Asw sheikh mimi nimekuwa nakufuatilia Siku nyingi na napenda masomo yako lakini kila nikifanya mafundisho sijawahi kufanikiwa hata moja mara hukata tamaa na wewe lakini siwezi kukuacha hebu nisaidie
@fatumahamisi-m1e21 күн бұрын
Angalia njia nyingine
@Catherine-mh8sw21 күн бұрын
@@fatumahamisi-m1ekama ipi
@OthmanMichael20 күн бұрын
Nipigie
@Catherine-mh8sw20 күн бұрын
@OthmanMichael shekh umaweza kusema lailaha ilalwahu wahdahu la sharika lahu wahuwa alaa qul shain qadir bila kutia yuhii wa yumitu
@GhaidaBawazir20 күн бұрын
Kuwa na yaqini na uwe na subra wakati utafika utafanikiwa
@nasoroliheka931121 күн бұрын
Sheikh inataka subira sana, sio kuwa kila ukiomba ujibiwe hapo hapo, tunatakiwa tujitathimini je riziki zetu tunazokula ni chumo la halali? Hiyo ni moja sababu zipo nyingi