NILIMKABIDHI MAGUFULI MRADI WA SGR

  Рет қаралды 4,439

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 72
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Ай бұрын
Huyu mzee wakti mwengine anazingua sana.
@malcomx4067
@malcomx4067 Ай бұрын
Sio kuwa ananzingua, ni mnafiki
@ReachOut3004
@ReachOut3004 Ай бұрын
Legacy inatengenezwa, haizungumzwi. VIVA MAGUFULI
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Ай бұрын
Na mji wake wa kingamboni upo wapi 😂😂😂 mzee anapenda kick za bure
@MembeMohamed
@MembeMohamed Ай бұрын
Huna cha kujiproud kwa watanzania live jpm legacy
@philipombwambo1980
@philipombwambo1980 Ай бұрын
Huyu mzee mwongo sana
@jolitabukabengwe3070
@jolitabukabengwe3070 Ай бұрын
Mzee ukiwa unafanya mambo Yako, Jaribu kuwa unatukumbuka na watanzania wenzako wa hari yachini Mzee.. Ulitujengea daraja la kulipia pale kigamboni. Tunateseka sana pale Mzee Kikwete. Mzee tunateseka kulipia pale. Ni watanzania walewale tunaotumia Lile daraja ndiyo tunaouumia Mzee. Jaribu kutupndolea hiyo shida. Nakushauri chukua fungu mara moja ukalipe Hilo deni ili tupite Bure pale Mzee. Kumbuka kwamba nchi hii miundombinu mingi nchi hii inajengwa kwa pesa za walipa Kodi wote bila kujari ukanda.... Hivi ulifikiria nn Mzee mpaka ukaaamua pale tuwe tunalipia ili Hali madaraja mengine tunapita Bure???
@Anza_tz
@Anza_tz Ай бұрын
Huyu mzee sindiyo alishindwa kuwadhibiti tanesco daaah nakumbuka tuliteseka sana umeme enzi zake
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
TANZANIA NZIMA LINAKOMBA MABILIONI YA WANYONGE LINAKURA YEYE NA FAMILIA YAKE
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
WEWE MZEE NI MUUNGO SANA MZEE MZIMA
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 Ай бұрын
Na BRT, TERMINAL 3 Dar ni miradi ya JK. Sisi hatuna kumbukumbu za kuku kama wewe.
@hajimgwami5224
@hajimgwami5224 Ай бұрын
​@@bakarijumakupaza4351 HAWAZI KUJUA MASKNI ZAO NI CHUKI TU, FLYOVER YA UBUNGI NA TAZARA MKATABA ULIINGIWA WAKAT WA JK NDIO MAANA ALIPOINGIA TU JPM AKAANZA NAO, MKOPO ALIOMBA LINI, TENDA ALITANGAZA LINI, SO WATU WENYE CHUKI NI CHUKI TU KAKA, MROGANZILA, BARABARA KIBAO MIKOANI, SECONDARI NCHINZIMA NA MSINGI, RAIS KWEMWE UWELEWA UWA ANAANZA NA VITU MUHIMU KWENYE TAIFA SIO KUKURUPUKA
@user-qx4pc3rx8g
@user-qx4pc3rx8g Ай бұрын
Acha uongo mzee relie yako ilikua Ile ya kawaida yy akasema hapana anajenga ya umeme na wewe uliwai kukiri
@birianination7097
@birianination7097 Ай бұрын
Bongo kwa ubishi bwana, mbona hili hata halija jificha, tena mbali na mradi kuanzwa na Jakaya pia aliweza pata mkopo bora wa ujenzi ambao Magu alizingua mpaka tuka kopa ndani
@birianination7097
@birianination7097 Ай бұрын
Ila pia Magufuli ndio aliye lazimisha iwe ya umeme, jambo litakalo tunufaisha wote
@mangobase
@mangobase Ай бұрын
Hata bandari ya bagamoyo nayo ulimkabidhi... JPM... Hata sisi tunajua
@michaeljpm5597
@michaeljpm5597 Ай бұрын
Mzee JK kaongea vzr sana, kampa maua JPM na kanena vzr👏👏
@ototek8037
@ototek8037 Ай бұрын
Huyu ndo mshenz mwenyewe, akifa huyu nchi itakaa sawa
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
LINAPENDA KURA MAISHA YEYE NA FAMILIA YAKE TOKA HAPA MUONGO MKUBWA.WEWE SASA KUNAMITANDAO UNAYOSEMA YAKO KATIKA KUMBUKUMBU
@mrshazychannel3359
@mrshazychannel3359 Ай бұрын
Ohh leo acha niwe first to comment hapa
@user-sr6tr7ko7w
@user-sr6tr7ko7w Ай бұрын
Huyu mzee ndo anatuharibia nchi, sijui mnamhoji wa nn, anazingua Sana.
@cidewashington670
@cidewashington670 Ай бұрын
Huyu mzee si ndio alishindwa fikisha maji hata kwa watu wake wa Chalinze?
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Ай бұрын
Unakumbuka alisema atajenga jiji jipya kingamboni , lipo wapi ?😂😂😂😂
@KidugoRashid
@KidugoRashid Ай бұрын
Mzee mnafki mipango simatumizi
@melchiadmbeho8040
@melchiadmbeho8040 Ай бұрын
Unafiki ni kitu kibaya sana.
@birianination7097
@birianination7097 Ай бұрын
Hapo kaongea ukweli wewe ndio ulete unafiki
@gilbertwerema9870
@gilbertwerema9870 Ай бұрын
@@birianination7097 kweli kabisa
@dominic4727
@dominic4727 Ай бұрын
Hawezi kumfikia Magufuli magu ni mashine ya kazi
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 Ай бұрын
Magufuli kakuta mradi wa BRT na Terminal 3 .
@dominic4727
@dominic4727 Ай бұрын
Nani alikua waziri wa ujenzi
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 Ай бұрын
@@dominic4727 Waziri wa ujenzi sio planner. Master plan alikua Kikwete, na ndie aliyeenda IMF na world Bank. Waziri wa ujenzi hajulikani nje ya nchi kuomba mikopo.
@lazarombuze9776
@lazarombuze9776 Ай бұрын
HUYU MZEE ANAPENDA SIFA HATA AMBAZO HANA😂😂😂
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
KWELI UKIWAMZEE UNAKUWA KAMA MTOTO
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
liangalie linanuka damu za jpm na mawaziri
@malcomx4067
@malcomx4067 Ай бұрын
Kwa upole wakiunafiki wa huyu mzee unaweza kufikiria kondoo kumbe mbwa mwitu.
@i_prime317
@i_prime317 Ай бұрын
“Dead men tells no tell” 😢R.I.P Magufuli🕊️
@Loftyattorneys
@Loftyattorneys Ай бұрын
😂😂😂 dah aisee am speechless
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
PUMBAVU LIUJUMU UCHUMI
@willymdeka6034
@willymdeka6034 Ай бұрын
Ni bora angekaa kimya tu
@daviddonatus8121
@daviddonatus8121 Ай бұрын
Hacha story zako hakuna anaye jua hayo maana wote wameshafariki lakin nakupa big up pia ulifanya yako mazuri pia
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Ай бұрын
Maneno meeengu. Vitendo hamna
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 Ай бұрын
Huyu Mzee alitakiwa awe mganga wakienyeji maana ni muongo na munafiki haijawahi kutokea
@liberatedpeople6054
@liberatedpeople6054 Ай бұрын
Wewe unaweka mataluma wenzako wanaleta kitu cha mchongoko huyu mzee bhana
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
UTAIACHA MIBILIONI PUMBAVU
@MedardMushobozi
@MedardMushobozi Ай бұрын
Rais wangu Mpendwa Jk .sikuoingi lkn wewe ulikuwa Rais wa mipango lkn hukuwa na uwezo wa kudhubutu kufanya mambo makubwa.Uliacha mipango ya umeme wa gesi lkn hatukkuona, hiyo reli hukufhubutu, kuhamia dodoma hukuweza, meli mv bukoba ulituahidi 2005 hukuweza,,Bwawa la Nyerere hukuweza,kuhamia dodoma hukuweza,hata daraja la kwenu wami hukuweza,fryover hukuweza,Kila kitu wewe ilikuwa ni mipango tu, ATCL uliacha ndege moja tu lkn ulikuwa na mipango,mipango, mipango tuuuu??! Tunakushukuru Kwa UDOM, MLONGANZILA na taasisi ya moyo ya JK.WEWE Mzee wangu uliweza sana diplomasia,Kwa kweli hapo hakuna ubishi lkn mambo mazito mazito Mwamba wa chato JPM alikuwa na kifua kipana..hakwepeki❤❤
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
HAYO MAWANI ALIOVAA UYU JAMBAZI MUUAJI NI YANAMAFINI YA TANZANITE HICHO NDICHO ANACHOKIPENDA
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 Ай бұрын
Mhhh kazi kweli kweli
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Ай бұрын
Standard gauge Iko kwenye VISION 2025 ya Mkapa. Huyu alitaka avenge kwa mkopo wa Wachina kama Kenya tena iwe ya diesel. Alivyokuja Magufuli akawakataa Wachina na akaenda kwa Waturuki na akasema hajengi reli ya diesel, atajenga reli ya umeme na atapata umeme kwa kujenga bwawa la Umeme RUFIJI na Umeme wa Gesi Kinyerezi
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
LINAKUONGOPEA JIZI LINA MADA KESI ZA MAUAJI JPM NA MAWAZIRI
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc Ай бұрын
Huna baya, ishi daima
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👏
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Kwani lazima kumusema magufuli?
@mkalimala3564
@mkalimala3564 Ай бұрын
HAPO NDO NACHEKA ETI ANAKUULIZA SWALI KISHA ANAKUJIBIA MWENYEWE ALIYEULIZA 😂😂😂MANIPULATOR [ VIVA MAGU FIRE VIVA ]
@Nedjadist
@Nedjadist Ай бұрын
Sisemi kitu, maana nitatukana tu. Hali za Watanzania ni duni hata kuliko Wacomoro, Wamalawi au Wamsumbiji....pamoja na mipesa mingi mliochukua. Ubinafsi, kusafiri....hmna huruma hata kidogo na Watanzania nyie...pam acha nisitukane!
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
UTAWALA WAKO UNACHOCHOTE ULICHOKIFANYA ZAIDI YA WIZI NA UJAMBAZI
@MsanangoMwalabu-rx1oo
@MsanangoMwalabu-rx1oo Ай бұрын
Mmefuta comments
@temekepamoja2757
@temekepamoja2757 Ай бұрын
Muongo muongo sana uyu mzee
@omaryngitu2443
@omaryngitu2443 Ай бұрын
Sijui kwanini huyu mzee watu wanamponda sana wakati amefanya mengi sana,nahisi wengi ni vijana wadogo,ameongeza shule za kata,ameongeza mtandao wa barabara nchini,amejenga mwendokasi,ameongeza vyuo vikuu tanzania,aliajiri watumishi wengi,aliongeza mishahara kutoka hali ya chini sana kufikia angalau,alijenga daraja la malagarasi,kigamboni,na tazara ambalo alilifungua hayati magufuli,hata mradi wa reli alikuwa akiuzungumza wakati wa utawala wake,ifike wakati vyombo vya habari vioneshe kazi zilizofanyika tawala zilizopita ili vizazi vya sasa vijue,vingine tutakuwa tunafuata mkumbo na kuharibu sifa za watu.
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
LINABADILISHA HISTORI YAKE ALIOSEMA WAKATI JPM YUPO DONIANI UNAONA TUMESAAU NINI
@jumanuru2656
@jumanuru2656 Ай бұрын
Ili zee bwabwa kweli sijui kwanini liko hai
@user-dk8uf8ho9s
@user-dk8uf8ho9s Ай бұрын
Kwann mnamuita mzee muongo while yeye ndie alikua mwenyekiti wa chama,na magufuli alitekeleza ilani aliyopewwa na ccm ambae bosi alikua Jakaya?? Acheni kutokana viongozi wenu
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv Ай бұрын
Kwenda huko wewe mzeee na acha uongo wako , wewe na kundi lako mlimchukia magufuli saaana labda watoto wadogo ndiyo utawadanganya voetsek
@gilbertwerema9870
@gilbertwerema9870 Ай бұрын
Ukweli ni kwamba wazo la SGR lilibuniwa na kutayrishwa katika kipindi cha awamu ya nne, serikali ya awamu ya sita ikaanza utekelezaji. Serikali hizi huwa zinapokezana kijiti
@gilbertwerema9870
@gilbertwerema9870 Ай бұрын
..........sorry, awamu ya tano wakaanza utekelezaji
@Patriot_kenyan
@Patriot_kenyan Ай бұрын
Muongo wewe baba nchi ilikuwa corrupted during your time
@KingBuddah-nx3ui
@KingBuddah-nx3ui Ай бұрын
HUYU MJINGA WA MAWAZO UUZEE UNAKUTIA UJINGA
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 Ай бұрын
SISI WATANZANIA HATUJISHUGHULISHI NA UTAFITI NA HATA KUJISOMEA,NA TUNAENDESHWA NA HISIA,HATUELEWI NAMNA SERIKALI INAVYOENDESHWA. MNAFIKIRI KUNA CCM MBILI?KWA NN UKAE MTANDAONI UKIUMIZA KICHWA CHAKO ETI HUU MRADI NI WA KIKWETE AU MAGUFULI,HUKU UKIJUA WAZI KUWA SERIKALI NI HIYO HIYO MOJA YA CCM?
USIPIME: ULINZI MKALI WA MAGUFULI AKIONDOKA KWENYE MKUTANO KAGERA
4:23
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 1,8 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 21 МЛН
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 589 М.
Optogenetics: Illuminating the Path toward Causal Neuroscience
3:54:38
Harvard Medical School
Рет қаралды 1,7 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 1,8 МЛН