No video

PART 2 TB JOSHUA ALIKUWA NABII WA SHETANI USHUHUDA WA KENZO ATSUSHI

  Рет қаралды 39,584

SHUHUDA ZA KWELI

SHUHUDA ZA KWELI

Жыл бұрын

Пікірлер: 328
@user-qz4bk5zc8z
@user-qz4bk5zc8z 7 ай бұрын
Mungu atusaidie kuijua kweli. Kama ni utajiri Baba wa Imani Mzee Ibrahim alikuwa tajiri sana. Mtumishi wa Mungu TB Joshua alikuwa anatumia JINA LA YESU. Mungu atusaidie.
@ShukuruHangi-re3gs
@ShukuruHangi-re3gs 11 ай бұрын
Amen amen amen ubarikiwe sana watuwengi wamenaswa kwenye mutengo washetani ata useme ukweli awatakubali wewe sematu ukweli Mungu andeleye kukulinda na kukuongezeya nguvu amen amen ❤❤
@joyjackson258
@joyjackson258 4 ай бұрын
Jamani angalia usije ukawa unakufuru nguvu ya Roho Mtakatifu . Sasa manabii wa kweeli ni kina nani ? Mungu lisaidiekanisa la leo
@antonyetodo9470
@antonyetodo9470 Жыл бұрын
Tb Joshua ni mtumishi wa Mungu mtawapoteza watu na mlianza vema Sasa mmeanza kusema kinyume tb Joshua anafundisha neno halisi na tunaona kwa wale aliowalea kiroho tafathali mseme yenu si ya majemedari waliosimamia majaribu na mateso makali ya muovu , Sasa naanza kuwashuku kama mnaweza kupinga kazi ya Mungu mwenyewe
@joyprecious8822
@joyprecious8822 9 ай бұрын
This is not for baby Christian's,They won't understand coz they are spiritually blind, Besides those who are saying why wait until tb is dead to talk about they are not aware this happened when he was still alive and the servant of God Atsushi Kenzo died in 2016 while tb died in 2021, It's only you have heard it today but many servants got revelation about tbs dubious ways even his former deciples and even his close confidants.
@odettenzeyimana6278
@odettenzeyimana6278 7 ай бұрын
Amen amen barikiwa sana mtumishi wamungu kwa ujumbe huu
@user-sw3ie3ul4f
@user-sw3ie3ul4f Жыл бұрын
Kazi iyofanywa na Tb Joshua ni kubwa mno. Mimi nikifanya hata robo ya robo ya kazi alizofanya nitafika mbinguni kwa raha sana. Binafsi TbJ amekuwa sababu ya mabadiko makubwa kiroho na kimwili kwenye maisha yangu, hao wanao msema tofauti hawajui chochote kumhusu na saa nyingine wamepewa story na mapepo. Yeyote ambae ni kinyume cha TBJ ni washetani tu, shetani anakuja na spirit ya kugawa watu ili watu wasipokee mafundisho yako,.. wachungaji wengi wa uongo ambao hawana nguvu za kiroho wanamhofia sana na kumwonea wivu badala ya kuutafuta uso wa Mungu mpewe nguvu kama zake. Mungu awasamehe bure, hamjui msemayo
@neemamoris9455
@neemamoris9455 9 ай бұрын
Yaani tunatakiwa kukazana sana kumjua Mungu.Shetani atatuchanganya sana
@peterpanyika6810
@peterpanyika6810 6 ай бұрын
WATU WAMEANZA KUFUNULIWA TOKA 2017: KABLA HATA HAJAFA. UWE MFUATILIAJI WA SHUHUDA. TAFUTA CLI ZA RACHEL MUSHALA MIAKA 5 ILOPITA KUWA YESU HAKUMWITA TB JOSHUA. BBC TU WAMEONA VYEMA KUITOA KWA KUCHELEWA TU. WATUMISHI WENGI MAARUFU SI WA KWELI. LINI TB JOSHUA ALIKEMEA UVAAJI AU KUJIPAMBA. MAANA HATA OSINACH ALOIMBA EKUEWEME WATU WAMEFUNULIWA KAFA HAKIONA MBINGU AJILI YA KUJIREMBA. SANA ZAIDI KILA MTU AJITEE NAFSI YAKE. MUNGU HUWAJUA ALOWAITA
@maxwellssemakula1565
@maxwellssemakula1565 6 ай бұрын
Nani anamwonea wivu tapeli kama tb joshua
@isayanyingi6387
@isayanyingi6387 Жыл бұрын
May God bless you mtumishi ameniii
@fedytemba7541
@fedytemba7541 8 ай бұрын
Amen , may God intervene to open our eyes we see beyond physical understanding to those who were aready brain washed. God bless you Kenzo for true gospel . 2 Thessalonians 2:1-4
@greetysiame-vr7yg
@greetysiame-vr7yg Жыл бұрын
Praise lord how l miss prophet t b joshua ahsante yesu kwa maisha ya t b joshua amen
@winifridasoka7051
@winifridasoka7051 Жыл бұрын
Mim jaman sijaona mtumishi mwenye Upendo kama huyu.kasomeni mathayo 12:25 na kuendelea
@jeniphasawere4482
@jeniphasawere4482 Жыл бұрын
Nmemmis sana nabii wa Mungu tutaonana Mbinguni kwa Baba you were a real man of God
@mamita336
@mamita336 7 ай бұрын
Namtukuza Mungu kwa maisha ya tb joshua, pumzika kwa amani babangu daima utaishi kwa kazi zako
@marymwapiya1274
@marymwapiya1274 7 ай бұрын
Wezako wanasimlia huko BBC waliyo fanyiwa tena alikuwa anabaka mabinti ambao ni bikira,kuna mwingin nimemsikiliza akisema alikuwa anashikwa maziwa yake eti pia kulikuwa na sehemu maaru aliyokuwa anawapeleka Ha haha ,Roho Mtakatifu tufumbue macho
@aginiwenathan6018
@aginiwenathan6018 Жыл бұрын
Muwe makini na shuhuda hizi...mnaweza potea kabisaaaa.asante Yesu kumleta Temitope Balogune Joshua.
@alinanisimbeye9512
@alinanisimbeye9512 Жыл бұрын
Utapotea wewe au sapotea long time kwataalifa yako kunashuhuda kibao za naigeria na walizungumuza shuhuda kama hizi
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Ай бұрын
TB Joshua na wakala wa kuzimu.
@LuciaSimeo-yc7hc
@LuciaSimeo-yc7hc 6 ай бұрын
Amina, kwa natendo inajulikana ,mtumishi wa Yesu atafata nyayo zake
@faithkavete2673
@faithkavete2673 Жыл бұрын
Nonsense.ulaaniwe ngombe hii.wacha kupotosha watu.tb Joshua was a real man of God.i can testify.God showed it to me.he is in Heaven.
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 7 ай бұрын
😂😂😂
@annissdaprincess3846
@annissdaprincess3846 Жыл бұрын
Hallelujah Glory MUNGU wambinguni nimoto ulao tena ni nuru wala giza hamna ndani yake mubarikiwe sana watumishi wa MUNGU kwakutufungua macho
@joyline7709
@joyline7709 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏
@winifridasoka7051
@winifridasoka7051 Жыл бұрын
Yesu mwenyewe walimwambia anatoa pepo kwa Belzebuli yaan mkuu wa pepo .Basi mtumishi awezi kuwa mkubwa kushindwa Bwana wake
@gwantwamwakajela4362
@gwantwamwakajela4362 Жыл бұрын
Huyo kakudanganya tb Joshua, ni mtumishi wa MUNGU halisi na kweli
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Apana nduguyangu hakuna wA Mungu,alifanya mkataba na Kuzimu,ndi maana kachukuliwa fasta,
@alinanisimbeye9512
@alinanisimbeye9512 Жыл бұрын
Kwako wewe labda
@jevamwanjala3715
@jevamwanjala3715 Жыл бұрын
Indeed!
@irenekaluse3213
@irenekaluse3213 Жыл бұрын
Hakuwa wa Mungu kataeni mkubali
@user-dy8rb7se3x
@user-dy8rb7se3x 5 ай бұрын
TB Joshua was the true man of God.
@winifridasoka7051
@winifridasoka7051 Жыл бұрын
Hakuna Mtumishi wa Mungu anayeongazwa na Roho mtakatifu. Anayemzungumzia Binadamu mwenzake Vibaya
@davanasluluanord
@davanasluluanord Жыл бұрын
Uko sahihi nmependa🤍
@ruthysarakikya1813
@ruthysarakikya1813 Жыл бұрын
Winfrida soka umeongea fact kabisa dada angu
@lavelinengatale8718
@lavelinengatale8718 Жыл бұрын
Very true And it’s sad that pastors now wanapigana vita wao kwa wao Hii inaonyesha namna shetani anafurahia jinsi watu wameanza kuwa confused,watu wataacha kwenda makanisani,watu wataacha kuabudu Ndio furaha yake shetani Mungu atusaidie
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 7 ай бұрын
Kabisa my brother imeniuma sana
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 8 күн бұрын
Kweli hayo mafunuo sio ya roho wa mungu
@SarahSaimon
@SarahSaimon Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@SELEMANKALYEMBE-je5cg
@SELEMANKALYEMBE-je5cg 7 ай бұрын
Amen,Dunia imeharibika inatupasa tuombe bila kuchoka
@evajkemboi5992
@evajkemboi5992 Жыл бұрын
I love this ukweli ijulikane watu wakiambiwa hawasikii
@Slayerboy450
@Slayerboy450 Жыл бұрын
Watu hawapendi kuskia ukweli kazi ni kumtetea uku nje
@evajkemboi5992
@evajkemboi5992 Жыл бұрын
@@Slayerboy450 kabisa aki
@evajkemboi5992
@evajkemboi5992 Жыл бұрын
@@Slayerboy450 in fact wenye wali fanya huduma kwa hiyo church wame muanika vikali sana. Wanajua ukweli na walitoka huko. Many people are fooled by miracles
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 Жыл бұрын
@@Slayerboy450 hakuna mtumishi yeyote hata hawa hawajatimia Yesu mwenyewe alisema hakuna aliyemtimilifu chini ya jua HAKUNA analiheshimu neno lake kuliko jina lake amesema MSIHUKUMU MTAHUKUMIWA who you are kujiona upo mtimilifu na umepewa kibali cha kuhukumu wengine ANAUJUA MWISHO HATA MWANZO anawajua walio wake na anawajua pia familia ya yuda eskariote uzao wa nyoka yapo ili yatimie lkn hayambadilishi Yesu Kristo Mnazareth kuona km aonavyo binadamu hata wanafunzi walimuona km kahaba wakasahau kwamba Yesu ndiye muonaji na njia zake hazichunguziki yeye hakuona km aonavyo binadam na njia zake hazichunguziki hivyo shetani rudi nyuma tunahitaji kusikiliza neno la Mungu na kukomboa nafsi za watu na si kupoteza nafsi za watu kwa kupanda mbegu ya miiba huu sio ushuhuda ni story tu zilizobeba uharibifu
@derickjoseph9884
@derickjoseph9884 9 ай бұрын
Sikilizeni , kutubu na kuimini Injili haya ndio Mambo ya kuzingatia . Kwan ukifa huku umeoza mguu Ila ukapokelewa mbinguni Kuna tatio gani? My point is wakristu wengi Leo Ni watu wanaotangatanga kutafuta miujiza, ishara na mafundisho ya kuwapendeza mioyoni mwao. Mateso ni njia ya kufika mbinguni acheni kuyakimbia na kuyaogopa. Na kuhusu pesa Yesu mwenyew tukumbuke alizaliwa ktk malisho ya wanyama, ahisee ukristo ni mgumu kuliko tunavyodhani. Mungu awabariki .
@davanasluluanord
@davanasluluanord Жыл бұрын
Neno linasema mathayo 28:18 Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi hii ndo kaz yetu watumishi ,Mungu atusaidie hukumu ni ya Mungu
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Ай бұрын
TB JOSHUA NI NABII WA UONGO.
@spinoespanolxiang8204
@spinoespanolxiang8204 Жыл бұрын
Karibu tena dada kwa kazi ya bwana
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Una uhakika na huyu anaekulwtea habari kuwa ni mkweli?.ysu alisema ,, Tazama wataambia kristo Yuko huku ,mara Yuko kule msiondoke mahali mlipo, Mimi ndimi njia kweli na Uzima jifunze kumtafuta mungu Kwa kulidoma neno lake, maana yeye ndiye kwrli
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Plz huu uongo, tb Joshua ni wa Mungu
@christinephilip5043
@christinephilip5043 Жыл бұрын
Wew ni nan🙄🙄
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
Kwani wewe ndo yeye ? kikubwa wewe pambania nafsi Yako apa Duniani Kuna Siri nyingi sana
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 7 ай бұрын
Kweli kabisa
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 7 ай бұрын
@@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe wewe unaepambania nafsi yako kwa kuwasikiliza hawa watu wa uongo unaokoa nafsi yako??
@prophetelijahmtishbi
@prophetelijahmtishbi Жыл бұрын
@shuhudazakweli3406 ushauri tu nakupatia inapofikia watumishi wa kweli wa Mungu unatakiwa kunyamaza na sio kupotosha umma. TB JOSHUA ni Nabii wa Mungu..pili hubiri Neno la Kristo acha kuhubiri wengine Kristo hakufanya upuuzi wa hivi. Hebu tumbebe Kristo
@mohsixtus7048
@mohsixtus7048 11 ай бұрын
Wewe ni apostle mavi
@josephgalandu128
@josephgalandu128 7 ай бұрын
Joshua hakua nabii wa Mungu, ni Calt(I mani potofu) UK I on a wat u hawaokolewi toka dhambini,ha wah azan Roho mtakatifu,walla maisha matakatifu,Ila ni miujiza tu,UJUE NI WA SHETANI TU
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Songeni mbele watu wa Mungu kutuletea shuhuda tunapona sana msivunjike moyo na hawa wapingaji hizi ni nyakati za mwisho! Unaweza kuvunjika moyo kumbe aliyekuvunja moyo si mtu... KUMBUKA HILI KWMBA KWENYE MSAFARA WA MAMBA NA KENGE WAMOOO
@Patience.67
@Patience.67 Жыл бұрын
Asante Kwa ushuhuda
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 7 ай бұрын
Huyu alikuwa mfuasi wa shetani. akitumia jina la Mungu nyiye makafiri msiposilimu mtaishia motoni
@virginiamacharia1556
@virginiamacharia1556 3 ай бұрын
Mzidi kukataa ukweli mkionywa,fuateni watu kuliko kusoma neno LA mungu,TB Joshua Ezekiel wa Kenya,Kakande,Nabii mkuu wa Tanzania na wengine.
@josephgalandu128
@josephgalandu128 7 ай бұрын
Kama huyu akikuwa mtu wa Mungu, Yes u huyu mpumbavu simtaki😢😢😢😢
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Жыл бұрын
Wewe unamponda na kimsema mtumishi wa Mungu halafu wakati huo huo unasema Yesu alikuambia na unataka tukuamini kweli??? Ama kweli tupo kwenye nyakati za mwisho,, *Siku moja utatoa hesabu ya maneno unayoyatoa* Badala watu muhubiri injili ya Yesu Kristo na kuwaambia watu waache dhambi, mmekaa kukosoa huduma za watumishi wa Mungu.
@gracethomas4621
@gracethomas4621 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe ni shetani Mpinga Kristo wewe sio Mungu pumbavu zako wewe devil 👿 upigweeeeee ktk Jina la Yesu Kristo wa Nazareth amen 🙏
@RedentaMahessa
@RedentaMahessa 2 ай бұрын
Tb joshua ata mm niliwahi kumshuku. Kwakwel akuwa wa Mungu. Niliwahi hisi ili jambo
@neemashuma4302
@neemashuma4302 7 ай бұрын
Walio manabii wa kweli wa Mungu wako wapi sasa mbona hatuoni wakifanya vitu vikubwa kama manabii wa Uongo wakina TB Joshua. Yaani maagizo ya Mungu yanafanywa na manabii wa Uongo na wakweli wanaishia kujijengea majumba ya kifahari sasa manake nini. Bibilia inasema mtawajua kwa matendo yao. jamani tuwe makini sana tusitafute ufahari kwenye mitandao kwa kuandikia watumishi wa Mungu vitu vya uongo ili kuharibu watu wa Mungu na kuwachanganya. Tutavuna baada ya kifo kwa yote yale tunayoyapanda muda huu tusisaau
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 5 ай бұрын
TB Joshua alikuwa tapeli mkubwa na lishetani kwenye ulimwengu huu.
@briella6899
@briella6899 Жыл бұрын
Mungu tunaomba Rehema maana hata mbwa mwitu uvaa ngozi ya kondoo, huyu baba alivyokua akisaidia watu masikini leo hii mnasema ni Nabii feki hivi shetani anaweza kumtoa shetani mwenzie. Jamani angalieni vitu mnavyoongea mtaenda kutolea hesabu , hata huyo shetani anatumia watu kuchafua watumishi wa Mungu wa kweli , sio kila anaesema nilienda kuzimu alienda kweli wengine ndio maagent wakuu
@davanasluluanord
@davanasluluanord Жыл бұрын
Muwe mnatoa shuhuda zinazo Jenga watu na kuwajenga kwaajili ya ufalme was Mungu,Toeni shuhuda zinazo mtukuza Mungu ,.Pimeni shuhuda zenu
@ruthlameck1450
@ruthlameck1450 Жыл бұрын
Hakika Mungu akawaonyeshe, asinyamaze juu yenu...
@stephenmwanza6905
@stephenmwanza6905 Жыл бұрын
Pliz pliz mspinge ukweli,watumishi onyeni dhambi,Tb Joshua akuonya mapambo na jinsi wanawake kuvaa suruali za wanaume,alitumia spray kuspray watu ndio mapepo itoke kile abacho akipedezi Mungu,so sikieni ukweli
@kariakooagrei2167
@kariakooagrei2167 Жыл бұрын
Samahani... Hivi spray haimpendezi Mungu?
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
TB joshua alikuwa mtumishi hakika nimeshuhudia kuna sehemu nilikuwa naishi kuna mama mchawi ilikuwa 2000 nikaweka chanel yake kesho yake bibi mchawi alinitukana saaana na kunambia usiku mzima alikuwa haoni nyumba yangu ACHENI UONGO
@daviddavid-gq8zp
@daviddavid-gq8zp Жыл бұрын
Mbona mnatuchanganya!! Hata Kwenye biblia tunaambiwa YESU alikuwa anatoa Pepo kwa mkuu wa Pepo,sasa tunaomba mtuambie yule wa ukweli...Ubarikiwe.
@ezekielmjemah8497
@ezekielmjemah8497 7 ай бұрын
Africa ngumu sana. Siamini simulizi Yako hata kidogo. Wewe mwenye nguvu za Mungu tudhihirishie ikiwa huyu hakuwa na nguvu za Mungu.
@user-nw9ny2il8n
@user-nw9ny2il8n 7 ай бұрын
Mungu muwwke mahar pepon Tb Joshua lakini waislamu hata waww maimanu 20 kila mtu ataswalisha kwa kipindi chake na sadaka watagawana bila kupigana majungu na kuanzisha misikiti mingine
@giselemapendo-7427
@giselemapendo-7427 7 ай бұрын
Hebu mtupe habari za tb jochwa jamani ukuu mtandaoni BBC 'anaongelea😊 ubakaji wa tb jochwa
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Swali langu kwann TbJ amekuwa akionekana kuzimu na sio Kenzo tuuu wengi wanasema hivyo kwann .unajua tuangalie neno tusiangalie mtu itatugharimu maisha
@user-nw9ny2il8n
@user-nw9ny2il8n 7 ай бұрын
Hatuamini hata mfanyeje alafuvwaafrica tuwe na mawazo mazur yaan wazungu wabakwe unawaskia alafu wakae kimya kweli wanamuonea wivu mama anaendelea vizur na kanisa na watu hawajapungua
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Acheni kuhukumu Yesu Kristo Ndiyo mhukumu wa kweli
@breakthroughsynagogue2021
@breakthroughsynagogue2021 7 ай бұрын
WEWE NDIWE PEPO NA USIJIFANYE HAPA...THIS IS A FOOL TALKING TO WISE PEOPLE. UNACHIKISEMA HAKINA MSINGI WA NENO. THESE FOOLS SHOULD STOP SPREADING LIES. WHEE WERE YOU WHEN TB JOSHUA WAS ALIVE!!!!!!!!! PEPO HANA UWEZO WA KUTOA PEPO WENZAKE
@fenellalilian4590
@fenellalilian4590 Жыл бұрын
Amina naomba part 1ya huu ushuhuda
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nXmcmZ-pq7qXfrs
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Жыл бұрын
Wewe ndo mtumishi.wa shetani kila mtumishi mnamwita wa shetani watumishi wa Mungu ni akina nani? Mnapenda kukosoa wakati Yesu ndiye atakayebagua kondoo na mbuzi.
@meshack1874
@meshack1874 Жыл бұрын
Hauwezi fanikiwa kwakumsemamwingine iliwewe uonekane mkweli ombaneema tu mungu akufungue macho
@josephwaweru-fu4ux
@josephwaweru-fu4ux 7 ай бұрын
Nyinyi mnaoneza hizi habari tunanjua wazi mmetumwa na baba yenu shetani.
@user-vc1hx7mw7c
@user-vc1hx7mw7c Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mutumishiwamungu umeongea hukweli
@abelmbata37
@abelmbata37 Жыл бұрын
Nimemmiss sana TB Joshua mahubiri yake niliyaelewa sana. A great man of God
@johnmgaya2280
@johnmgaya2280 11 ай бұрын
Tb Joshua is really is anointed by devil spirit many of this people are obstacles so Jesus is way truth and life .
@rhodamwakatundu5226
@rhodamwakatundu5226 Жыл бұрын
Jitahidini kuwafundisha watu ukweli wa Mungu ili wawekwe huru kwani TB Joshua amefanya eneo lake alilotumwa hapa duniani, hivyo na ninyi mtufundishe kile mlichopewa na Mungu, kwani kila mtumishi ana wito wake alioitwa hivyo nawashauri kusimamia wito wenu ili msipoteze muda mwingi kuwachambua watumishi wenzenu mkizingatia kuwa muda umebaki mchache.
@christinephilip5043
@christinephilip5043 Жыл бұрын
Alitumwa nanan Tb joshua🙄
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
Mbn unachukia sana kuhusu TB Joshua we pambania nafsi Yako howezi jua mtu mwingine yupoje
@briella6899
@briella6899 Жыл бұрын
🔥🔥 ubarikiwe watumishi wengi sahivi ambao hawajui walichoitiwa kazi yao kuwabonda mawe wengine, wanaacha kuhubiri Neno watu waokoke wanatangaza vitu visivyo na kichwa wala miguu.
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Daah unashangaza Sana pamoja na Hao wanaokusapoti
@queenesther2639
@queenesther2639 Жыл бұрын
Msivunjike moyo watumishi wa Mungu Kwa ajili ya watu wachache wanaojaribu kuwavunja moyo ss tumebaki na channel hii Tu yenye SHUHUDA ZA KWELI... TUNAPONA
@SafiAkinyi8361
@SafiAkinyi8361 Жыл бұрын
MUNGU ATUREHEMU SANA WATU WAKE PLEASE 🙏 NAOMBA PART 1 TAFADHALI
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/nXmcmZ-pq7qXfrs
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 8 күн бұрын
Nyi ndo manabii wa uongo mnadanganya watu kwa hayo mafunuo yenu , kwenda huko
@hildapalla978
@hildapalla978 Жыл бұрын
mtoa ushuhuda hamjui roho mtakatifu ndio maana akufuku coz anaongozwa na akili zake na sio roho.
@briceuwimana
@briceuwimana Жыл бұрын
😂😂 wew ndie wa kuchunguza Vizuri... Ata sina gift lakini roho inanambia tb ni wa Mungu...
@gracengairo6214
@gracengairo6214 7 ай бұрын
Afu kwanini wanaotoa ushuda wote wazungu.,? Kama siyo kichafua waangalie sana ikosiku watakujaomba msamaha kwakuchafua watumishi nakama Mali zamasikini mbona alikuwa anasaidia masikini
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 Жыл бұрын
Mungu asifiwe kwa ushuhuda mzuri Amen
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 7 ай бұрын
Pia wewe mwenye maono niko na shaka na wewe😅😅😅😅
@RedentaMahessa
@RedentaMahessa 2 ай бұрын
Niligundua pindi mtoto wa dada yng alipoenda naigeria kwake alimshika kichwa kurudi tu na ndoa yake ikafa
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@J_a_s_o_n
@J_a_s_o_n Жыл бұрын
YOU ARE A LIAR ! TB JOSHUA WAS A MAN GOD USED HEAVILY FOR GOD. WEWE UNATUMIWA NA SHETANI MWONGO WEWE
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz Жыл бұрын
MKE WA LUCIFER WW ENDELEA KUTUDANGANYA NA HUYO HAWALA YAKO,, MUNGU ANASEMA UKIMTUMIKIA ATAKUHESHIMU, ULITAKA AMPE NANI UTAJIRI?! NI MTUMISHI NANI AMBAE AMEJITOA KWA WATI WENYE SHIDA KAMA YEYE, EMBU TUACHE KABISA WW MKE WA SHETANI.
@richardpatrick8305
@richardpatrick8305 Жыл бұрын
Huuu ni ukweli kabisa..MUNGU akubariki sana
@manyakiagnes1136
@manyakiagnes1136 8 ай бұрын
Kwa nini wewe mwenye roho mtakatifu hukuweza kuyakemea mapepo hayo yaliyojoficha, naona sasa haya maushuhuda hayana maana cha msingi ni kuliamini neno la Mungu na kulitenda.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Жыл бұрын
Fanya kazi yako mwenyewe, usiwe shuhuda wa kazi ya mwingine. Kwa nini unabeba mzigo usio kuhusu my dear friend. Nakuonea huruma kwa kutafuta umaarufu kwa njia hiyo.
@christinephilip5043
@christinephilip5043 Жыл бұрын
Hayupo kutafuta umaarufu ni vile huelew🙄🙄
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
Tunao mwelewa nini anafanya tunaenda tuendelee kufunuliwa zaidi ila wewe ulie fungwa na Pepo wabaya huelewi kipi kinachooendelea Mungu akusaidie sana utoke uko uliko🙏
@josephinechaildofgod5371
@josephinechaildofgod5371 7 ай бұрын
Hiyo pete munaogelea ni gani yesu kristo alikuwa na pete na madiko ngani imesema tutatoa pepo na pete
@PatrickMathias-cs9qc
@PatrickMathias-cs9qc 6 ай бұрын
Jamani nadhani tunapaswa kusoma biblia sana na kuiamni injili kwa kuambatanisha matendo mema
@risskibech1497
@risskibech1497 Жыл бұрын
This is total nonsense TB Joshua was a true man of God
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
Bless your soul not about someone u don't know,🙏
@LuciaSimeo-yc7hc
@LuciaSimeo-yc7hc 6 ай бұрын
Jamani TB Joshua amefanya nini? Kajenga nyumba na nyasi, badala ya mabati, inawezekana akuna ata mmoja atakayefika mbinguni katika kanisa ilo, ngeukie Yesu wa Nazareti
@koletajeanne8824
@koletajeanne8824 Жыл бұрын
Siyo kwali mahana kila mtu hataogeya yakwake mungu tu ndiye hajuwaye ukwali kwasisi wanadamu niwa pufu kila mtu hate sama yeke ile mwaumuzi wamusho ni mungu
@leonardmwelwa2518
@leonardmwelwa2518 Жыл бұрын
Dada Jeanne kweli umejibu vizuri sana, Kuwa wakina John Nchi, Daniel, wote wafwasi ya mtumishi TB ni nguvu ya shetani?? Kila mtumishi anaya Kwake tu muwombe mungu
@Anita_Ndinda23
@Anita_Ndinda23 8 ай бұрын
TB Joshua was anointed by God and may God forgive you
@justinemakula5236
@justinemakula5236 9 ай бұрын
humjui TB Joshua.
@user-ce3oo1bl3z
@user-ce3oo1bl3z 8 ай бұрын
Amina
@richarddavidmk
@richarddavidmk Жыл бұрын
Dunia ilipoteza Mtu mwema.TB Joshua
@evanmutegoa3408
@evanmutegoa3408 4 ай бұрын
This is not True, Uongo Mtupu, Uongo,Wew umetoa Ushuhuda wa Uongo.. TB Joshua was 100% True man Of God,
@rhodamwakatundu5226
@rhodamwakatundu5226 Жыл бұрын
Huyu aliyetoa ushuhuda mengi ameomgea ya uwongo, Mungu atusaidie sana kuongea kama tulivyoonyeshwa.Tusipotoshe watu.
@shuhudazakweli3406
@shuhudazakweli3406 Жыл бұрын
Uongo gani?
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Nimesikiliza ushuhuda mwingi ya kuwa tbjoshua siyo nabii wa Mungu wa Kweli na yule Aston Mbaya wa congo alitoa ushuhuda aliona muumini wa synagogue of all nation yaani kwa tbjoshua kuzimu anateswa na mapepo yakimcheka kuwa wamemdanganya na kwamba yule tbjoshua alikuwa mtumishi wso wa kuzimu dah nilishituka kweli sasa sijui tukimbilie wapi
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Жыл бұрын
​@@shuhudazakweli3406 wewe tupe ushahindi ya kutosha tafadhali
@cheddarman8436
@cheddarman8436 Жыл бұрын
@Leah enock kimbilia kwa MUNGU
@WilliamNamende-pc9ku
@WilliamNamende-pc9ku Жыл бұрын
​@@shuhudazakweli3406 Mimi naamini Mungu alinionyesha kuhusu huyu hakuwa mtumishi wa MUNGU
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Hahahaha huu ushuhuda ni wakumtukuza shetani
@alinanisimbeye9512
@alinanisimbeye9512 Жыл бұрын
Mungu ukupe macho hii siyo shuhuda ya kwanza
@francohaule8057
@francohaule8057 Жыл бұрын
Yeye kama anaye Mungu alikuwa wapi kumwombea kenzo ndiyo tapeli
@justinemakula5236
@justinemakula5236 9 ай бұрын
Kazi za TB Joshua ni uzihilisho wa Roho mtakatifu.
@essy4664
@essy4664 7 ай бұрын
Wewe ni munjinga tuulize sisi
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Huwa sipendi ninapoona wakristu wakiwaita wenzao manabii WA uongo, wakishetani na maneno mengine, Kwa nini? Mwache Mungu aje kuhukumu watu wake mwenyewe. Huyo mwenye roho mtakatifu tunamuaminije? Mwacheni apunzike Kwa amani
@emmysam7938
@emmysam7938 Жыл бұрын
Duh...watumishi karibia woote waongo
@cheddarman8436
@cheddarman8436 Жыл бұрын
Ni yupi wa kweli?
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Hatari sana ndugu ni yupi wa kweli ? 😭😭 Wanaushuhudatu wakuchafuwa neno la MUNGU ila hawana Ushuhuda wa manabi wa kweli utasikia eti nguo zote ni za shetani ila hawaoneshi nguo za MUNGU yani watu niku changanyikiwa
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
Ufalme wa mungu kuupata ni gharama usishangae Dunia nzima watu wawili ndo wakamwona mungu kumbuka wanaisrael wawili the ndo walifika kanani
@emmysam7938
@emmysam7938 Жыл бұрын
@@floramongi1410 kwakweli
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
Mkweli wewe basi🏃
@ntulisuzan897
@ntulisuzan897 Жыл бұрын
Muongooo... Mtumishi wa shetani hakioni kifo chake huyu aliaga na Watu waliona Juu ya kifo chake na walipomwambia Alisema ndio nimechoka acha nikapumzike! Cha ajabu wasio wakristo wanaelewa ni mtumishi wa MUNGU ila sisi wakristo tunamsema ni mtumishi wa shetani
@jorambranchofmud6299
@jorambranchofmud6299 Жыл бұрын
Uko sawa sis
@everlinekemunto267
@everlinekemunto267 9 ай бұрын
Na atuletee ya kakande wa Uganda,juu yeye pia utumia fruits na spray.
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 Жыл бұрын
Pesa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Acheni upumbavu mbona hamukusema alipokuwa HAI???
@cheddarman8436
@cheddarman8436 Жыл бұрын
Kila nabii ni mtumishi wa shetani, ni nabii yupi sahihi wa Bwana Mungu wetu?
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Жыл бұрын
Mimi nko tayari kuenda Nigeria next week,,napenda sana Tb Joshuo
@winifridasoka7051
@winifridasoka7051 Жыл бұрын
Mim mwenyewe nataka kujua kwa kweli yupi wa kweli
@winifridasoka7051
@winifridasoka7051 Жыл бұрын
Maana kama na shetan naye anatoa pepo. Anafundiha habari ya Upendo na msahama .Mungu atafundisha nin
@winifridasoka7051
@winifridasoka7051 Жыл бұрын
Hata mim kwa kweli
@jeremiahluki7896
@jeremiahluki7896 Жыл бұрын
Achen upuuzi wenu hapa
@alinanisimbeye9512
@alinanisimbeye9512 Жыл бұрын
Wewe kaangalie chanel zingine hii haikufai
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 Жыл бұрын
Hakika huu ni upuuzi mkubwa mtumishi wa Mungu yeyote awe mkubwa au mdogo ni yule anayefwata neno la Mungu (biblia)unahukumu kwa kibali kipi hakuna mtumishi wa Mungu wakweli anaweza kuhukumu mtu kwa udhaifu wake uwe ukweli au uongo Yesu mwenyew alisema hayupo aliye mtimilifu oooh utajiri Yesu ndo mmiliki wautajiri biblia yenyewe imebaba watumishi walio matajiri mwanzo mwisho hatuendi kokote tutawapinga hapahapa
@jeremiahluki7896
@jeremiahluki7896 Жыл бұрын
@@alinanisimbeye9512 chanel ya kupiga watumish vita , wivu tu unawasumbua mafarisayo nyie achen bwana nyie na vichanel vyenu vya kipuuzi puuzi , leten ushahid kwamba Tb alikuwa mtumish wa shetan , kwa mantik ipi
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
@@graceibrahim4924 we kwani amemuhukumu muwe mnasikiliza vizuli msiwe vichwa maji. Yeye anatoa shuhuda kwani shuhuda ni kuhukumu???
@isaacmollel345
@isaacmollel345 3 ай бұрын
Mlikuwa wapi tb.joshwa.alipokuwahai??
@gregoryshauri
@gregoryshauri 11 ай бұрын
Hawa ni wale wanaonunuliwa kupinga kazi za kinabii,kwanini haya hukuyasema wakati yupo hai?muogopeni Mungu
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Жыл бұрын
Kizazi cha leo kinaamini sana katika ishara na miujiza. Na shetani hilo analijua sana ndiyo sababu iko miujiza hadi ya kupiga teke kupuliza nk. Ukweli miujiza na ishara pekee haitoshi kutufanya tumwamini. Mfano yule nabii wa Arusha alitamka wazi kuwa haiamini biblia na bado anaendelea kujiita nabii swali ni nabii wa nani?
@janetongonga
@janetongonga Жыл бұрын
Naomba kitu moja
@abelmbata37
@abelmbata37 Жыл бұрын
Sio kizazi cha leo pekee hiyo ni nature ya binadam hata kipindi cha Yesu watu walijaa kushuhusia miujiza na si mahubiri. Kwenye ukristo hakuna ukristo wa kweli pasipo miujiza na miujiza ni zawadi aliyoitoa Mungu kwa mwanadam. Ni kweli kwamba hata shetani anafanya miujiza ila ipo tofauti kama wewe unamjua Mungu utaijua. Miujiza ya Mungu inamweka huru mwanadam lakini ya shetani ni mazingaombwe mabadiliko yanaweza fanyika kwenye macho.
@catherinemuthoki7989
@catherinemuthoki7989 Жыл бұрын
Wakristo siku hizi wanaamini wachungaji mwenye ana upako wa kutoa mapepo....watu hawataki kujiombea wenyewe wanataka miujiza hizi ni siku za mwisho tuwe making.
@abelmbata37
@abelmbata37 Жыл бұрын
@@catherinemuthoki7989 shida ya watu tunafikiri watu wanaoenda kwa mitume na manabii ni wengi lakini ukweli ni kwamba ni wachache saana. Hivi ushafikiria ni wakristo wangapi wanaenda kwa waganga wa kienyeji na wangapi wanakesha bar? Si heri hao wanaoenda kwa manabii? Lakini pia wanadam wanamatatizo sana wanahitaji msaada mtu mwenye njaa hawezi kaa na kusikiliza neno la Mungu hadi ashibe. Vivyo ilivyo mgonjwa lazima atafute tiba ndo asikilize neno hivyo kama wewe ni mtumishi wa kweli omba meema kwa Mungu ajibu maombi ya watu kupitia wewe vinginevyo watu wataenda huko kwa mitume na manabii
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 Жыл бұрын
@@abelmbata37 Yesu alitambulika kwa miujiza ndo maana akasema mtafanya mambo makubwa zaidi ya haya mkiamini yaaani mnataka watu waingie kanisani na mapepo magonjwa na matatizo watoke nayo Yesu alikufa msalabani kwaajili yanini aliyepewa kapewa dhahabu ikipitishwa kwenye moto ndo inazidi kung’aa aliyewake niwake tu
@kennedymshangila264
@kennedymshangila264 Жыл бұрын
Mmmh... Tuwe waangalifu na hizi shuhuda.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 50 МЛН
WANAWAKE NI WACHACHE MBINGUNI USHUHUDA WA DADA FABIOLA
23:35
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 58 М.
PART 4 MITEGO YA MANABII WA UONGO USHUHUDA WA KENZO ATSUSHI
32:41
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 13 М.
PART 5 BONDE LA MANABII WA UONGO KUZIMU /KENZO ATSUSHI
20:13
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 8 М.
USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi
4:52:28
Part_1 USHUHUDA WA ALIYEKUTANA NA  YESU NA SHETANI LIVE
49:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 101 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 18 МЛН