NEEMA YA UTOAJI UFUNGUO WA BARAKA - PR DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 11,390

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@floraa4928
@floraa4928 Жыл бұрын
Namshukuru mungu kwa kunipa neema ya kumskiliza huyu mchungaj
@kabalizasekanabomarko6063
@kabalizasekanabomarko6063 Жыл бұрын
Mchungaji weye na kwa mini 100% uko sa hii. Mungu akupe nguvu kila bukuchapo.
@peterdavid20149
@peterdavid20149 Жыл бұрын
Huyu mchungaji ni tofauti sana na wachungaji tuliowazoea. Anahubiri vile tulivyo kwa maisha ya sasa na anatushauri nini tufanye kwa hali yetu. Halaumu hali yetu tulivyo, hana mahubiri ya matisho na kutia hofu, hana udini. Nilianza kumfuatilia tangu mwaka 2020, na amenibadilisha sana sana.
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
Peter, pia napenda akisoma kifungu cha bible anafafanua vema hadi unasema , Hallelujah Hallelujah 🙏
@eustina0
@eustina0 Жыл бұрын
Mungu ahimidiwe siku zote hakika na ona ukuu wake pr Mungu akubariki zaidi na zaidi AMINAAA🙏🙏🙏🙏
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
Amen and Amen ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu,hakika unanibariki Kwa mafunzo yako, unafundisha hadi mtu anaelewa,
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa mafunuo kwa ajili ya ujenzi wa ufalme wa mbinguni barikiwe sana Baba.
@dorcasrhobi8211
@dorcasrhobi8211 Жыл бұрын
Hakika mungu atusaidie, attendee assesses n.a. mapema yk
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 Жыл бұрын
Mungu fungua njia zangu leo
@bayomushoja4374
@bayomushoja4374 Жыл бұрын
Jumbo, My name I live in united state I like watching your video they really help. I am so thankful that God have protected us we don't go to church because we don't know English and right now it not me writing but your preaching really helps me and my sister we don't have mom and our dad left us but plz pray for us.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@florahtmligo-me3zl
@florahtmligo-me3zl Жыл бұрын
Muombee mtoto wangu mchungaji anavuta bangi yy mwenyewe amefika mahali anaichukia
@kazidotto8675
@kazidotto8675 Жыл бұрын
Ubalikiwe pr
@karembo7082
@karembo7082 Жыл бұрын
Amem🙏
@NondoEdimo
@NondoEdimo Жыл бұрын
Haimidiwe bwana
@izackngido
@izackngido Жыл бұрын
Barikiwa Sana
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 Жыл бұрын
Hayo maneno yanayopita kwenye screen ni madogo sana napata shida kusoma namba ili na mimi nichangie mahubiri ya mtumishi
@kabangomatete6101
@kabangomatete6101 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@ngolorose
@ngolorose Жыл бұрын
Niombe Niko na mtoto wangu ku Emergency room ku hospital
@denniskariuki5077
@denniskariuki5077 Жыл бұрын
Uponyaji umfikie mtoto pale hospitalini kwa jina la Yesu Kristo....amini na usihofu, ishakuwa
@geofreyakedi7597
@geofreyakedi7597 Жыл бұрын
Ninapenda kutoa sana ila naokoba sababu wanapeleka pesa hiyo yenye ulimpa kwa wachawi na utakuwa maskini
@eliezerngerageze3096
@eliezerngerageze3096 Жыл бұрын
Kwa Neema ya Mungu mtoto yako apone maramoja kwa Jina la yesu.
@kazidotto8675
@kazidotto8675 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@marthajepkogei5845
@marthajepkogei5845 Жыл бұрын
Amen 🙏
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 Жыл бұрын
Amen
@lucykivuva3530
@lucykivuva3530 Жыл бұрын
this is wornderful,,
@rasitkipkoech7441
@rasitkipkoech7441 Жыл бұрын
Fafanua vile fundi nguo anawesa fanya uhijilisti?
@ywydhhd7941
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
Mm nahsi ni Kwa 7babu unahudumia watu wengi, ni wewe kujituma kufanya uinjilisti
@MerCi-yl5tq
@MerCi-yl5tq 9 ай бұрын
Amen 🙏
@adhellasimchimba678
@adhellasimchimba678 Жыл бұрын
Amen
SIRI YA MAFANIKIO YA YOSHUA FINAL
57:30
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 2,8 М.
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
Their Boat Engine Fell Off
0:13
Newsflare
Рет қаралды 15 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
MUNGU ANAPO HITAJI KUKUTUMIA PR  DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
54:34
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 8 МЛН
JUMA LA MAOMBI | PR. DAVID MMBAGA | DAY 02 | 09.01.2025
1:33:55
TUMAINI MOJA
Рет қаралды 142
NEEMA MUHIMU YA NYAKATI ZA MWISHO. PR. David Mmbaga
52:17
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 30 М.
KUVUNJA LAANA YA UMASKINI - PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
59:14
Kuokolewa kwa Neema
58:25
Evangelist Amon Mukangara
Рет қаралды 2,5 М.
MAOMBI YA ASUBUHI: Maombi ya Mfungo wa Siku 21 || PASTOR GEORGE MUKABWA || 14/01/2025
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 218
UFUNGUO WA KUFUNGUA MAMBO MAGUMU (OFFICIAL VIDEO)
52:11
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 84 М.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 41 М.
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН