Wanawake aina hiii nawafurahia waliotii kuacha mapambo. YESU KRISTO kakuchagua Mama simama imara mpaka mwisho
@harrietkiden7808 Жыл бұрын
Be Blessed precious Daughter of Zion. Thank for serving GOD Wholehearted 🙏
@joshuajoseph1980 Жыл бұрын
Amina Mtumishi. Hii clip ya leo nahitaji kuirudia tena na tena. IMENIPIGA HII
@neemakusuhibwa347 Жыл бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe.ujumbe nzuri.
@Neemakilimba Жыл бұрын
Ni kweli watoto waweza kwenda kuzimu kwa Sababu zifuato Tena nyingi tu Mavalio tunayowavalisha , Wapo wengine wanawasuka watoto wao ,Haijalishi ni mtoto Avalishwe Nguo za kujistiri ,toeni masuruali kwa watoto wenu sijui vitaiti msiwavalishe wa mipambo ,au mtoto anakuwa na tabia mbaya wew unamwangalia tu unasema Ni mtoto Naongea ninauhakika maana Nilifunuliwa mavazi ambayo nilikuwa namvalsha kwa nilianza kumstiri Kama mtu mzima mwanangu havai masuruali Wala Nguo fupi Wala taiti nyembamba Wala Nguo Nguo za mikono innayoishia mabegani
@maryandason1815 Жыл бұрын
Blessed
@IsmailMaberi4 ай бұрын
Mtoto mdogo anaejitambua na anatambua dhambi sio kichanga kisichojua kitu alafu tunashindwa kuelewa Awa wanaoona maono ya kuzimu wengine wameona mbinguni kuna watoto kwakua hawajui kitu sasa uyu mtumishi anasema kawaona watoto tuamini nani sasa
@sospeter299 Жыл бұрын
Upo sahihi sahihi! Mpendwa nimekuelewa! Sana
@mahershalalhashbazi2189 Жыл бұрын
Ahsante sanaa, Mungu wa Israel akutunze
@Leahmaketa-sr1hm Жыл бұрын
Mmh mungu naomba nifundshe neno lako nisije nkaangamia
@سبحانالله-ف7م3ذ11 ай бұрын
Neema jamani kuzaliwa kwenye familia ya kikristo..lakini mm naomba mungu anisaidie nilee watoto wangu kwenye kumjua mungu
@IdahNambelasiwala-qs3su10 ай бұрын
Amen
@barakaelias11163 ай бұрын
Ameni nafurahiag san wew mama unaposhuhudia au kuhubir
@anitababyderickwasike7872 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana mchungaji
@godsfavour1603 Жыл бұрын
Promotv am in gulf and I would like to share my testimony also and I hope it will help others to repent and seek the face of Jesus
@PromovertvTz Жыл бұрын
Please Contact us
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Sina ubishi na hiki kinachoongelewa hapa inabidi tuwasaidie watoto wetu wasiende jehanamu
@FreeGod368 Жыл бұрын
Uo mstar umesomwa kiroho wakati uko kiroho . Yesu alisema waache watoto wadogo waje kwangu kama lugha ya kawaida sabab walikuwa wanaonekana kama hawastahil kumsumbua sumbua Yesu kumfata fataa sa nashangaaa ulivyoweka ad nachoka
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ila hapo sielewi maana hatubatizi watoto kwa vile hawajambua ni nini maana ya dhambi,iweje wasiruhusiwe Kwenda Mbinguni wakiwa Wadogo?Mungu anatuchanganya kuwatuma ujunbe huu
@thenyongesas6418 Жыл бұрын
Asante dadangu Benson from kenya
@maryandason1815 Жыл бұрын
Blessed
@IsmailMaberi4 ай бұрын
Watoto hawajui kitu kwani agano la kale Mungu aliposhusha adhabu alishusha kwa wote kwani alitaka kuonyesha anavyochukia dhambi ktk habari ya hukum ya Mungu aichunguziki kibinadam ila watoto hawajui chochote kwani agano jipya yesu aliwalehemu watoto na kuwahesabia haki tena hukumu ya Mungu ni ya haki haina udhalimu unawezaje kwenda jahanam kwa ajiri ya dhambi ya wazazi tena nyie mnae ona maono mnachanganya watu wengine wanasema wameona mbinguni wakawaona watoto hawana hatia ivi sasa tumsikilize nani
@godsfavour1603 Жыл бұрын
It's true even me I saw kids at the age of 5,6,7 in hell for being rebellious to their parents
@nabiimuimbaji Жыл бұрын
Mungu akosolew ila kwa hili sio haki...yan mzazi ndio asabishe mtt kwenda mbingun au jehanam...kila mtu atahukumiwa kwa utashi wake
@JifunzeNenoLaMungu Жыл бұрын
Je ni umri gani mtoto anaanza kuhesabiwa makosa.. Je watoto wachanga wasiojua chochote waliokufa wakati wa Nuhu na sodoma walielekea wapi?? Haiwezekani walikufa miili tu?? Hukumuni watahesabiwa nini?? Haki yao iko wapi hawakuchagua kuzaliwa sehemu hiyo, au kipindi hicho, au kwa mzazi muovu... SoMo bado linahitajika refu...
@elizabethmassawe5448 Жыл бұрын
Yaan husiposoma neno la Mungu na kulielewa unaweza kuchanganyikiwa na haya mambo Ili Jambo siyo sawah
@esterjoseph670 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@dativajoachimwai1194 Жыл бұрын
kwahiyo miaka mtoto ameshajua jema na baya. labda twaweza kusema ningumu kushinda dhambi za kushawishiwa
@elleng5227 Жыл бұрын
Uongoo bhana
@christinabawilisangya3290 Жыл бұрын
Pary 1?
@PromovertvTz Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pnakg5-hhLuel6M
@uwimbabaziesperance8478 Жыл бұрын
Watoto wadogo?sikubaliani na hiyo
@esterjoseph670 Жыл бұрын
Toa maandiko ya kutokubali
@ServantofGodNehemiahPDA Жыл бұрын
Kuna aina nyingi ya makundi ya wototo. 1. Watoto Wachanga; wakifa hupelekwa mbinguni. 2. Watoto wa umri kuanza kukua pengine hawajajua mema na mabaya zaidi...lkn watoto hao kupitia wazazi wao wameshaanza kutumikia ufalme wa Giza, km wachawi au washirikina...wanapelekwa au wanatumikishwa kwenye uchawi....maana yake hao ktk ulimwengu wa roho ni watu wazima ikiwa wanatumika kuroga au shughuli za kichawi... Hawa hawawezi kuingia ufalme wa Mungu km wakifa wakiwa Bado wanatumikishwa au kutumika ktk uchawi. 3. Watoto ambao Bado hawajafikisha umri wa miaka 18. Lakini kundi hili linajua mema na mabaya....Hawa nao km hawajaokoka na kuishi maisha matakatifu hawawezi kuingia ufalme wa Mungu Kwa Sababu wanajua mema na mabaya ila hawatendi mema na kujitenga na uovu. Hivyo, kusema watoto wanakwenda kuzimu au mbinguni ni matokeo ya makundi na tabia zao. Lkn km ni Wachanga au mimba kuharibika kabla ya kuzaliwa au kufa wakati wa kuzaliwa hao ni Moja Kwa Moja wanapelekwa mbinguni...makundi yanayobaki yatategemea na sifa nilizotaja hapo juu.
@Joyceisaka3 ай бұрын
Uliyo yaongeaa hapa nipo kusoma kitabu cha Aston mbay yote yameandikwaa hakikaa hata kama ni mimba ya miez 2 kama aliazishwa uchawi ujue jehanam
@HappyJohn-kk1pr2 ай бұрын
Yani saizi meng tunaelezwa ya kutishana Cha msingi tukae katika utakatifu bas