Tulorudi tena leo kuangalia hii interview baada ya ndoa tujuane hapa, hongeren sana Mr & Mrs William🙏🙏 mwenyez Mungu azid kuwaongoza na kuwabariki sana mshirikishen yey kwa kila jambo Muwe na familia bora🙏, tunawapenda sanaaaaa
@theresiakisoviated.48862 жыл бұрын
God bless you all
@theresiakisoviated.48862 жыл бұрын
Mi mwenyewe nimeilike💪💪👍👍🔥🔥❤️❤️❤️💋💋💋
@hildaaloyce80432 жыл бұрын
Mimi hapa
@zainabalute58342 жыл бұрын
Mimi pia 🔥🔥
@maureenlyimo6202 жыл бұрын
Hahaha tuko kumbe
@atuganilemwakalile80065 жыл бұрын
Toka nianze fatilia interview za wasanii, sijawahi ona interview nzuri kama hii. This is the best interview ever....
@laxiekillian83925 жыл бұрын
Aisee umeongea the best nimependa sana
@ilovuguyssandimu65085 жыл бұрын
Haki true
@amedeezvisual81375 жыл бұрын
hamna lolote
@laxiekillian83925 жыл бұрын
Acha wivu kila mtu na mtazamo wake
@amedeezvisual81375 жыл бұрын
@@laxiekillian8392 mhh,hongera ww ulieona wivu kwenye hamna.labda pia ningejua interview nzur za wasanii alioangalia
@anicyaedward56054 жыл бұрын
Nimerud tena kuisikiliza upya after engagement 🥰🥰🥰✅
@luzabethkitali34094 жыл бұрын
Nivizuri pia kurudiana
@learnlivelove76062 жыл бұрын
Came here after the wedding....Love wins!!!
@queenlizzyplatnumz49422 жыл бұрын
This couple jmn 😍😍😍 Nan karud kuangalia ii interview
@iwenimsola33162 жыл бұрын
Hii ni mara ya kumi na sita kuiangalia hii interview ya Hawa wapenzi Naipenda na nawapenda Sana Nandi na Billinas
@NdihoMathew9 ай бұрын
hahahahahahahah me mara mia
@chiefgustavo5875 жыл бұрын
Honestly toka mwaka umeaanza this is my Best interview Congratulations saana Millard Ago.Nice Creativity na vikaratasi hivyoo. Hope to see moree like this one.. BIG UP SAANA.
@mericky60315 жыл бұрын
Kwel
@belindagiliard89775 жыл бұрын
Milard, you are the best. Umeitendea haki tasnia ya utangazaji. I like the way you calmly ask questions, give your guests time to digest the questions, for sure you deserve congratulations........
@dalton16985 жыл бұрын
Exactly, I do the same
@geecastag56105 жыл бұрын
He is mature enough I guess hayupo kama watangazaji wengine......hongera sana Millard.
@ljk40062 жыл бұрын
Promise kept, tukirudiana ntakuoa,, how lovely🥰
@anicyaedward56052 жыл бұрын
Nimerud tena after kufunga ndoa na nandy akalia aiseee umenifanya pia nilie na vile ninavyowapenda mpaka nyumban wananisema yan guys all the best hamjui how much I was following you to see you getting married Coz tuliweka mpaka deal la pesa japo cjapewa ila 😢😢😢🙌🏽🙌🏽🙌🏽guys nawapenda nandy upow emotional 😭 like me pliz billinas ni mme bora upo sehemu sahihi goodluck Mungu yupo nanyi.. Tanzania 🇹🇿 tupo na couple hii kenya 🇰🇪 ni Bahati na Diana yan hz couple ndo my inspirational cchoki kuwatazama and I learn a lot from you guys
@dynahgeorge86312 жыл бұрын
Kaka Millard hongeraa buanaa naweza sema umechangia Hawa watu kufika walipo saivi hizo ni baraka Mungu awatangulie couple yangu pendwaaaa
@estherlema47202 жыл бұрын
Nimeirudia tena jamn dah ilikuwa pambe sanaaa Kama Mungu aliamua waifanye aisee Kila la kheri katika ndoa yenu❤️
@kitchenwithmanca22612 жыл бұрын
Nan yuko apa baada ya hawa watu kuelekea kuwa baba na mama 😊😊❤❤
@bonifacehamis40882 жыл бұрын
Hongereni sana jana mumeyatimiza haya nandy+bilnass ❤️❤️❤️
@judyngowi3912 жыл бұрын
Yaani wewe, umerudi kusikiliza huku kama mimi baada ya jana
@zubedajuma7632 жыл бұрын
@@judyngowi391 adi mm😂
@suzanaagustinookelo49532 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Hadi mimi
@floramkwizu69642 жыл бұрын
Hadi mimi
@mwanaidsalehe11092 жыл бұрын
Na mim pia.
@kelvinchacha55572 жыл бұрын
Finally they are married 😍 2022🔥🔥
@aminamkindi9222 жыл бұрын
Not yet but on saturday 16/7 they will be married
@anjelinopawa55002 жыл бұрын
Kabisaa, Leo Saturday
@dianalawi15842 жыл бұрын
today ❤️
@kelvinchacha55572 жыл бұрын
@@aminamkindi922 ok
@kelvinchacha55572 жыл бұрын
@@dianalawi1584 ok that's awesome
@lovenessaron2669 Жыл бұрын
Binafsi nilikuwa nawaona mbali sn hawa wana Ndoa nilijua tuu Mungu atajalia Ndoa,Nawapenda sn Hawa watu jamanii 😍😊♥️🔥🔥🔥
@avelinngwada81542 жыл бұрын
Mungu ni fundi hongera Sana kwako,ukiiangalia hii interview unaona kabisa walikuwa bado wanapendana
@gladnesssanga16012 жыл бұрын
Kwel kabisa
@dayanafelly14882 жыл бұрын
Now they are hubby and wifey! Love you too so much! Mungu ailinde ndoa yenu
@janethmwiga6109 Жыл бұрын
Hongereni Sana mlikuwa mnapendana kwel hatimae mmefunga ndoa....Mungu awabariki watoto wengi Sana.....
@fatumamohammed99642 жыл бұрын
Nimekuja kulike baada ya ndoa bill and nandy nawapenda
@tausingomeni25685 жыл бұрын
Interviwer tamu, party 3 hakun millardo ayo😂😂😂😂mie napend umbea ujue, maan nachek htr huku
@biakaisa79855 жыл бұрын
Awa watarudiana2 wasitufanye watoto
@stellaiyamu52125 жыл бұрын
😁🤣
@musahimapanda88635 жыл бұрын
😁😁😁 Eti "napenda umbea"!!!
@fatimahassan8645 жыл бұрын
1
@tausingomeni25685 жыл бұрын
@@biakaisa7985 kwa uzoefu wangu hawa wanakulan japo kwa siri maan nenga anasem yupo kweny mahusioa. Ila watu wazima tunajua😂😂😂😂😂😂
@carolnashy1052 жыл бұрын
Congratulations to the lovely couple, words are powerful, we witnessed.
@nelsonalfayo47285 жыл бұрын
I like the way millard is always relaxed during an interview....high maturity level....
@salmasmith1235 жыл бұрын
Kabisa
@mwajumamwenkale91922 жыл бұрын
Hongereni kwa kutunza mahusiano hatimae kufunga ndoa mungu awabariki Sana kwenye ndoa yenu
@rosechami56372 жыл бұрын
Nimeona ya Nini mieee nkarudi kuja kuangalia hii interview Tena na Tena love always wins ❤️❤️❤️❤️❤️
@heavenlightelijahvenyjah27983 ай бұрын
Watching this 5 years later Millard you're so genius in alot of ways i can say
@misojisahani94695 жыл бұрын
I love the interview, they are so really. Hongera sana Millard. Kila la heri kwao Nandy na Billnass. I wish kama ingeendelea hivi 😀😀😀😀
@priscaalphonce16622 жыл бұрын
Hatimaye kwa KWELI, yalikuwa Ni matumaini yetu wengi wawe pamoja coz they love each other
@raphaelbemeye4964 жыл бұрын
Millard ayo umechangia sana kuirudisha hii couple pamoja🙌
@nanceymartines82575 жыл бұрын
Jaman naomba mrudiane dahhh nawapendaaaa mpk naumwa😤😭 they are so lovely jaman
@anandemungure25002 жыл бұрын
Congratulations Mr and Mrs William. May God bless you abundantly ♥️😘
@lillianbarongo28072 жыл бұрын
I am back again after the wedding.... 😃honestly you are meant to be together. Lovely couple...God keep blessing you.😘
@shakilayusuf7802 Жыл бұрын
I thought they were a couple before I watched this video;still there's love between them especially from Nandy.It's good you you're now in marriage.Congrats.I love that
@shakilayusuf7802 Жыл бұрын
Hakuna awezaye kutenganisha alichopanga Mungu,shukran Kwa kurudiana na kufunga ndoa.Mungu azidi kuwaongoza,nawapenda sana;miongoni mwa wasanii wa TZ naowakubali ni hawa
@onexofficial955 жыл бұрын
Interview kali..never ever seen nimependa mno imenifanya cku yangu ikaenda poa mno big up @millard ayo
@neemamabele84515 жыл бұрын
Anaekubali Millard ni talented na smart na kazi yake angonge like hapa... Timu Millard tujuane Millard is fire 🔥🔥🔥🔥💯
@derrickthedon915 жыл бұрын
Neema Mabele posti sura yako kwanza ili ni like comment yako
@neemamabele84515 жыл бұрын
@@derrickthedon91 mimi si demu wa kuposti.. kama unataka tuma namb nikutumie dm
Nani amerudilia kuskiza hii interview baada ya engagement? all the best my darlings 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@beatricenicholausiwasa76014 жыл бұрын
Edith Ayouma mimi
@fatumaibrahimabdi1674 жыл бұрын
Mimi
@Gsimon9234 жыл бұрын
✌😙😙
@evekiondo58284 жыл бұрын
Nimeirudia several times dah so lovely😘
@miss_giantwilson36224 жыл бұрын
Mm joomn😅😅
@sportshome5635 жыл бұрын
Wanaotamani kua na mahusiano kama ya billnass na nandy yalivyo kua Gusa like apo 👇👇👇
@malkiabintimfalme68205 жыл бұрын
Yaaan napenda sana
@sportshome5635 жыл бұрын
@@malkiabintimfalme6820 p1 sana mm mwnyew napenda sana tena sana
@officialpktz39725 жыл бұрын
Shalom King 😁😁
@saunakatauyanawausufanyeni95045 жыл бұрын
Shalom King nyie jamani
@lugayilajohn62695 жыл бұрын
Hao baado wanapendana
@shanymwenda79202 жыл бұрын
Millard hii interview ndo imesababisha ndoa ya nandy na billnass maana walifunguka ya moyoni kila mmoja kumuhusu mwenzie,hongera sana sana
@BahatiAbdarahamani-vv4tc Жыл бұрын
Real
@margarethsaramaki11005 жыл бұрын
Mungu awape baraka ili mje muoane na kuwaepusha na mabalaa mfunikwe kwa damu ya Yesu
@mwajabugasala91544 жыл бұрын
Dua yako inaenda kukubaliwa
@ditlindarutekiza14282 жыл бұрын
Finally they're getting married ♥️
@winfridagama58322 жыл бұрын
Hakika yametimia
@liliansige4172 жыл бұрын
Tuletee tena hawa watu tumemic interview yao ya pamoja baada ya ndoa.....mr and mrs William❤❤❤
@anandemungure25002 жыл бұрын
Nimeipenda . Nandy being your number one matters a lot. Respect man.
@dianalawi15842 жыл бұрын
come back to interview today after their wedding ❤️ congratulations
@bintalmas40202 жыл бұрын
Imepeza Sana mungu azidi kuwasimamia 🙏🙏🙏
@happyrichard48052 жыл бұрын
Came after the wedding… What I learned is Nandy can loooove
@loyciousaaa2 жыл бұрын
I love your story and am back again today after their new song, indeed love is a beautiful thing.
@bhokerappah48235 жыл бұрын
Hawa ni lazma walivyotaka hapa walienda kunjunjana sio kwa contact eyes izo 😊😊👌
@aminamkindi9222 жыл бұрын
Nimerudi hapa 2022 and yes i was rght baada ya hii interview nilijua watarudiana tuu na hakuna kuachanaa 😁😁😁😁😁😁😁😆😆😆😆😆
@andromedagalaxy86272 жыл бұрын
Na wameoana tayari 😄😄
@zainahamisi8072 жыл бұрын
Jaman napenda sana hii couple ♥️♥️♥️
@BeronitaDanniel-yi1vj Жыл бұрын
I like it
@anandemungure25002 жыл бұрын
Milad, Billnas and Nandy indeed it was awesome interview. Cheers 🙏
@princeprince14635 жыл бұрын
Hawa jamaa bado wanadate kama umeliona hilo weka like hapa tujuane😂😂😂😂
@mericky60315 жыл бұрын
👍
@mauayusufumauayusufu78625 жыл бұрын
Hadi Raha nimewapenda buleeee😘😘💞💞
@kambonaviazi12325 жыл бұрын
kingkijana 255 pamoja sana
@neemashao53145 жыл бұрын
Hawa wana mahusiano bdo
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Kweli kingikijana inaonyesha kabisa hata tabasam lao bili mbona alisemaga muda tu Nandi alikuwaga anambeleza waludiane nandy anampenda Sana bili
@cathynunu74262 жыл бұрын
Mmepitia mengi. Mwenyezi Mungu awaongoze katika ndoa yenu
@timpiyiankimaro50792 жыл бұрын
Hatimae ndoa ikawa kweli mungu awalinde sana Kwenye ndoa yenu nawapenda sana ❤️❤️❤️
@doreennasike62985 жыл бұрын
Congratulation millard Ayo ..Hii interview ni ya kizazi sana 😍😍😍😍😍😍😍😍Naomba iendelee tafadhali😂.
@mericky60315 жыл бұрын
Kwel
@doreennasike62985 жыл бұрын
@@mericky6031 👊👊
@hemedmuddy42715 жыл бұрын
Hahaha aminikwamba
@gabrielobote70935 жыл бұрын
Millard ayo uko mbunifu sana you are the best of all time
@ibrahimpius76065 жыл бұрын
I appreciate you my brother Millard Ayo........it's possible ukawa umerudisha relationship ya hawa jamaa aisee big up brother @Millard Ayo
@phinaswai47182 жыл бұрын
Kafanikiwa haswaaaa 💫💫
@MaaneML2 жыл бұрын
Nilimwambia Nandy "Siku tukirudiana nitakuoa". By Bilinass. Kweli yalitimia tarehe 16 July, 2022.
@bigboyben69325 жыл бұрын
Naamini hii interview itakuwa the best mpaka tunamaliza mwaka huu 2019!big shout out to mr M I DOUBLE L ARD AYO
@antybabybintrashid23332 жыл бұрын
It is still the best up to date 2022
@martinkredo71032 жыл бұрын
Jambo limekuwa jambo wamekuwa pa1 now wanandoa hawa wawili aiseeee gonga like hapa kama uko happy na interview hii..
@twahaanyoni93685 жыл бұрын
Wanazuga! Too mapenzi 🔥🔥🔥hapo Jamani akuna jipya tusubir ndoa jaman Muda sio mwingi good Ayo
@patriciawairimu60895 жыл бұрын
I don't believe these two are not dating, wanafaana thou. Nandy is such a beautiful lady. Much love from Kenya #greatinterview #bigfan
@anthoniamaji36712 жыл бұрын
The whole story imekua more interesting now that they are married. God bless their union🥰
@donnaantony60082 жыл бұрын
Aki ukiwa na ushost na ex wako mtarudiana Millad nae uwiiiii Hongeren Sana Oooh
@jeffmauzo54835 жыл бұрын
Millady uko juu umefanya makubwa yakutazamana macho yanasemezana wanapendana sana
@dalton16985 жыл бұрын
Best interview Millard Ayo. Always you do it brother!
@abditamshaban84064 жыл бұрын
This interview was the catalyst for Nandy and Billnass to rekindle their love
@julielyngemera60712 жыл бұрын
Sure
@turnontv3872 Жыл бұрын
Real
@dianamchami2720 Жыл бұрын
Nlkuw natft ii comments .......ndo maan watu kadhaa wakitak kurudisha mahsian yao wanatft mda wa kukaa na kuongealea moment zote walizopitia kwny kipindi Chao ....trust imework kwa wengi🥰😌
@mithandaseni52542 жыл бұрын
Fransixka endr big up Mandy vs neng mungu awatangulie
@dafrosamsonge20072 жыл бұрын
Love wins hatimaye nawapenda
@papafikiri5 жыл бұрын
Ukipenda umbea hii ni interview nzuri sana....Billnass unaongea sana humpi nafasi Nandy.....mkiwa wawili kwenye interview mpe tym mwenzio
@ProsperReuben-fg6uh3 ай бұрын
Mwanaume ndo kichwa
@upendomkude53905 жыл бұрын
Yani hongera Ayo you are the best ever ,,Nandy and Bill mko free mmependezana adi speechlessness
@dalrinfad30145 жыл бұрын
Nilichogundua Nandy na Billinass ni wakweli ukiwaangalia tu usoni utajua km wanasema ukweli, Nawapenda
@vickkisaka79702 жыл бұрын
Jamaniiii hongereniiii kwa ndoaaaa
@elisharaphael86802 жыл бұрын
Kiukweli milard unajua kufanya interview Hata mtu akiwa na kigugumizi chakuongea kitu unanyamaza kumpa nafac aongee amalize ,Kali sana
@umutoni-roussel52335 жыл бұрын
Beautiful interview Millard Ayo.
@yasserabubakar61675 жыл бұрын
Ayo Walete jux na vanesa.
@boybunchbay66395 жыл бұрын
😂😂😂
@shekinahfaymatatiana58755 жыл бұрын
Walete Fayza ali na sugu😂😂😂😂
@rebecamsonga55745 жыл бұрын
Shekinah Fayma Tatiana 😂😂😂
@yasserabubakar61675 жыл бұрын
Tena jux yuko wazi ajua kuzungumza na yuko real kuliko bilnas anamenya maneno akimumunya.
@winfridamatonya93935 жыл бұрын
Watu kwa kupenda ushilawadu hahahaa
@kidotanne4294 жыл бұрын
Jaman kwa hayo maongezi Nandy kama wameachana bas Nandy amemmiss sana Billnass😃na Billnass anapenda sana utani I like it Millad anaweza akarudisha watu kwenye relationship
@lucasrhema42125 жыл бұрын
These two are still love birds, you can tell by their looks
@hawahawa61322 жыл бұрын
Nimependa
@phinaswai47182 жыл бұрын
Yaani , saiv na ndoa kabisa 💫💥
@happyvalence53522 жыл бұрын
When dreams comes true 🙌
@robertpeter5185 жыл бұрын
@millardayo umetisha bro, never seen hot interview lyk this
@donnaantony60082 жыл бұрын
U guys are rock made for each other soul mates
@anifanyenzi78562 жыл бұрын
Such a beautiful moment of couples
@NatacollectionMushi-ux2xm Жыл бұрын
Nandy anampenda sanaaa bill yani sanaa jaman
@euniceurio37322 жыл бұрын
Am watching this today 8/6/2022 I love the moments ♥️
@Fx_expertmoneymaker0012 жыл бұрын
Duuh ila hii interview mlikua bado mnapendana nyie na mmethibitisha.😍😍. Kwa mara ya kwanza kuangalia interview mwanzo-mwsho bila ku skip..😅Mungu awaongoze ...🙏🏼🙏🏼
@mkomboraahmedchome5 жыл бұрын
kuwasiliana na X wako nisawa na kutembelea muwa kufanya Mkongojo Ipo siku uta ula niongeze Sauti au inatoshaaaaaa????
@khanipherkhalfani87305 жыл бұрын
Mkombora Ahmed ongezaaaaa sauti Eka ya mwishooooooo kbsaaa
@florentmwenda8045 жыл бұрын
umeua aseee
@jacklinebahati34225 жыл бұрын
Ongezaaaaaa
@photunatamakelele69805 жыл бұрын
Ongeza kidg
@deboraruben21994 жыл бұрын
Unasema
@mihinzotumbo79365 жыл бұрын
This is a real interview. Big up Millard
@marionpaul14022 жыл бұрын
Yametimia masha allah Mungu awaweke
@rehemahussein7485 жыл бұрын
Billi please mrudiye nandy she's soo beautiful na hata boss ruge wil be happy for both of you
@vitusprotus88775 жыл бұрын
Nandi anahisia za karibu sana!
@geofreybarama40005 жыл бұрын
Kwa mwanamke alie penda mausiano ya nandy na bilinas anicheki social media zote Fb na Instagram..
@tabbymwalami85825 жыл бұрын
Mimi
@prisilakapinga37815 жыл бұрын
Nipo
@winfridamatonya93935 жыл бұрын
Ili uanze nae au
@lilianalphonce19175 жыл бұрын
Duh
@hemedmuddy42715 жыл бұрын
Mm nilikuanaswali katiyawatuwawiliao nanikamuachamwenzake
@scholasticajackson67604 жыл бұрын
Looh, Jaman sichoki ukiangalia hii interview, they are in love, for real
@kitchenwithmanca22612 жыл бұрын
Mashaallah mna maono wish mview tena hii interview. Mmerudiana na ndoa imekwiva kwel
@Edward_Simon65 жыл бұрын
Namkubali sana billinas
@magicalmariachana2 жыл бұрын
They were meant to be. I wish them the very Best in their Marriage...
@HandCastingTz5 жыл бұрын
Truth always make relationship in a good condition 💯 😍
@Millidady5 жыл бұрын
Amini usiamini nandy bado anampenda bilnass ....😧
@rehemamlaponi89325 жыл бұрын
Sana yaani anaonyesha hadi macho
@fatmabushiri13015 жыл бұрын
Anampenda hadi anatia huruma
@Millidady5 жыл бұрын
@@fatmabushiri1301 kama mimi ninavyo kupnda ww😗
@beatricekingsley50625 жыл бұрын
Yan anavyomlegezea macho 🥺🥺
@vailetmapunda1065 жыл бұрын
@@beatricekingsley5062 🤣🤣🤣🤣
@dafrosamsonge20072 жыл бұрын
wameoana sasa Millard jitahid interview ingne km Mr na Mrs official
@fredytarimo91074 жыл бұрын
Bill unajisimamia ktk mapenzi hongera sana
@shabanizena26122 жыл бұрын
True love never ends.2022 you are together
@omanoman4134 жыл бұрын
I just love this couple may da almighty Allah continue blessing da two untill kifo.i mean death