NDOTO 12 NA MAANA ZAKE KIBIBLIA- Sehemu ya PILI

  Рет қаралды 333,022

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 592
@carolineunguku9163
@carolineunguku9163 7 ай бұрын
Nakata ndoto ya kuota niko shuleni niliosoma katika jina la Yesu kristo Amen
@shakilazuwena7668
@shakilazuwena7668 4 ай бұрын
Thanks for helping me i always dream being at my grandmother's place and we're poor im going to pray against it in Jesus's name
@PhyllisToroitich
@PhyllisToroitich 3 ай бұрын
Thanks hata mm huota nikiwa shuleni hasa nikifanya mtihani kwa miaka kama 5 licha ya kumaliza shule miaka kumi iliyopita
@EdinaChrispin
@EdinaChrispin 11 ай бұрын
Hii ndoto ya kuota nipo darasani ishindwe kwa jina la yesu na iniachilie
@Misswinnie-j8x
@Misswinnie-j8x 6 ай бұрын
Amen
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 ай бұрын
Amen
@MariaMateo-w1j
@MariaMateo-w1j 10 ай бұрын
Ndoto ya shule na kurudi nyumban imejirudia sana nakemea kwa jina la yesu
@liliannaeku7614
@liliannaeku7614 Ай бұрын
Niliota ndoto za kurudishwa shule ya msingi kwa muda mrefu sana,maisha yalikua hayasongi,nikaomba sana siku moja nikaota nimefukuzwa hiyo shule kabisa na huo ndio ulikuwa mwisho! Siri ni kuomba kwa sana!
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 5 ай бұрын
Nakemea ndoto zakuota nikiwa shuleni kwa jina la yesu kristo nakemea ndoto za kua nafanya mapenzi kwa jina la yesu nakemea ndoto zakuota nyoka kwa jina la yesu kristo amen
@السنتكينيه
@السنتكينيه 10 ай бұрын
Nakataa ndoto ya shule katika jina la yesu kristo Amen 🙏🙏🙏
@LekisosionNangenoi-dz3kq
@LekisosionNangenoi-dz3kq Жыл бұрын
Ndoto za kuota niikiwa sheleni ikome kwa jina La Yesu Kristo aliehai na imekuwa
@EmmyMoses-s5u
@EmmyMoses-s5u 5 күн бұрын
Ee Mungu hii ndoto ya kuwa shulen mm kwenye mitihan ninaikabdh mikononi mwako ikashindweeee🙏🙏🙏
@JoannaWilliam-gw8fy
@JoannaWilliam-gw8fy Жыл бұрын
Hiii ndoto ya shuleni nimeielewa make naiota mala nyingi sanaaaa huwa sielewiii lakini Leo nimeielewa Asante sanaaa
@rehemaissa6145
@rehemaissa6145 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana maan umenifungua Sana kuhusu ndoto ya shule imekuwa ikijirudia Mara kwa Mara na ckuwa naelewa nn Cha kufanya japo nahitaji ufafanuzi zaid
@JanethHenry-b3e
@JanethHenry-b3e 3 ай бұрын
Shetani ashindwe kwa jina la yesu
@rehemamachela4621
@rehemamachela4621 Жыл бұрын
Baba katika jina la yesu tunavunja na kiharibu kila maroho ya mapepo mabaya
@EliaMbise-h7m
@EliaMbise-h7m 28 күн бұрын
Mungu nisaidie. Niepushe na Ndoto mbaya
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 2 жыл бұрын
Yani Asante sana hizo ndoto za shuleni nilikua nikiziota sana mpaka sasa huota siku Moja Moja,nanikweli unavyo sema,maana nikiota nikiwa shulee,nikiwa na kazi itatokea sababu nanitaachishwa kazi,nikiwa na mchumba tutaachana,,huregesha nyumba maisha yangu,kuhusu chakula kulishwa nawatu Nisha wahi kuota kutiwa shimoni nishaota nyoka pia nishaota kuota kuona pesa nyingi za Silva,kufukuzwa katika msitu,Kwa bahari ndani yamaji kufukuzwa na myama kifaru, naomba Mungu aniondolee
@emmanuelmlay6845
@emmanuelmlay6845 2 жыл бұрын
AMINA Mtumishi
@pilimartini2530
@pilimartini2530 Жыл бұрын
Asante sana kwa ufafanuzi wa ndoto.mie huota mara kwa mara nafanya mtihani wa hesabu
@elizabethwanjiru3022
@elizabethwanjiru3022 Жыл бұрын
like me but GOD is with us inshallah
@ibrahimemmanuel110
@ibrahimemmanuel110 Жыл бұрын
Oooh
@carolineadhiambo6770
@carolineadhiambo6770 Жыл бұрын
Pole sana
@zuuJuvenile
@zuuJuvenile 2 ай бұрын
Amina nimebarikiwa sana baba Mungu azid kukuinua 🙏🙏
@SmilingCheckers-iu3rv
@SmilingCheckers-iu3rv Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi je kuota unatapika ina maana gani hii inanitokea mara nying sana nadhan miak zaid ya 5 inajirudiarudia
@JohnsonDickson-ry6hz
@JohnsonDickson-ry6hz Ай бұрын
Mungu anisaidie izo ndoto nimeota sana
@marymuiruri2443
@marymuiruri2443 7 ай бұрын
Hiyo ndoto y shule imeishi kunishumbua sana nasikua n taarifa yyote kuhushu hio ndoto nmeeishi kuomba n kuuliza mmbna n oota bt sai nmeelewa naninaomba mungu kwa kila wakati nikaota hzo ndoto tena niwe n kuelewa maana yke
@fredychachamkome6829
@fredychachamkome6829 2 ай бұрын
Jaman hii ndoto ya kuwa shulen , kukimbizwa na nyoka, nafanya mtihani napambana na viumbe hatar , napaa angan yan zishindwe kwa damu ya Yesu
@neemamwaitete6926
@neemamwaitete6926 5 ай бұрын
Baba katika Jina la yesu niondolee pepo nyoka na ndoto za shuleni katika Jina lako yesu
@MayrahBaby-s1x
@MayrahBaby-s1x 2 ай бұрын
shindwa pepo la kurud shulen katk jna la yesu
@Wingu-c7h
@Wingu-c7h 3 ай бұрын
Kwa jina la yesu Pepo lakuota nipo shuleni lishindwe katika jina la yesu kila kitu kinawezekana katika jina la yesu Aminaaa, nakuota Pepo nyoka lishindwe katika jina la yesu kila kitu kinawezekana katika jina la yesu Aminaaa
@JamilahRamadhan-sz2qu
@JamilahRamadhan-sz2qu Жыл бұрын
Eee mwenyezi Mungu niondolee mapepo mabaya wote katika jina la Yesu,nibariki na unitakase mimi na familia yangu kwa damu ya yesu,Amina
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Жыл бұрын
Mtumishi wa mungu Naomba jina la hii nyimbo inayoimbwa mwisho wa Unapomaliza Kutufundisha Inaitwaje Naipenda sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@Gladys_NM
@Gladys_NM Ай бұрын
Ndoto hizi zishindwe katika jina la yesu
@FosteKulimushi
@FosteKulimushi 2 ай бұрын
Mungu nakuomba unishindiye pepo zakurudiya shuleni ju simalizake mwezi nasilote Hiya ndoto
@Mariumpius
@Mariumpius 4 ай бұрын
Baba katika jina la yesu ninakataa na kujioa katika ndoto nnazoota nmerudi shule, au nnafanya mtihan au nipo kwa mazngra ya shule ambayo level nshapita nnavunjaa maagano yote katika jina la yesu kristo wa nazareti alie hai. Amen
@bahatialphonce5346
@bahatialphonce5346 2 ай бұрын
Nakataaa ndoto ya kurudi shuleni kwa jina la yesu kristo wa nazareti
@Maryam-rr8le
@Maryam-rr8le Жыл бұрын
Asante mtumish wa mungu ndoto hizo zinanifuata xana nkiwa shulen nasai ni mma mwenye watto 3
@AgnetaErnest-qg8ry
@AgnetaErnest-qg8ry 11 ай бұрын
Hizi ndoto za shule zimekuwa zikinisumbua mno jamni 😢 mala nasoma mala tuko mstalini yani ndoto hizi mpka nikahisi kwasababu skuendelea na shule ndyo maana napaota kila muda Mungu nihurumie kweli niko kwenye kifungo nafanya mambo yaende kwanguvu na bado hayaendi hakika umenifungu mchungaji God bless you 🙏
@BlayanLikwaja
@BlayanLikwaja 3 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi na anisaidie kuongokana na ndoto ya shule🙏🙏🙏🙏amina
@MakenaMuchira
@MakenaMuchira Ай бұрын
Mungu niondolee hizo ndito mbele ya maisha yangu yabadilike
@catherinemajura
@catherinemajura Жыл бұрын
MUNGU akubariki Mtumish ndoto ya 3 Nimeielewa vizur.
@JoelMuriti
@JoelMuriti 3 ай бұрын
Sawa kabisa mtumishi wa Mungu kuwafundisha wanafunzi masomo mazuri kabisa Mungu mpaji pekeake ndiyo mkombozi wetu sisi sote ni mashahidi wa Yesu katika ujio wake katika kanisa Amen
@Wingu-c7h
@Wingu-c7h 3 ай бұрын
Naomba Mwenyezi Mungu unikomboe kwa damu ya yesu Kristo Mwana wa Mungu Amina
@monicamandai7640
@monicamandai7640 6 ай бұрын
Eh Mungu nisaidie Ndoto Za shuleni nikiota basi tatizo shetani NAKUCHUKIA Aisee ndoto Za Nyoka Pia Shindwa na Ukome kwenye maisha Yangu 😭😭 EEH Yesu nisaidie
@kelvinbernard5453
@kelvinbernard5453 2 жыл бұрын
Ubalikiwe sana mwalimu innocent , nimejifunza kitu
@RoseMaheku
@RoseMaheku 2 ай бұрын
Ooh dear Lord through your Son Jesus Christ with the help of Holy spirit help us by our Ability we can't, help us to win these battles of taking us back to school through dreams of which taking us back spiritual, Financial, Academically I disconnect my self with those Evil spirits in the Almighty name.
@fideamtenga212
@fideamtenga212 3 ай бұрын
Ndoto za nyoka zishindwe kwa jina la yesu..
@funwellamoni
@funwellamoni Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mtumishi
@UserUser-fj9eu
@UserUser-fj9eu 2 ай бұрын
Nakataa roho ya kuota nikirudi shule amen na ndoto nyingine za kishetani amen Mungu naomba unijaze imani yako
@simonkosianga724
@simonkosianga724 2 ай бұрын
Asante kwa maarifa haya
@GivenessJohnson
@GivenessJohnson 2 ай бұрын
Ndoto yakuwa shulen nimeota sana, kuanzia sasa ishindwe kwa jina la Yesu🔥
@bryson0772
@bryson0772 9 ай бұрын
Asante sana nmejifunza hakika ntapambana na maombi na Mungu wangu huyu alie hai anitoe huko nilipovuka anifikishe nalipo na napostahl kulipo aah nmechoka kuota npo form six nafanya mtihani wa taifa na nafeli mara kwa mara uuh🙌
@MakenaMuchira
@MakenaMuchira Ай бұрын
Mungu niondolee hizo ndoto katika jina la yesu
@SharonMuhuyi
@SharonMuhuyi 4 ай бұрын
Asante sana mm naitwa Sharon Kwa MDA ss nimekuwa naota Niko shule wakadi mwingine naota Niko mwenye mapenzi na mtuambae niliajana nae Kwa miaka ss ama wakati mwingine Niko mwenye mapenzi na MTU ata sina usiano wowote mm na yy ila nashitwa asanteni sana Kwa mafunzo yenu naamini mungu answesa na yote yataisha
@vumilianyondo
@vumilianyondo 3 ай бұрын
Nashukur mtumishii Mimi piaa naotaa saaaana ndoto npoo shulee kumbee sasaa sioo level zanguu mahalii nilipoo nakemeaaa maaganoo na vfungoo vyootee vlivyonfungaa ilii nibakii hapa Kwa jinaa la Yesu🤲🤲🧎🧎
@StacyKakuu-qz9rn
@StacyKakuu-qz9rn Ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu mimi nimekua nikiota ndoto nikiwa shuleni saa zingine ya msingi saa zingine ya upili, alafu saa zingine naota nikifanya mitihani ngumu sana
@risperka39.
@risperka39. 3 ай бұрын
As from today am set free through the name of jesus Christ..im moving forward im winning my battles im progressing in life im prospering with my househood.we are rich we are wealth we are peace and we are unstoppable 🎉Amen
@rehemacosmas-k3l
@rehemacosmas-k3l 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa, Mungu akubariki sana, mtumishi wa Mungu
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 5 ай бұрын
Nakataa ndoto ya kurudi shule nakemea katika jina la yesu kristo mwana wa mungu najifunika kwa damu ya yesu wewe ndoto usirudi tena kwangu sina ushirika na wewe amina
@ShomaryMasunga-n6t
@ShomaryMasunga-n6t Жыл бұрын
Amen kwer mtumishi na mm huw naota sana
@JaneVitalis
@JaneVitalis 3 ай бұрын
Ndoto ya Shule naota sana nifanyeje Na pia naota naokota maembe chin ya mwember na zinajirudia rudia Na nisehem moja tu kila niotapo
@Pendo-p8w
@Pendo-p8w 16 күн бұрын
Mtumish mm ndoto yakurud shilen inajirudia snaa Leo nimejua maan yake nakemea kwa Jin la Yesu isijirudie Tena
@DaudiIpyana
@DaudiIpyana 5 ай бұрын
Amina sana mtunish mim ndoto yakuota nipo shule ndo inanisumbua sana mtunish
@janetjosephat8093
@janetjosephat8093 Жыл бұрын
Mtumish shalom tunabarikiwa sana na mafundisho ila picha zinatisha sana, hasa hizo za nyoka
@ChakoriChakori-z1x
@ChakoriChakori-z1x 3 ай бұрын
❤ Asante sana nimejifunza sana😢😢 mungu avunjee nguvu za giza
@ChristopherShirima-r5c
@ChristopherShirima-r5c 6 ай бұрын
Mungu ulie mwema unaweza unainua unabadil nimejifunza kutoka kwa mtumish wako kwa jina la yesu hizi ndoto nakemea kwa jina la yesu ndani ya familia yangu na pia kwa jamii yanguu mungu utulinde zote
@alexmoshi3626
@alexmoshi3626 7 ай бұрын
Duuu mtumishi leo ndio nimepata maana ya ndoto yangu ya shule. Ubarikiwe sana mtumishi.
@lawileon8204
@lawileon8204 8 ай бұрын
Mungu ni mwaminif kwetu
@MildredAuma-iz9lg
@MildredAuma-iz9lg 3 ай бұрын
Let God continue to give you knowledge waaa akii thanks nakemea hiyo ndoto y mtu aliyekufa weee ishindwe
@JessicaMniko
@JessicaMniko Ай бұрын
Nimeota sana kuwa Niko shulen muda mwingine nimerudi shule ya msingi kabisa
@JanethHenry-b3e
@JanethHenry-b3e 3 ай бұрын
Ahsante Mwenyezi Mungu
@RebbyEddy
@RebbyEddy Ай бұрын
Ndot za kwenda shule zishindwe katka Jina la Yesu eee Mungu naomba nsaidie
@RoseMollel-u8g
@RoseMollel-u8g Ай бұрын
Nikweli naota ndoto nikiwa namepelekwa kuundikishwa shule pale pale nikaibiwa madaftari na sanduku lote inamaanisha nni jamani
@AquilinahSamuely
@AquilinahSamuely 5 ай бұрын
Nasumbuliwa sana na ndoto ya nyoka jaman mung aniepushie hii ndoto
@GraceMakenga-zd1vn
@GraceMakenga-zd1vn 5 ай бұрын
Zishindwe katika jina la Yesu
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 жыл бұрын
Hii ya ndoto ya shuleni ni kweli kabisa.Ewe mwenyezi mungu naomba unishindie aaaamina.
@LydiaLydia-oj2is
@LydiaLydia-oj2is 8 ай бұрын
Jamani mimi ndoto za shule zimeniasir sanaa au nikiwa makaburin>. Au nakimbizwa 😢😢eeeee mungu niepushe yingine mimi na familia yangu
@LeonilaLeo-q5s
@LeonilaLeo-q5s 4 ай бұрын
Niepshe na ndoto mbaya ee Mungu
@reginatemba9752
@reginatemba9752 5 ай бұрын
Asante sana mtumishi nimeelewa sana.umenigusa katika ndoto baadhi hapa
@Phentrine
@Phentrine 5 ай бұрын
Eeeeh Mungu niondolee hizi ndoto mbaya katika maisha yangu
@MarryKigula
@MarryKigula 2 ай бұрын
Huwa naota sana ndoto ya shule jaman mungu asimame na mimi
@RaymondNovath
@RaymondNovath Жыл бұрын
Mungu hakubariki mtumish nimejifunza mengi kuhusu ndoto
@EstherMzungu-b4n
@EstherMzungu-b4n 5 ай бұрын
Asante sana kwa mafunzo yako na Mungu azidi kukupa ufahamu zaidi... Kwakweli nimejifunza kitu.
@JohnLusolanya
@JohnLusolanya 4 ай бұрын
Asante mtumishi umenifungua sehem
@anitababz5465
@anitababz5465 6 ай бұрын
Nakataa ndoto ya kurudi shuleni katika JINA LA YESU AMEN AMEN 🙏🏻NO backwardness in my life in JESUS NAME AMEN 🙏🏻
@JoviethGeorge
@JoviethGeorge 2 ай бұрын
Asante🙏
@DaudiSita-rg3us
@DaudiSita-rg3us 5 ай бұрын
Ehe mungu niondolee ndoto chafu na ndoto za shuleni
@EsterPasco-yz7dk
@EsterPasco-yz7dk 5 ай бұрын
Asante sana kwa kunielewesha kuusu ndoto , mungu tusamehe
@Yunis-t5x
@Yunis-t5x 3 ай бұрын
Nakemea.ndoto mbaya katika jina la yesu
@VeronicaDesdery
@VeronicaDesdery 2 ай бұрын
Asantee nimeelimika
@LucyPaulo-qi3ro
@LucyPaulo-qi3ro 6 ай бұрын
Kwa jina la yesu nakemea ndoto mbaya kw jina layesu amen
@doricemrema2177
@doricemrema2177 3 жыл бұрын
Asante 🙏 saana mchungaji umenifungua saana AKILI kWA maFundosho yako, UBARIKIWE
@juliajuma296
@juliajuma296 5 ай бұрын
Asante sana ...kila wakati naota nikiwa shuleni na sanasana shule nilizo maliza
@jeremiaholtetia1435
@jeremiaholtetia1435 3 жыл бұрын
Amina sana Mtumishi wa MUNGU tusonge mbele tujifunze zaidi Mtumishi Wa Mungu
@elishajailosy8346
@elishajailosy8346 3 жыл бұрын
MUNGU. Akubaliki Sanaa mtm wa MUNGU na usje kuchoka Kaz hii
@Joeboe7
@Joeboe7 3 ай бұрын
Amen kwa elimu
@VisiaWilison
@VisiaWilison 5 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@janethlukuna8133
@janethlukuna8133 Жыл бұрын
Asante yesu kwa kutufunulia sir za ndoto
@MagangaMasunga
@MagangaMasunga 6 ай бұрын
Ahsant sana mtumishi hizi ndoto zinanisumbua sana mungu naomba msaada wako nisiwe naota ndoto nikiwa shuleni na kurudi nyumban ameen
@ashayahaya3109
@ashayahaya3109 6 ай бұрын
Asante sana mjoli wa BWANA kwa kunielewesha maana ya hizi ndoto maana zinanitesa sana na leo hii kupitia jina la YESU KRISTO ailiye hai zinaenda kuisha na imekuwa ivo kupitia yeye atutiae nguvu na si mwingine bali ni YESU KRISTO mkombozi wa maisha yangu🙏🙏🙏
@BARAKAWamara
@BARAKAWamara 4 ай бұрын
katika jina là yesu kristo
@lydiamose
@lydiamose 5 ай бұрын
Nakataa ndoto za kurud shule. In jesus name 🙏
@ruthmutisya6266
@ruthmutisya6266 2 ай бұрын
Nimekataaa doto za shule katika jina la yesu christo.
@EmmahKwamboka-qj1tb
@EmmahKwamboka-qj1tb 4 ай бұрын
Niondolee ya kurudi shuleni katika jina la yesu
@LizenMaker
@LizenMaker Күн бұрын
Thanks pastor.
@SabrinaJonathan-d7j
@SabrinaJonathan-d7j 18 күн бұрын
Ndoto,,hizo,zote,hizo,nimesha,ziota
@moreenmoreen376
@moreenmoreen376 2 жыл бұрын
bro mungu akubaliki sana unajua unasauti kama mirlad ayo nmeelewa sana bro amen🙏🙏🙏
@LuciehMugoh-n9v
@LuciehMugoh-n9v 2 ай бұрын
Shidwe pepo nyoka kwa jina la yesu
@DamarisGerald
@DamarisGerald 10 ай бұрын
Asante na ubarikiwe sana umenifungua na kunielimisha kuhusu ndoto ya shule imekuwa ikijurudia rudia na sikuwa na ufafanuz mzur juu ya tatzo shukran sana
CHANZO CHA ROHO YA UZINZI NDANI YA MTU // ACHA TABIA HIZI
15:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 70 М.
TAFSIRI YA NDOTO  KUOTA UPO SHULENI AU UNAFANYA MTIANI, NDOTO ZA KUOKOTA HELA, BY PST GODWIN NDELWA
6:30
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 165 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 7 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 35 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 138 МЛН
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 27 М.
#LIVE: DAY 02 // WASILALE MPAKA WAKUSAIDIE HAPO // WAKOSE USINGIZI
1:34:38
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 884 М.
HUWEZI KUOMBA? TAMKA MANENO HAYA NA MUNGU ATAKUSIKIA
16:05
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 269 М.
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 363 М.
MAOMBI YA KUTOLEWA GEREZANI // PETRO
12:33
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 669
ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
1:07:20
SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
1:06:15
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 65 М.
NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU
19:24
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 270 М.