Paschal cassian Nani kama wewe? Video official

  Рет қаралды 16,997

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#0766998994 #0788871769 #call0688199370

Пікірлер: 127
@JosphatMutiso-lj1oy
@JosphatMutiso-lj1oy 10 күн бұрын
Huu wimbo umeimbwa na Eunice njeri from Kenya na huna upako Fulani,,SASA cassian nae ameifanya to be sooo spiritual moving,,,Glory be to God,,,Mungu Ni Roho na waabuduo halisi watamwabudu Mungu katika Roho na kweli hallelujah,,,,
@carolinederi5690
@carolinederi5690 9 күн бұрын
Si kma ile wimbo ya nakutegemea peke yako mweny aliimba hyo wimbo ata ausikii chochote lakin yule mkenya wa heaven and earth chanel alipoimba wow wimbo imejaa upako sana Kama hii ya mtumishi Pascal iko na upako kuliko ile ya mweny alitunga kwanza
@gabrielkea2382
@gabrielkea2382 4 күн бұрын
Hakuna kmayesu .
@gabrielkea2382
@gabrielkea2382 4 күн бұрын
Munguawabariki
@FelistaPilla
@FelistaPilla 7 күн бұрын
Nyimbo zako zinaupako unaonifanya kuzama rohoni nakumtafakari sana Nilipotoka mpaka nilipo hakuna kama MUNGU hakika nakwabudu MUNGU wangu
@SamsonMwita-m8g
@SamsonMwita-m8g 6 күн бұрын
Wimbo mzuri,mabinti wako mavazi Yao hayana utukufu wa Mungu.
@janemwita2056
@janemwita2056 10 күн бұрын
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri. Pia hongera kwa watoto wazuri, wamekuwa sana.Hakika hakuna km Mungu.
@TABBYHEAVEN-kg1qo
@TABBYHEAVEN-kg1qo 10 күн бұрын
Yesu hakuna kama Wewe🎉🎉Congratulations mtumishi, nimebarikiwa sana,Wakenya huu wimbo ufike 1M+💖💖💖
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 10 күн бұрын
No one like Jesus, He is faithful to his servant and always with them. A blessed father and beautiful 😍 daughters. A nice song 🎵 i like it... keep going higher.
@TabbytheeJournalist
@TabbytheeJournalist 10 күн бұрын
Amina Nimelia mtumishi, yaani wimbo umenitoa machozi hakika hakuna kama wewe Yesu. Wimbo una roho mtakatifu kabisa. Kenya tunakupenda💖💖
@ClaireMakotswi
@ClaireMakotswi 6 күн бұрын
Ooh hallelujah glory be to God more blessings the man of God 🙏🙏🙏
@irinenjombo3368
@irinenjombo3368 10 күн бұрын
Ameen hakika hakuna kama wewe Mungu wetu, barikiwa sana Mtumishi kwa wimbo mzuri nimebarikiwa 🙏🙏
@JeremiaMwasomola
@JeremiaMwasomola 9 күн бұрын
Nakukubari sana mtumish mungu alikuponya akiwa na maana sana asante kwa uwimbaj wako
@olivermwakyonya5683
@olivermwakyonya5683 9 күн бұрын
Wimbo mzuri ila Watoto nguo zinabana na fupi
@BarakaSindamwaka
@BarakaSindamwaka 4 күн бұрын
Upo vizur mtumish
@isaackmailuofficial
@isaackmailuofficial 10 күн бұрын
Much love for Kenya really God sent minister in the ministry,keep going
@DorcusJustine
@DorcusJustine 4 күн бұрын
Uko vizur mtumishi
@BarakaPeter-r4x
@BarakaPeter-r4x 9 күн бұрын
Family nzr mwenyez mungu awape maisha nawapenda san
@FelistaPilla
@FelistaPilla 7 күн бұрын
Amina mtumishi unanibariki sana na nyimbo zako zenye upako
@LameckJames-t1s
@LameckJames-t1s 3 күн бұрын
anaekosoa mavazi apo sema hajaelewa tyuuu wimbo
@marthawilliam-hj9il
@marthawilliam-hj9il 10 күн бұрын
Ubarkiwe mtumishi na binti yako nampenda kwakweli umemlea vzuri ana mpenda yesu
@aviosilona316
@aviosilona316 10 күн бұрын
I feel presence of God 🎉🎉Eunice Njeri here we go Pastor from Kenya 🇰🇪 🙌 👏 🙏🏼 kazi nzuri ❤
@BeritinaAfonsoantonio
@BeritinaAfonsoantonio 8 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi WA mungu umenibariki sana yumbo huu umeninuwa.
@stellatemu2458
@stellatemu2458 10 күн бұрын
Mungu akuinue zaid Mtumishi Tunakupenda
@merabKitundu
@merabKitundu 10 күн бұрын
Barikiwa mtumishi pamoja na wanao
@NapegwaBenjamin
@NapegwaBenjamin 9 күн бұрын
Ameeen Tunaobarikiwa na wimbo huu mikono jui🙏🙏🙏🙏
@GATUNGAIsaie
@GATUNGAIsaie 10 күн бұрын
Msiseme mengi kabisa ,mbona wengi wanapenda kuludisha nyimbo za watu kabisa ,ameonyesha furaha na watoto wake kabisa .Najua kipaji cha kutunza kipo kwako ,sio kosa ni furaha na watoto❤❤❤.
@CosterChiyumbe-o4y
@CosterChiyumbe-o4y 4 күн бұрын
Hakika Nani kama yeye Mungu wetu anaweza yote 🙏
@RehemaMassangya
@RehemaMassangya 9 күн бұрын
Asante mtumishi barikiwa hakika hakuna kama Mungu nyimbo zako huwa zinanibariki sana
@SARIFUSTEVEN
@SARIFUSTEVEN 6 күн бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@lusajolamsonmgala6184
@lusajolamsonmgala6184 10 күн бұрын
Hizi ndo nyimbo za Kiroho Be blessed mtumishi You did greatly job 👍
@bitecastory2137
@bitecastory2137 8 күн бұрын
Hongera Mtumishi kwa nyimbo zur
@Reginamueninzuki
@Reginamueninzuki 8 күн бұрын
Mbarikiwe mungu ni mwema kila wakati
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 9 күн бұрын
Mngu akitunukie vingi zaidi ya hao❤❤❤❤❤❤❤❤
@Terryann25
@Terryann25 9 күн бұрын
Nice song indeed No one like God 🙏🙏.
@RachelPeter-m3z
@RachelPeter-m3z 9 күн бұрын
Wimbo umenibaliki sanaa mtumishi barikiwa sana
@MuhadiaSheila
@MuhadiaSheila 10 күн бұрын
AMEN TO YOUR MESSEGES GOD BLESS YOU ON YOUR LIVE🙏🙏🙏🙏
@CynthiaNafula-i5g
@CynthiaNafula-i5g 9 күн бұрын
Ukweli hakuna kama wewe mungu wangu , mungu akuinue mtumishi wa mungu
@isaacmboi8692
@isaacmboi8692 10 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi.we love you... KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@HappinessShayo-k3o
@HappinessShayo-k3o 10 күн бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi wangu wimbo mzuri sanaaa ❤❤❤❤
@BoazRambo
@BoazRambo 10 күн бұрын
Hakika hakuna kama MUNGU MKUU aliye hai. Mungu akubariki kaka yangu Cassian.
@annangowi5517
@annangowi5517 10 күн бұрын
Hongera sana Mtumishi kipawa chako cha uimbaji kiko juu ni mahuburi tosha
@monicaelias3801
@monicaelias3801 9 күн бұрын
HALELUYA,MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA BABA ALIYE JUU MUNGU AIBARIKI KAZI YA MIKONO YAKO HONGERA SANA UMEKUZIWA NA BWANA NA UHOMGERE SANA KWA MAREZI BORA YAKIRO BWANA AZD KUKUTUNZA NA FAMILIA YAKO DAIMA NAWAPENDA WOTE.Bwana aendelee kuwatumia jinsi apendavyo AMEN.Wamependezaje basi ka mapacha vile
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 9 күн бұрын
Makomandoo wa yesuuuuuu❤❤❤❤❤❤❤
@albertwilsonalbert01
@albertwilsonalbert01 10 күн бұрын
Mungu ni wa Ajabu sana. Kuna muda nikianza Kutafakari sipati Jibu
@AysaAysa-qs7be
@AysaAysa-qs7be 10 күн бұрын
Na utapata jibu endelea kutafakari
@atuganilembonge
@atuganilembonge 9 күн бұрын
Umenibari Sanaaaa
@SalomeDanford-c9p
@SalomeDanford-c9p 2 күн бұрын
Ninabarikiwa mno na nyimbo
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 10 күн бұрын
Bwana ni mwema sana,injili na iende mbele
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x 10 күн бұрын
Nani kama wewe Mungu nakupenda 💚
@EMILYOBAGA
@EMILYOBAGA 8 күн бұрын
Amen amen amen nimebarikiwa
@mercyKasyoka-k3r
@mercyKasyoka-k3r 10 күн бұрын
Congrats to the Lord 🎉🎉🎉 akuna kama wewe mungu
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 9 күн бұрын
Mungu aturehem sana na atupe neema
@VincentMboka-gq8ye
@VincentMboka-gq8ye 10 күн бұрын
Akuna mwengine kama yeye YESU CHRISTO, Amina
@GeorgeNyambuya-t7x
@GeorgeNyambuya-t7x 7 күн бұрын
Hakika nimejikuta namtafakari MNGU kwa hisiya ya viwango maana nyimbo inakuweka kwenye ulimwengu wa Kiroho halaka... Mngu akubariki sana kaka 🙏🙏
@okothgordon1198
@okothgordon1198 7 күн бұрын
I feel the spirit of God on this song, and that is what it is ❤❤❤ ata kama ilishaa imbbwa na mwingine ooooh lord receive the glory ❤❤❤❤❤❤ lov you too man of God from Kenya.
@jonathannjomo
@jonathannjomo 5 күн бұрын
May God bless you
@pastormichaeldioniz2461
@pastormichaeldioniz2461 10 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi 👍👍👍
@leahleha7000
@leahleha7000 6 күн бұрын
God continue to bles ths family 🙏 🙏
@OmarKania
@OmarKania Күн бұрын
amen amen merci seigneur Jésus Christ amen
@ceciliahkalimi4194
@ceciliahkalimi4194 10 күн бұрын
More grace
@FurahaExpress
@FurahaExpress 10 күн бұрын
Amina Mungu akubariki
@furahag3098
@furahag3098 10 күн бұрын
Amen mtumishi 🙏🙏
@EmmanuelPagy
@EmmanuelPagy 10 күн бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana Cassian
@TshambyDidier
@TshambyDidier 10 күн бұрын
Allelujah que Dieu te bénisse ♥️♥️🎉🎉
@Jeremiatitomawala
@Jeremiatitomawala 10 күн бұрын
Hakuna kama wewe Mungu, amen❤
@DancanEsena
@DancanEsena 8 күн бұрын
Hakuna kama wewe Mungu wetu mwenye upendo
@RizikiTunza
@RizikiTunza 10 күн бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 10 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@MarcoErnesto-ut7ki
@MarcoErnesto-ut7ki 9 күн бұрын
nakukubali sana kamanda wa jehova
@Jonathankaghese
@Jonathankaghese 10 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@EstherWivine-r1f
@EstherWivine-r1f 7 күн бұрын
Amen 🎉🎉🎉
@FatumamlongoKarisa
@FatumamlongoKarisa 8 күн бұрын
Wow glory be to God
@Pendopasilika
@Pendopasilika 9 күн бұрын
Inaleta furaha ikiwa family wote kwa pamoja mnamtukuza BWANA ubarikiwe sana mteule
@eddagreyson-pc7cv
@eddagreyson-pc7cv 9 күн бұрын
No one like you JESUS
@sweetlisious
@sweetlisious 10 күн бұрын
Angevaa Martha mwaipaja hivyo vigauni vya kubana anggechambwa mpaka ajute Ila hutu tumbinti umetuvalisha nguo za kubana hakuna anayekushambulia speaker wa udaku
@annangowi5517
@annangowi5517 10 күн бұрын
Yaani hiyo ndio huduma Mungu amekuitia wewe na uzao wako
@KeleaKotulo
@KeleaKotulo 8 күн бұрын
Amina HAKUNA KAMA.yesu
@NeemaShombe
@NeemaShombe 8 күн бұрын
Glory to God ❤
@VumiMk
@VumiMk 10 күн бұрын
Wimbo huu unanikumbusha vingi
@SaraMassawe-b9p
@SaraMassawe-b9p 10 күн бұрын
Hakuna kama wewe Mungu wangu
@pascalselemani8132
@pascalselemani8132 10 күн бұрын
Amina amina akuna kama MUNGU Wetu
@SarahIngaiza
@SarahIngaiza 9 күн бұрын
Hallelujah 🙏🙌🙌
@ShedrackMwamlima
@ShedrackMwamlima 4 күн бұрын
Ubalikiwe
@Jascaevaristo
@Jascaevaristo 10 күн бұрын
Haleluya 🎉🎉🎉
@UpendoMgogo
@UpendoMgogo 6 күн бұрын
Nguo watoto zinabana na nigupi
@SalomeDanford-c9p
@SalomeDanford-c9p 2 күн бұрын
Amina
@nct9045
@nct9045 10 күн бұрын
VeroAmen🇰🇪🇰🇪👏👏
@JosphatMutiso-lj1oy
@JosphatMutiso-lj1oy 10 күн бұрын
Amen,Amen...
@elizabethtabaaro4181
@elizabethtabaaro4181 10 күн бұрын
Great!
@PeridaMtweve
@PeridaMtweve 10 күн бұрын
Ameeeeen!!!
@anastazia3014
@anastazia3014 10 күн бұрын
Ubarikiwe
@ElizaElisha-fw1ki
@ElizaElisha-fw1ki 9 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉Amin
@suzanajonas3548
@suzanajonas3548 10 күн бұрын
Big Amen
@JanethJaneth-w5i
@JanethJaneth-w5i 8 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏❤❤❤
@isakashega6056
@isakashega6056 10 күн бұрын
Nice songs
@NicholausKitambi
@NicholausKitambi 10 күн бұрын
No one like MIGHT JESUS ameeeen
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 10 күн бұрын
👏👏👏👏💪
@KevineKataka
@KevineKataka 10 күн бұрын
🇰🇪✅🙏🤣😂amina
@NAMAYANINANYARO
@NAMAYANINANYARO 7 күн бұрын
Amen and amen
@anastazia3014
@anastazia3014 10 күн бұрын
Asante mtumishi na timu yako
@ElizabethJohn-j1s
@ElizabethJohn-j1s 8 күн бұрын
Hakika hakuna kama mungu
@Oreshan-l3f
@Oreshan-l3f 10 күн бұрын
Amen
@QueenNyondo-h1m
@QueenNyondo-h1m 10 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🔥
@Nywage200
@Nywage200 10 күн бұрын
🎉🎉 Who like You God
@SharonShibalia
@SharonShibalia 10 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 37 МЛН
Dunia iko Mwishoni - Paschal Cassian (official lyrics video)
6:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 8 МЛН
Israel Mbonyi - Yanitosha
13:22
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)
9:14
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 6 МЛН
TEMBEA MPAKA MUNGU ALIPOKUSUDIA: MITHALI 4 : 12
1:28:52
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 14 М.
Israel Mbonyi - Uwe Hai
10:57
Israel Mbonyi
Рет қаралды 1,3 МЛН
Israel Mbonyi - Sikiliza
11:29
Israel Mbonyi
Рет қаралды 18 МЛН
Pascal Cassian Chuki Ya Nini Official Video
9:46
Africha Entertainment
Рет қаралды 622 М.
YAMETIMIA MWAMPOSA NA JODEVI PASCHAL RUDIA TENA KUWA KABA MASHATI. EV PASCHAL CASSIAN
19:43
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 102 М.
WA ACHIENI WATU VIDEO OFFICIALY PASCHAL CASSIAN
11:53
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 428 М.
Goodluck Gozbert - WAONYESHE (Official Video)
3:40
Gozbert Ministries
Рет қаралды 331 М.
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН