoja na sina uhusiano nae wa kimapenzi. HENDRICK: Recho ni mpenzi wangu wa siku nyingi tumeweka agano hadi la kuchangia damu. PICHA: wewe ni wangu wa milele ila umeamua kuolewa kwasababu ya kipato.
@mariumseif67512 ай бұрын
Unaamini huyu ndio kaandika kule kwenye picha.maana maelezo yake yote ndio kaandika nyima ya picha
@AsiaHussein-u9h2 ай бұрын
Siyoo mihogoo aje huku omani ila awe navigezo sahii mi nipo huku omani nimejenga zingiziwa na nikiwanja kingine kisevele n
@JudithAdonis2 ай бұрын
Na kama mnakumbuka Recho alisema Yohana ana mahusiano naye kwa miezi miwili..... kiuhalisia ni muda mfupi sana
@EmanuelSamakia2 ай бұрын
mbona huyu kn yuko kama kichaa? yohana achana na huyo malaya akaolewe na mwehu mwenzake kwanza hafanana na wewe atakuumizia muda na kukomazi maumivu ya moyo. yohana wahi pengine kamanda.
@AminaUkhty2 ай бұрын
Kendrick achukue mzigo wake iwe ivo
@vickytango55912 ай бұрын
😂😂😂😂
@renathakalamage49312 ай бұрын
Rose nae kihere here sana kilicho mfanya ampigie cm nani kama co huayawani
@eliateacher32412 ай бұрын
Ngoja nikaangalie mpira nitaimalizia baadae kwa rasta kedrikii
@morisgonzalo2 ай бұрын
Huyu jamaa wala hawez kua muowaji na wala hawez ingia kanisan na hizo rasta na asinge muowa rechel angemzesha tu ila recho hajui asimame wapi ingawa kaolewa
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Mimi ningekua mzazi wa Recho nisingekubali kabisa mwanangu afuge Rasta na mumewe afuge Rasta pumbavu
@Samson-f4i2 ай бұрын
Acha izo umekosea sana
@Yassinseleman2 ай бұрын
Hapa pombe zimeisha ngoja niondoke kwingine ila muuza pombe kazingua huyu na amenikera nusu magimbi yanikwame hapa kwa alivyonikera
@JudyDavid-h6n2 ай бұрын
Alikuwa amezoea kulala na lecho kwasababu alikuwa anampatia tu akitaka mda wowte ule kwahyo aliona akimuacha akaolewa atakoswa kipoza kiu aliona atakuwa anagharamika Tena wakati asha zoea tu😅
@FatmaKhamis-sj1xx2 ай бұрын
Cha msingi jamani mapenzi yanauma halafu ni upofu Kendrick amuoe awezeshwe tuu maisha maana hapo akisamehewa na yohana hapatakuwa na upendo wa kweli jamani mwamba kupambania penzi lake ana mapenzi ya dhati jamani mueleweni huwezi elewa hii kama huna D mbili
@MadinaShekalage2 ай бұрын
Tafadhali hilo jina Fatma khamis napenda kukufahamu au tulisoma chuo pamoja na Mimi?.
@GraceMwaipopo-s5r15 күн бұрын
Naomba namba ya huyu mwandishi, au napataje mawasiliano yake
@MaksMedia115 күн бұрын
+255712358000
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Bangi hizi ndo zilizomzingua Recho mtu mwenyewe kama hayuko sawa tatizo kulazimisha ndoto
@Mary-e8c5y2 ай бұрын
Acha uonge wewe mpuuzi picha mlipiga ninyi wawili lkn sahii siwewe ulopeleka picha awe ni nani sasa
@MariusNiyo2 ай бұрын
Kumuoa tu haitoshi mimi naona anatakiwa amrudishie bwana harusi gharama zote alizozitumia.kendrick shenzi kabisa.picha za nini harafu et hahusiki nando ameelezea ujumbe uliopo kwenye picha? mwanaume mbwa koko
@alinwilaamosi63121 күн бұрын
Hawa wanaigiza!!!😂😂 Hamjashtuka tu
@KeiFerouz-fn9oc2 ай бұрын
Huyu dogo badala ya kutafuta pesa unavunja mahusiano ya watu huyu Kuma sana hy
@sihabasihaba85112 ай бұрын
Huyu kaka nimhongo suluwisheni ndoa yake tu
@cordulaanicet26362 ай бұрын
Kama unampenda kweli heshimu mawazo yake
@avelinabaluhya28042 ай бұрын
Kweli kabisa,mapenzi ni kupendana siyo kupenda,hayo maongezi ya Kendrick yanathibitisha ni yeye aliyevunja ndoa ya Rachel,huyu ni mpumbavu sana
@charleszawagholi52732 ай бұрын
Huyo binti ni mzembe sana amevunja ndoa yake mwenyewe
@Elecovid2 ай бұрын
Haa tu dada pumbavu sana
@MariaMagele2 ай бұрын
Kiapo chadamu tena mimi kiapo kwenye mapenzi staki kiapo maana madhara yake ndo hayo
@morisgonzalo2 ай бұрын
Yohana akiona hii clip ndo kabisa hatamsamehe
@avelinabaluhya28042 ай бұрын
Ndiyo lengo lake
@VeronicaRugoyi2 ай бұрын
Kalevi mbwa kajitu kenyewe ka hovyo hovyo sana nywele kama mchicha wa jana
@EstaDaffi-wg5cr2 ай бұрын
M nkisikia mwanaume wa mia mbili mia tatu nachoka sjui ndo shakuw malayaa
@Kutaila992 ай бұрын
Mmh, acha yaitwe mpenz, maana nmekosa neno
@AsiaHussein-u9h2 ай бұрын
Hapana haya tuwa mbiieeee😊
@HamisSaidi-io1dh2 ай бұрын
achana nauyo mwanamke nimke warasta mavii uyooo
@atupelekalemba7682 ай бұрын
Pole kijana naamini kwenye Hilo,pia najua bado mnapendana sana tu
@RhodaMlowe2 ай бұрын
Wanapendana saana yes you're right
@loner_wolf2 ай бұрын
Jina moja kama mfuasi wa Yesu au sio Kendrick wa Recho ...? Wadada nanyinyi jifunzeni kutembea na wavuta bange 😂
@hidayaMlowe-rk1kn2 ай бұрын
Huyu jamaa anaumia sana kumpotexa mtu wake
@AnaMauricioPatricio2 ай бұрын
Umekosea sana
@Latifa123Latifa122 ай бұрын
Yan lecho hata mm nimechoka
@senorinamtei82022 ай бұрын
Mahadithi ya kutunga hayo
@TabuMudi2 ай бұрын
Wewe acha ujinga huyo Rachel hana kosa.ulitegemea akungoje mpaka lini? Haijalishi umemjua muda.gani acha kumuaribia .wakwako mungu aliyekuandalia bado na wewe Yohana picha tu??? Je na wewe kama ungepelekewa mtoto ingekuwaje? Rachel ni mkeo usisikilize ya ndugu be a gentle man
@frankraphael75462 ай бұрын
Bangi tu unaonekana nawewe ndio umetuma ilo box picha zako
@AgnessPalangyo2 ай бұрын
Hivi huyu ndo mwanaume wa kukuvunjia ndoa kweli jamani?Duh! Wanawake tuna matatizo kwakweli,mtu mwenyewe alivyo tu hadi anatisha
@yousifyousif-p7f2 ай бұрын
Kbs
@BilluAmour2 ай бұрын
Hahaaa hatar
@nzanzex78312 ай бұрын
❤Kabisa yn anatisha kiukweli
@ShedrackmartinBalama2 ай бұрын
@@yousifyousif-p7fmtu anaangalia mikito tu penz tam
@asajileraphael19512 ай бұрын
Hahahaha nimecheka lkn sio ndio hivyo
@hasnakid2 ай бұрын
Mtu mwenyew kumbe raster man yaan nawachukia watu wa hivyo😏 Mtanisamehe san wenye mko na rasta
@AbuuAli-nf4fb2 ай бұрын
Huyo MSHENZI hawezi kuowa na wala Hana Nia ya kuowa ni mvivu hataki kufanya kazi
@LilianMsigala2 ай бұрын
Ach Umalaya Wew
@aziziatumanially4242 ай бұрын
Uongeaj tu wa bibi arusi n bwan arusi ni uongo afadhar msela nondo kakaza
@Latifa123Latifa122 ай бұрын
Alichokosea kulalaa nae huyo nafuu ajakuua mwanya
@nayasongoro75702 ай бұрын
Hiyo noma vijana tafuteni mkwa m kwanja
@FanjaFanja-dz2yr2 ай бұрын
Muongo muharibifu huyu kaka hakua muoaji
@AGM196972 ай бұрын
Hivi hii ni tamthilia au imetokea kweli?
@nicodemuswidambe51322 ай бұрын
Hili pumbavu! Nywele tu zinaonyesha ujinga mkubwa kichwani.