NILIFANYA KAZI YA KUENDESHA FUSO MAISHA YALINIPIGA, NILIACHA KUFUNDISHA SHEIKH YAHYA ALINIAMBIA ACHA

  Рет қаралды 16,488

KHIDMA TV

KHIDMA TV

Күн бұрын

• NILIFANYA KAZI YA KUEN... #khidmatv #sheikhyahyahussein #kisachasheikhwalidkuedeshagari

Пікірлер: 55
@ummahmed3354
@ummahmed3354 11 ай бұрын
Subhanallah...Allah amsamehe na amrehemu sheikh wetu sheikh Yahya Hussein...
@EricsonNoah
@EricsonNoah Ай бұрын
Ila yule alkuwa anapiga ramli mtu wa nyota
@a.856
@a.856 11 ай бұрын
Jazakallah khayran
@Mcbel331
@Mcbel331 11 ай бұрын
Sheikh Yahya alikuwa mtu wa ramli na ulikuwa unapokea pesa unajua inatokana na kazi hiyo mtihani sana ,Allah amsamehe na atuongoze tuliopo kwenye njia ya sawa
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 11 ай бұрын
Ni kweli lakini Allah atakuuliza pesa zako ulizipataje na ulizitumiaje?Kuna watu wengi wanapata pesa kwa njia za halari lakini zinatumika kufanya mambo ya haramu,unadhani watapona nao hao?Umepata pesa safi lakini unatumia kuwaonga wake za watu na mabinti za watu,mtu analewa pombe kwa pesa halari;vipi hapo?Figisu nyingi kwa majirani wataka kuwanunua kwa nguvu kisa pesa zako,vipi hapo?
@Mcbel331
@Mcbel331 11 ай бұрын
@@RamadhaniLukambuzi kwanza uovu wote uliosema hapo mara nyingi huambatana na pesa haram , ni aghlab sana kitapo Cha halali ulichotolea jasho kukipata kukivuruga namna hiyo na pia Huwa pesa halali inabaraka , ukichunguza Makini hiyo pesa haiwezi kuwa halali ukiafanyia uchafu namna hiyo . Lakini uovu utabaki kuwa uovu hajilishi nani kafanya na kutumia kitu Gani iwe Cha halali ama Haram
@nyanyambuli8101
@nyanyambuli8101 11 ай бұрын
Twambie na wewe Makosa yako basi
@Mcbel331
@Mcbel331 11 ай бұрын
Hakuna aliyemkamilifu ndugu yangu , ila kosa la Mwanachuo linaathari kubwa ktk jamii mfano hapo mtu wa kawaida asiye ufahamu wa dini ataona kwenda kwa mpiga lamri sio tatizo ktk dini .
@saidothman8014
@saidothman8014 11 ай бұрын
Hii zama watu hatutaki kusoma kisha tunatoa fatua za kielimu hebu tukaaeni chini jamani tusiwatie watu motoni tu
@hassanabdulrahman189
@hassanabdulrahman189 11 ай бұрын
Ma sha Allah....Allah awahifafhi na hassad mashekhe zetu
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 11 ай бұрын
Mashallah shukran sana sheik wangu
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 11 ай бұрын
Mm mkristo lakini kuna vitu hua vinaongelewa kwenye msikiti , mungu awape mema
@YusufuGoma
@YusufuGoma 11 ай бұрын
Karibu sana kwenye uislamu kaka
@alyumar4657
@alyumar4657 11 ай бұрын
Ila kuna mengi mazur ktk uislam kwaiyo krb sana ktk uislam na ukiusoma ukaacha propaganda za wat mitaani nakuahid utaupenda uislam daima na tunamuomba Allah akuongozee.
@RamadhaniMbega
@RamadhaniMbega 11 ай бұрын
​@@alyumar4657😊 iko lll 😊😊😊oo O pole😊😊
@RamadhaniMbega
@RamadhaniMbega 11 ай бұрын
​@@alyumar4657l pool llll Lllllllll Llll la ll Llllpl Plppllp😊 la l 😊llllllllllllllllllp la ppllllllll😊l la l la llplllpp😊ppplp Llll la l Llll😊l 😊llppp la plll Pll😊p L P Llopllp😊llllo Ppl Pl Lllp Pllp la O 😊Ll Ll Lp la l L loop Pl P Ll 😊😊 O O 😊 Pp Pllpl Llppl 😊 all 😊😊 😊 😊l 😊 ? Pl Pole p Kl Pplo la pplp la polisi pll P Pl look p Pop Lllpp koo kl Ppl Ppllp Pl On llllll Ll La Ll Plll P la lpp pop pop plpplpp Pp on all l Lpl Lllplpll La plpplp on la ll la On plplllllppllplplll of llp la llll L L O Plkp pop ppll Llp pool lll lp la look Plllll Lll la l L Llllllpp la l Lpl pool ll la ollllllllpppplpllllll Lllllllllllllllllllllllllplllllllplllllllllllllll Lllll Lllllplllll Lll L la llllllll Lllllllll Lllllllll la Lplplpplllllllllllllllllllllpllllll L Lllllll Llllllll la llll Lllllllll Llll Llll llllllll L Lllpl Lllll la Ll L Ll lllllllllllllllllll L Llllllllllllllll Lllllllllll Llllll Llllll Ll Llllllllpppllllll Llllppllllllllllllllllllllp lp la pllllllllll L Lll Ll la L Llllloplllllll L Lll la llllllll ni llllpllplllllllll la llll La llll Llllll Llllkll ll L Llll L L Ll Lll L L
@RamadhaniMbega
@RamadhaniMbega 11 ай бұрын
@user-vt4wj1fr2c
@user-vt4wj1fr2c 11 ай бұрын
Kweli mkuu kutoa kuna Baraka sana.
@nabiljumbe
@nabiljumbe 11 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 11 ай бұрын
Allah amrehemu ya Salam
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 11 ай бұрын
Hata mm sheh, mwalimu wetu alikua akitulipa hela kila tukimaliza kuijua sura anakulipa anatupa pesa nakuambia shehe wangu sasahivi kajengewa msikiti mzuri kweli kweli na wazungu shehe kwake pale
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 11 ай бұрын
Shirki hiyo kauli pesa ya mtume au ya Allah daaah swadakah unampa mtume baada ya kumpa Allah Daaah Sufi mtihani sana jamani tusome tuijue haqi
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 11 ай бұрын
Uelewa wako chini ya 70%
@noorahkolongo273
@noorahkolongo273 11 ай бұрын
Wallah unatkiwa ujifunze hta kwa kuelewa tuu co kupelka fikra zako mbele
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 11 ай бұрын
Ukimpenda Allah tu bila kumtanguliza Mtume umefeli pakubwa make ummati Mohammad sote tunatakiwa kuwa na tabia za Mtume kwanza na huko ndiko kufahuru mbele za Allah lakini isitumike kama shiriki na haimanishi kwamba Mtu anaouwezo kama wa Allah.
@khalidahmed6900
@khalidahmed6900 11 ай бұрын
Ikiwa wanazuoni ni warithi wa Mitume , basi kuwakosea adabu wao ni sawa na kuwakosea adabu Mitume, Hakuna kheri yoyote kwa mtu mwenye kuwakosea adabu wanachuoni. Mmoja katika Ulamaa anasema: " Nyama za wanzuoni zina sumu " mwenye kuzila anajimaliza mwenyewe.
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 11 ай бұрын
Sheikh unaingia vizuri kuliko masheikh wote wachama tawala, lakini sifa za Allah usimpe mtume tumpende mtume lakini tusipunguze sifa za Alah
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 11 ай бұрын
wewe usilete siasa ya vyama ktk dini kila sheikh ana chama chake. ebu acha upuuzi huo kuna nini sisi waislam tuna ujinga sana
@nyanyambuli8101
@nyanyambuli8101 11 ай бұрын
Sifa gani ya Allah kupewa mtume(S.A.W)?
@FATEHEWASAPA
@FATEHEWASAPA 11 ай бұрын
Najisikia raha sana kukusikiliza kama tungekua na mashekhe mia kama wewe ingekua rahasana na unampenda sana mtume kunashekhe anaitwa mtoto wa bachu hampendi mtume na ana pingasana mtume asi sifiwe yani kila ukimsikiliza mawaiza ya mtoto wabachu yeye nikulaani maulidi hataki mtume atajwe hatakidogo
@Mcbel331
@Mcbel331 11 ай бұрын
Hakuna ambae hapendi Mtume asifiwe ndugu yangu tatizo ni namna Gani ya kumsifia ,tusijitie pamba masikioni na kufuata maneno ya ushabiki , tatizo la maulidi ni kuwa huo utaratibu haujafundishwa ktk dini umezuliwa , Mtume anatakiwa kusifiwa na kuelezwa historia yake ila kwa namna ambayo imethibiti
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 11 ай бұрын
Sheh sio hela ya ramli hiyo kazi yake kupiga ramli mtihani mungu amsameh
@ramxomtum2babu414
@ramxomtum2babu414 11 ай бұрын
Tusiwe na dhana sheikh,Allah ndie mjuz zaid
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 11 ай бұрын
Hata ndege msipande na simu msitumie maana walotengeza ni makafiri , kazi ya hukumu muachieni Mungu maaana huu ujuaji tu ila na nyie kutwa mwakosea
@mafiatv5479
@mafiatv5479 11 ай бұрын
wewe acha mambo yako ya kihanithi
@mafiatv5479
@mafiatv5479 11 ай бұрын
wewe mwenyewe msenge tu
@yahyaibrahim4731
@yahyaibrahim4731 11 ай бұрын
Watu wenge wanaona uislam ni dini ya kishirkna kwa sababu ya sheikh yahaya hussein na mambo yake ya nyota Allah amsameh huwezi juwa Alifanya tauba
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 11 ай бұрын
HUYU IMAMU MUNGU AMPE HEKIMA ZAIDI ,,KUFUNDISHA ROHO YA UPENDO NA SI UBAGUZI NI TABIA YA SHWETANI
@askofkibwe6106
@askofkibwe6106 11 ай бұрын
Wanawachuoni wp aina 3 ) 1 dola 2 umma 3 milla
@adamaliali2206
@adamaliali2206 11 ай бұрын
Mpaka sasa maisha yamekupiga maana ni sheikh wa ccm
@kassimabdallahmohamed6180
@kassimabdallahmohamed6180 11 ай бұрын
Allah akuongoe na uwe mmoja wa miongoni mwa wenyekufaidika na elimu ya sheikh waliid
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 11 ай бұрын
Kwaiyo wataka awe Wa chadema mweu ww
@abuahlaam
@abuahlaam 11 ай бұрын
Makhurafi kwa kweli hamjui tawhid Eti tutakwenda kumwambie Mtumeﷺ nini ??? Eti toeni pesa zenu mpeni Mtumeﷺ aaah ???? Huu ni udhaifu mkubwa wa tawhid Sasa ikiwa mashkhe zenu wako hivi je wafuasi wapoje
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi 11 ай бұрын
Wewe hujijui kwani wajua mtume swal-lallahu alayhi wasal-lam apewa vipi kwani wewe huwezi kutoa kwa mtu yeyote mbali na mtume swal-lallahu alayhi wasal-lam
@ibrahimsaad617
@ibrahimsaad617 11 ай бұрын
Acha ujinga
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 11 ай бұрын
Kasome
@user-hx8bh1jt4k
@user-hx8bh1jt4k 11 ай бұрын
We jamaa ni juha kama Abuu jahal...usome uislam vzr utaujua na utahisi ladha ya kumpenda mtume
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 96 М.
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 47 МЛН