No video

VIONGOZI KUMI WA AFRIKA Waliojitoa SADAKA na kuandika HISTORIA KUBWA DUNIANI hawa hapa! MAGUFULI

  Рет қаралды 207,787

Tricod Media

Tricod Media

3 жыл бұрын

VIONGOZI KUMI WA AFRIKA Waliojitoa SADAKA na kuandika HISTORIA KUBWA DUNIANI hawa hapa! MAGUFULI
Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE www.youtube.com...

FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
/ tricodmedia
LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
/ tricod-skills-11524157...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
/ tricodskills
#MsibaMagufuli
#Mazishi
#Magufuli

Пікірлер: 355
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Utata wa KIFO CHA DMX Akutana na SHETANI FREEMASON wampa umaarufu Amrudia MUNGU Apoteza NAFSI YAKE kzbin.info/www/bejne/e57aZJJ5mb93iJo
@kritterlovers4578
@kritterlovers4578 3 жыл бұрын
Naomba raisi magufuli aandikwe kwenye SoMo la historia ili vizazi vijavyo vijifunze uzalendo aliotuachia Kama na ww umeliona hili weka like
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Nakubaliana na wew
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 3 жыл бұрын
ni kweli ndugu
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
Tena tuhubiriwe hata makanisani kama alivyo ishi Rai MANGUFULI
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 3 жыл бұрын
Haswaaa
@aljimmykabumbabinazam9904
@aljimmykabumbabinazam9904 3 жыл бұрын
Mungu awalaze pahali pema peponi wa baba zetu... Anaye wakubali agonge like ili tu zidi kuwa kumbuka
@alickomtitu2714
@alickomtitu2714 3 жыл бұрын
Nice
@benardkaragu4530
@benardkaragu4530 Жыл бұрын
Rais Kenyatta alinyanyasa nakuwanyima machamba walio msaidia
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 3 жыл бұрын
Tunataka tarehe 17/3/2099 iwe magufuli day east Africa
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Hahahaha
@simonmhanje8251
@simonmhanje8251 3 жыл бұрын
17-3-2021
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 2 жыл бұрын
JPM and Mwl J k Nyerere
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
East Africa kwa lipi?.
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 2 жыл бұрын
@@makelemohuya2723 Nyerere alikuwa kiongozi bora sana kwa mataifa yote yaliyokuwa kusini mwa afrika,wakumlinganisha naye hayupo.
@dsshirima77
@dsshirima77 3 жыл бұрын
Magu anastahili kukumbukwa. Afrika na Dunia Nzima.
@andersonmunga6363
@andersonmunga6363 3 жыл бұрын
Ndio
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Jee aliowaua jee hatuwakumbuka?Huo si unafiki na roho ya kichawi?Magu kauwa watu kibao tena kwa uonevu tu kama Ben Saa Nane,Azory Gamba nkUsijitoe fahamu na kujitia ujingani.
@samirazuberi186
@samirazuberi186 Жыл бұрын
Maulidi Muhammad huna hata aibu😁😁😁
@jameskenny1808
@jameskenny1808 3 жыл бұрын
Bila shaka magufuli ana ongoza kwauongozi bora na uzalendo, na muafrika kamili
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
Magufuli zake ni kiki alikuta kila kitu juu ya meza ameekewa na kikwete
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 Жыл бұрын
@@bableeyzabdalla531 acha usenge
@user-fp9ye4vv3y
@user-fp9ye4vv3y Жыл бұрын
​@@bableeyzabdalla531hovyo kabisa
@ezralugakila
@ezralugakila Жыл бұрын
Magufuli namba one
@rosemongi5273
@rosemongi5273 3 жыл бұрын
Sana tuu Maguful ni no1
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Kweli kabisaaaa
@Michael-ne6wh
@Michael-ne6wh Жыл бұрын
Magufuli ni iron Man
@Michael-ne6wh
@Michael-ne6wh Жыл бұрын
Tuwe makini watanzania
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Kwa kuuwa watu wanyonge kama Been saa Nane,Azory Gambo gigo hayo majina utaona,kumpiga tundu Lissu risasi kwa uonevu,
@kinyilaiyakobo40050
@kinyilaiyakobo40050 Жыл бұрын
Magufuli rais ya wanyonge tunakumbuka sana Tanzania
@chesadennis254
@chesadennis254 3 жыл бұрын
MAGUFULI!
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 2 жыл бұрын
Jpm 100% hatuwezi kumusahawu alikua the best of 20,s wale wengine walikua 19,s yrs
@selemanikazingini5566
@selemanikazingini5566 Ай бұрын
Magufuli namba moja shujaa niliyemshuhudia sijaadisiwa rest easy magufuli
@user-ob6vt2jx5c
@user-ob6vt2jx5c 11 ай бұрын
Maguful tunamkumbuka daima mungu amlaze pema pepon chema akidumu
@maimunaabdalla7146
@maimunaabdalla7146 3 жыл бұрын
Yeeees!!!magufuli ashaimgiya kwa record ya maraisi wasompa mzungu n afasi yakumgandamiza mwaafrika,vile vile alikua raisi asopenda omba omba wazunu.
@fridasky1019
@fridasky1019 3 жыл бұрын
Yes magu ndio ameniliza from Burundi Ila sio kina Kofi anani vibaraka wawazungu
@rosemongi5273
@rosemongi5273 3 жыл бұрын
Rais pekee aliye tuambia nchi yetu sio masikin na akatuonyesha kwa vitendo jinis tulivyo matajiri njia zote katupitisha mungu wetu mlaze mahali pema peponi.
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Aminaaa
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 3 жыл бұрын
Amiin
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 3 жыл бұрын
Amiin
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 3 жыл бұрын
Amin yaaraby❤️💕♥️
@mahedasayi7232
@mahedasayi7232 2 жыл бұрын
66
@estherosore6415
@estherosore6415 2 жыл бұрын
in the name of God like our heroes in all Africans God bless our country with African
@jumamrange
@jumamrange Жыл бұрын
Magufuli ni mmoja wa viongoz watakaokumbukwa barani afrika
@jumaally279
@jumaally279 Жыл бұрын
Jpm aingie moja kwa moja kajitoa sadaka kwa watanzania hasa wanyonge
@mussarassuli7918
@mussarassuli7918 3 жыл бұрын
Mbona Gadafi hujamuweka wew umeharibu video njima, Gadafi ndo Chuma namba moja
@saumsalim9966
@saumsalim9966 3 жыл бұрын
Namshangaa
@estherkasua5645
@estherkasua5645 3 жыл бұрын
Ukweli😳 kwani hamunjui Gaddafi
@goddymac2418
@goddymac2418 3 жыл бұрын
Gaddafi ndio jembe la majembe
@piliayooo7534
@piliayooo7534 3 жыл бұрын
Kabisa Gaddafi anastahili kukumbukwa.
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Kweli ingetakiwa awepo na yeye
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
Iweisiwe Magufulificationof Africa iposiku watanzania lazimawataazimishakumbukumbuyake haiwezekani mwanapanduzi wauchumitenakwamudamufupisana nchi ilibadilika sana kiuchumi.
@pacifiquejuma163
@pacifiquejuma163 3 жыл бұрын
Ndiyo Makufuli atakumbu kwa sanatu kwakuwa yeyendiyehalikuwahanatumika na Roho zavihongozi wazamani na Mungu alikuwa anatuhonyeshi jisi marahisi wazamani gisiwalikwa wanatuteteleya Africa kupata rahisi kama Makufuli inahomba sanatu mpaka myaka 30 tenandokutapatikana Rais ka Makufuli lakini kwasasa akutapatikana kamwe
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Жыл бұрын
Magufuli Shujaa,Jasiri,Mzalendo,atabaki kuwa alama Afrika,Dunia,ni miongoni mwa Viongozi wanaokumbukwa Duniani
@healthynation2125
@healthynation2125 3 жыл бұрын
HII VIDEO HAIJAKAMILIKA BILA MKUU MUAMMAR GADDAFI
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Kabisa
@saidimandala8342
@saidimandala8342 Жыл бұрын
🇹🇿J P M ♥️🖤 😭😭😭😭😭
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
UWIII NYERERE ALIJITOA SANA NA HATA FAMILIA YAKE WANAISHI MAISHA YA KAWAIDA.ILIIPENDA NCHI KULIKO YEE MWENYEWE.ALIITENGENEZA TZ KWA GHARAMA YA MAISHA YAKE NA AFRIKA KWA UJUMLA
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Kweli kabisa Nyerere hatutamsahau na ndiye aliyemzaa Magufuli watu hawa wawili Kama Baba na Mwana! Mwenyezimungu awajalie pepo isiyo na mwisho! Amina
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
@@subirajohn728 Hatutamsahau kwa nchi alivoiyacha kwenye lindi la umasikini huo ndio uzalendo wa kiafrika
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
@@bableeyzabdalla531 Abdallah unajua Kwa nini nchi za kusini mwa Africa hawawezi kuisifia Tanzania bila kutaja Nyerere Kwa sababu alitumia kila liwezekanalo ili katika nchi hizi ziwe huru yeye na yeye alitaka Africa yote hili huru alipambana kwa Hali na mali kuhakikisha nchi zote zilizokusini mwa Africa zinajitawala pili wazungu walituingiza kwenye vita na Iddi Amin kwa sababu walituona uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa kasi kwa hiyo wakaona namna gani watatushusha wakaleta fitna tukapigana na Idd Amin hapo ndipo tulipoporomoka sana na Baba yetu hakuwa na la kufanya lakini Kwa mapenzi makubwa alisomesha watu mbalimbali kwaajili ya kutaka lasilimali zetu tuzimiliki Sisi wenyewe hakuruhusu mtu yeyote wa kuiba rasilimali zetu ikiwemo madini yetu alijua yatatunufaisha wajukuu zake kama sisi na bahati sasa tulimpata Magufuli haliweza kusimamia vyema na kufuata maagizo ya Hayati Julius Nyerere na ndio maana tunamwita BABA wa TAIFA!
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
@@subirajohn728 Sema hivi nyerere alifuja kodi zetu kuwapa nchi nyengine wapate kutawala ili wauwe weusi wenzao kama tunavoona msumbiji wanavouwana zimbabwe ilikuwa inaongoza duniani uzalishaji wa mahind hivi sasa wanangoja misaada hiyo ndio faida ya utawala wa Afrija Kupigana na Idi Amini sio wazungu umuongo ni fitna za nyerere na chuki aliokuwa nayo kwa Idi Amini kwanza alimchokoza kenyatta mpaka ilifikia mawaziri wote waliwambia kenyatta ampige nyerere kenyatta akawambia mawaziri wake mtu mjinga muwache na ujinga wake tukipigana nae tutaonekana sote tuwajinga ndio nyerere kwa kumsikiliza obote akapeleka fitna kwa Idd Amini hakuna mzungu aliepiganisha na uchumi ulikuwa ushakufa alipokuwa akichukua pesa akiwapa nchi nyengine wapiganie uhuru je aliemwambia afukuze wawekezaji alikuwa nani viwanda vote aliviwa ulimwenguni tukiongoza uzalishaji wa mkonge mbona ulikufa na mashamba ni yetu ama nayo wazungu walienda nayo ccm ndio mhusika mkubwa kuuwa uchumi
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
@@bableeyzabdalla531 SASA HAYO YA KWAKO SIWEZI ZUIA MTAZAMO WAKO NA MAONI YAKO KILA LA KHERI NDUGU YANGU!
@misomisomisoji7722
@misomisomisoji7722 3 жыл бұрын
Robert Mugabe ungemuweka katika list
@lamnyakikuney7434
@lamnyakikuney7434 Жыл бұрын
Magufuli mungu akulaze pema pepini
@JosephMsanga-vl3ug
@JosephMsanga-vl3ug Жыл бұрын
MUNGU Azilaze Roho Zao Marais Wetu Hawa Pahala pema Peponi. Mungu Mwenyewe Awasamehe Dhambi Zao.
@kelvinmtavangu7701
@kelvinmtavangu7701 Жыл бұрын
RAIS MAGUFULI ATAKUWA MIONGONIWA VIONGOZI WA KUKUMBUKWA AFRIKA NA DUNIANI. MFANO: KIJIKOMBOA KWA KUJITEGEMEA. KWAMBA JPM ALISEMA: TANZANIA SIO NCHI MASIKINI. MABEPARI WALITUDANGANYA WAKAIBA RASILIMALI ZETU. R.I.P. J.P.M.
@petersonem150
@petersonem150 3 жыл бұрын
Jose napenda kazi yako lakini Kenya hatuna viongozi ni wanasiasa tu.Tanzania is a country of it's own.I love TZ mnaishi kwa amani,upendo na mwaona mbali.Come to Kenya CORRUPTION NA UBINAFSI ULIOPITILIZA
@stevenngoga1784
@stevenngoga1784 3 жыл бұрын
Kwanini ndugu?
@josephineomutanyi8122
@josephineomutanyi8122 3 жыл бұрын
kenya wizi mtupu na unafanywa na watu walio juu mamlakani
@petersonem150
@petersonem150 3 жыл бұрын
True
@allyfutto8763
@allyfutto8763 3 жыл бұрын
Iwe mwisho wa kuwauwa mashujaa wetu kwa faida ya watu wachache. Mfano utulewe kupitia JPM ichunguzwe itabainikaTu technology iliyoposasa inawezekana kubainisha ili kueatowa uoga viongozi wajao🧿🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Jee mamia ya watu aiowaua yeye jee?Wako wapi Ben Saa Nane,Azory Gamba,kupigwa risasi kwa Tundu Lissu,Watu waliouliwa na makundi yake ya kihalifu ya watu wasiojulikana.Usiangalie Magu tu uangalie na aliowaua maana wote wana thamani sawa hakuna binadamu alio juu ya mwenzake.Usijitoe akili wewe.
@samirazuberi186
@samirazuberi186 Жыл бұрын
@@maulidimuhammed7851 huna lolotee koment nyingi hapo niwatu wanamkumbuka.. Kwani wewe uliuliwa nani? Mama yako au baba yako
@cleofasnyoni3836
@cleofasnyoni3836 3 жыл бұрын
Tumia sauti yako, acha kuiga sauti za watu wengine. Kazi nzuri
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Kama ni mgeni na unsisikia sauti kwa mara ya kwanza karibu sana
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story power sana 👏
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Asante sana
@charleszmgonde753
@charleszmgonde753 Жыл бұрын
Ila kweli hàta Mimi namuunga mkono mjumbe kuwa tar,hiyo iitwe magufuli day na ikiwezekana tuwetunaazimisha sikuhiyo
@Michael-ne6wh
@Michael-ne6wh Жыл бұрын
Watanzania tumuombee shujaa , jembe,nyundo dk John pombe magufuli
@phillyshigi6865
@phillyshigi6865 3 жыл бұрын
Anastahili akumbukwe daima na dunia nzima
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Kweli kabisaaaa
@maulidimuhammed7851
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Ee tutamkumbuka kweli maana kafany maovu na ushenzi mwingi dhidi ya binadamu wenzake kama kuuwa,kuteka,kupiga watu risasi,kudhulumu watu mali zso kwa nguvu,kuteka na kupora kama yaliyomkuta Moo.Wako wapi vijana wawatu akina Ben Saa Nane,Azory Gamba nk.Kawauwa watu wengi sana,kweli hatutomsahau kwa unyama wake dhidi ya wanyonge.
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 3 жыл бұрын
Jomo Kenyata nyerere Mandela hao toa humo hujuwi kitu, Thomas sankara, lumumba, mkwame nkuluma, magufuri, gadafi, haile selasi, samola masheli, hao ndiyo miam à siyo kina nyerere na kinyata
@saumsalim9966
@saumsalim9966 3 жыл бұрын
Uyu Ata yuasema yake uyu namshangaa ety kenyatta, 🤣🤣Hyo alkua mwizi tu
@goddymac2418
@goddymac2418 3 жыл бұрын
Mandela yupo sawa lakini sio Kenyatta
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 3 жыл бұрын
Inaonekana hata wewe hujui lolote labda ungesema Kenyatta na Mandela lakini sio nyerere... Nyerere anamchango mkubwa sana katika ukombozi wa bara la Afrika hasa kusini mwa bara la Afrika,pia ni mmoja Kati ya waasisi wa umoja wa Africa OAU ambayo ni AU kwa sasa...amewalea wanaharakati wote wa ukombozi katika nchi za kusini mwa Afrika kuanzia Samora Machel wa mozambique, Kenneth Kaunda wa zambia, Dr Sam Nujoma wa Namibia, Dr Kamuzu Banda wa Malawi, kina Steven Biko wa south Africa na wengine wengi.....
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Wewe usiongee chochote kuhusu Nyerere alijitoa Sana Kwa ajili ya Africa na alipambana kupigania Uhuru wa nchi mbali mbali za Africa!
@faithnyaboke499
@faithnyaboke499 3 жыл бұрын
Kenyata alikua mporaji hiyo ndo isitoria yake
@zamukahemele1505
@zamukahemele1505 Жыл бұрын
R I P. Jpm tutakukumbuka daima dady
@dotytydo2342
@dotytydo2342 3 жыл бұрын
Hiyo ya kenya itafute hiyo history vizuri na rekebisha pia weke ghadafi
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Sawa ntafanya hivyo
@subirajohn728
@subirajohn728 3 жыл бұрын
Kweli Gadafi!
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 2 жыл бұрын
JPM alikuwa super genius praisedent
@donaldchacha9525
@donaldchacha9525 Жыл бұрын
Na Samora Machel wa Msumbiji
@stellanzioka1687
@stellanzioka1687 3 жыл бұрын
Mimi nilijua huu upuzi utatokea kwa YuoTubu baada ya Raisi magifuli kufariki dunia eti alikuwa mlluminate, Mimi sikubaliani nanyi, Nyinyi ni watafutaji pesa tu kwa KZbin.
@servaciosamadu82
@servaciosamadu82 Жыл бұрын
Usipomkumbuka jpm sio kweli hujamaa wamemuua
@duncangatundu1397
@duncangatundu1397 3 жыл бұрын
Big No to Kenyatta
@francismwangikamau5998
@francismwangikamau5998 3 жыл бұрын
Your name bettering you
@user-vk9ne5mw4q
@user-vk9ne5mw4q 8 ай бұрын
VIVA Bravoo Lumumba
@user-yl7bh4xe2d
@user-yl7bh4xe2d 5 ай бұрын
Toa Kenyatta
@ELISSKGTV
@ELISSKGTV 3 жыл бұрын
JOMO KENYATTA,MWANZILISHI WA TAIFA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍
@makenaOG
@makenaOG Жыл бұрын
Huyo aliiharibu Kenya kwa ukabila na tamaa binafsi
@paulhando6286
@paulhando6286 Жыл бұрын
JPM hana pingamizi jatika list hiyo. Kafanya maajabu japo tunamacho ila hatuoni
@ramadhanmusa2035
@ramadhanmusa2035 3 жыл бұрын
Jomo mwizi 2 wewe mtangazaji hujielewi twa mkumbuka na uporaji
@kennedyogayo5180
@kennedyogayo5180 3 жыл бұрын
Toa kenyatta kwa hiyo list please.
@azizimangara9024
@azizimangara9024 Жыл бұрын
Gadaf mbona ajamtaja
@josephonyango8267
@josephonyango8267 3 жыл бұрын
Kusema ukweli jomo kenyatta hapo umenoa
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@frankgibson1419
@frankgibson1419 3 жыл бұрын
Apo kwa Kenyatta umetudanganya kabisa.
@alfredbomani8047
@alfredbomani8047 Жыл бұрын
Hapana sikubaliani na kuweka kwa Kenyatta. Anaweza kujitoa kwa inchi yake lkn siyo kwa Africa. Halikuwa kipaumbele Magufuli anastahilu watsbishia kwa sasa lkn muda inaonyesha na watakuja kumkubali. Hata Kwame walimsema ovyo hata Kamdela walimkandiz Kwame anawapendelea na kuwabeba wazungu.
@asmahiha6815
@asmahiha6815 3 жыл бұрын
Wakenya hawaishi kiuzalendo toka kenyatta alikuwa dikteta sana mpk ikifika uchaguzi ni lazima damu imwagike ni amani ama uzalendo kenya nchi ya udikteta
@andrienimbona2421
@andrienimbona2421 3 жыл бұрын
Big up
@user-ci9ku8xn1o
@user-ci9ku8xn1o Жыл бұрын
Hakika JOHN POMBE MAGUFULI utakumbukwa kila leo katika AFRIKA nzima hasa AFRIKA MASHARIKI na TANZANIA kwaujumla
@rosekemunto660
@rosekemunto660 3 жыл бұрын
Mimi huyu.mwanamke kutoka kenya Japo mdogo nawalia sana wake walio wawa kwa kutetea inchi ya Afrika. Sasa hivi tuko na viongozi ambao hawaelewi mambo. Rest in peace Raisi magufu. Amani upendo uduma Afrika kwa wakristo wote.
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@edwardlucas8912
@edwardlucas8912 3 жыл бұрын
Good story
@reazahmohjey7724
@reazahmohjey7724 3 жыл бұрын
Jomo Kenyatta mtoe kwenye orodha.
@mariamnamwa188
@mariamnamwa188 3 жыл бұрын
😅😅
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 3 жыл бұрын
@@mariamnamwa188 hahahaha hana vigezo
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 3 жыл бұрын
@Athuman Fuko ukifuata hivyo basi na Magufuri mbona alijitwalia mali nyingi zikaenda chato. Kwahiyo tusihukumu kwa vigezo ambavyo nasisi tunavyo
@healthynation2125
@healthynation2125 3 жыл бұрын
Amweke Kimathi Dedan
@FrankJulius-ou7op
@FrankJulius-ou7op Жыл бұрын
Bradha - samahani kwa hili ninaloandika, binafsi mimi ni mwalimu wa historia, Broh kama ungeweza kuchunguza kabla ujaachia makala ingekua vyema Kwame Nkurumah - aliingiza ghana kwenye shida kubwa, naamini kuna vitabu vingekuongoza vizuri sana hata vya stori tu ingekupa mwangaza, Ghana ilioza kipindi cha Nkurumah "the beautiful one are not yet born" kiliandikwa kwa ajili yake Jomo kenyata - fatilia pia historia yake vizuri, hakua kiongozi bora wa kenya, alisababisha migogoro ambayo mpaka leo hii Kenya ina ukabila. Koffi Annan - ameshindwa kutatua migogoro mingi iyopelekea vifo vingi vya watu syria, Darfur, Iraq , somalia, sudan, misri, Nigeria nk. alikua papet wa USA. Keneth kaunda - baada ya kutoka madarakani alikabiliwa na kesi ya wizi, mauaji na rushwa. Hawezi kua kwenye hiyo list
@irenelukale9293
@irenelukale9293 3 жыл бұрын
Where is Jaramogi Odinga?
@lamnyakikuney7434
@lamnyakikuney7434 Жыл бұрын
Magu tunakukumbuka lakn tunakuombea sana
@faithnyaboke499
@faithnyaboke499 3 жыл бұрын
Jomokenyata no mtoe apo plz
@tida3727
@tida3727 3 жыл бұрын
Hata nimeshangaa pia
@eralenganyaerale7731
@eralenganyaerale7731 3 жыл бұрын
Ata Mandela atolewe hapi
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 3 жыл бұрын
Ungemtoa Jomo Kenyatta ukamuweka Dedan Kimathi huyo ndo alikua kiongozi wa harakati za ukombozi nchini kenya akiwa na kundi la mau mau...Kenyatta mbinafisi alijitwalia aridhi ya wakenya baada ya walowezi kurudisha aridhi serikalini na ndio kiongozi aliopandikiza ukabila nchini kenya
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Kabisa
@johndonald3685mashinyali-ty6kc
@johndonald3685mashinyali-ty6kc Жыл бұрын
Magufuli akumbukwe nae na andikwe kwenye kumbukumbu ya maraisi mashujaa
@kareembashir4064
@kareembashir4064 3 жыл бұрын
Kenyatta hapana alikuwa na tamaaa ya mali
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Hahahaha
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
Kenyetta alikuwa na tamaa mbona nyerere asiekuwa na tamaa uchumi wetu ulikufa fofofo
@mussanassoro552
@mussanassoro552 Жыл бұрын
Jpm ni mwamba
@michaelmaluni2327
@michaelmaluni2327 Жыл бұрын
Kwa hii orodha yako tafadhali ongezea Mama Winnie Mandela. She is the real mother of Nation of South Africa
@khanakwasarahlydia2190
@khanakwasarahlydia2190 3 жыл бұрын
Hi I stori ni ninzuri sana asante sana mungu akubariki
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Aminaaa
@salehhilalimohamed9388
@salehhilalimohamed9388 2 жыл бұрын
Napenda misimamo ya viongozi
@billian1914
@billian1914 Жыл бұрын
Tafadhali napenda video yako Lakini mimi ni mkenya asili Nakuomba ondoa Mzee Jomo jina lake Kenyatta hapo kwa List . Sioni alifanya kazi gani huko Kenya. Kenyatta alishindwa kutu Unganisha pamoja , makabila mbali, mbali kwa sisi Wakenya. Mara nyingi tuko pamoja, mara Nyingi hatuko pamoja (ametuletea Shida sana k.) Huyo mzee alinyanganya Wakenya Shamba Lao . Familia K. Wana mahekta za mashamba kushinda mtu yoyote mpaka wa Leo huko Kenya Nzima. Hata na Mamillioni za ma hela walichukua wao . Naomba kaka muondoe huyo jina ya K.J. Injee. Hailingani na hio List yako.
@paulkizila8536
@paulkizila8536 11 ай бұрын
Patrice Lumumba sio Patrick Lumumba 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪💪💪💪💪💪😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Neema-Rehema-Utu
@Neema-Rehema-Utu Жыл бұрын
Tutawakumbuka milele💪
@yossihayun
@yossihayun Жыл бұрын
Umekosea kueka Kenyatta hapo sio sawa kwa uhakika
@kizambohermaton3514
@kizambohermaton3514 Жыл бұрын
Jomo I respect him as my first head state, but there were some issues during his tenure which made some of us in 🇰🇪 raise questions. Freedom fighters, land issues .
@lameckmeshack
@lameckmeshack Жыл бұрын
Kweli JOMO KENYATA anawekwa kwenye kumbukumbu kuwa naye alikuwa shujaa, Sina Imani hata kidogo katika hili KWANZA huyu MTU amehujumu na kudhulumu ardhi yote ya Wakenya Hadi leo wakenya wengi wametoka mashamba I na kukimbilia mijini baada ya kukoswa ardhi ya kulima na huko hawana shughuli za maana. Pili kipindi Cha utawala wake amewaua wapigania Uhuru wenzake Kama TOM MBUYA , PINTO, na wengine wengi huyu alishindwa kabisa KUUNGANISHA Wakenya na kuleta UKABILA na UFISADI na kuwasumbua Wakenya Hadi leo, mwisho alikuwa mwizi mkubwa wa Mali za SERIKALI YA KENYA kwa hivyo hana sifa ya kukumbukwa hata kidogo. Kipindi Cha MUUNGANO wa EAST AFRICA COMMUNITY yeye ndiye aliyevunja hUO MUUNGANO kwa hulka YAKE we ya Moyo wa ubinafsi na uchoyo
@amoniTv1148
@amoniTv1148 Жыл бұрын
Magufuli john jembe linnalo lima hata peponi na dunian
@hajathsofa
@hajathsofa Жыл бұрын
Naiwe kweli
@johnnicodemomabula9010
@johnnicodemomabula9010 3 жыл бұрын
Mkuu uko vzr ila ombi langu rekebisha namna ya kusimulia unasimulia Kama anayesoma kidogo inaharibu radha. Just opinion 🙏
@jkass757
@jkass757 3 жыл бұрын
Mchango wa Mwl J K Nyerere kwa Taifa lake na bara la Afrika ni mkubwa sana na hakuna wa kulilinganisha naye. Aliipigania Tanzania na Afrika kwa ujumla
@user-dl2mb2tb5k
@user-dl2mb2tb5k 10 ай бұрын
I am from DR congo but now in the United States of America. I wondering why isn't in Tanzania the magufulification media in this country coz I compare magufuli to emery Patrice lumumba and Laurent desire kabila in drc , and kabisa the great So why, why, why, I'm Joseph from the United States
@Byoshifidel
@Byoshifidel 5 ай бұрын
Toa yule mwana maman wa Liberia alafu uweke mohamar kadaff wa Libye
@chausikuselemani3796
@chausikuselemani3796 Жыл бұрын
Ajari. Mwanza
@material_liv4674
@material_liv4674 3 жыл бұрын
MUAMAL GADDAFI sawa toa mandela aliwageuka wananchi baade akasema watu wote ni sawa rainbow nation Na matokeo yake black South Africans mpaka sasa hawana ardhi ya kulima. Ni second class citizen nchini kwao wenyewe So decide mwenyewe.
@zubedakaitira9591
@zubedakaitira9591 Жыл бұрын
Simon Patrick Lumumba ni Patrice Lumumba
@jacksonkanzira4346
@jacksonkanzira4346 Жыл бұрын
Ahsante sana. Ila Congo DRC ilipata uhuru tarehe 30 Juni 1960, sio 1961
@johnstonesimiyu4642
@johnstonesimiyu4642 3 жыл бұрын
Ok
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
Sadaka kama ipi ebu tutajie ya wizi unyanyasaji mauwaji ama kuharibu uchumi wametusababishia umasikini mkubwa
@unfpanilindenikulinde3142
@unfpanilindenikulinde3142 Жыл бұрын
We unayeuliza sadaka ipi yawezekana siyo binadamu ,au umetumwa?
@salvatorymtunga5906
@salvatorymtunga5906 Жыл бұрын
Viongozi kibao ambao ni vyuma kwelikweli mpaka waliingia frontline kukomboa nchi zao, unatuletea watu wengine ambao hata Uhuru unapatikana walikuwa na mwaka moja na nusu, wewe vipi bwana?
@daviskinuthia6494
@daviskinuthia6494 Жыл бұрын
Hapo kwa jomo kenyatta umendanganya!huyo ni msaliti
@twalhamnyira5318
@twalhamnyira5318 10 ай бұрын
Yupo muamali Gadafi alikuwa ni mwamba kuliko wote hao Sema akili yenu ni finyu sana
@revickiuskalumuna7292
@revickiuskalumuna7292 Жыл бұрын
Mtangazaji Kwa kumtaja Nelson Mandela akiwa wa kwanza sikuhungi mkono kabisa....
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 Жыл бұрын
Huyo nyerere kajitoa sadaka kiaje naomba maelezo ya kweli?!
@alimwanza7356
@alimwanza7356 5 ай бұрын
Naomba kujua, mwanamke kisimi chake kikisimama wakati wa kujamiana. kama mboo je inamanisha amekupenda sana ama ni vp.
@IsmailJafari-pe1dv
@IsmailJafari-pe1dv 3 ай бұрын
narais samia niwangapi africa,😂😂
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
Uchu wamadaraka wataishia kujinyonga wenyewe mfano lissu sasa anataka kuja Tanzania kaeni imara watanzania wote kaeni chonjo.
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
Wacha aje watanzania tupate somo la kuwajua viongozi wezi wauwaji waliouza nchi yetu kwa wazungu wanajichukulia madini wanavutaka halafu wakijiita wazalendo
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
@@bableeyzabdalla531 lissu ndo anataka kurudi aje kuuza nchi nzima mungu kwanini umemchukua MANGUFULI taifa letu lakulilia watanzania tunakulilia popote tulipo Rais MANGUFULI mungu aipokee roho yako mbinguni baba yetu kipenzi chetu.
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
@@petronillamnyambi7607 lissu ataka kuuza nchi hajauza lakini hawa marais waliopita washatuuza ni kuulize hii mikataba yote ya wizi na wazungu wachukuao dhahabu na wanapewa mikopo mikubwa ni marais wa ccm lissu alikopa wapi ama aliuza wapi jiombee mwenyewe maisha yako usijaribu kuuwa mtu ama kumwaga damu ya mtu
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
@@bableeyzabdalla531 wazungu wanatumia waafrica wenzetu wadhaifu kukulipa kama alivyo fanya yuda iscarioti jamani kumbukeni kuwa nguo chafu zinafuliwa nyumbani kwanini wale wanaotetea africa wanakufa haraka kaeni kiulizeni wenyewe
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 3 жыл бұрын
@@petronillamnyambi7607 nikuulize waliopanga mpaka mazishi kabla lissu hawaja muuwa walikuwa wazungu acheni propaganda waafrika tunauwana kwa ulafi wa madaraka na utajiri
@AmuzMoses-rn8cf
@AmuzMoses-rn8cf Жыл бұрын
🙏
@said8386
@said8386 Жыл бұрын
Mbona karume hayumo vipi bos
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 3 жыл бұрын
Congratulations Nelson Mandela
@mucci_AI
@mucci_AI 3 жыл бұрын
twende kazi
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
umetisha sanaaaaaa
@davismdula1517
@davismdula1517 3 жыл бұрын
Kaka samahn nimejaribu kumfatilia madela historia yake japo kwa uchache,yasemekana huyo mandela alikua fake na mandela og aliteswa gerezani na kufa,ss nakuomba ujalibu kunichimbulia kama ni kwer
@saumsalim9966
@saumsalim9966 3 жыл бұрын
Yap that's true MANDELA aliuwawa gerezani
@norahmakrean525
@norahmakrean525 3 жыл бұрын
Ulikuwa akiuliwa gerezani tuonyeshe basi Nelson Mandela wa kweli msipende kuongea na hamna hakikisho
@shemnayghosaima7856
@shemnayghosaima7856 3 жыл бұрын
Tena unasema kua Mandela aliwasamehe madui wake wote! Lakini akashindwa kumsamehe mkewe! Sasa ana ubora gani? Inewezelana kweli alikua Mandela feki
@Tunza694imani
@Tunza694imani 3 жыл бұрын
@@saumsalim9966 Mandela alipata maradhi toka gerezani Kisha akafa tokana na hayo maradhi mwaka 2013
@salvatorymtunga2802
@salvatorymtunga2802 3 жыл бұрын
@@Tunza694imani Asiyemjua NYERERE anaweza kuzungumza bila kufikiri, ila huyo alijinyima sana,pia alisaidia sana nchi za kusini mwa Afrika kupata uhuru na usimlinganishe
@esthermoraa4342
@esthermoraa4342 3 жыл бұрын
Jomo kenyatta anafanya nn hapo xaxa 😳😳😳😳
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
Nilijua nisipo muweka aliewapa uhuru itakua sio sawa kumbe ndio nimeharibu samahani sanaaaa
@donaldchacha9525
@donaldchacha9525 Жыл бұрын
Hapo amechemka sana
@aminaissa9709
@aminaissa9709 3 жыл бұрын
Yuko wapi mama yetu wangai mathae aliyeshinda peace nobel turudishie top twenty
@SaloumouKaillela
@SaloumouKaillela 5 ай бұрын
bila Gaddafi inabidi uludie
@user-vc6od9ko6n
@user-vc6od9ko6n Жыл бұрын
Ramani ya Tanzania
Ahadi ya Yanga kupata uwanja ipo pale pale
32:01
BBC News Swahili
Рет қаралды 6 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 595 М.
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 33 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 10 МЛН
Kauli 10 Tata za Magufuli Lazima Uzikumbuke Kabla Ya Uchaguzi 2020
7:20
Top Stories Tanzania
Рет қаралды 3,2 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 33 МЛН