Katika somo hili la ndoto chafu(Nightmares),Apostle Mtalemwa anasisitiza juu ya usiku unavyoathiri maisha ya ndoto. Mwishoni anaongoza maombi ya kukufungua katika ndoto chafu.
Пікірлер: 215
@naomkerubo98603 жыл бұрын
Kira pando lililojipanda ndani ya ndoto ninalingoa kwa jina la yesu, shetani hana mamlaka kwa maisha yangu
@naomkerubo98603 жыл бұрын
Kira ndoto lililopandwa kwa ndoto nangoa kwa njina la yesu
@user-gx9sq3hl1o7 ай бұрын
Mungu atuweke mbali na mapepo yote napokeya mahombi yako ni katika jina la yesu cristu amen
@joyblessing1913 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Ila hawa Wa Dada wakukuja kanisani wakivaa kama wanaenda club wabadilike kwa mivaliyo na mapambo yao kama vile bibilia inatuambia nakujibamba kwenyu kusiwe kwakusuka nywele na mavalio, na kuna majini na mapepo yanatuingilia kufwatana na mwenendo wetu. Mungu atuhurumiye
@ellymaz21872 жыл бұрын
@Sylvia Ngunya Amejaribu kuzungumzia mavazi. Kanisa limepuuza sana jambo hili, ila wadada wanatutesa na wabadilike. Hakuna kinachoshindikana kwa Mungu
@alphonceshija-cb3yp3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu kwa somo la ndoto Mimi binafsi nimefungulowa
@elizabethfatuma90532 жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana Tunapokea kwa Jina la Yesu
@swetalatupye299 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi kupitia SoMo la ndoto nimefunguliwa na nimejifunza kutokupuuzia ndoto
@joycegesare15713 жыл бұрын
Barkiwa sana bt sielewi hayo mafuta ulitumiani ya nn coz nguvu zako zatosha
@joycejumaa71813 жыл бұрын
Kilamapando yaliyopandwa Kwa ndoto zangu yakichawi yakuzimu ninayang'oa katika jina la Yesu
@rufinalucas-bv9ct Жыл бұрын
Asante sana ntumishi kwa fundisho lako, nina teseka sana na ndoto nchafu, ehee yesu nisaidie,Amin
@elizabethchales26633 жыл бұрын
Kila pando alilopanda adui kupitia ndoto naigoa kwa jina la yesu adui ana nafasi kwangu
@joyceemanuel43432 жыл бұрын
Asante sana kwa aya mafundisho Mungu nisaidie niweze kubadili muda wangu wa kulala na kufanyia kazi ndoto.zote za kipepo na najua nimefunguliwa kutoka kwenye ndoto ya kupoteza vitu ktk jona la Yesu.
@felisianailomo2339 Жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi kwajili SoMo limeningusa sana mala nyingi naota ndoto nasahau nilicho ota
@siakiwelu32554 ай бұрын
Kila pando ambalo halijatokana na Mungu i cammand it out in Jesus esus name
@ynyynyyny7 ай бұрын
Nakupenda sana nakuelewa sana man of God
@rispathequeen3 жыл бұрын
Kila pando mbaya lilijipada kupitia ndoto nalingoa katika njina la Yesu. 🇰🇪🇶🇦
@irenemburuma80292 жыл бұрын
Baba nashukuru wakati unaomba nimefunguliwa Naomba Mungu aniwezeshe katika kuikabili zamu yangu wakati wa usiku Mungu akujaliye Maisha Marefu Apostle yenye furaha
@emmanuelmtonyole99583 жыл бұрын
Mungu akubariki Apostle binafsi huwa naota nipo shuleni Mara nyingi sana sielewagi maana yake
@solangesoso31002 жыл бұрын
Ninamshukuru sana Mungu kwa ajili yako mtumishi wa Mungu
@penuelfullsalvationchurch33503 жыл бұрын
Naona mafanikio makubwa xana kwako mtumishi ...Mungu aendelee kukupa maarifa juu ya ufalme wa mungu
@williamkirway46203 жыл бұрын
Neno la mungu ni Nuru,na tumwombe roho mtakatifu awe msaidizi wetu,tulalapo usingizi malaika walinzi watulinde na yule movu ibilisi,tumshinde ktk jina la yesu.
@josephkarisa Жыл бұрын
Amen amen be blessed mtumishi
@bahatijohn19583 жыл бұрын
Upo sawa pr Mungu akubarik sna
@josephinechaildofgod53712 жыл бұрын
Man of God 🙏🙏🙏🙏 bless you so much umenigusa sna wcha ni muinuwe mwana wa nazareti
@happynessisack79182 жыл бұрын
Mtumishi naota sanaaaaaa kweli nifanyeje
@user-ro2fl1py6m6 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@Estherm3092 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 muchugaji nimejifunza
@irenemburuma80292 жыл бұрын
Nabadilika kwa damu ya Yesu
@trainerezekielyessauulungi77842 жыл бұрын
Kina Aina ya pando la shetani juu ya ndoto zangu nakataa kwajina la Yesu fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kila Aina ya ndoto chafu juu ya ndoto zangu kwajina la Yesu fire 🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥 Ameen
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
FIIIIIIIREEEEEE!!🔥🔥🔥🔥MAPANDO YOTE MAGUGU YOTE KTK NDOTOOO FIREEE🔥🔥🔥KTK JINA LA YESUUUU🔥🔥🔥🔥
@numpereuben817211 ай бұрын
Asante Yesu kwa neno hili
@elizakaveke9933 жыл бұрын
Be blessed very powerful teaching nakusikiza nikiwa saudia arabia from kenya
@sarasarunguraru81952 жыл бұрын
me too
@dennismokua87043 жыл бұрын
Nakupata nikiwa Kenya amein
@jaredmayaka29933 жыл бұрын
Amen Amen pastor all the dreams you have teaching as consider me please pastor when you pray remember as I wish one day God make her away to came our homeland Kenya may God proctor you always so that we can learn to much from you 🙏🙏🙏🙏🙏
@wamburajoseph96912 жыл бұрын
Nimefunguka kwa kiwango kikubwa
@judithelias70683 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili ya mtumishi wake pastor Mtalemwa kupitia wewe nimeweza kujifunza namna ya kudeal na ndoto chafu na pia kukesha kwa ajili ya Mungu
@andrewpetro12122 жыл бұрын
Nakuelewa Sana Kwa mafafanuzi yako
@jossykemu7553 жыл бұрын
Ndoto zanisumbua Sana na huwa nyinginezo Sina happen lakini kwa mafundisho niliyosikiza Leo nakemea hizo ndoto kwa Jina LA yesu fireeeee🔥🔥🔥🔥🔥
@dottosahani39733 жыл бұрын
Hakika ww uliletwa kuwa baraka kwetu, mungu akubariki sana mtumishi
@suzzyjohn62673 жыл бұрын
Asante Baba...Na mimi niliota ndoto chafu usiku wa kuamkia leo ila sasa naamini nimefunguliwa ...Nashukuru kwa hili somo na maombezi...
@haidaryashock1793 жыл бұрын
The son of major provovo in Tanzania. Asante kwa Hili somo. Kuanzia Leo usiku utapata muhaho.
@consolataraymond48223 жыл бұрын
😀😀amen
@bejishful3 жыл бұрын
Kila pando la ndoto chafu kauka na ung'oke kwa Jina la Yesu! Amen
@elidanyigu54503 жыл бұрын
Be blessed prophet
@emmanuelwith18122 жыл бұрын
Mungu akubaliki
@roselyneorengo76032 жыл бұрын
Basi mimi sioti ndoto kabisa ata nikaota inapotea hivio...
@montteyfloki39533 жыл бұрын
I'm blessed hakika
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
KILA NDOTO CHAFU NIMECHOKA!!COME OUT!FIRE🔥🔥NAKATAA MAPANDO YOTE YA GIZA NA USIKU WAO!!KUZIMU,ANGANI,ARDHINI NA WA MAUTI!! COME OUTTTTT🔥🔥FIREEE🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@doreennyongesa77853 жыл бұрын
Napokea uponyaji kutokana na ndoto mbaya kwa jina la Yesu sasa hata milele amen.🙏
@janethmukala863 жыл бұрын
Mimi naomba uniombee mtumishi wa Mungu maana naota Sana naongea na ndugu zangu waliokufa na hali yangu sio nzuri kabisa kiuchumi,mahusiano naomba maombi yako .
@bettymuks70723 жыл бұрын
Mimi Nina hiyo shida ya ndoto chafu sana😢
@annamapunda6569 Жыл бұрын
Ndoto. Chafu na mtalemwa
@rhodamwita33 жыл бұрын
Apostle njoo Musoma tusaidie
@celinekenedy8703 жыл бұрын
Nimepata kitu ubarikiwe sn👐👐🔥🔥.
@nanapega39083 жыл бұрын
Jamani wazimu nisaidie mimi Nina ndoto mbaya kila siku ila leo mungu ataenda kazi
@itaelnanyaroministries70643 жыл бұрын
Na ufunguliwe Kwa jina LA Yesu
@neyhmrs77042 жыл бұрын
AMEEN
@blessedgladys28392 жыл бұрын
Amen..asante sana kwa mahubir nimebarikiwa na kujifunza kitu .Very powerful teaching 🙏.
@swaumuabadalah53543 жыл бұрын
Mungu naomba niondaleee mapando ma baya oooooyes🍇🍇🍇
@phoebekeya603 жыл бұрын
Amen my daughter valarie vigehi is doing all this things I'm watching from Kenya I need your help man of God my life is spoiled
@revshadrackmasanja41183 жыл бұрын
Fireeee in Jesus name
@veronicawangari61082 жыл бұрын
God has placed u apostle for this end times just like Easter may he empower you even in the whole world,may he give you grace and walking favour triple annointing to impart nations
@reymasenya64503 жыл бұрын
Nangoa Mapando Mabaya Kwenye Ndoto
@gracekamendu79953 жыл бұрын
Aise nashindwa nisemeje juuu yako pastor lakin Mungu azidi kukutumia na kukuinua Kwa viwango vya juu mnoo unafungaaa Sanaa watuu wanapokea uponyaji sanaa
@janiffermueni32133 жыл бұрын
This is an eye opener more grace pastor
@pastorabellukumay65923 жыл бұрын
Thank you chief what an amazing teaching you have corrected alot of this concerning my understanding of dreams
@myfairskintz3 жыл бұрын
💪💪💪powerful dady. God bless you
@doreennyongesa77853 жыл бұрын
Barikiwa kwa huo huduma wa ndoto mutumishi wa Mungu .
@nancynasambu42243 жыл бұрын
This is a unique teachings, be blessed MOG, tangu nikutane na mafundisho yako KZbin,sichoki kukufuatlia, nimejifunza sana kwako thanks mtumishi 👏
@suzanfusi38773 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu .Mungu akubariki sana kwa mafundisho mazuri yanayo tufungua
@user-ek4hd6zr2r8 ай бұрын
Asante mchungaji ❤
@hellenmwenda49712 жыл бұрын
Ameen mungu nifungue kwa jina la yesu
@nancylukela24682 жыл бұрын
Powerful message to me my God bless you. Man of God
@episonfelician76703 жыл бұрын
Apostle Mtalemwa Mungu azidi kukuinua katika HUDUMA yako
@joelsagide9607 Жыл бұрын
Umenielimisha pakubwa
@krafydrafy78543 жыл бұрын
Changes ni pamoja DELIVERENCE 🙌 I stand up in Jesus name
@betrs52853 жыл бұрын
Amen, God bless you mm huota napanda mlima mrefu sana but nkifika karibu nakuumalza huwa siwezi nashindwa siwezi rudi chini coz huko nakuona nimbali nabaki hapo halafu kunatokea watu wananishika mkono wananivuruta ninamaza kuupanda hiyo ndoto yajirudia rudia kila wkt
@anyangojesinter58883 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa huu ujumbe nina uwezo wa kuona 🔥🔥🔥
@user-cg1wb3jj2n2 жыл бұрын
Thank so much pastor 🙏🙏🙏
@reginawangui88643 жыл бұрын
Man of God you ask people of God something good may God bless you,
@nancymwake1148 Жыл бұрын
Amen
@beatricehenry67763 жыл бұрын
That is a good sign kwamba unaweza kuota Amina
@madinanakwawi15953 жыл бұрын
Thanks man of God, hakika nimefuatilia mafunzo yako mpaka na hizi kufunguka fahamu zangu
@janejuma97723 жыл бұрын
Am blessed from Kenya
@adoniaceisaya7003 жыл бұрын
Ulilala Zaidi ya masaa8 kwa Wanaume wanajua kinachotokea!!!!Ndoto Nyevu
@jeremiamathayo82843 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Apostle,umenifundisha na nimeelimika.
@esthercharles22103 жыл бұрын
Powerful Message I connect in JESUS name
@fortunatusjoseph75613 жыл бұрын
Mungu akupe uhai marefu man of God
@keniyakeniya95813 жыл бұрын
Powerful message be blessed apostle
@anyigulilemwaigomole30123 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@janethcharles75943 жыл бұрын
Amen,,nitaota yaliyo mema
@esterntandu19993 жыл бұрын
Mwanangu aliota anakimbinzwa Na mbibi alivyoshtuka akawa anatetemeka Kwa baridi,chief naomba umuombee mwanangu
@hendrykingmecky39223 жыл бұрын
Amen nimefunguliwa katika jina la YESU amen amen amen
@gladysgladys73933 жыл бұрын
It's true servant of God now it's a challenge to me
@judithkabyazi14712 жыл бұрын
MUNGU AZIDI KUKUINUA MTUMISHI ,NIMEJIFUNZA MENGI KUTOKA KWENYE MAFUNDISHO YAKO
@vickiemerere40563 жыл бұрын
Mimi naotaga ndoto mbaya tu DEVIL URE A LIAR Mapando yote ng'olewa leo kwa jina la YESU
@carolinebulemi47943 жыл бұрын
Ndoto mbaya kwa jina la yesu catch fire fire fire
@mariamzambi19953 жыл бұрын
Amina mtumishi. Mimi nilichomwa sindano usiku mkononi na kuchanjwa chale usiku. Kupitia maombi haya nimekombolewa kwa jina la Yesu.na kwa damu ya Yesu Amen.
@gracekamendu79953 жыл бұрын
Amina Amina Amina mtumishi asante Kwa kunifungua
@honestyminde55193 жыл бұрын
Be blessed so much Man of God. Thank you very much for this revelation, Indeed I'm impacted by this.
@blessingollympia89363 жыл бұрын
Q
@noorlenetv2 жыл бұрын
Awesome, Be Blessed Brother, This is Must Watch/Learn!
@rehemamwabukusi11083 жыл бұрын
I hear u well well
@elizabethchales26633 жыл бұрын
Asante Baba mungu akuinue naanza upya
@sarahwaswa58193 жыл бұрын
Asante mungu kwa mafundisho haya mazur
@vickymahanga77343 жыл бұрын
Kila pando alilopanda mwovu kwenye ndoto nang'oa ktk jina la YESU
@mackymneney99353 жыл бұрын
Àsàñte sàña
@esterntandu19993 жыл бұрын
Kila pando lililopandwa Na adui nangoa Kwa jina la YESU