Asante 👍 sana Ezden Jumanne kwa maarifa ya bure...
@husnatanzanian91552 жыл бұрын
Al hakam kumbukumbu mwaka wakwaza kufanya kazi inje ya nchi yangu ya Tanzania 10 2015 🇹🇿 nakumbukumbu ya kifo chake 17 3 2021 mwenzimngu amulaze mahali pema mpeponi amini 👉😭😭🤲🤲🤲 10 2015
@abdallahabbas25163 жыл бұрын
Shukran sana kwa ujumbe mzur sana
@khadijakhamis56043 жыл бұрын
Mimi unanipa nguvu kubwa saana ninapo sikiliza voice zako mungu akubaliki hiyo ni sadaka kubwa saana kuliko mtu kumpa pesa ni nzuri kumpa marifa,, baraka llahu fikum
@dominicemanuel7483 жыл бұрын
Ahsante sana kaka angu ezden jumanne
@khadijakhamis56043 жыл бұрын
Katka watu wanajuwa kufundisha mwalim mzuri ni Ezedn jumanne mwenyezi mungu akuzidishie ujasili na elim zaidi wewe una kipaji ni mwana psychology mzuri saana uko vizuri saana
@goldprocessplant58933 жыл бұрын
nilitegemea hichi kitu kutoka kwa motivate speaker ahsante sana kaka ezden
@hajihemedi51893 жыл бұрын
stay blessed my brother for nice MAKARA
@tommysamson5873 жыл бұрын
i realize it is quite randomly asking but do anyone know of a good site to stream new tv shows online?
@dynam14883 жыл бұрын
Nashukuru sana kaka ujumbe nzuri sana,nimejivunza kitu kikubwa sana, Allah akujalie afya njema 🙏
@khadijasaidi9113 жыл бұрын
Asante bro Ezden Jumanne kwa Makara hii
@lucasmanyama28922 жыл бұрын
Vzr sana kaka umeona mbali sana.
@mwakalukwafredy37203 жыл бұрын
Nina kushukuru sana kaka yangu Edzen Jumanne kwa maarifa haya makubwa hakika umepanda mbegu kwangu leo
@shabanihassan66263 жыл бұрын
Asante ujumbe uko vzuri
@mwashighadijames30183 жыл бұрын
Mafunzo mazuri Naendelea kujifunxa na kubadilika kila kuchao,thanks
@hassanovajunior69723 жыл бұрын
He was a true patriot and strong leader Rest in paradise JPM🙏
@benjaminjeremiah94073 жыл бұрын
Kaka upo vizurii Sana
@aliceniyonzima-rw2kj Жыл бұрын
🎉❤❤❤❤
@rhoidakalinga30433 жыл бұрын
Asant 🙏🇹🇿
@lotionetv28333 жыл бұрын
Ezden. Ahsante kwa hamasa hii hasa ndani ya mifano hai. Tutaendelea kujifunza umu umu vizazi na vizazi. Historia ndio hii sasa. Amani kwako kaka.
@sharonyclement94572 жыл бұрын
Muandishi umetisha kingine alisemaga maendeleo hayana miujiza nakubali sana muandishi umetisha
@damasjohn6153 жыл бұрын
Big up! kaka mkubwa ubarikiwe sana
@mubarakarashidi12283 жыл бұрын
Asante
@nelsonngella41852 жыл бұрын
Asant sana
@Sharifarajabudebe3 жыл бұрын
Shukurn kheri kwako
@tahiriddi11233 жыл бұрын
Well done
@JoyceHaule-o8c10 ай бұрын
Safi sana
@rahmahussein40193 жыл бұрын
Powerful talk thanks for sharing .
@ummies43493 жыл бұрын
🇹🇿
@mwathijoshuajoshua15493 жыл бұрын
Pamoja bro twailimika saana2🇰🇪
@davidrobert46043 жыл бұрын
Ni kweli bro
@saumusanjiama69913 ай бұрын
Naaam
@ezironvyats4333 жыл бұрын
Shukuran
@rumdeesonsoa18113 жыл бұрын
Alikuwa jasiri sana. RIP Magufuli
@samohazakwani68993 жыл бұрын
Assalaam alaykum. Salaam za pole kwa Watanzania wote. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Ni mfano mzuri wa kuiga. Mi nimependa neno lake muhimu alikuwa akilipenda sana kulisema, kwangu mimi nimeliona ni jambo la kwanza. Msemo wake maarufu: "Tumtangulize Mungu mbele" Au tumuweke Mungu mbele. Hakika hili ndio ufunguo wa mafanikio kwa kila jambo, pamoja na jitihada na kumdhania Mola mazuri ya kuwa Mola ataniwezesha na atanifanikisha. Shkrn brother.
@asmovctv8657 Жыл бұрын
Tunashukuru gavana wa Jimbo kwa kujali jambo tulilo muomba KUPITIYA SAUTI YA WANYONGE kwakujibu mambo , ya barabara nakutiya tracteur ndani ya barabara hilli, kwa PAMOJA Masisi ita Pata utetezai wake nakufikiya Maendeleo.
@violetsungura26983 жыл бұрын
Nimejifunza kitu, asante
@franciskitula27283 жыл бұрын
Ili uwe maarufu lazima ufanye kitu katika ubora wa hali ya juu sanna, how about those who depend kick ,scandal , etc ili wawe maarufu nao unawaweka kwenye kund gan? Sorry kwa kwenda against na ww kwenye point hii kwa watanzania weng awapend kukosolewa au kuelezwa ukwel natumaini ww si mmoja wao
@edsonnelson44649 ай бұрын
Hata mimi alinifanya niweze kuwa na maamuzi, yaani kuamini kile ninachokifanya kama naona kun a mwanga mbele
@maikojoseph11153 жыл бұрын
Kweli alikuwa jembe wetu hakika nitamukumbuka daima
@alphoncemahinyila8043 Жыл бұрын
✓Fanya kazi katika ubira wa Hali ya juu sana ✓Kuwa namsimamomo na kuamini unachokifanya ✓fuka matalajio ya watu wale wano kutazama unakuwa ,, unstoppable kushitikiza na ufatikia mwanzo Hadi umaauti unapo kujia ✓zungukwa na watu sahihi ✓leta watu wengine ✓long team goals ✓