OSCAR NYERERE ALIVYOMVUNJA MBAVU WAZIRI MKUU ARUSHA HADI AKAMTUNZA

  Рет қаралды 89,097

Millard Ayo

Millard Ayo

3 жыл бұрын

Mchekeshaji Oscar Nyerere leo amepata nafasi yakuonyesha ujuzi wake wakuigiza sauti ya Hayati Mwalimu Nyerere mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa wakati wakufungua maonyesho ya wafanyabiashara

Пікірлер: 80
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 3 жыл бұрын
Sauti ni kama hayati Mwalimu Nyerere kabisa amempatia vizuri sana.
@shukranitv2971
@shukranitv2971 3 жыл бұрын
Wabongo wive utatumaliza Safi San oscr umepatiaa san
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 3 жыл бұрын
Oscar Nyerere unajua sana! Hongera sana
@drTarimo
@drTarimo 3 жыл бұрын
You have a very good and professional work. Keep on giving us better services
@mchiwamsisi5667
@mchiwamsisi5667 3 жыл бұрын
Aisee watu wanaumiza vichwa hiki kipaji sio mchezo aisee.
@alexyohana4708
@alexyohana4708 3 жыл бұрын
n shuda
@shammhagama2527
@shammhagama2527 2 жыл бұрын
This is direct from God, sio talent ya kawaida aisee, nimefurahi
@opqsweetbert9598
@opqsweetbert9598 3 жыл бұрын
Jamaaa huyu anajua zaidi
@joshuaisrael6728
@joshuaisrael6728 3 жыл бұрын
Hahahaha leo ilikuwa sku nzuri sanaa
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 3 жыл бұрын
Safi sana Oscar Nyerere, amepatia kuvaa kaunda suit kati ya nguo special alizoipenda baba wa Taifa. Anatembeaa kama Nyerere kabisa, pia katika kutoa speech anaongea kama Nyerere katika mambo ya muhimu kwa njia ya comedy ila ujumbe unafika kwa watanzania maana sisi hatupendi vitu vigumu vigumu.
@davidchesco52
@davidchesco52 3 жыл бұрын
Duuuuh yan nyerere mtupu hata mwili anajua sana 🇹🇿👌
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 3 жыл бұрын
Huyu kawazidi wote wanaomuigiza Nyerere
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Tanzania vipaji telee.. mara tu nimetoka kumuona aigizae sauti Kama mtoto 🗻🇹🇿.
@winfredbespoke8440
@winfredbespoke8440 3 жыл бұрын
Hongera sana kaka, umeipatia sauti yake, kifimbo had muonekano wake
@dennislukumay9261
@dennislukumay9261 3 жыл бұрын
Dah umetisha Sana
@chrissmtewa3744
@chrissmtewa3744 2 жыл бұрын
Oscar nakukubali sana sina shida na ww
@damsonwillison435
@damsonwillison435 3 жыл бұрын
Huyu jamaaa ana kipaji cha Ukweli kabsa
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 3 жыл бұрын
Kidogo unaanza kuipatia sauti yake 😂😂😂
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 3 жыл бұрын
Hongera Sana kaka unajuwa Sana kumbe tz tuna azina zakutosha
@erad-tv5001
@erad-tv5001 2 жыл бұрын
Nimeirudia mala mbilimbili zaidi Nahisi mzee Nyerere kerudi Tena huyu Kijana na Baraka Magufuli wapewa Vipindi maalumu kwenye Terevision ya Taifa WAWEZE kuwa wanahutubia kumbukumbu za mahayati Hawa
@eliyaamowaawusafisana237
@eliyaamowaawusafisana237 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana
@eliyaamowaawusafisana237
@eliyaamowaawusafisana237 2 жыл бұрын
Hongoraaa!!
@mzalendoentartainment32
@mzalendoentartainment32 2 жыл бұрын
Umeongea jambo la point San an
@user-wj3fe2dd8c
@user-wj3fe2dd8c 4 ай бұрын
Asante sana kwaku chekesha
@kingwatabata4230
@kingwatabata4230 3 жыл бұрын
Daaah! Safi sana aisee👏👏👏
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 жыл бұрын
Tanzania raha Sana amani Ni tunu kwetu tuilinde milele
@iddymustapha489
@iddymustapha489 2 жыл бұрын
Wazir mkuu namkubali sanaaa
@markosikudhani799
@markosikudhani799 3 жыл бұрын
unaanza kumfunika Jk comedian
@amranikigolo5974
@amranikigolo5974 2 жыл бұрын
Alhamdulillah Upo vizur ndg
@is-haqkippaya3336
@is-haqkippaya3336 3 жыл бұрын
Ni kipaji maridhawa..
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 3 жыл бұрын
true
@salumugidion
@salumugidion 3 жыл бұрын
Jamaa yuko vizuri sana nimeipenda kazi yake. Yule jamaa Magufuli muigizaji yuko wapi?
@rossemaryeliya6113
@rossemaryeliya6113 2 жыл бұрын
Yupo, nae anazidi kuchapa kazi
@user-fq9pc1vt1e
@user-fq9pc1vt1e 4 ай бұрын
Just keep on going
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 жыл бұрын
Tuna waziri mkuu jembe majaliwa piga kazi bro
@bmajesky63
@bmajesky63 2 жыл бұрын
Umetisha Mwamba
@mbarakahussein9107
@mbarakahussein9107 3 жыл бұрын
Kongolee kwako brza,unakipaji
@user-fe8zh1yf4u
@user-fe8zh1yf4u 4 ай бұрын
Good job
@mzalendoentartainment32
@mzalendoentartainment32 2 жыл бұрын
Hiv niulzee, huyu Oscar nyerer ana hata undugu na hayajmt nyerer au ipoj an, maan daah Kam yey an
@filbertrobert1742
@filbertrobert1742 2 жыл бұрын
Daaah! asee kidogo niseme ni Mwalimu
@user-kl2pq4oq1q
@user-kl2pq4oq1q 4 ай бұрын
Wewe ni balaaa 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@neemajulius1256
@neemajulius1256 3 жыл бұрын
Safi sana
@kidulajohn1855
@kidulajohn1855 2 жыл бұрын
Keep it up
@MBATINOFILMS
@MBATINOFILMS 2 жыл бұрын
Faida ya kuzaa hadi raha
@shebbybongo567
@shebbybongo567 3 жыл бұрын
Huyu kwa upande wangu naona amepatia sauti ya nyerere kuliko stive nyerere,
@hijaramadhani3221
@hijaramadhani3221 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@kulwacharles5795
@kulwacharles5795 3 жыл бұрын
Kizazi sana, jamaa anawez
@medlucas5686
@medlucas5686 3 жыл бұрын
Hatar sana
@Ambagaye
@Ambagaye 2 жыл бұрын
jamaa ana kipaji sana
@husseinshabani9522
@husseinshabani9522 3 жыл бұрын
Yuko Vizuri sana
@petromwakalukwa3455
@petromwakalukwa3455 3 жыл бұрын
Hongera kaka uko vzr ongeza juhudi bado kidogo sana yaani pozi zake anapoongea
@yusufrajabu8425
@yusufrajabu8425 3 жыл бұрын
Masanja akasome😂😂😂
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 3 жыл бұрын
Kabisa
@mdentertainmenttz124
@mdentertainmenttz124 3 жыл бұрын
Good
@frankmakubi5325
@frankmakubi5325 3 жыл бұрын
Like father like son
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 3 жыл бұрын
Achana na kina steve nyerere huyu jamaa ndo kawezaa
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 3 жыл бұрын
kapatia mnoooo
@muyamndiga6683
@muyamndiga6683 2 жыл бұрын
Ninacho jua huyu jamaa anawakumbusha viongozi tu
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Baraka magufuli anapita wapi
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Dunia Kuna watu wanavipaji dah!
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 2 жыл бұрын
Jamani niyeye😂😂😂😂🤣
@bebebebe5677
@bebebebe5677 3 жыл бұрын
Duuh uyu jamaa noma xana anaiga hadi tembea yake
@abdallahyasin6829
@abdallahyasin6829 3 жыл бұрын
Duniani ni inchi pekee ambayo viongozi wake ukiwasifia tu utapata cheo ata ukisifia ujinga
@bundaboytz2101
@bundaboytz2101 3 жыл бұрын
Jk comedian ndo anajua vzr
@jumabakari1468
@jumabakari1468 3 жыл бұрын
Inaonekana mvivu wakufuatiria hutuba za Nyerere ndomana unasema Jk ndo anajua ila Jk kwa huyu jamaa atasubili Sana aisee
@RioIpo
@RioIpo 2 жыл бұрын
Aah huyu jamaa mkali
@queenjayztz8615
@queenjayztz8615 2 жыл бұрын
Saut km hayati nyerere
@tumainimugini4891
@tumainimugini4891 3 жыл бұрын
Steve agusi
@muyamndiga6683
@muyamndiga6683 2 жыл бұрын
Yuko fizuri kaka
@unclegmihale455
@unclegmihale455 3 жыл бұрын
Mule mule
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 3 жыл бұрын
Kiukweli kwa sauti bado sana bora steve nyerere
@papafikiri
@papafikiri 3 жыл бұрын
Huyu kwa wote waliowahi kumuigiza Nyerere ndio anawaongoza..punguza hiyo nataka "wajue hivyo waelewe watambue hivyo" zinakuwa nyingi
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 3 жыл бұрын
Ongea ww sasa eti mna kitu zeeee zima ovyooooo
@veronikadalali7251
@veronikadalali7251 3 жыл бұрын
Katombwe yeye hanakitu
@makollonkunujr1198
@makollonkunujr1198 3 жыл бұрын
@@rashdiyange7758 😂😂😂😂
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 3 жыл бұрын
Uchawi kweli upo😂
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 жыл бұрын
*Wivu utakumaliza*
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 474 М.
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 13 МЛН
CHEKA TU. Classic Edition. Oscar Nyerere kwenye stage.
14:24
Cheka tu
Рет қаралды 220 М.
Napenda Hii Sehemu ya Kauli ya Mwalimu Julius Nyerere.
1:37
DMM Visual Channel
Рет қаралды 88 М.
MBUNGE KISHIMBA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE
14:02
Millard Ayo
Рет қаралды 206 М.
ALIYEKUWA ANAKUFA AFUFULIWA LIVE - #MIUJIZA - GeorDavie TV
8:47
GeorDavie TV
Рет қаралды 162 М.
HOTUBA YA J K NYERERE MBEYA MWAKA 1969
49:55
TZ TRENDING
Рет қаралды 243 М.
Historia ya MCHUNGAJI Mashimo : Kufukuzwa Kanisani/Utapeli na Kuvuruga Wanawake
1:22:44
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4,2 МЛН