Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 141
@user-id1me9ve1o9 күн бұрын
Sema juma Maisha yako mazuri sana wajitahidi sana ❤
@aishanassor-wf8vq8 ай бұрын
Jitahidi kaka kaa vizuri wanaangalia watu tofauti
@jumalihumbo53148 ай бұрын
Kwan kabila gn uy😂😂😂
@lizashagilliard23367 ай бұрын
Unataka akaaje😂
@iddymtitiko7 ай бұрын
😂😂😂 sikiliza kinacho ongeleka siyo mkao
@user-qz5st4sh3b7 ай бұрын
Ila hayakuhuusu kwan ye ajitambui
@salmabasil3857 ай бұрын
Ni vyema mtu ake vizuri ndo mana watoto hufunzwa kukaa vizuri na tabia nyingine kama kutafuna vizuri hivi vitu sio vya kuchukulia poa
@EmJesho8 ай бұрын
Weeee juma weeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ saleh mambo vp nakukumbuka sana pale Linda salon wewe na masha mlikua mnakuja Bg up san kwasasa. Npo pande za 🇴🇲 o
@nancywanjiku15548 ай бұрын
Much love from 🇰🇪 juma wa jua kali
@user-kp6lz7zs1w8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nakupenda cn juma
@aishaissa25128 ай бұрын
Juma bwan 😅😅😅hongera sana 🎉🎉🎉
@RacherBakari-qh2gx8 ай бұрын
Mashallah uko vzur
@user-dx3in3cq2p8 ай бұрын
Nakupenda jumaa wetuu wajua Kali my wangu jamani😂
@user-zw9fk5ol6h8 ай бұрын
Nampendaga mtangazaji anajua
@atislady34008 ай бұрын
Ukiacha uchekeshaji wa mahi wangu but the guy is real.
@binti_chiraka8 ай бұрын
Ila jamaa ni msafi mwenyezi Mungu amfanyie wepesi kwenye kutafuta riziki
@mamodelmam7 ай бұрын
Ni msafi Mashaallah 🤍
@AgnesAgnes-fm8wp8 ай бұрын
Juma kumbe ni mzr sana
@auntmakochela42027 ай бұрын
Ka Saleh nenda kwa kidundu wa jua kali tumemmiss pia😊😊😊
@joslinchuwa12988 ай бұрын
Nimekupenda bureeeee
@Leila-salim8 ай бұрын
Juma kaa vizuri mahiii
@NgengeMkeni-uo5hq7 ай бұрын
Mtangazaji chenga sana
@user-nu2jz8wx2k2 ай бұрын
Jumaaaaa huna baya kaka ❤❤❤❤❤❤❤
@DorcasJoseph-so1qf8 ай бұрын
Nimekupenda bure
@rahymaaa43578 ай бұрын
😂😂😂😂J hajawahi kuwa serious wallah weeeeh hamna lolote afu akitaja Hilo lolote lazima ugonge ili uwe umesaport nyie J Ila bonge la mjengo na la kupanga tu Hilo duh wakishua kweli❤
@stellahwilfred57628 ай бұрын
Yaan nna kaka yangu huyo ni Jackson ila wakamwita Juma mm nachukia alivyo najua Juma ndiyo shida yake sema huyu amejijua amepeleka uzinguzi wake kazini😅..
@moizjohnston38418 ай бұрын
Mahiii wangu
@umaima11787 ай бұрын
Mahii 🎉🎉🎉
@gracerichard81458 ай бұрын
Asimwambie mtu!🤣ila kanambia peke yangu🤣🤣🤣
@mankakimaro64118 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣ila juma jmn vituko tupu kla kitu hamna lolote👏🏻
Juma wetu wajua kali kichwa maji myiiii wangu 😂😂😂😂❤
@khadijakhatibu52708 ай бұрын
Utakaa uchi juma 😂😂
@nusaebahkeis67748 ай бұрын
Jumaaaa 😂
@miriamshitindi62008 ай бұрын
Jumaaaaaa 😂😂😂😂😂😂❤
@fatumakidoa40068 ай бұрын
Juma vituko vya jua kali pia huku unaleta 😂😂😂😂😂
@rehemafeysali44448 ай бұрын
😂😂eti usimwambie mtu😅😅 wakati uko kwenye interview 😅
@rahmagebra74678 ай бұрын
Kijana napenda sana uigizaji wako pambana utafika mbali❤
@user-tk3wl7xf4n7 ай бұрын
Huyu jamaa kuna kitu hakiko sawa
@Zainab_salat5 ай бұрын
Umeona bomba la maji na nguo ziko karibu
@jasminshemsanga87278 ай бұрын
,😂😂😂😂kichaa huyu
@NeemaStephen-oe4ww8 ай бұрын
Mahi wangu wewe eti hayatuhusu😀😀😀
@ummullaqsa9748 ай бұрын
Yan juma hujawah kua sirias🤣🤣🙌nakupend n ujinga wk 😂😂
@rukaya-jg7hj8 ай бұрын
Mahi wangu😂😂
@sugarthompson93698 ай бұрын
Ila iko kipensi jmn 😄
@reginamluviji94058 ай бұрын
fridge halina kitu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dorisfabian47768 ай бұрын
Alivyokaa sasa kwenye hilo kochi
@margrethamsechu70888 ай бұрын
Juma fala sana 😅😅😅
@user-nb6bw5co4n5 ай бұрын
Mikende yote njee 😂😂😂😂😂 musimbebe huyu simzima😅😅😅
@user-dd3kb8wr9o8 ай бұрын
Juma wa juakali duuu we noma kumbe unajumba kote hilo
@Zuwenasalum27888 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂I love this guy
@neemammbaga2277 ай бұрын
Yan tokea nkutane na show bizz bando langu linaishia hapa😅
@hidayah34058 ай бұрын
Toka elfu mbili na kumi ishirini😂😂😂😂😂😂😂
@fatmasaid48068 ай бұрын
Juma me naomba kaz ya kuwa mpishi tu kwenu hapo nia yangu nipate kucheka 2 nkikuona ntanenepa😅😂
@Lexerjoh8 ай бұрын
salehe hajui hata kumenya ndiziii anaulizia sana misosiii anataka kula nin🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@margrethamsechu70888 ай бұрын
Joel mbona unyoi sasa😅😅
@eshymohammed88378 ай бұрын
izo nywele vip mahi
@rehemavickie65218 ай бұрын
Anavyokaa sasa na hicho kuguo !
@LeylaHamisi-qh3kb8 ай бұрын
Yan interview hii vichekesho vitupu🤣🤣
@rahimaaaaa56828 ай бұрын
Yn uyu kaka😂😂😂😂😂😂😂
@user-pg3pu4jk9f8 ай бұрын
Sasa uvaaji gani huko+mkao wenyewe siyo rafiki na hicho kipensi😢
@KeityKeen8 ай бұрын
Mahi
@khadijakhatibu52708 ай бұрын
😂😂😂😂 Hii intarview sjawahi ona
@abdulnaseermrisho43428 ай бұрын
Ila Juma bhana 😂😂😂😂😂
@margrethamsechu70888 ай бұрын
Et wanawake wakija 😅😅
@drinozzsamson86767 ай бұрын
Mwambieni. Juma nipo gorani 😂😂😂
@batulindege70578 ай бұрын
Nice
@fatmasaid48068 ай бұрын
Mh ila ukiwa msanii bhana unapekuliwa mpk chupi zako😂😂😂😂😂hii kaz mmmh hapana hata km ujatandika bahat mbaya kaz unayo😂
@victoriajoachim72718 ай бұрын
Ila mahii😂😂😂😂
@user-hi8le2vb7z8 ай бұрын
NI KWASABABU UNA MAFANIKIO TU,,,NA ULIPOWASALITI WALIKUPAKA LIVE,,NDO UMEMAIND HADI LEO,,,ELIUD MWENZIO ANAGONGA KILA SEHEMU..KIPOTOSHI NK...
@hamisindingo7 ай бұрын
Sasa mnakaa wawili wanaume tupu Mafuta ya nazi ya MINARA ya nini hapo showcase.
@FatimaAli-of4gh8 ай бұрын
Saleh kipindi kinachokupendeza shughuli zetu jinsi unavowapaisha warembo
@Lexerjoh8 ай бұрын
nyumba nzur kubwa
@faidhamyovela1796 ай бұрын
Ni yak au ya kupanga
@lustikadaniel59728 ай бұрын
😂😂😂😂😂dah
@roqayaro94397 ай бұрын
YUPO VZR HUYU KAKA JUMA WA JUAKALI😊
@gloryangel70957 ай бұрын
Ila usimwambie mtu😂😂😂
@jasminshemsanga87278 ай бұрын
😂😂amna loloteee
@fatumakidoa40068 ай бұрын
Juma sasa watuonesha mjengo wako kwa nn walati wa interview kavae vizuri 😅😅😅😅
@estermahenge-ks3dr8 ай бұрын
yaniii mi mwenyewe simuelewi
@komboko41433 ай бұрын
Eva amekuambukiza ukimwi ww na frank 😅😅😅😅umeme huoooo
@glorianikiza39408 ай бұрын
Juma weye hata bila kuigiza unachekesha tu yani kama unaigiza tu😅😅😅
@tatuaamuuinyi96338 ай бұрын
Kwani wanaume ndo wanaruhudiwa kukaa hovyohovyo.yani juma a avyojibanua
@estermahenge-ks3dr8 ай бұрын
mi mwenyewe sija muelewa😅
@rizikiabdalla25017 ай бұрын
Kama msengeee kujikaaaa uchi tuuu hana maadili kabisaaaa
@TaarabChannel8 ай бұрын
Ana mkono na kifua kizuri
@FatimaAli-of4gh8 ай бұрын
Umenishinda tabia interviw au😂😂😂
@user-qb3hx2ku9v8 ай бұрын
Mimi sijasikia kitu macho yangu yapo kwenye mkao mbka naona babu anacheza😅😅
@FatimaAli-of4gh8 ай бұрын
Hatari jamani muna macho makali sio wenzenu tumetegesha masikio kusikia si macho😅😅
@salhamrishoi49438 ай бұрын
Mayi nakupenda saaa❤❤❤🎉mayiiih wangu upo pouwah kabisa hauna baya tunakukubali🎉🎉🎉🎉
@komboko41433 ай бұрын
Juma anao umeme kwa kikomwe wake
@vibetz99918 ай бұрын
Kazidi mdomo😂
@JulianaJackson-nm7te8 ай бұрын
Nachekaga Sana nikimuona huyu jamaa
@rehemafeysali44448 ай бұрын
Eti hamna lolote😅😅😅😅
@user-nf9nw7xd6y8 ай бұрын
Mahii
@bennamush46168 ай бұрын
Sasa umevaa Nini hicho umeshindwa kujistiri
@SalamaNauthar8 ай бұрын
Mara ya kwanza kabisa kukuona Jol master' nilikuona katika skonga' ukiwa Mwanafunzi
@fridolinefrance13538 ай бұрын
Na Mimi aisee
@rizikiabdalla25017 ай бұрын
Sasa huku kutukalia uchiii ndioo nn
@TaarabChannel8 ай бұрын
Afu handsome
@fettymilly76648 ай бұрын
😂😂😂😂😂 etiiii ma mon ma bad fala hili😂😂😂😂
@everlyne85958 ай бұрын
Kweny swal l kupangish nyumb kubwa kw bei mby mnazngua kwnn msitafut nyumb z kawaid mkajenga
@fettiemaganza14846 ай бұрын
Sa hv wanatumia nyumba zao kushoot content
@m.mmarckus62988 ай бұрын
Kwahiyo wamliiba tivii2
@SalamaNauthar8 ай бұрын
Wa pili leo' nipeni Like zangu hapa👇
@user-kp6lz7zs1w8 ай бұрын
Jmn juma wewe htr cn nakupenda ndaga cn nainjoi cn nikikuona kwenye jua kali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅
@givenessdavid37438 ай бұрын
Mwenye kanga yake akiona atahamia mazima
@nancyg86648 ай бұрын
Kumbe mdogo wangu ila watoto wa kiume wanakuwa na miili mikubwa unaweza ukasema mtu ni mkubwa kumbe anaumri mdogo. Hongera kwa mafanikio hayo katika umri mdogo
@user-yu3kg6zl8q4 ай бұрын
kwa nini usivae nguo ukainekana mtu kukaka uchi sio vizur sio
@mirnababy50127 ай бұрын
Nguo gani ya intavyuu iyo uyu kaka vipi
@masungaiwvata58356 ай бұрын
Hamna lolotee 😂😂😂
@margrethamsechu70888 ай бұрын
Et nilienda kuchekesha bar wakagoma kucheka 😂😂😂😂😂
@mcback43847 ай бұрын
Hivi huyu Mbona kama alikua anaigiza futuhi? Me kama nimemuona kitambo sio kweli kwamba kaanzia cheka tu