Mimi ni muslim lkn huyu ndo nimemuelewa sana hii ndo bible inavosema sasa waachaneni na manabii wakristo wanataka hela hawoooo
@henrysizya239 Жыл бұрын
Endelea kuimba nyimbo nzuri kama hizi ambazo zinaendana na nyakati tulizonazo. Japo ni nyimbo ambazo wengi hawapendi huna budi kuendelea kuziimba kwani hata maandiko yanasema katika Zaburi 47:7 "Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote. Imbeni kwa akili." Usikatishwe tamaa mtumishi japo vita ya Kiroho ni kubwa Bwana yuko atakulinda na wabaya wote.
@akidaboy Жыл бұрын
Tunae muelewa huyu naomben like zenu
@mamanbinwashadrack2257 Жыл бұрын
Anaeleweka sana huyu mwamba
@MM-Advanced Жыл бұрын
Unaonaje badala ya kukupa wewe likes, tutoe likes kwenye wimbo husika?
@simonlomayani5743 Жыл бұрын
Tunae mwinjilist Tanzania kweli kweli
@hildamhina5305 Жыл бұрын
Oyo.oooo
@aidanmpagama4030 Жыл бұрын
Tuunge group jamn wasap
@annijulius4953 Жыл бұрын
Hii si sauti ya Pascal hii ni Sauti Ya Mungu Mwenyewe kupitia kinywa cha Pascal, nasikia mpaka kutetemeka.
@bulayankondo9459 Жыл бұрын
Mwimbaji wa nyimbo za injili:Wimbo wako unaowataja Manabii wa uongo ni mzuri sana. Pasua anga bila kuogopa!!
@PapaTheKingKenya Жыл бұрын
Nipeeni likes wale tunaelewa mtumishi
@ecaemanga618 Жыл бұрын
Tupo wengi sema wengi hawasomi comments zote ila Tupo pamoja
@mwakilulelefrancis280 Жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@jeniphermyingajeniphermyin8029 Жыл бұрын
Aleluyaaaa huu niwakati wa Roho Mtakatifu,Yahana 16:7-15
@manaseliberatus1347 Жыл бұрын
Mwamposa, Joe Dav, Suguye, msibeze hiyo sauti ya Mungu waachieni watu wamwabudu Mungu wa kweli, nasikia kuwahurumia sana msipogeuka
@israelisponsor8755 Жыл бұрын
Upo sahihi kabisa
@simionbrandy101 Жыл бұрын
Mimi nakuamini sana kaka jaman mwingne anaemwamini naomba 👍like
@kingmhondela Жыл бұрын
Amen! saa imefika ya kuwaambia watu ukweli,ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Paschal Cassian.
@upendokiza6061 Жыл бұрын
Mungu ndo mtetezi wetu hao wanabii wa uongo watapigwa fimbo na Mungu wasipo tubu kwa kuwaibia watu na miujiza ya uongo. Hivi miujiza ndo itawapeleka mbinguni maana kila nafsi itaonja Mauti, ni vyema kutafari Wimbo huu wa mtumishi anaetumwa na Mugu. " mwinjilist Pascal Cassian, kweli wimbo huu utaokowa maelfu ya watu kwenye kizazi cha sasa. MUNGU AKUBARIKI, Amina!
@reachglobal9939 Жыл бұрын
Freemason waache ujinga waachie watu wamuabudu MUNGU wa Kweli katika Jina la YESU
@YESUNIBWANA84 Жыл бұрын
WOOOOOW NILIKUA NASUBILIA HIII ASANTE SANA MWINJILISTI WA MUNGU WEWE NI SHUJAA SANAA NA OMBI LANGU KWAKO NI USIACHE SONGA MBELE KABISAA MUNGU AKUTIE NGUVU NA AKUFUNIKE KWA DAMU YA MWANAE YESU KRISTO WANAZARET,BARIKIWA SANA BROTHER SONGA MBELE USIOGOPE MAANA ALIYE NDANI YAKO NI MKUU KULIKO ALIYE DUNIANI, ANEEEEEENA🙏🙏🙏🙏🙏
@janeth5378 Жыл бұрын
Mungu was mbinguni anakulinda Sana anakazi na were songa mbele
@barakamasanja6728 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU ALIE HAI
@mayamonabeatrice6823 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏🏾🙏🏾
@johnbashiri6652 Жыл бұрын
Mungu ndio mwenye kujua ukweli maana sasa hivi makanisa mengi ni kama biashara kwaajili ya kujipatia mapato
@johnbashiri6652 Жыл бұрын
Mungu tusaidie makanisa ya Sasa mengi ni biashara
@henrylukosy4908 Жыл бұрын
Waaaaaoooooooh barikiwaaa San Nimeongeaa nimemalizaaa__________. Siku zinakujaa Kila mwenye kusikiaa na sikiee aziache njia zake mbaya amrudiee BWANA Naana saa imefikaa. Hakika tupo mwishonii Barikiwaa sana MTUMISHI WA MUNGU PASCHAL CASSIANI
@veronicajohn1689 Жыл бұрын
Mungu Akutunze Akubariki sana Kwa nondo ya Ujumbe wenye Nguvu. Mungu atete na watesi wako na Damu ya Yesu ikufunike
@oscanyakunga Жыл бұрын
Roho mtakatifu atushindie kabisaa, Yesu nimwema kabisaa roho mtakatifu, nimwema
@drdd774 Жыл бұрын
Nimekosa cha kuandika, HAKUNA AMBAYE HAJASIKIA KAZI UMEIFANYA KIKAMILIFU ITOSHE KUSEMA MUNGU AKUBARIKI SANA.
@graceedward1553 Жыл бұрын
Mmoja kati ya watu waliofunguliwa kiroho kupitia nyimbo zako ni Mimi hapa nimejifunza mengi kupitia nyimbo zako Mungu akutunze
@hezronlungwa7656 Жыл бұрын
Ht mm nabarikiwa sana🎉
@mestonisimzosha203 Жыл бұрын
Sasa HAPA( KIAPO CHA DAMU) patakuwa hapatoshiii..Kiukweli Inabidi Tukuombeesaana MUNGU Alie kufanya kuwa rungu lake na upanga wake basi Akulinde kwa nguzo ya 🔥 Moto.
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
Paschal nakuelewa sana,umejitoa kwa ajili ya Bwana
@emmanuelchengula6307 Жыл бұрын
Mungu amekuagiza uiambie Dunia ukweli, sema mtumishi wa Mungu, songa mbele, usisubiri Mungu alete mawe yaseme, timiza agizo alilokuagiza Mungu, tupo nyuma yako tunakuombea unamhubiri Mungu aliye hai, hakuna kupepesa macho wala kuchagua maneno, hiyo ndiyo tabia ya Mungu wa mbinguni, Nampenda Mungu, nakupenda kaka
@jackyjacky2930 Жыл бұрын
Ata kama nmechelewa, Mungu akulinde na akupe ulinzi Wa kutosha
@ecaemanga618 Жыл бұрын
Hapa Nime kubali Injili ya Kweli kwa kweli watu wame potoshwa sana Miujiza Isio na Chembe za utakatifu Unarikiwe sana Mtumishi.
@lizjoro8902 Жыл бұрын
Mungu Ahimidiwe maana anapaswa kushuhudiwa, walio na mwana walie na Ushuhuda.
@ElipendoElias-no6ki Жыл бұрын
Mimi ck hizi,huyu ndio mchungaj wangu,kwanza ck nicpoona ujumbe wake hapa moyo wangu husononeka sana,Namuombea Mungu amlinde na vita anazopitia,hakika Mungu Yu pamoja nae
@farajamsigwa4002 Жыл бұрын
Barikiwa sanaaaa kaka pascal kwa huduma njema mungu akutunze uendelee kuinena kweliii yake yesuuuu kristo
@isaackkimpanga3883 Жыл бұрын
Kwa hii industry nimejifunza hapa kwamba kuna wale wanao burudisha na kuna wale wanao hubiri huyu ndo Nyimbo kama hizi ndo zinatakiwa zihitwe gospel songs
@mbegagrayson123 Жыл бұрын
Baba mtumishi mungu akuimarishe katika huduma sema yooooooote katka kweli.
@SudaNyalupagi9 ай бұрын
Ukwel utabaki ukwel tu,ubarikiwe mtumishi
@Heri-k3v11 ай бұрын
Bahati nzuri anawasihi watu kurudi katka NENO la MUNGU kama mnaona anachokosoa hayupo sawa basi someni neno la MUNGU basi kama na lenyewe basi
@wivinemuderwa187411 ай бұрын
Yesu aku tie nguvu mutumishi kwa ukweli ita baki kweli .hukumu ina kuja juyawo bwana akuviki nguvu
@geofleyfreenwelluka Жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa mungu akupe uwezo wa kusema vingine sema kila kona Mungu yu pamoja nawewe usiogope mutu mungu akubaliki sana amen amen
@pelecymsemwa8107 Жыл бұрын
Mungu turehemu tumeacha kweli yako
@alicejumaa89 Жыл бұрын
Ukweli unaouma... mtumishi tufungue macho
@eliachalamila2259 Жыл бұрын
Uko sahihi mtumishi, hawa Geordavie, Mwamposa, kuhani Musa na wengine wengi tu ( megachurches) ni matapeli sana.
@themicbandforeveryone19997 Жыл бұрын
Uyu bwana ndie alikua Aki kuandikia baati bukuku 100%
@eliamanirakiza512711 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi.Ni kweli kabisa jina la Yesu limejitoshereza.Ongea ukweli mtumishi.Biblia inasema itanifaa nini nipate yote ya dunia nikose mbingu!Twenzetu mbinguni
@kivurugaathuman2694 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa ujumbe Mzuri.
@faustinbimpa Жыл бұрын
Mungu endeleye ku kupatia mafikara ya kwendesha ujumbe yako mbele
@godwinchristian5252 Жыл бұрын
Ujumbe umeshafika injili ya kitapeli ndio inafanya watu washindwe kumjua Mungu wa kweli na utendaji wake wa kazi, imagine eti mafuta ya upako, chupi, boxer, ndala, nowadays mpaka kondomu za upako zipo imagine. Huu ni utumwa kama wa mkononi tu hakuna tena ukweli kweli imebakia kwa wale wanaomjua Yesu wa kweli. Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kazi safiiiiiiiii💥
@omanss268 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mutumishi songambele Mungu akuzingile Kwa wigo wake
@justerkamala3933 Жыл бұрын
Sema mtumishi wa Mungu hali nitata ,Mungu akutangulie ktk vita ya kutangaza injili ya kweli
@gracekayandakayanda3428 Жыл бұрын
We baba sijuiw niseme nini kwamahan nyimbo zako aisee 🙏🤲🤲🤲 zinanifanya nijuiw kweli Mungu yupo nilio pítia Sitaweza sahau Eeeh Mungu wangu 🙆 nikubuke Sasa namimi😭😭😭😭😍
@veronicawilson4263 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi songa mbele MUNGU akutie nguvu 💪
@nehemiahdieumerci5626 Жыл бұрын
Congratulations my brother. Mungu ni ukweli, ni lazima tuteteye UKWELI wa kila kitu mpaka mwisho. Mungu akubariki.
@dadmam8334 Жыл бұрын
Akufiche zaidi mtumishi wa Mungu, asante kwa mahubiri ya ukweli kabsa..
@sarasiame8904 Жыл бұрын
Katikati ya kizazi chenye kuinuka kwa mitume na manabii wa shetani,Mungu nae anainua watu wake,Kama unatamani injili ya kweli kuhubiriwa Basi usiache kumuombea hyu mtumishi wa Mungu😩🙏🙇🙌🙌🙌🙌
@ekiliangoliga6449 ай бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@EvalineKelvin-wg7up Жыл бұрын
Nakupenda sana kaka nyimbo zako zinamafundisho mazuri sana God bless you 🙏
@lydiamsafiri9613 Жыл бұрын
Amina sana Mtumishi,Mungu wa kweli aabudiwe
@Davidfaith845 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mwijilisti kweli wimbo wako huna ujumbe mkuu sana mungu akubariki sana ❤❤
@harrietkiden7808 Жыл бұрын
Hongera sana Mtumishi wa Mungu 👏🏼👏🏼👏🏼👍🏼
@komandowainjiliyayesu Жыл бұрын
MATHAYO 24:5 👉 kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu,wakisema, Mimi ni kristo ;nao watadanganya wengi.Mathayo 24:11👉Na manabii wengi wa uongo watatokea , na kudanganya wengi.Mathayo 24:24✍️Kwamaana watatokea makristo wa uongo ,na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu wapate kuwapoteza ,kama yamkini hatawalio wateule. 24👉Tanzania, nimekwisha kuwaonya mbele.
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🦾🦾🦾🦾
@simonlomayani5743 Жыл бұрын
Anae jiita kristo ako kenya
@johnmhagama855 Жыл бұрын
Amin ndio ukwli
@dianacharles5105 Жыл бұрын
Ameen
@meckmussa1840 Жыл бұрын
Amina
@atupakisyesengo7432 Жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa mtumishi MUNGU akulinde Akupe maisha marefu Uishi mpaka kusudi lake litimie
@pamamwoyaofficiel9770 Жыл бұрын
Iyi wimbo ni mahubiri , vraiment c'est une évangile que le Bon DIEU te bénisse 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@benjathekingofficialshows Жыл бұрын
En tout cas, may God lead him 🇺🇸🇨🇩🇹🇿
@NyarikiDamah9 ай бұрын
Mungu Uko wapi shuka mwenyewe utuokoe😢😭😭😢🙏🙏🙏
@mamanbinwashadrack2257 Жыл бұрын
The waiting is over, GOD bless man of GOD
@patricknyamkora1419 Жыл бұрын
Mungu akuwekee ulinzi zaid
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
BWANA MUNGU na ukutumie zaidi,,yaani sichoki kuskiza hii wimbo,,na machozi yakinidondoka,,,hakika BWANA YESU na akutumie zaidiiii,uwambie watu ukweli na kweli iwaweke huru,🙏🙏🙏
@elikanalebwanga2001 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi pigania sana wito wa mungu unaokowa wengi sana lakn usiogope vikwazo siyo wote wanakupenda
@bahatmasawe19598 ай бұрын
Kusema kweli kama hivi inagharama anahitaji kumwombea sana huyu Mungu azidi kumtunza
@ngendakuriyotriphose8109 Жыл бұрын
Mungu akulinde mtumishi. Endelea kupasuwa jipu.
@samwelnyakamoro8388 Жыл бұрын
Mungu akulinde sana mtumishi kazi yako njema sana
@barakaabery Жыл бұрын
Mungu akulinde kakangu maaana watu wamepotea .....naungana nawewe Kaka kusema kwer ya mungu,,,,,,kwamaaan itanifaanini kuyathani maisha yangu na kumbe maelfu wanapotea najitahidi kutumikia mungu japo ni Vita kubwa najua mungu atatulipa hata pasipo mwili huuuuuu,,,,,,,,, ubarikiwe
@emelysilingi201 Жыл бұрын
Napenda sana hiyo msg
@mpambanajilive2274 Жыл бұрын
Ubarikiwe kaka yangu
@barakaelias1116 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi mwinjirist MUNGU Akulinde na familiar yako huzun kubwa 😭😭😭😭😭
@loymolly8401 Жыл бұрын
Whueh! All I can say is Amina!!
@isayasangija8587 Жыл бұрын
Mungu azidi kuku tunza mtumishi kwahiyo hari hakuna atakae kupenda ira Mungu tu ndie mtetezi wa haki 🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥
@SaimonDavid-li5yq9 ай бұрын
MUNGU akuongee ulinz siku zote uwong hauta Kaa mbele ya ukwel hata siku moja
@gracekayandakayanda3428 Жыл бұрын
Cjuiw kwanini Mozambique amufik Ijili ya sehem moja kwanini mchungaji tangaza Injili mataifa na mataifa Karibu Mozambque Uku bado watu awajuw Injili Ya Mungu🙏🙏🙏🙏
@MeshakiShija-mz5mw8 ай бұрын
Jamaa ameokoka salut kwake amewachana manabii wa uongo
@PaulPower-w2n9 ай бұрын
Saaaaa imefika ya kumuabudu Mungu ktk roho na kwel
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu,na akulinde na maadui wako wote, 🙏🏾🙏🏾
@grantonmwandawa4559 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana Mungu azidi kukupa ufunuo zaidi.....Akulinde na Wabaya wako...Amen
@ElibarikiNMusa Жыл бұрын
kweli huyu mtumishi nampenda mno natama nifanye huduma nayy hata wimbo mmoja tu
@MaselaOmari-z6n10 ай бұрын
Asate sana baba ubarikiwe sisi wa Moja tumepoteya
@sikitunathing9429 Жыл бұрын
Watu awasikiaki atauwaambie je papa, watu walishaka kuwa vipofu awaonaki tena wala kutafakari juu ya vitu ambavio viko naonekana wazi, Mungu awasaidie kabisa
@اماحمد-ض4ه Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi Bwana awenawe
@kacheniernest2644 Жыл бұрын
Mwamba huyu hapa nakupenda Bure ndio maana hukufa ili tuzidi kupata gospel ambayo haijachakachulika ambayo haijagoshiwa siyo ya kubana pua kama tunatafta vipaji bari ni yakuskiliza na kupokea uponyo wa myoyo casian ilove u kutoka kwenye kilindi Cha moyo wangu
@GraceDeograthius6 ай бұрын
Nakuelewa mno watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
@wallesmdoe9164 Жыл бұрын
Paschal kiboko Yao manabii wanatetemeka sasa hebu weka like apo 👇👇👇
@barakadieudonne Жыл бұрын
Amen Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 😭
@Esther-Bri Жыл бұрын
Woow! Finally he has done it again, MUNGU ni Mwema Tunashukuru, Mwinjilist usipanduke simama imara kwa ukweli kutoka kwa MUNGU wetu aliye Hai, Barikiwa Sana
@jeanefelix70 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana. Watu wanao ipinga kweli Mungu anawaletea nguvu ya upotevu ili waukumiwe wote siku ya mwisho.
@ProsperMbabazi9 ай бұрын
Ni kweri baba
@pelusiemanueli6926 Жыл бұрын
Mwamba uyu hapa nampenda San ubalikiwe San mtumishi
@modestuslyindi33517 ай бұрын
Wasema kweli huchukiwa ukiona Hivyo jua ujumbe wako ni WA kweli
@officialmubytz1076 Жыл бұрын
Ujumbe safiiii umenyookaaaa Ila hii ya kuigiza kwenye msalaba sijaielewa kwa kweli
@annabigael6942 Жыл бұрын
Mimi pia hapo kwa msalaba sielewe jameni?
@elizabethnamwinga3210 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu songs mbele bwana akutie nguvu
@esthelamonica7022 Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi wa Mungu nyumbo zako zinatuubiri
@ombenimaiko7882 Жыл бұрын
Mkono wa BWANA YESU uwe pamoja nawe mtumishi. Mjumbe uliyejitoa kueneza INJILI ya kweli.
@songelaelcharles578 Жыл бұрын
Ukiijua kweli nayo kweli itakuweka huru, hakuna aliyemkuu kuliko Mungu mwenyewe
@angelmsasani8384 Жыл бұрын
AMEN kazi nzuri sana mtumishi mungu azidi kukuinua juu na juu zaidi💞💞💞🙏🙏
@eugeneurassa5301 Жыл бұрын
Mimi sipo,wanaitwa watumishi wa Mungu ,acha Mungu atete nao,shauri yako!!!!!,
@gracekayandakayanda3428 Жыл бұрын
Ámen na kwelewa baba Acha Mungu aitwe Mungu,Eeeeh Mungu simama kwenye Ndoa yangu Família yangu byashara,Yangu,,Nisadie nijifungue salama🙏🙏🙏🙏🙏👇🏿
@okayamersita7395 Жыл бұрын
barikiwa utukufu kwake MUNGU👑🙏🙏🙏🙏
@isaya.m.mwakapesa9808 Жыл бұрын
Kaka kassian hakika MUNGU ni mkuu kuliko vyote dunian akika MUNGU akutumie apendavyo
@dismaskamanzi2365 Жыл бұрын
Lesson is here..Waache kukaza ubongo 🔥🔥🔥🙏🙏
@mlojimbata4841 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu nakupenda Sana tupo pamoja
@PaulKessy-wj4xe8 ай бұрын
Kiukweli kasiani ww ni mjumbe mzuri wa yesu kristo
@gracekayandakayanda3428 Жыл бұрын
Naishi Msumbiji alkini nyimbo zako kila siku naweka Yut b naweka niskie ili nijiskie niko Amani🙏🙏🙏barikiwa san papa mchungaji🙏🙏
@CarlomushidKavul-yc5qs Жыл бұрын
Yesu asifiwe mimi APA Kolwezi 🇨🇩
@mutegekindahura7647 Жыл бұрын
Ni waimbaji wa Tchatche dio wana imba ku onesha watu kama kweli Siku zina kwisha tuna ishi Siku za mwisho kweli ume tumwa na Mungu na amini 🙏 🇨🇩
@benjathekingofficialshows Жыл бұрын
Yesu akuongoze usikatishwe njiani maana utawindwa kwa kusema ukweli 🇺🇸🇨🇩🇹🇿🔥👨🚒🚒🎶
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Benja wanaweza kumuua maana anawaumbua mhuuuuu ni kazi kubwa sana