Pt2_"Tulitengeneza Vipodozi na Urembo kuzimu"|USHUHUDA BINTI WA BURUNDI ALIYEKUWA WAKALA WA SHETENI

  Рет қаралды 16,679

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 47
@kuschprince3216
@kuschprince3216 4 ай бұрын
" Interview / ushuhuda wa hali ya juu sana! Binti anajieleza vizuri sana na mtangazai yuko makini haulizi maswali mara kwa mara anasikiliza kwa umakini, "Hongera/ Kongoleni. "Watching from Germany!
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Hallelujah jina la BWANA lipewe sifa ,dada BWANA akubariki sana.
@alainmuhigirwa5151
@alainmuhigirwa5151 Жыл бұрын
Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Tunaishi kwa neema ya Mungu
@emanwelchalangazi1642
@emanwelchalangazi1642 Жыл бұрын
Kweli kabisa bila Yesu sisi nibure nikwa neema yake tunaishi
@queenesther8505
@queenesther8505 Жыл бұрын
Hongera kazi mzuri,ila volume iko chini kidogo. 1:53
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 Жыл бұрын
Sautii jamnii Mungu Akubariki Kwa shuhuda nzri Sana
@happyhousekeeper
@happyhousekeeper Жыл бұрын
31:04 Kwa neema ya Yesu aliona malaika wakimdaka na kumkalisha , Asante Yesu wangu. Jina la Bwana lihimidiwe. Neema ya Mungu ni kubwa sana, hatuioni lakini Mungu anatupenda, Mungu atusaidie tushike njia zake.
@linvi_chemutai
@linvi_chemutai 8 ай бұрын
Amen
@byesigwafabian9255
@byesigwafabian9255 11 ай бұрын
Jacktan ushuhuda uko vizuri sana tatizo ni sauti iko chini sana!
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Жыл бұрын
Utukufu kwa Yesu
@hamisahtuman5595
@hamisahtuman5595 Жыл бұрын
Ushuhuda nimzur Sana Ila sauti ikochini Sana ongezeni sauti
@lucasmhula230
@lucasmhula230 Жыл бұрын
Ndugu jactan Mungu akubariki kwa utumishi huu Mungu akukumbuke.
@judyokumu8439
@judyokumu8439 Жыл бұрын
Hata mimi nimebarikiwa na ushuhuda wa huyu Dada kweli,jmn Mungu ni mzuri anaokoa watu kutoka kuzimuni🤲ila Jacktan sauti iko chini sana jmn
@MarthaZabron-gg3uj
@MarthaZabron-gg3uj Жыл бұрын
Sawa
@HelenKodi
@HelenKodi Жыл бұрын
God Almighty is Powerful the name of Jesus is above other names let us all believe in him
@tantinebrijitte6818
@tantinebrijitte6818 Жыл бұрын
Mungu akulinde dada usirudi Tena uko.
@mawazomarceline899
@mawazomarceline899 Жыл бұрын
Mungu tusaidie duniani kuna machafuko mengi
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 Жыл бұрын
Mungu akusaidie usirudi tena kumtumikia shetani maana umetoa siri zake atakutafuta sana dear
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Mbarikiwe nyote
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 Жыл бұрын
Sauti imeekuwa chini ,mbarikiwa ushunda mzuri
@MaryAtieno-c2w
@MaryAtieno-c2w 9 ай бұрын
Good
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
Kuanguka kwenye ngazi ni kweli nilianguka baadae nikaota mpangaji wangu ananiambia pametegwa uchawi
@petrosamson2024
@petrosamson2024 Жыл бұрын
Mungu asante kumbe ndo maana Simba ananitokea
@issakayogoma7463
@issakayogoma7463 5 күн бұрын
naomba namba ya huyo Binti Nina maswali mengi sana mbona hajatajaza alivyo kuwa anawaona waislamu anawaona vipi hapo ndo nataka kujua je hawana nguvu za KIROHO au
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 күн бұрын
Tafadhali fatilia mpaka sehemu ya mwisho ameeleza na ametaja namba yake
@evaodero2138
@evaodero2138 Жыл бұрын
Hizi mafuta na nywele za kutoka kuzimu ni zipi..? Tusaidie dadangu ilitupate kuzijua na kuwa na fahamu ili tusizitumie please
@sarifusteven4634
@sarifusteven4634 Жыл бұрын
Kaka jackitani nakupenda
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive Жыл бұрын
Amen, nakupenda pia.Asante kwa kufatilia
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x Ай бұрын
Nyie Kama Hamna Pesa Ya Kununilia Vipodozi Kaeni Mtulizane Wacheni Wenye Pesa Zao Wanunue
@simonnsengiyumva1000
@simonnsengiyumva1000 Жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@perufamily6941
@perufamily6941 Жыл бұрын
Sauti iko chini sana
@GosmyloFriisondevil
@GosmyloFriisondevil Жыл бұрын
Saito jamani iko chini
@neemakusuhibwa347
@neemakusuhibwa347 Жыл бұрын
Kumbe Estar Masanja alisema kweli.kun a.kuzimu Saba.
@salmamrisho3330
@salmamrisho3330 Жыл бұрын
Nilikuwa nauliza naweza kupata kitabu cha ushuhuda wa Aston Adam Mbaya nimefatilia hapa lkn nilipenda kuwa na kitabu
@alainmuhigirwa5151
@alainmuhigirwa5151 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu. Ushuhuda wa Mutumishi Aston ni ushuhuda kubwa sana
@salmamrisho3330
@salmamrisho3330 Жыл бұрын
Asante. Vp kuhusu vitabu vya Prof. Iyke Nathan Uzorma vyenyewe naweza kupata wp
@godisable2098
@godisable2098 Жыл бұрын
Jacktan una pay lot of attention listening
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive Жыл бұрын
Naam
@Lu-zw9we
@Lu-zw9we Жыл бұрын
Huyo dada inaonekana kabisa bado ana majini ndani yake kwa mtu anayeona utajua yapo.ona tu vitambaa anavyovaa kila wakati.mara cheusi mara chekundu.hizo ni rangi za watu amabo wenye majini.huyo ni bado mgonjwa ila majini yamejifanya malaika.
@floramongi1410
@floramongi1410 Жыл бұрын
Hata mimi nimewaza kama wewe
@mariamidrisa1359
@mariamidrisa1359 Жыл бұрын
ni kweli nimegundua na mimi. sio kwasababu ya vitambaa, na kutokana na anavyoongea kwa shida sana. anahitaji deliverance zaidi. Mungu amsaidie.
@NicodemusGasore-xk9kd
@NicodemusGasore-xk9kd Жыл бұрын
Deliverance ya mtu wa aina hiyo siyo process ya siku moja, kumbuka mtu ameumbwa na roho, nafsi na mwil, roho inabadilishwa sekunde moja tu kwa jina la Yesu, lakin nafsi inachukua muda kuanza kuifungua na kui train upya kwa msing wa neno la Mungu, kwahyo vpo vfungo vya nafs ambavyo vinahitqj process ya muda kuvifungua kwa maomb na mafundisho, lakin kwa kitendo cha kuweza kuanza kueleza sir za adui na bado akawa salama means ukomboz umefika kwake
@reginaruta3249
@reginaruta3249 Жыл бұрын
Nauliza atufafanulie aliposema joka alikuwa anamsaidia akishambuliwa na walokole. Je huyo joka yeye azuriki au SIsi walokole tutamdhuru vipi huyo joka? Tutumie maombi gani?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Wacongo ndio wameharibu Burundi kabisa,hapakuwepo hivyo vitu naduwaa
@alainmuhigirwa5151
@alainmuhigirwa5151 Жыл бұрын
Siyo wa Congo ndugu yangu. Ni Shetani njo anafaa kazi yake
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
​@@alainmuhigirwa5151kbsa hata wao wametekwa tu na shetani
@nicksonkileru2129
@nicksonkileru2129 Жыл бұрын
Sauti iko chini Sana
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 12 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,5 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 129 МЛН
Gũcokia riri wa kĩrĩma #Kĩrĩrĩmbĩ
1:10:52
Inooro TV
Рет қаралды 21 М.