PART1:BINADAMU ALIEENDA MBINGUNI/PEPONI AKAONANA NA MUNGU NA AKAFIKA JEHANAMU AELEZA SAFARI NZIMA.

  Рет қаралды 11,031

Davistar Media

Davistar Media

Күн бұрын

Пікірлер: 417
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 3 жыл бұрын
Davista unaenda kwa waonaji sio? Mungu hapendi hizo habari, na aliificha kesho yako makusudi, hakukosea, usiforce kujua ya kesho!! Mungu alichukia watu wake kwenda kwa waaguzi, watambuzi na waonaji
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Kwan ndugu zang ttz lipo wapi mbingu ipo mtu akienda munashangaa nin Sasa hata akwende na harud ni sawa tu mbon watu walienda kwa lusifa na wakarud kuj kufanya Kaz zake ht uyu amerd kwa sababu manabii wa uongo wap na hata manabii wa kweli wap Sasa ni juu yako kumtambua mtu sio kumpinga kila mtu bakini na Imani zenu
@blueeyes5952
@blueeyes5952 3 жыл бұрын
Watu wanamini majini yapo, shetani yuko, na mapepo yapo na wanadai kama walishaonana na shetani na majini na mapepo, shida ni pale wakati mtu anasema aliona maono ya jehanamu ao Kuona Yesu ao malaika wa nuru ao Mungu basi wanapinga na kukataa!!! Kama wewe ulisha lala na jini nq kufanya mapenzi nalo , swali je unaeza kuonyeshe lile jini kwa watu wote walione????? Mambo ushirikana mnapenda sana lakini mambo ya Mungu ni shida kuamini,
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Habari,kazi yangu ni kuleta mikasa ambayo mimi na wewe hatukuwepo wakati mtu anapitia hiyo mikasa yani hatakuwepo,wewe unatakiwa usikilize mikasa hii kisha suala la kumuamini au kutokumuamini mtu yeyote anaetoa mkasa suala hili linabaki juu ya mtu mwenyewe na ndio huwa nafanya kila siku,maana hata mtu anaeeleza mkasa wake kisha wewe ukamuamini ingawa wewe haukuwepo wakati anapitia hayo mambo.Ni kama ambavyo kuna mtu ataeleza mkasa ukamuamini na mwingine akaeleza mkasa wake ukashindwa kumuanini yote ni sawa ila kwenye kila mkasa wa mtu ninaemleta kuna kitu cha kujifunza ndani yake na hii hamaanishi umfuate kila mtu kisa ametupa mkasa wake maana wote sisi waislam,wakristo na wasio na dini tumesoma Quran na Bible vizuri hivyo tunaufahamu wa mambo ya dini zetu lakini pia tuna akili na uelewa mkubwa
@davidchesco1150
@davidchesco1150 3 жыл бұрын
Brother davistar umeongea point ya muhm sana ila naona shetan amekamata sana watu kwny suala lakuamin kwasabab mtu akisema kwamba alikua mchaw,mganga au aliua inaaminika kwa watu wengi lakin mtu akisema mtumish waMungu cjui kwann watu wanakua hawaamin na unakuta mtu anasema alikua namajin watu wanamuamin lakin mtu akisema amemuona Malaika watu hawaamin anyway all in all mr davistar uyo Prophet david richard ni mtu wakiroho sana na anaongea mambo yarohon sana so ningum sana mtu kumuelewa kama hauko rohon ndomaana watu wengi wanakua hawaamin kwasabab hawako rohon. God is real na anafanya kaz na watu wake na principle za Mungu sio sawa na zakibinadam hawez kukuonesha mambo makubwa wakati ww unaufaham mdg juu yake!!
@joshuatalu9596
@joshuatalu9596 3 жыл бұрын
Kweli kaka
@joshuatalu9596
@joshuatalu9596 3 жыл бұрын
Mtafute mama Mtanzania anaitwa Nyisaki Chaula...story kali sana.
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Mungu ulie mukomboa kijana Huyu mpaka sahii anakutumikia kumbuka kijana wangu awache bangi
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@seifmketo2421
@seifmketo2421 3 жыл бұрын
Piga chini huu upuuzi maana hata hao mitume wa enzi hizo hawakuwahi kuonana na mungu sembuse yy,labda aseme alienda kuzimu huko
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 3 жыл бұрын
Nashangaa 😂😂😂
@victorlyimo697
@victorlyimo697 3 жыл бұрын
Alienda kuzimu
@susannyamwitha1354
@susannyamwitha1354 3 жыл бұрын
Man of God am happy to hear, there is some one see God, I thought it's only, time of Musa,
@pungopungo411
@pungopungo411 3 жыл бұрын
Musa alikua ni rafiki wa mungu lakini hajawahi kumuona na huwezi kumuona mungu kisha ukaishi
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Kumbee ulikuwa mtoto wakuvuta bangi mwisho ukawa mtoto mzuri 🤝🤝🤝🤝
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 жыл бұрын
Haijawahi muacha mtu salama😢
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
@@nantaembanusurupia5674 mm iliniachaa salama mana mm Mpole lkn ukiniazaa inafufuka ya miaka 20iliopita😂😂😂😂😂yanyuma
@evalineawary3604
@evalineawary3604 3 жыл бұрын
Umejua kunifurahisha davista, kumleta my prophet David Richard, shalom shalom man of God my spiritual dad
@farhadhassansaid8830
@farhadhassansaid8830 3 жыл бұрын
Kk Davi, anaongea point kuwa mtoto akiwa tumboni mwaa mamake huwa pale ashaandikiwa kila kitu na venye ataishi mpaka kufa kwake manake pale roho ikiekwa ama kuviviliwa ndani ya tumbo la mamake bac pale Malaika huja na Kitabu ambacho ashamwandikia kila kitu cha kiumbe alichokuwa ndani ya tumbo
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 3 жыл бұрын
Hii story kali sana nimeamini Mungu na nguvu ananguvu zote
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 3 жыл бұрын
Mr.DM,,Mr.Everything .Mr.fact . To Tuko pamoja sana naendelea kuenjoy na story .No stress nakushukuru
@babyboss2886
@babyboss2886 3 жыл бұрын
2.3k views 184subscribers Bonyezeni tu subscribe button ni free of charge let's appreciate Davistar Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@tayanabenard4392
@tayanabenard4392 3 жыл бұрын
Wakati sisi tunang'ang'a sharubu mtaani, wenzetu kumbe wameishaenda mbinguni na kurudi... 🙈🙈🙈
@moteyussuf3951
@moteyussuf3951 3 жыл бұрын
hhhhhhhhhh
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Ukiona Ivo ujue mbinguni utapasikia tu😂😂😂😂😂🤣🤣😂🙏
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mitume pia wangeenda kumuona Mungu🤸‍♀️
@tayanabenard4392
@tayanabenard4392 3 жыл бұрын
@@shantellemwanakombo3703 Dunia ina mambo hii....
@tayanabenard4392
@tayanabenard4392 3 жыл бұрын
@@josephemmanuel3175 yaan mpaka hapa na wasiwasi cku ya unyakuo inawezafika raia wakasepa nikabaki sielewi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@carrenchigulu5712
@carrenchigulu5712 3 жыл бұрын
Jamani fatilieni hii story ya prophet David Richard ni ya kweli he is really a man of God from angelic church international Dar mimi nimemfuatilia mda nilijua kutoka kwa promovert tv barikiweni
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
@@mohdbest5859 wee mohammed usinifanye me nivunje mbavu zangu
@zeuscus501
@zeuscus501 3 жыл бұрын
@@mohdbest5859 dah aloo hii kamba tunayopigwa apaa
@nooor1120
@nooor1120 3 жыл бұрын
Mmungu mchezo?
@davidchesco1150
@davidchesco1150 3 жыл бұрын
Nafrah kukuona naww nimmoja wa wachache wanaomuelewa big up sana sister twnd pamoja👍👍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@mohdbest5859 kabisaa
@immamuga8837
@immamuga8837 3 жыл бұрын
Davistar,,,hii stor tamu sanaaa,tuko pamoja
@mirajihamza4532
@mirajihamza4532 3 жыл бұрын
Duuh! Jamaa kampiga bao mpaka Paulo, kaonana na mpanga michongo😂😂😂
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
Huyo aliota tu kachukuliwa nashetani kapelekwa dampo etimbinguni mh fire fire fire
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Pengine kamuona Mungu Bonge
@ziadasalumu1176
@ziadasalumu1176 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 huyu kamuona mungu bonge
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@ziadasalumu1176 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😂😂😂😂😋😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Sura kama babakeylaa ama macho yangu hihihi😄😄😄😄😄😄😄😄
@jannyrose5367
@jannyrose5367 3 жыл бұрын
Nimeona watu wengi hapa hamanjamwamini Mungu,mambo yote inawenzekana kwa Mungu,hakuna njambo lisilowenzekana
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
Fikiria wew knavitu vinabaki kwaufalme wake tu mungu apelekwe mbinguni akafanyenini (kaamua kukufuru tu hanalolote)
@jannyrose5367
@jannyrose5367 3 жыл бұрын
@@abubakarwadi5773 Mungu mwenyewe ndiye anajua alichotaka akashihudie sipendi kupinga Sana vitu vyenye sna ufahamu nazo
@ninajohn8643
@ninajohn8643 3 жыл бұрын
Afazari davista wetu yuko ndani ya nyumba kakaa kwenye makochi naona atakuwa anarusha nne kwa siku khari ya hewa nzuri
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@avierastevens5141
@avierastevens5141 3 жыл бұрын
My papa man of GOD prophet david richard
@jacobjacksonjackson1234
@jacobjacksonjackson1234 3 жыл бұрын
Huyu mtumishi Bado sijamuelewa na si mara ya Kwanza kumusikiliza,kipindi fulani aliwahi kusema alikutana na malaika leo anasema alikwenda mbinguni akaonana na mungu
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Itabidi tukubali tu
@glorynguma3593
@glorynguma3593 3 жыл бұрын
Sio mambo zako xo huwez kuelewa
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
Davistar🤣🤣🤣ety aaaah kwa hiyo hapo nirelaxx nisubiri tender hiyo🤣
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri kweli be blessed 😊🇰🇪
@maisalahmustapha8287
@maisalahmustapha8287 3 жыл бұрын
Mr.DM naomba muendelezo wa story ya Baharia Latino
@imagepower3641
@imagepower3641 3 жыл бұрын
sijui kama yupo mtumishi wa mungu ambaye hapo kabla hajawahi kuvuta bangi
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 жыл бұрын
Nilisikia kuwa bangi ukipiga pafu moja hukaa katika ubongo miongo mitatu sijui kama ni kweli, huyu nae si kavuta juzijuzi tu inawezekana bado ipo.
@hussenimussa3012
@hussenimussa3012 3 жыл бұрын
Hapokwenyekutoa huduma hukawi badae kutuambia nimatapeli tutasika mengi hidunia uongo ndomtaji
@faridaahmed2671
@faridaahmed2671 3 жыл бұрын
Yani kaka yangu davista mata uyo kaka nimuongo nawewe unamsikiliza anapata lana atakua alienda kuzimu sio mbinguni
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
Jaman eti akaonana na Mungu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣usinichekeshe Davistar, haya wacha niskize
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 3 жыл бұрын
Watu wana dhambi😂😂
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Daaaa umemleta prophet David Richard hyu mchungaji ambas anasimulia vitu konki sana
@imagepower3641
@imagepower3641 3 жыл бұрын
shusha nondo sie hatujali iwe kweli au uongo sie hatujali..hii ni burudan
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa. Hapo umesema 👏👏👏👏👏👏👏👏🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎉🎉🎊🎊🎊💃💃💃💃
@ashaomari7465
@ashaomari7465 3 жыл бұрын
Ile bangi mbaya sana mpka unakufuru
@athumanmakale8221
@athumanmakale8221 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔🙄🙄🙄😳😳😳 Jamani Mambo mengi Sana tutasikia. Ila tunashukuru Davista kwa kutuletea hii Mikasa MB zipo kwa ajili YAKO kazi kwako kuporomosha Mikasa.
@KariukiRoysambu
@KariukiRoysambu 3 жыл бұрын
Natega sikio sawa
@rosekingalu4403
@rosekingalu4403 3 жыл бұрын
Anaongea vizur 🙆🏻‍♀️🙈🙈
@paulotomealame1994
@paulotomealame1994 3 жыл бұрын
Bom
@zennahenry5953
@zennahenry5953 3 жыл бұрын
🤔🤔Baadae tukitaka huduma ya maombi mnatuambia tutume sadaka 🏃‍♀️🏃‍♀️kule kwa Bm maziwa nilituma sadaka yangu Mpaka Leo sijapata huduma
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Pole my dear jiombea wewe kama wewe asahivi huwenzi jua mtimixhi wa mungu hawana tofauti na wa lusifa
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@happyperson3016
@happyperson3016 3 жыл бұрын
Tujiombee jameni angalieni bisola johnson you tube na mtaelewa zaidi hii network ya church mafia..itabidi watu wajiombee na watafute mungu kibinafsi bila kutegemea yeyote
@kelvinwalter3435
@kelvinwalter3435 3 жыл бұрын
Kwa Mara yakwnza niliuona moyo wangu kwa alisikia iyo gonga like maana sio kwa uongo huoo
@luluamin1388
@luluamin1388 3 жыл бұрын
DU! Yesu rudi maneno yako yametimia. Wamezaliwa manabii zaidi ya unaowajua. Wengine wanatuuzia mafuta ya Upako, wengine wanasema tusivae chupi kanisani ili tupate baraka. Bora urudi baba mana hata wakichemua basi wanatawazwa unabii. Wakilala nakuota pia wanakua manabii. Rudi uje uwakane kama ulivyosema.
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Kazi yangu ni kuleta mikasa ambayo mimi na wewe hatukuwepo wakati mtu anapitia hiyo mikasa yani hatakuwepo,wewe unatakiwa usikilize mikasa hii kisha suala la kumuamini au kutokumuamini mtu yeyote anaetoa mkasa suala hili linabaki juu ya mtu mwenyewe na ndio huwa nafanya kila siku,maana hata mtu anaeeleza mkasa wake kisha wewe ukamuamini ingawa wewe haukuwepo wakati anapitia hayo mambo.Ni kama ambavyo kuna mtu ataeleza mkasa ukamuamini na mwingine akaeleza mkasa wake ukashindwa kumuanini yote ni sawa ila kwenye kila mkasa wa mtu ninaemleta kuna kitu cha kujifunza ndani yake na hii hamaanishi umfuate kila mtu kisa ametupa mkasa wake maana wote sisi waislam,wakristo na wasio na dini tumesoma Quran na Bible vizuri hivyo tunaufahamu wa mambo ya dini zetu lakini pia tuna akili na uelewa mkubwa
@davidchesco1150
@davidchesco1150 3 жыл бұрын
We utakua safi Yesu akilud? Na kama Mungu ndie aliemuita kua yeye ninabii waMungu manake ww ndo mwny makosa na utahukumiwa kwa hilo. Kwasabab wakat anaitwa na Mungu hukuwepo!!!. Angalia manabii wote walioitwa hawakuaminiwa na walivyoitwa hakuna mtu aliekuepo so sio vzur kuzungumza vbaya juu yamtu. UKIONA KUNA FEKI BASI UJUE ORIGINAL IPO!!
@luluamin1388
@luluamin1388 3 жыл бұрын
@@davidchesco1150 ubaya uko wapi. Mimi naomba Yesu aje atuonyeshe ukweli. Bibilia inasema kutakuja manabii wauongo. Na kweli tumejionea drama nyingi tu kutoka kwa baadhi ya makanisa siku hizi. Sorry but sidhani nimeongea ubaya wowote hapa. Pili nimaoni yangu. Nadhani ni ruhsa mtu kutoa maoni yake. "Jihadharini na manabii wa uongo" matayo 7:15
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kanisani uchi tena dah.
@judiehance1736
@judiehance1736 3 жыл бұрын
Mbona hii mnaikataa hii ya kwenda mbinguni ,alafu zile za wale walioenda kuzimu mkawaamini ,, mnaenyesha ni kiasi gan hamuamini kuwa Mungu yupo ila mnaamni shetani yupo🤔🤔🤔ni huzuni kwa kweli
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane 3 жыл бұрын
Ila jaman kwa mungu kesho kuna mambo...😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kwahiyo kamuona Mungu. Mwanae. Na Roho mtakatifu?
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 3 жыл бұрын
Nampenda🥰🥰🥰🥰🥰
@chukwuebuka1511
@chukwuebuka1511 3 жыл бұрын
Kaka muongo uyu ona hata macho yake yanajieleza 😃😃😃😃 jamani kha
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
santa sana Mr kila kitu
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
Huyu niwalewale tu watumishi washetani (gambushi style zakukubalika tu hzo)
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 жыл бұрын
kuna mambo mazuri sana mbeleni
@djmtengwatz1099
@djmtengwatz1099 3 жыл бұрын
Twende Kazi
@mohammedshabani9013
@mohammedshabani9013 3 жыл бұрын
Amuogop mwnyezimungu atampa Adhabu Kari san asipotubu
@glorynguma3593
@glorynguma3593 3 жыл бұрын
😂😂😂 pole hivi vitu vimekuzid uwezo lakin mganga unamwamin vzur tu mtumish WA humwamin binadam bwana
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Aisee kaenda mpaka mbinguni😂😂😂
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Alafu kamuona Mungu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 wa ukae tumepigwaaa!
@JOZELDOTz
@JOZELDOTz 3 жыл бұрын
title ya video tu ni noma eti kwenda mbingumi daah niatari kweli kweli
@حميده-ر4ظ
@حميده-ر4ظ 3 жыл бұрын
Sasa hii kiboko jamani, mmhh 😁
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
Katika stry zote tulosikiliza hii kiboko mbingun nakurudi mmmh jomon inawezekana
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 🤣🤣🤣🤣mi ndiyo mwanzo nataka kuskiza
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
@@shantellemwanakombo3703 me hata sijasikiliza nimesoma tuuh kichwa chahabar
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@kalssambaboo9932 tungoje atuambie huyo Mungu yukoje?.
@isongacharlesnilanga2582
@isongacharlesnilanga2582 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😀😀😀😀😀😀😀
@joshuatalu9596
@joshuatalu9596 3 жыл бұрын
Mr Everything
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story nzuri sana
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Mungu hasifiwe amen 🙏
@happykajeli5453
@happykajeli5453 3 жыл бұрын
Leo upo na baba yangu wa kiroho nabii Richard msalimie sana tupo pamoja ktk kristu kupitia KZbin
@loveiscure2344
@loveiscure2344 3 жыл бұрын
Naomba you tube chanel yake jamani
@paulrichard5566
@paulrichard5566 3 жыл бұрын
@@loveiscure2344 PROPHET DAVID RICHARD
@ramadhangona9085
@ramadhangona9085 3 жыл бұрын
Wacha tusikize story za Mbiguni sasa maana za kuzimu sio haba
@Markswebah
@Markswebah 3 жыл бұрын
Bangi za arusha kweli noma
@juliusmushi6428
@juliusmushi6428 3 жыл бұрын
Huyu mwamba sijamsikiliza but Kama ni kweli anabahati sanaaa coz anaishi wakati ashawahi kufa
@chaseborgia
@chaseborgia 3 жыл бұрын
Hajafa anaenda huko spiritually kwani kuna ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili. Amepata neema hiyo ya kuweza kukutana na viumbe wengi wa kiroho. Mfuatilie zaidi kwenye Channel yake
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Pili jaman njooo shem uwanjan💃💃❤❤🇪🇭🇪🇭
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Kalala saiv
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@fatmamucha4419Nakwambia 🤣🤣❤❤
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@fatmamucha4419mtt kawa mvivu 🤣🤣❤❤❤
@maserafirecord8178
@maserafirecord8178 3 жыл бұрын
Uyo Jmaa Na muelewaga sana
@twalbigipson9556
@twalbigipson9556 3 жыл бұрын
Hiyo ni kweli kabisa mapigo ya moyo kwenda kas
@kijahnikwelinyalinga1740
@kijahnikwelinyalinga1740 3 жыл бұрын
Mbinguni binguni,😂😂😂au alipanda ile costa ya wouz
@thureiyahrawah5992
@thureiyahrawah5992 3 жыл бұрын
Hahhahahaaa
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@mwajumamwishehe2743
@mwajumamwishehe2743 3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@chazgunda5823
@chazgunda5823 3 жыл бұрын
Pitapita ndani kwake umo ucheki je hakuna chumba kisichofunguliwa Tuanzie apo kwanza......
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
🤣
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
😅😅😅😘😘😘
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu. Chance hiyo kubwa.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
We umenichekesha mie. Sina mbavu huku🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abelmushi1630
@abelmushi1630 3 жыл бұрын
N ngumu kuamini, unajua inawezekana kutengeneza story
@davidchesco1150
@davidchesco1150 3 жыл бұрын
Brother davista mi cjawah kukoment ila leo mara yakwanza nakoment leo umekutana na mtu wa Mungu my prophet David richard. God bless you bro!!
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
*Nabii sharobaro nakubalii sanaaa.. 😂😂* *namim nasubiria kuitwaa jaman naskia pilli blessed na somoe wameshaitwaa jaman..😓😓*
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
Leo mmechelewa
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
@@fatmamucha4419 mbinguni utaenda Lin shogaa wangu.. 😂😂😂
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Waitwa wapi jamani
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
@@Teacher_01 duh hili suala ngum kwangu
@askaounga6456
@askaounga6456 3 жыл бұрын
What's the name of mtumishi?
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Dah Davister hatimae umekutana na prophet. Mungu ni mwema. Mwambie aelezee na suala la kanumba na baada ya kanumba kufa lucifer kamzawadia mwanae mwingine nyota ya kanumba 'almasi'
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Mambo makubwa sana haya du
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@myself4128 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
@@myself4128 wewe wasema
@abushaddad989
@abushaddad989 3 жыл бұрын
Haya maisha haya ! Yan mashetani wanachezea Sana watu akili unaijua pepo wew ? Au Jahannamu wew? Tafuteni ugali kwa njia nyingine sio njia hio .
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Shatani nuksi.
@charlesb.mwaipeta8415
@charlesb.mwaipeta8415 3 жыл бұрын
Davista unamaswali mazuri, lakini mic yako inakuangusha
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Mi sijaskiz lakin na koment kwa nilivo soma kichw cha habar uko mbinguni vip alipanda daladal au alikufa akafufuka 😁😁😁😁😁😁😁😁
@mkkitchenware4930
@mkkitchenware4930 3 жыл бұрын
Davs hapa huu ni uwongo mkubwa Hakuna mtu tofaut Na mitume na manabii walio pita laki hii Hakuna kabisa ni uwongo wa wazi watu wema hawakufik iwe huyo
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 3 жыл бұрын
Story ya take nzuri nimewai kuskiza kwenye channel nyingine🇰🇪🇰🇪
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Wengine umetoa zako mimba uko anakusemea kanisan Alf upate Kuna wazazi hapo hapo😂Ila Hawa manabii 🙌
@furahahappiness110
@furahahappiness110 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 that's why mimi sipendake makanisa ya Mungu anasema 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
@@furahahappiness110 😂😂😂😂😂🙌
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Duuuhh kuonana na Mungu tena!!!!mmmhhh hivi vichwa vya habari vinashtua sasa Dav, sisi tutafuatilia tu lakin kwenye Mungu hapo ukakasi 😅😅😅
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@kelvinndokole8367
@kelvinndokole8367 3 жыл бұрын
Hio mbona kawaida mzee
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Yeye ndio amesema alionana na mungu na ameeleza mbele ya stori,Kazi yangu ni kuleta mikasa ambayo wewe unatakiwa usikilize kisha suala la kumuamini au kutokumuamini mtu yeyote anaetoa mkasa suala hili linabaki juu ya mtu mwenyewe na ndio nafanya kila siku
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM Sawa Dav tuko pamoja let's go....
@rahaisacl9954
@rahaisacl9954 3 жыл бұрын
Jamaa wa kishua sn
@estatekisombola9251
@estatekisombola9251 3 жыл бұрын
Ahache uhuni davistarmata huyu jama muongo tuna mjuwa waumini wake huwa wanamuita daddy lol 😂😂 muongo sana
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
Tapeli kbs uyu dogo namfatilia tangia mwaka Jana aiseee dogo anazingua..wafuasi wake wanamuita daddy..sasa najiuliza kwa mfano wale watu wazima walio mzidi umri jee nao watamuita daddy? Kikanisa chake kinajaza saiz anatumia mafuta. Na miujiza yke fake
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Kazi yangu ni kuleta mikasa ambayo mimi na wewe hatukuwepo wakati mtu anapitia hiyo mikasa yani hatakuwepo,wewe unatakiwa usikilize mikasa hii kisha suala la kumuamini au kutokumuamini mtu yeyote anaetoa mkasa suala hili linabaki juu ya mtu mwenyewe na ndio huwa nafanya kila siku,maana hata mtu anaeeleza mkasa wake kisha wewe ukamuamini ingawa wewe haukuwepo wakati anapitia hayo mambo.Ni kama ambavyo kuna mtu ataeleza mkasa ukamuamini na mwingine akaeleza mkasa wake ukashindwa kumuanini yote ni sawa ila kwenye kila mkasa wa mtu ninaemleta kuna kitu cha kujifunza ndani yake na hii hamaanishi umfuate kila mtu kisa ametupa mkasa wake maana wote sisi waislam,wakristo na wasio na dini tumesoma Quran na Bible vizuri hivyo tunaufahamu wa mambo ya dini zetu lakini pia tuna akili na uelewa mkubwa
@davidchesco1150
@davidchesco1150 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kumbe hata hamjui maana yakumuita mtu dady kiroho poleni
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Duh. Daddy tena
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@davidchesco1150 tuambie maana yake wenzio tujifunze
@joshuatalu9596
@joshuatalu9596 3 жыл бұрын
Volume boss
@benahgrafix
@benahgrafix 3 жыл бұрын
Brother tuletee pt2
@jesusislord9190
@jesusislord9190 3 жыл бұрын
Muulize mbona anashika sana pua?? Au anapelekea puan??
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Umulize pia mchungaji elimu ya majini na wametoka wapi na nini lengo lao duniani.maana swali hili.watu wamezoa kuona kuwa viongozi wa kiislm ndio wakujibu.
@officialmichaeltz4676
@officialmichaeltz4676 3 жыл бұрын
😍😍😍😍😍
@donathamariceli9682
@donathamariceli9682 3 жыл бұрын
Najifunza
@mamyomar9206
@mamyomar9206 3 жыл бұрын
1
@mkukistore2816
@mkukistore2816 3 жыл бұрын
Oya devi mtu gan huyu umetuletea kwa akili zakawaida mtu anasema amewah kwenda mbinguni.hawa manabii wanafanya mchezo na mungu hawa
@nickjustin2023
@nickjustin2023 3 жыл бұрын
Aaaah...sasa hku tena mmefika mbali🚫🚫
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@DavistarMataMediaDM
@DavistarMataMediaDM 3 жыл бұрын
Kazi yangu ni kuleta mikasa ambayo wewe unatakiwa usikilize kisha suala la kumuamini au kutokumuamini mtu yeyote anaetoa mkasa suala hili linabaki juu ya mtu mwenyewe na ndio nafanya kila siku
@nickjustin2023
@nickjustin2023 3 жыл бұрын
@@DavistarMataMediaDM sawa kiongoz kwa hii nimechagua kutoamini...no offense bro!
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Yani hii ni kali kwelikweli. Afadhali hata BM maziwa hakusema kama kamuona mungu. Huyu sasa kazidi. Haya atuambie huyo Mungu yukoje.
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 itakua mungu bonge wa lwanda magere 😂😂😂😂
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 3 жыл бұрын
Nimestaabu ila mikaona bora nipitoe coment za wadau kwanzs.
@officialsalmazayn9720
@officialsalmazayn9720 3 жыл бұрын
Hii story ya kutunga naomba irudiwe mana sikuwepo kipindi anakwenda mbinguni irudiwe
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Wacha nimalizie usingizi wangu Kisha Nije kuangalia baadae 😄😄😄
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Hongera wngu❤❤
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂.. upitie bhas mbinguni ukamsalimie malaika wambie nawapa hi.. snaa
@fatmamucha4419
@fatmamucha4419 3 жыл бұрын
@@Teacher_01 🤣🤣🤣🤣
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@sweetie6934 😁😁😁
@ommarnduru8253
@ommarnduru8253 3 жыл бұрын
mmh....mungu alivyo muona cjui ni mzungu au yupo vp nafurai na uyu jamaa Kwel walio potea watazid kupotea tuuu haivutii ata kuckiliza....angalau shila ye bilionea ana sema kweli ila cku inakuja tuu
@kijahnikwelinyalinga1740
@kijahnikwelinyalinga1740 3 жыл бұрын
Story ya yule mdada mban hamja toa
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 3 жыл бұрын
Nilikumiss nilienda kenya Dec saii nipo free WiFi itanikoma
@ibraah7679
@ibraah7679 3 жыл бұрын
Mbinguni peponi😬😬
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
Kama ni neema, basi huyu prophet kajaaliwa neema ya kipekee, maana sehemu alizofika ni kwa neema tuu. Hivi na mtume mudi katika safari yake ya miraji alikutana na allah kweli?
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Mtume mudy ndiyo nani?
@jamesolando2479
@jamesolando2479 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Ni aliyeoa katoto ka miaka sita, kipenzi cha waislamu
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 3 жыл бұрын
Mimi kusema ukwel nimestuka na kichwa cha habari, jamaa alienda mbinguni poponi jaman kwel?
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
Pamoja hadi mwisho 🇰🇪
@venessaroselyne566
@venessaroselyne566 3 жыл бұрын
Mtu wetu makini salute
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Tunawopendwa na mama zetu tukunje hapa na wasio pendwa na mama zao wapite kuxhoto
@susannyamwitha1354
@susannyamwitha1354 3 жыл бұрын
Big🙏🙏🙏
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
小丑揭穿坏人的阴谋 #小丑 #天使 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 14 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
Malaika Alinipeleka Kuzimu | Prophet David Richard
45:32
Prophet David Richard
Рет қаралды 35 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН