Omo ndio hazina yetu wa Zanzibar. Tuna kila sababu ya kujivunia na kutembea kifuwa mbele💪💪💪.
@OmerSuley-gl7go Жыл бұрын
Huyu ndiye Rais wetu wa Zanzibar ajaye inshaallah 2025❤
@w40582 жыл бұрын
Tunakupigia Salute
@mukhtaromar-g5p8 ай бұрын
Kweli kabisa baba tunakupenda tunakukubali sana
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
Usipate shiida sana mr omo pagaiwe tu kila mmoja aende pake zanzibar kwao,tanaganyika.kwao
@OmarAli-wz4ld Жыл бұрын
Amanikwanza
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
@@OmarAli-wz4ld zulma inaazalisha haki??
@saidmohd72402 жыл бұрын
Hii ni lulu ya wazanzibari! Kweli Allah akiondowa huweka!! Allah tuwekee lulu yetu hii ili atukombolee nchi yetu!
@mkomoremkomore-hy3xj Жыл бұрын
nivyema kiongoz wang nakukubali toka bunge la katiba msimamo wako mola akutangulie kila zuri na lenye nia njema na nchi yetu
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
Wasomeshe hawo mr OMO
@gharibalhusni27162 жыл бұрын
mwaga madini omo kazi kazi ….🫱🏼
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@seifhabib59878 ай бұрын
Mm nashangaa kwa nn Tanganyika inaogopa Mfumo Mpya wa Ki Muungano
@Zanzibar-e4h16 күн бұрын
Kweli wazanzibar hawana ukabila pemba unguja wanapendana wanishi ndugu jamaa .ccm ndio wanao leta ftina ubaguzi
@theteacherchance67502 жыл бұрын
"Watu wazima mnajadili tani elfu mbili za sukari. Haina afya." 🚑🚔🚓🚒
@w40582 жыл бұрын
Na Mama Samia usikubali kuwaendekeza TISS hawako tayari kukuona unasimamia haki muweke Mola mbele ndie atakaekuongoza
@madetetv65762 жыл бұрын
Awaache TISS una akili ww? Yaani usalama wa Taifa uuache Kuna taifa hapo tena.
@PhilipoMwita-wc1ku8 ай бұрын
Acha kujibana piga msumali wa uhakika kila mmoja Zanzibar ipate uhuru
@w40582 жыл бұрын
OMO hiyo hutakasa madowa yote ila hao wenye madowa aaaa wanataka wabaki kubakia na madowa yao MMungu awasaidie
@w40582 жыл бұрын
Mola wetu Mtukufu tuwekee OMO wetu umhifadhi na roho mbovu za watu
@abdallahemed96922 жыл бұрын
Aaaaamin
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
Aamiiin
@hajiameir8688 Жыл бұрын
Sijui kama Omo utafanikiwa kwani hao wenzetu na CCM Yao Wana Siri ambayo wewe huijuwi tutafika
@kassim12622 ай бұрын
Hawana cri cri kubwa kupiga watu nakuua bc ndipo wapate madaraka
@fufunimedia5262 жыл бұрын
duh saw msewek hio mh. lkn hata kuandika Makamo Wa Kwanza WA Rais WA Zanzibar mnashindwa
@YahyaYaa-fj8gl8 ай бұрын
Sevu
@alialamoudi97297 ай бұрын
Huyo kiongozi ni mtu mwenye akili NA uadilifu aliye soma gruani NA dini usimogope katika maneno yake utakuta anamtaja mungu dini islamu haikatazi kwa mwema hata NA ase muslaam mtume mohamed alikua anatoa matumizi kwa wayahudi NA alikuwa NA marafigi wayahudi NA alikuwa anaingia nyumba zao NA alikuwa anawaita kusilimu kwa hiyo wayahudi wengi sana waaslaam
@bahatielias64437 ай бұрын
Kumbe mbegu zipo tu jamani, maalim sefu pumzika tu lakin huku kunajembe umeacha
@OmarAli-wz4ld Жыл бұрын
Amani kwanzana utulivu
@othmarluwawilo83082 жыл бұрын
Kwa ufasaha wa uchambuzi wa Mh. Othman, Rais SSH aone umuhimu wa kuwepo serikali tatu, hoja zilizopigiwa upatu na vyama vya upinzani. Naunga mkono asilimia 100
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Serikali tatu sio nchi tatu, hii maana yake hadhi ya Kimataifa inabaki pale pale kwama huwezi kujiunga na jumuiya za Kimataifa.
@bahatielias64437 ай бұрын
@@hajihassan5433Zanzibar ni Nchi huru au siyo Nchi huru? Jibu swali
@Bajei16 күн бұрын
huyu omo ni mtu sahihi wa kuwa raisi wa zanzibar yaani huyu ni hazina kubwa kwetu lazima tupambane atuongoze