Рет қаралды 95,132
#NIKUJUE ZAIDI, ni wimbo wetu wa sita kati ya nyimbo 7 tulizoimba kwa kumsifu na kumtukuza Mungu kwenye ibada ya USIKU WA SIFA, ( THE NIGHT OF PRAISE ), 13 oct 2023, katika ukumbi wa JC Hall, Rafia Mbezi Beach - Dar es Salaam.
Tunaamini wimbo huu # NIKUJUE kama ulivyo imbwa katika kitabu cha sifa 159 na Tenzi 92, utakuwa baraka katika maisha yako na familia yako kwa kutafakari na kutathmini mahusiano yako na Mungu.
SHUKRANI
Kwa waumini wote wa AICT Mbezi Beach
Mtunzi wa wimbo - "NATAKA NIMJUE YESU"
Mwalimu wa kwaya - Thobias Dominick
Audio Producer - Quillian Kilago
Video Production - GLC Media
video Director - Pascal Sumuni
Wanakwaya wote wa AICT Mbezi Beach
subscribe, share, comment