Nondo ziko sawa sana, tuwe wakeli tu huu sio muungano ni kitu chengine...
@mgungulem31878 ай бұрын
Mzee uko very clear and loud kongole kwako kiongozi tumechoka kufichwafichwa kama watoto wadogo
@suleimanmuhammad-bu7pe8 ай бұрын
Nguvu moja tuu haturudi nyuma hapa mpaka kieleweke
@salyali78078 ай бұрын
Very intelligent Mh OMO 🔥🔥🔥
@muuminsaid-bd6cm8 ай бұрын
Hatutaki mungano
@RoseMalusu8 ай бұрын
KERO KUBWA KWA UPANDE WA BARA NI TUNAITAKA TANGANYIKA YETU.
@sultansallah87728 ай бұрын
Hicho kulio ni cha wazanzibar KWA miaka mingi. Unapisikia wazanzibar wanadai serikali tatu wanamaanisha Tanganyika iwe na srikal yake
@AliSalim-yu4mo8 ай бұрын
Nani sasa WA kuwapa Tanganyika yenu!lkn nyie ni watu wa ajabu kweli kweli ni vpi munataka Tanganyika yenu wakati kila tarehe 9 December munasherehekea nini?🎉😮
@SuleimanMussa-x5i5 ай бұрын
Sio kwli hamuitaki kma muna itaka munge idai
@natafutamatatizo43828 ай бұрын
WATANGANYIKA AKILI ZETU NI KTK HELA TU, HATUJIELEWI, NA SASA WAZANZIBARI WANAANZA KUTUTAWALA KWA UJINGA WETU😂😂😂?! CCM OYEEE
@solomonadams63378 ай бұрын
Mrs Othman Masoud inshaallah ukija United Kingdom njoo unione nikupeleke ukasomeshe Oxford University na Cambridge University wanafunzi wa hizo University mbili ndio watakufahamu Watanganyika hawawezi kukufaghamu maanayke wao ni ma illiterate sawa.thankx
@kadirduchi1928 ай бұрын
😮
@mgungulem31878 ай бұрын
Siyo Mrs!!
@MWIGAADAM-r3e8 ай бұрын
Ukweli ndo huo
@hajiameir86888 ай бұрын
Na wala bado tutakutawaleni kweli kwa ujinga wenu kwani hamtaki kudai tanganyika yenu
@RoseMalusu8 ай бұрын
NEMBO YA MUUNGANO ILITAKIWA IWE NA PICHA YA RAIS TOKA BARA NA ZANZIBAR; LAKINI KWA SASA INA PICHA YA WAZANZIBAR WOTE! SASA MUUNGANO HAPO UKO WAPI??
@nyumbanituthegendaheka72228 ай бұрын
Upuuzi mtupu...tunataka Afrika kuungana bado mnakosoa ujinga na vitu vya kitoto...pelekeni huduma kwa wananchi zanzibar na bara wote wanalia umaskini...umaskini ujinga na magonjwa ndio adui wetu...sio ubara na uzanzibar
@Allybinamour8 ай бұрын
hakuna nchi ya africa itayofanya muungano wa uonevu kama huu. nyinyi watanganyika mkiambiwa ubovu wa muungano huu mnajitoa fahamu na kukimbia mada. ukweli ndo huo mkataka msitake. zanzibar mpaka bandari mmeiua mnajenga kwenu tu.
@pavillioncry52418 ай бұрын
Hatutaki
@nyumbanituthegendaheka72228 ай бұрын
Fanyeni kazi nyie ma mwinyi...mnataka serikali ukupe pesa mfukoni...haujui wazawa wa zanzibar walitokea bara kama watumwa au wavuvi? Au mnadhani mlitokea kwa sultani wa Oman? Someni historia ya hvyo visiwa...kwanza nchi iwe moja tu na serikali moja kwisha...
@HafidhKhamis-ph8qg8 ай бұрын
Toka uko huna ukijuacho ww
@MingaBoy-xr4bw8 ай бұрын
@@nyumbanituthegendaheka7222 ccm mnateseka sana kiufupi huu ni muungano wa ccm tu ila watanganyika wengi na wa Zanzibar wasio kua ccm hawautaki
@kclpaints29818 ай бұрын
Acheni chokochoko watu wenye maarifa wanaungana nyie mnatafuta kutengana?
@fahmysaid-zw4np8 ай бұрын
wanaungana kwa haki sawa kwa wote sio mmoja kumyonya mwenziwe
@abubakarshamuhuni38948 ай бұрын
Wenye maarifa wepi
@salimali-rf9er8 ай бұрын
Chokochoko ndio nn? Tufahamishe tufaham@@fahmysaid-zw4np
@MohdIkra-d7s8 ай бұрын
Wewe ni nani unajitathmini kiasi gani ni upi utu wako katika kufanya uadilifu wako ju ya mambo yanayo kukabili hiv unaifahamu zanzibar