Halima ongera sana tena sana,nyumba yako mzuri na mipangirio yako safi.Lakini huyo mbwa usifungie hivyo inmates.Fanya kama Mbwa wa Wema Sepetu Chimama wa Whozu.❤❤❤👍👍
@OnlyRuky Жыл бұрын
She's very beautiful Mashaalah and humble ❤️All the best ktk 5 bora nakuona🙏
@faidhacute Жыл бұрын
Ila nampendaga huyu mdada anavosmile, anavowalk she has cut walk ❤❤❤
@ismailmajala2802 Жыл бұрын
Okay naww unakasura kazuri sasa sijajua tabia zako Nyingine 🤣🤣🤣🤌🏾🙌🏾🤦🏽♂️
@michaeljohn9070 Жыл бұрын
So charming,,napenda sana wadada wa hivi jmn
@jacquelinekennedy5740 Жыл бұрын
She is so cute i love her❤❤
@mkondyaesther50748 ай бұрын
Huyu dada ni mrembo sana❤
@paulabelleghe451 Жыл бұрын
Nampenda Yuko open haringi,sio wengine wanajikuta mamtoni atar
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ni kwel halingi
@Bintimrembo-y1v Жыл бұрын
she is charming, anaonekana ana akili na mtulivu, good job.
@bjzee1981 Жыл бұрын
Asiwe kama wema tu jamani
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ndio kacheshi na kazur
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Anapenda kioo Kama mimi
@watotowamaria840411 ай бұрын
Ndo alikuwa anaongozag darasani kwao wakati anasoma Don bosco secondary school yaan ni ana miakili sanaa
@MariaExavery-h3g9 ай бұрын
Safi halima.❤.
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Nilikuwa napendaga miss tanzania
@khadjamhozya Жыл бұрын
Ni mzuri sema hana sauti nzuri, MORA hakupi vyote
@mwitaagness455 Жыл бұрын
Watu banaaa sasa sauti imefanyaje puuuuuuuuuu, ebu muogopen Mungu
@mwitaagness455 Жыл бұрын
Mbona wewe umeandika *mora* shame ni mola hujui hata R uweke wapi na L uweke wapi fyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@YusterCretus-b6b Жыл бұрын
Acha kuukosoa uumbaji wa Mungu.
@rynesawaya70439 ай бұрын
@@mwitaagness455kuna watu wanachuki za waz kabisa,hasa sisi wanawake tuna roho mbaya sana,saut yake nzur sio mbya ni wivu tu
@ummusalim1991 Жыл бұрын
Kuwa miss Tanzania ndio mpaka mtu aende tupuu jamaniii😢 Heri dada wa kiislamu abakie tu hivyo hivyo😢😢😢😢
@faithkaganda-k3s Жыл бұрын
Na komwe ila kawa mshindi❤hvo acha k2kana wenye komwe😢❤❤
@ismailmajala2802 Жыл бұрын
😂😂😂😂 manina
@ummusalim1991 Жыл бұрын
😂
@ummusalim1991 Жыл бұрын
@@ismailmajala2802kidogooo😅
@tatually1366 Жыл бұрын
Urembo kwa 🎉 hongera 🌹
@MwanamisiAlii-g2s Жыл бұрын
This is nice
@rithaferdinand3738 Жыл бұрын
Hapo angekuwa Diva wa wasafi ss alooooooh tungekoma cc
@SaniajumaSania Жыл бұрын
Nimependa kilakitu ❤
@KiswiririSwaliki Жыл бұрын
Mdada mzuri hana majivuno nmependa style yake
@meennahmtey8001 Жыл бұрын
Dada nmekupenda bule
@leaherasto929 Жыл бұрын
Mungu akusimamie ushinde
@claudialupimo761411 ай бұрын
All the best darling... ❤❤
@saburimpimbita213211 ай бұрын
🎉
@nancyg8664 Жыл бұрын
Ila usuper staa ni mzigo yan ukirudia nguo tu kwenye events utaongelewa ndan na nje ya nchi
@Zushantymohamedy Жыл бұрын
Ubalikiwe urudi na ushindiii❤️
@SweetbertMoses Жыл бұрын
I'm impressing she is so real
@MinashyBeb-ji5fx Жыл бұрын
🥰🥰🥰pazuri
@FlorenceKichenje-ys5is Жыл бұрын
Very proud to her😍
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Pazuri safi hongera kwakwe wow❤
@najmasalim-rg6ow Жыл бұрын
Dawa zinahifadhiwa jikon
@morjanoman5181 Жыл бұрын
Ongera. Sana dada
@halimamusaamiri4187 Жыл бұрын
Hongera sana
@lightnessmaginga Жыл бұрын
Amazing 😂🎉🎉🎉🎉😊
@LeylaHamisi-qh3kb Жыл бұрын
Kibonge katoka mbio uyo
@monnahamour9892 Жыл бұрын
😂😂😂
@princessmimi4404 Жыл бұрын
Insha Allah tutakupigia kura angalau mwaka huu tuchukue wa tz
@AdaTarck-xo7pl Жыл бұрын
Kunambaba alijificha nimemuona😁😁
@yvonnelaurentlaurent8186 Жыл бұрын
ni rafiki yake Jerry jamani
@michaellagwen819811 ай бұрын
Kuna viumbe vinaishi bwana😢😢
@RachelJackison Жыл бұрын
I'm single nayule mbaba alokimbilia chumbani wakati Wana ingia😂😂😂
@nancyg8664 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@nancyg8664 Жыл бұрын
Mbona chagunene sana af alivotembea kama shoga🤣
@reenaamar4875 Жыл бұрын
@@nancyg8664😀😀😀😀
@hawaaman3172 Жыл бұрын
😂😂😂😂bonge la bwana
@timothmwakakusyu4563 Жыл бұрын
Mshika pembe😢😢😢😢
@zuenajohn8325 Жыл бұрын
Ni mzuri sn hongera. Ila achana basi na lugha za kigeni kila dakika.
@Sheisparis Жыл бұрын
Akienda miss world 🌎 haongei kiswahili alaf kazi zake nyingi watu anaofanyanao kaz ni wanaongea kingereza
@GetrudeMajaliwa Жыл бұрын
Wivu tu aongee kiswahili sana wakt anaenda miss world kizungu huwa kinasaulika
@alexkayombo2725 Жыл бұрын
1:24 aliekimbiaa ni sponsa au 😅😅😅
@irenekayombo55099 ай бұрын
Mzuri mwenyewe,mcheshi
@esterkabigili Жыл бұрын
You are blessed ❤❤
@GodriverLunjawala-r7o Жыл бұрын
Jaman napenda umiss mimi but sina mdhamini😢
@DerickRinwa Жыл бұрын
Tuma picha ako tukuone kwanza ndo tukutaftie mdhamini😂😂😂😂
Ata mimi napenda sana wanja japo ninazo nyusi nyingi
@christinembeye5489 Жыл бұрын
Beautiful Girl 🔥🔥
@kagirasta1476 Жыл бұрын
Nani kamuona Mubaba 😂😂😂 unakimbia chumban
@FadhilaOmary Жыл бұрын
😂😂😂😂
@markgeorge2929 Жыл бұрын
Watangazaji wa kibongo wamekariri maswali yaani swali lao kuu ni bei za vitu. Hawana maswali ya maana yenye udadisi.
@FatmaAhmad-y1k9 күн бұрын
Angekuwa bwana ake asingefunguwa wakati hajamficha
@Shammy-d1e7 ай бұрын
Kuna baba katoka mbio 😂😂😂😂😂
@happinesskitali164 Жыл бұрын
Kazur
@MayarashidiMayarashidi3 ай бұрын
Wamechelewa
@SaidaKatoto-ns9jm Жыл бұрын
Dada halima nimesikia unasaidia jamii mimi naomba unisaidie nauguliwa na watoto nahitaji bima tu watibiwe mamii
@KhadijaMasoud-m6u Жыл бұрын
Mbona hujamtolea mgeni soda n kashaziona
@faithtumaini-mg3ck Жыл бұрын
Kura yapigwajee? Ila utashinda
@AbiaWilliam-s1s6 ай бұрын
Hooo
@StanMrema4 ай бұрын
1:24 who is this guy😂
@kendimutunga Жыл бұрын
Halima your beautiful gal
@VelonikaMakota Жыл бұрын
Amenyata
@nakilingwembele9504 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@Real-fact2310 ай бұрын
Kuna mtu ameleft group video inavyoanz anaonekana tu 😂😂
@dn.n4983 Жыл бұрын
Be bless umeshinda wewe ukipata taji nitafute
@mnaromajengo915510 ай бұрын
Lila linaelekea wap jamn 😂😂😂
@barakajoseph223411 ай бұрын
Lile lidingilii lenye tumbo kubwa limekimbilia chumbani kule mngelihoji nalenyewe ilo li ankoli
@marypharles814 Жыл бұрын
izo dawa znaitwaje 😥
@agnessima5032 Жыл бұрын
Follic acid
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Vitanda hivyo walivitangazaga wanaviuza vizur
@bennamush4616 Жыл бұрын
Kwahyo salehe wewe umesomea kuchunguza maisha ya watu 🤣🤣
@timothmwakakusyu4563 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@AmonKweka Жыл бұрын
Be blessed
@SikudhaniKulonda Жыл бұрын
Huyo jamaa bonge alikimbia kabixa au nimemuona pekeangu
@AishaSauko-sn3wn Жыл бұрын
mimi pia
@nuruchaula128 Жыл бұрын
Ata mimi mecheka kifala
@rehemavickie6521 Жыл бұрын
Haha nimemuona
@UPENDOMMAKASA Жыл бұрын
Bongee alikimbia sanaa kakimbilia chumba cha wageni hahaha
@eagleeyes4449 Жыл бұрын
Sema ili jamaa Lina enjoy linakutana na mastaa alafu mamisosi na nini.
@nunnyissah70279 ай бұрын
Acha njaàa😅
@evalinmwita3193 Жыл бұрын
Mshike huyo mubaba😂😂
@naimamohamed2216 Жыл бұрын
Mm nimempenda na nimemuamini kumbe ni kabint kenye nguvu baba lote lile ,ana linyanyua
@SafiyaJ-yw2vt Жыл бұрын
Hata mm nilitaka kuuliza hizo nywele mwandishi umenisaidia kuuliza
@basillamwanukuzi5886 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mzur halafu mrembo
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi mwenyewe napenda mekapu napenda kujipamba na kupamba watu
@CosmasSengenge8 ай бұрын
Bonge la njemba
@najathtemo3908 Жыл бұрын
Jaman mbona bonge ametoka mbio hivyo😂😂😂
@pascalinajames9117 Жыл бұрын
😁😁
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
Na Mimi hapa ndio nimemuona, namuwazia mbn arudi jmn!!
@josephineokama2200 Жыл бұрын
ila mnamacho alafu alikua mkaka au mdada
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
@@josephineokama2200 mkaka🤣
@hamzasalum613 Жыл бұрын
😅😅😅
@kellynelove38085 ай бұрын
Huyu ndo alikuwa anatuwakilisha huko duniani??💔😒😒
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ndio mbona zipi hizo dresing tebo za choon
@furahakimisha7162 Жыл бұрын
In
@nancyg8664 Жыл бұрын
Mataili ya iyo gari sijaelewa ni yameisha upepo au
@johniesilva460011 ай бұрын
Matairi ya mercedes ndo yalivyo
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Kabisa jaman unapenda kutowa sadaka kama mimi ubarikiwe ata hamisa anajitaidi kwa hilo
@nunnyissah70279 ай бұрын
Atapika saa ngapi na yuko busy na maokoto
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
So cute
@MawazoMwamba-fz5hr Жыл бұрын
❤️❤️❤️🥰
@tithonyaunyau9 ай бұрын
KUNA LIBONGE SIJALIELEWA HAPO AISEE
@bjzee1981 Жыл бұрын
Sasaaa huyu ni wa take away tu. Hajui kupika
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Na komwe lake kashind hii ndio Tz ila kimataifa....!
@shabanimwinyikhery1174 Жыл бұрын
Naona kuna chibonge ameenda kujificha kule ndan
@lujuomjanja2866 Жыл бұрын
MMMMMMMH! KAZI TUNAYO WATZZZ!
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mpendeza na mtangazaji kapendeza
@MusaMkembela-ex6ev11 ай бұрын
Na mahelen hayo au na ww mmeo anayo
@LucyKulaya-bj5ow Жыл бұрын
Kusema kweli nimrembo na anaongea vizuri na anakula sababu ya kushinda ila staki kumpa moyo jaman kunaiyo nchi ni warembo niwazur afui dafu apo samaani ila kushinda saau
@nancyg8664 Жыл бұрын
Ata asiposhinda lakin kawakilisha nchi tu😅
@namwetakatoyo5456 Жыл бұрын
If kushinda uMISS wangezingatia tu sura kama the only kigezo cha urembo basi miss Nigeria wa 2021 i guess aliyetwaa pia miss world Africa asingeshinda😅😅..urembo ni more than sura.
@MrsallyMsellem Жыл бұрын
Halima ni mnzuri sema unatakiwa ujiyefadhi uvae vizuri
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ndio jaman ata hasiposhinda lakin kawakilisha mbona ni kazur tu halafu anafanana na mtoto wa ant yangu ni wazur nawo mmoja alishashiliki umiss yani umodo best yake hamisa walikutanaga uko ni wazur dada yake kipindi yupo chuo mzumbe walilazimishwa kushiliki chuoni akashinda miss zote mbili alishinda yeye moja alikuwa wakwanza na nyingine akawa wapili hapo ndo walimchakachuwa alivyomalizaga sekondar kina shangazi walimshauli akashiliku umiss baba yake akakataa akasema umis ni uhuni basi ndo hakwenda lakin ni mzur kwel na warefu walikuwa kimis mdogo wake meneja wa sport pesa anaitwa Sabrina yule ndo sio mrefu lakin wenziwe walefu
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Zaman nilikuwa napendaga kuchana hivyo na kuweka kibanio mbele
@aishadanda1787 Жыл бұрын
Unaingea vibaya
@nunnyissah70279 ай бұрын
Ndo maana ukaitwa danda
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mim nadamu nyingi nikijikata uwa zinatokaga nyingi
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mimi napenda viazi ata baba anapenda na ndizi pia napenda
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Njoo unipikie Viazi
@angelamgalula8457 Жыл бұрын
Ni sickeler?? Wanamezaga pia watu wenye sickle cell hizo folic acid
@KhadijaMasoud-m6u Жыл бұрын
Km anataka mpishi mwambieni aniite mm Kwa Cku anayo tamani kupikiwa km biriyani chochote naombeni mwambieni miss Tanzania wetu Kwa kupika tu ht pizza 🍕 vibait
@KhadijaMasoud-m6u Жыл бұрын
Niombeeni hiyo nafasi y kupika tu
@lifeofa.butoyi5034 Жыл бұрын
Amefikiya wapi sasa mwenye mashindano?
@watotowamaria840411 ай бұрын
Wamehairisha mpaka mwakan 2024 mwez wa tatu kwahyo bado hajaenda
@albert-kkitwenga48899 ай бұрын
Ndo wapo India kwa ajili ya mashindano now. From 18/02-09/03/2024
@dorothymella4719 Жыл бұрын
Tunguo tufupi sana mpaka ukikaa unajikinga na mitoo
@ElizabethKivumbi9 ай бұрын
Ulitaka avae maguo yanayofagia barabara. Anabana kuendana na nafasi aliyonayo. Mwacheni mtoto wa watu,akimaliza umiss atavaa mibuluzo ya kusagidha mitaa bila fagio