NYUMBANI KWA MKALIWENU/ ANAKAA SIKU NNE BILA KULA/ AONYESHA KIBAO CHA MBUZI JIKONO.

  Рет қаралды 47,010

ZamaradiTV

ZamaradiTV

6 ай бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 216
@venusmillonge4240
@venusmillonge4240 6 ай бұрын
Mkali akija kusoma comments atajuuuta kuwaita kwake😂😂
@salmamsakuzi3070
@salmamsakuzi3070 6 ай бұрын
Mmh nmeanza kusoma comment nkajua watu wana choyo ila hapana tena hawajakuchamba kisasawa mkali wenu ni mchafuuuuuuuuuu hiyo mipua unaishika muda woteeee mbele ya camera mbele ya mtu anakuhoji ukiwa mwneyewe nahisi na huko chini unajikuna muda wote mchafuuuuuuuuuuu unatia kinyaaaa😢
@mercymodest2248
@mercymodest2248 6 ай бұрын
Sio kwa ubaya bro starah ni nzuri sana jaribu usafi daah sicomentigi ila umetisha mwanangu. Unasonga makamasi afu unakula unamshika mwenzio bila ata kujipanguza daah jitahidi stara kiasii
@johnbwirabukiza1878
@johnbwirabukiza1878 6 ай бұрын
Anajikuna sana haogagi nimuchafu kweli nakura birakuosha mikono hatalii
@TALLUBOY
@TALLUBOY 6 ай бұрын
Kweri vipi vina muda wake Leo mo! Town sanya ayupo Tena duu! MKARI WENU AUOGI MAJI UNAJIWASHA JASHO SANA MAANA DU!
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v 6 ай бұрын
Saleh, ukifika nyumbani hizo nguo zako toa zimejaa makamasi tu 😅😅 kila akiingiza vidole puani naona maganda ya makamasi yanatondoka chii😅😅😅
@thedygeorge4548
@thedygeorge4548 6 ай бұрын
Sule anaona kinyaa kula hiyo miogo, jitu halijanawa kujikuna muda wote mara pua mara miguu huyu kaka mchafu bhana... 🙌
@EmJesho
@EmJesho 6 ай бұрын
😅😅😅😅😂
@gracemabula418
@gracemabula418 15 күн бұрын
😂😂😂😂 ila watu
@edwinamos9734
@edwinamos9734 7 күн бұрын
Umeona content chumbani kwake aaaah umetufurahisha sana..... Xema maelezo yake tumehisi nyumba sio yake maake hana uwakika wa nyumba inavyumba vi ngapi????
@maireshsaid1628
@maireshsaid1628 6 ай бұрын
Hapo sio kwake huo ndo ukweli, kabandika tu mapicha
@user-lw7sy2gy9d
@user-lw7sy2gy9d 5 ай бұрын
Atakama c kwake but uwa anaishi apo Kwa mda mlefu sana toka mwaka juzii so kama una wivuuu jinyinge okay
@joycechaz2840
@joycechaz2840 6 ай бұрын
Mkali wenu sjui ana kunguni mbona anajikuna sana 😖🤮 kula bila kunawa🤮 Nyumba yako ujui vyumba viko vingapi😢
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 6 ай бұрын
Amejikuna miguu yote kisha bila kunawa mumekula hongereni😂😂😂
@user-jj9xf7nt9k
@user-jj9xf7nt9k 6 ай бұрын
Ila salehe usivae helen bana unajihalibu nawakat uko vizur sana na langi yako iyo
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 6 ай бұрын
Mchafu hatar loogh😅😅😅kujikuna tu koga aaaa😂😂😂😂
@gracemabula418
@gracemabula418 15 күн бұрын
Kujikuna tu kuoga aaaah.
@rynesawaya7043
@rynesawaya7043 5 ай бұрын
Mungu wangu amechokonoa pua wwe akajikuna ajanawa mikono anakula mihogo jaman 🤮🤮🤮🤮 huu uchafu wawaz kabisa c angenawa mikono tu jman 😭🙆
@marthahozza2964
@marthahozza2964 6 ай бұрын
mimi sio mkamilifu ila Kiujumla huyu ni MCHAFU .ukweli usemwe
@azizayassin3623
@azizayassin3623 6 ай бұрын
Kwani yle mke wake waliachana
@fatmakashi7948
@fatmakashi7948 6 ай бұрын
Kwani hio pua yawasha nn unavoikuna na kumshika mwenzio
@edwinamos9734
@edwinamos9734 7 күн бұрын
Mkali amezaliwa 1998 hahahaha brother ujue watu tunakujua ayaaa danganya wasio kujua.!!!!!!?????
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 6 ай бұрын
Yn huyu kajiwasha mwilini kwny mapua daa mchafu xn 🤔🤔
@user-sh2rl9yz4x
@user-sh2rl9yz4x 6 ай бұрын
😂😂nimecheka mpaka basi anavyo jikuna daah😅
@gracemabula418
@gracemabula418 15 күн бұрын
Ila jmn mm na show biz ni Pete na kidole
@AishaFerous-jp8oq
@AishaFerous-jp8oq 6 ай бұрын
Ila do mnamoyo kila bila kunawa m.Inawezekana kweli sio kwake.
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 6 ай бұрын
Kijana mchafu sana hadi anaona jau kuonesha chumba chake
@Joliegal834
@Joliegal834 6 ай бұрын
Saleh punguza uroho mtu kajikuna pua na miguu ajanawa unakula naye utapata kipundupindu😂😂😂😂 ila unapitia mengi sana mtangazaj wetu
@jackjudy9182
@jackjudy9182 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@IssaSefu
@IssaSefu 6 ай бұрын
Mbona anajikuna sana kweny mguu?ana matatiz ya ngoz au????😂😂 😂😂😂
@WemaOmary-of6to
@WemaOmary-of6to 6 ай бұрын
Itakua anafunzaa sisi wangoni tunaita matekenyaa
@komboko4143
@komboko4143 3 ай бұрын
Huyu kweli mchafu hata kuoga anaweza kukaa siku nne simnaona hivyo anavyojikuna😅😅😅umarrrrr kwarukaaruuu
@fatmaathumani7116
@fatmaathumani7116 2 ай бұрын
Hamjaskia kitu mmakonde wa chale 😂😂 mipua foko foko mikuno miguu muda wote na mnakula bila kunawa khaaa, salehe ww ni mwanaume wa kweli aiseee 😂😂😂😊😊
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 6 ай бұрын
Una Haribu interview
@salumjumanne-bn8zp
@salumjumanne-bn8zp 6 ай бұрын
Huyu Saleh msenge huyuuu,mwanammw rijali hawez kuvaa hereni maskioni.
@irenemacha5661
@irenemacha5661 6 ай бұрын
Kwan urijali unakaa maskioni
@Njeriii536
@Njeriii536 6 ай бұрын
Vaa nawewe
@joycechaz2840
@joycechaz2840 6 ай бұрын
Salehe anajikaza tu kula ila anaona kinyaaa kula mtu ajikuna ukurutu😂😂
@rehmakondo
@rehmakondo 6 ай бұрын
Hahahaha 😂😂😂😂yani kumont zinanifurahisha
@EmJesho
@EmJesho 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@EmJesho
@EmJesho 6 ай бұрын
Daah comment 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nmecheka sana ila jamaa kweli mchafuuuuuuuuu sana
@komboarts7110
@komboarts7110 6 ай бұрын
Watu wamecomments maneno mabovu daah. Tanzania
@katalinabuhoro3599
@katalinabuhoro3599 6 ай бұрын
😂cyo kwako bro..
@barotvonlineofficialramaba4334
@barotvonlineofficialramaba4334 6 ай бұрын
mbona uanjikuna sna mkali gitaaaaaaaa @mkali
@ruu6592
@ruu6592 6 ай бұрын
Viumba vyote ivo mama anaishi vibaya sana
@thabeapaul2473
@thabeapaul2473 6 ай бұрын
Yaan huo muhogo aliompa camera man kinyaa nimeona mimi loh
@djhajiztz
@djhajiztz 6 ай бұрын
ihii sebule au seem ya kupiga pcha maan pcha nyngi
@deboranicoraus4866
@deboranicoraus4866 6 ай бұрын
Wachafuu hawa ht kunawa tuu hakuna km mkali wenu full kujikuna kunaa tuu
@photonatuschie9477
@photonatuschie9477 6 ай бұрын
Cio kwa kujikuna hivo had unatia kitapitapi😂😂😂
@HamisiSaid-ni8kp
@HamisiSaid-ni8kp 4 ай бұрын
Huyu mkali nivenye tuh kuna camera am sure anajikuna pia makende akiwa lonely😅😅😅
@salmahanai
@salmahanai 6 ай бұрын
Salehe napenda sana vipindi vyako
@bennamush4616
@bennamush4616 6 ай бұрын
Huyu jamaa kiafya hayupo sawa na ndo mana anakosa ham ya kula anakaa siku tatu bila kula ajaribu kwenda kupima dam huenda ana dam chafu ndo mana anajikuna hovyo
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 6 ай бұрын
Jaman mkali wenu ety siku tatu bila kula sio kweli kwa kweli😅😅😅
@EbambeWakilongo
@EbambeWakilongo 6 ай бұрын
Yuko vizuri sana mkaliwenu
@user-xg7ph7bz7p
@user-xg7ph7bz7p 6 ай бұрын
Unamjua mama ake
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 6 ай бұрын
KWAN HIZO PUA ZINA SHIDA GANI KILA SAA UNAZICHOKONOA? KWAKWELI UNABOA KAMA NI UGONJWA NENDA KWA DAKTARI
@user-wu4jj7ms2c
@user-wu4jj7ms2c 6 ай бұрын
Mkaliwenu na Tannah ❤❤
@simonsangu6040
@simonsangu6040 23 күн бұрын
Saaaana tajil
@nuruscard9534
@nuruscard9534 6 ай бұрын
Cameraman 😂 akaombaa muogo wish tumuoneee 😅😅
@Joliegal834
@Joliegal834 6 ай бұрын
Amini kwamba sio kwake😂
@GeorgeWilson-cu6bp
@GeorgeWilson-cu6bp 2 ай бұрын
Jamn nimecheka sana hizi comment
@JanethMadios-oe5ue
@JanethMadios-oe5ue 6 ай бұрын
Yaani nimechefukwa hatari uyu kaka anaonekana ninmchafu sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa nauhakika atakuwa ananuka sana kama jasho, mdomo, pumbu, yaaani dhohari jamani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@JennyJma
@JennyJma 6 ай бұрын
Jamani nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ZabibuJulius
@ZabibuJulius 6 ай бұрын
Mkali wenu anang'atwa sana na mbu ndo mikuno yake iyoo
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 6 ай бұрын
mke wapi
@emmanuelkihiyo9236
@emmanuelkihiyo9236 6 ай бұрын
Iichafu kweli kila saa linajikuna mapua 😂😂😂😂
@darlinmamawatatu6411
@darlinmamawatatu6411 6 ай бұрын
Kaka mchafu 😢jamani kajikuna pua lake ,miguu mikwapa kaja kula viazi mkono ajanawa ni mchafu sanaa
@user-hp5kl8wd1e
@user-hp5kl8wd1e 6 ай бұрын
khaaa mkaliwenu ni mchafu jmni duh
@ashazuber6548
@ashazuber6548 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂anatafuna mbwa kidogo😢😢
@ummishakii8322
@ummishakii8322 6 ай бұрын
Na salehe alikutana yaaan mchafu wajameni nayey anakula tuuu
@zaituniallyjuma8845
@zaituniallyjuma8845 6 ай бұрын
bwana ejiimenda tisini nanane wapi wemuogo
@teddynsashe8704
@teddynsashe8704 6 ай бұрын
mchafuuu anajikuna pua miguu hanawi khaaa mimi hpna siwez😅
@matridasambali6432
@matridasambali6432 5 ай бұрын
Sa mbona anajikuna sana miguu kwann hukumuuliza anashida gani anajikuna sana
@JacklineWisiko-pi4xp
@JacklineWisiko-pi4xp 6 ай бұрын
Ngumi sarehe kama anacheza rede
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 6 ай бұрын
Ni mchafu sana kha siwezi ata omba maji kwake loh
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 6 ай бұрын
Mbona kama sio kwake hajui hata vyumba ina vyumba vingapi
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 6 ай бұрын
Mtangazaji nakuomba uvue iyo heren kwa camera
@chichiereyh
@chichiereyh 6 ай бұрын
Hla mkali akili hana😂
@EmJesho
@EmJesho 6 ай бұрын
Tafuna taratibu jaman😂😂😂😂😂😂😂😂
@keynasseib9999
@keynasseib9999 6 ай бұрын
Kujikuna jamani
@renildevenerand9473
@renildevenerand9473 6 ай бұрын
Waolewaji wanakazi kwamfano ni mume wako anaeongea hivo akigusa pua nakula bila kunawa 😂 ni aibu mbele zawatu 🫣
@bossykalewa
@bossykalewa 6 ай бұрын
Duuh mwamba kauzuu!!!
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 6 ай бұрын
Mkali wenu kwani ukiongea unawashwa nini co kwa kujikuna huko,na hizo vidole puani unamafua kwani
@user-hf1vy8hj9e
@user-hf1vy8hj9e 6 ай бұрын
Uachane na mahereni😮
@NzoramaBahati
@NzoramaBahati 2 ай бұрын
Jina ndo nutu, uyo ni mkali tuh
@sixmundleonard2135
@sixmundleonard2135 6 ай бұрын
Una uparata nn mjomba mbn unajikuna sana
@graceyamado8578
@graceyamado8578 6 ай бұрын
Msani kama uyo mchafu sanaa
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr 6 ай бұрын
uyu kali wenu si amchukue mama ake na wadogo zake awe ana ishi nao hapo ,watu wengine wana kosa baraka bure ajui mama ake ndio amebeba balaka zake😊
@user-ly2mj6od3v
@user-ly2mj6od3v 6 ай бұрын
Kumbe mkali ni mdogo sanaa,yani ndo kwanza na 26
@Joliegal834
@Joliegal834 6 ай бұрын
Jichanganye😂😂
@kagirasta1476
@kagirasta1476 6 ай бұрын
Mwamba mchafu 😂😂 anajikuna mapua afu anakula
@mejoservicescentre1128
@mejoservicescentre1128 6 ай бұрын
anakula bila kunawa
@EmJesho
@EmJesho 6 ай бұрын
😅😂😂😂😂😂
@issamanyota
@issamanyota 6 ай бұрын
MAYBE KUCHOKONOA PUA NDO SWAGA YAKE 14:20
@nanaritho6850
@nanaritho6850 6 ай бұрын
Huwa sipendi mtu aongee anakushikashika!!!halafu mara achezee mapua,ajikune halafu anakushika jamaaani
@gracepatric4371
@gracepatric4371 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂
@Boaz22
@Boaz22 6 ай бұрын
Na Kuna mwingine anajipiga dole la matako kabisa halafu anakushika eti, hio ni adabu kweli?😢
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 umeonaeeeeeeh
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 6 ай бұрын
Nilitaka kusema mapua kuchokonoachokonoa hata Mimi umeniwahi sipendi kabisa na pia mtu anaetafuna cheengam mdomo wazi😕😕😕😕😕
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂ww ndio mm
@zoab2699
@zoab2699 6 ай бұрын
We unae jiita mkali wenu kilio tv wanao kuuliza maswali unajicjokonoa mapuani tu kila intaviyu kidole ni👃
@eysherjuma3779
@eysherjuma3779 5 ай бұрын
Alooo kaka nimchafu huyu looo anavojikuna anakula atakunawa hanawi
@fahidashishi255
@fahidashishi255 6 ай бұрын
Alafu amjajua pua ikiona upo na watu inapendaa kuwashaa 😅sijui kwanini
@mmayr
@mmayr 6 ай бұрын
🤣🤣🤣 kabisaaaaa
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 6 ай бұрын
Na miguu nayo?
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 6 ай бұрын
Lakin mkali amejitahidi
@Zuwenasungura
@Zuwenasungura 3 ай бұрын
Jamani hakuna chumba malumu
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 6 ай бұрын
Kwan mkali wetu mslm ama
@user-dp5fj2kn6d
@user-dp5fj2kn6d 6 ай бұрын
anajikuna nn shida
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 ай бұрын
Mkaliwenu vipi mama wako unawasiliana kweli mpaka gari umeuza chukua dua kwa mama
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 6 ай бұрын
😢😢😢😢Ajierewi uyu
@Zainab_salat
@Zainab_salat 6 ай бұрын
@@rahimaaaaa5682 kweli anaonekana anasikiliza baba sana
@komboarts7110
@komboarts7110 6 ай бұрын
Amekula bila kunawa aisee ndoo mana watu wameponda sana hii interviews
@florakimaro-vw7qj
@florakimaro-vw7qj 6 ай бұрын
Jamani huyu kaka mchafu anajikuna anashika mipua halfu anashika chakula sio msafi kabisa
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 6 ай бұрын
Kitasa kimeng,oka
@issamanyota
@issamanyota 6 ай бұрын
WANAKULA MIHOGO HAWAJANAWA MIKONO DAAH 😅😂 20:12
@RandB_Channel
@RandB_Channel 6 ай бұрын
Jamani Mkali wenu kajikunaaaaa kapata chakula kala bila kunawa jamani😳😳😳
@MAKWEGASALUM
@MAKWEGASALUM 2 ай бұрын
Yani mchafu adi nackia kinyaa
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 6 ай бұрын
Nmesoma comments tu nimeshindwa kuangalia..me mtu kujicokonoa pua namuangalia hapana aisee
@Qtep-eb3og
@Qtep-eb3og 6 ай бұрын
Kavuta unga lazima pua ziwashe😂
@fatmachikambo8780
@fatmachikambo8780 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@badifundi6089
@badifundi6089 6 ай бұрын
Mike ametoa wapi kama ulkua unamsubiri
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 6 ай бұрын
Mkali wenu mchafu sana
@isabellamichael1025
@isabellamichael1025 6 ай бұрын
Kumbe unajijua kama mchafu eeh
@mwanaidimunga9099
@mwanaidimunga9099 6 ай бұрын
Ndio majani mpaka mlangoni kweli anashindwa tafuta vibarua wakalima hapo
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 35 МЛН
Mboto awatoa machozi waalikwa
8:06
Azam TV
Рет қаралды 182 М.
BEHIND The GRAM (MOM & DAUGHTER) Ep 1| kajala amlilia paula kuhusu Harmonize|
3:51
Feysal Daudi Films. 457k views.5hrs
Рет қаралды 14 М.
Summer shower by Secret Vlog
0:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 1,6 МЛН
Would you recognize your soul mate by smell?
0:14
Den Done It
Рет қаралды 8 МЛН