PASCHAL CASSIAN NITIE NGUVU ALBUM NIKULIPE NINI #paschalcassian #nitienguvu #nikulipeninialbum
Пікірлер: 215
@bitarawanjara47563 жыл бұрын
Kwa uwezo wa Mungu tutafika ng'ambo salama. Mungu endelea kututia nguvu tumalize safari bila kukutenda dhambi! Ubarikiwe kwa wimbo mzuri 🙏🙏
@hillarymasinde2 ай бұрын
All the way from tik tok, GEN Z, we are very keen strong to save our country-Newson we love ❤ you our Kenyan son keep going #rejectfinancebill
@jackiemalezi363 жыл бұрын
🙏🙏🙏💯💯💯💟💟💟❣️❣️❣️wimbo wangu wa maombi kila niwapo chini. Ndugu unaeza usijue lkn unabariki, kuguza na kuinua sana imani yangu imeimarika na kuokolewa na mengi kupitia shuhuda na nyimbo zako. 💕💕💕🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@roselyneezekiel5 ай бұрын
Be blessed mtumishi tunakupenda sana from Kenya.
@sylvestermhojaaron96593 жыл бұрын
Mtumishi endeleza moto huo huo, napenda sana kazi zako, hakika unanibari sana, BWANA YESU akupe mafunuo zaidi ya hayo, maana unamanisha kwa nyimbo zako,
@estherbwire7573 жыл бұрын
Am much blessed sir
@daindain79 Жыл бұрын
Ulibarikiwa sauti ya kusema makuu ya MUNGU ❤ like hapa kama unamkubali mtumishi wa Mungu
@barakamwangama9109 Жыл бұрын
Mimi Ninachojiuliza kilasiku kutoka kwako pascal ni hiki mbona nyimbo zako nzuri sana mfano nitie nguvu mungu na niokoe lakini mbona watazamaji wachache ? Moja najiuliza Pini uliyopigwa ipo wapi? Moja au fungu la kumi la mazao Yako hutoi pili au maombi ? Au jaribu ? Na Hili kwako? Mpaka Sasa mungu hajanipa majibu labda kunasiku mungu atanipa majibu na natamani sana kuongea na pascal
@MarthaKinya-l6i25 күн бұрын
Baba ni Asante,katika njina la YESU kristu
@ImeldaMyingaАй бұрын
Asantee kwa wimbo huu ubarikiwe sana tunabarikiwa na huduma yako mtumishi
@FarajaDeogratias20193 жыл бұрын
My favorite song. Natamani nilie😪🙏🏼
@paschalcassianoriginal94113 жыл бұрын
♥️♥️♥️☝️
@ProphetEdwinminster Жыл бұрын
Yahwe akutunze bwana mtumishi wa mungu endelea nakuombea mungu akupe nguvu na ujasiri #Evangelist pascal Cassian Tanzania 🙏
@ProphetEdwinminster Жыл бұрын
@@paschalcassianoriginal9411 ❤❤❤
@faithmachuma Жыл бұрын
Amen ndiye nguvu yesu kwa ajili ya mapito ya magojwa kwa watoto wangu
@wisesanga90853 жыл бұрын
Daima ujumbe huu utadumu milele,Nabarikiwa sana kwa nyimbo zako mtumishi.
@cosmaebeat38962 жыл бұрын
Daima ubalikiwe kwa nyimbo takatifu
@user-wm7gp5sn8g Жыл бұрын
Naupenda huu mwimbo...mungu akubariki sanaaaaaa
@hysometyga9883 жыл бұрын
Barikiwa sna paschal barikiwa
@bakariismail83 жыл бұрын
Good work bro.. God bless your work.
@user-bs8xj6wq3u Жыл бұрын
Ata mimi pia inasaidia kabisa
@cardidoris8422 Жыл бұрын
Nina kuombea kwa mungu kwakazi lake unayo mutumikia
@GoodoneGd2-sp3zq11 ай бұрын
kaka nyimbo zako zinanibaliki sana
@mdabemdabe17033 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana Yesu naye akutie nguvu za kwelii
@user-tt2oq2kz6e11 ай бұрын
Mungu azidi kukupa maisha marefu
@dannymgala34672 жыл бұрын
Kazi yako njema sana..
@FarajaDeogratias20193 жыл бұрын
Ng'ambo nifike bila kukutenda dhambi, oh Lord thank you for such wisdom 🙏🏼😊
@inamahoroyvette30575 ай бұрын
Thank you brother Paschal.You are on the Lord's side
@lucynzisa51933 жыл бұрын
A blessing song Pascal. Mey God guide you always
@gracechileshe20762 жыл бұрын
Hey I enjoy his music but am Zambian and I can only understand a few words.. What does this song talk about??
@user-nu9ww9ly6q9 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu
@mmfashon95502 жыл бұрын
Jehovah nipiganie peke yangu siwezi
@dannymgala34672 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi
@godsonmanasse90273 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi waMungu nabarikiwa Sana nanyimbo zako hakika Mungu anawatu wake aliojisajia hata shetani ameshindwa kwaJina laYesu Kristo Mwana waMungu Alie hai kusudi laMungu ndilo litakalosimama
@adamjulius97823 ай бұрын
Ngoja nikujibu,. Nyakati za mwisho ukweli utapuzwa na kwa sababu hiyo Mungu ataachilia roho upotevu ili watu wauamini uongo. Soma 2wathesolanike2:10-12
@MlongechaBaraka-ow7kw7 ай бұрын
🙏🙏🙏 Amina Bwana Yesu asifiwe sana 🙏👭 Mungu 🤝ni❤️🤝 mwema siku zote za maisha yetu 👬🙏 na Mungu apewe sifa milele yote ahsante sana amen.🙏🙏🙏
@nzanzutito77973 жыл бұрын
We noma saana joo cong
@ednasanga213 жыл бұрын
Ncee song hakika MUNGU azikukuongezea cku za kuishi
@ShimirimanaJolie-uo3wl7 ай бұрын
Mungu Anakuja.kuku.teteya..nakutambulisha.watu...wanawo.kupinga.wote..Amen🙏🙏🙏🙏🙏
@user-kl6zb6so3i6 ай бұрын
Ameen barikiwa sana
@marymuli-cu6dq Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu,,,,huu wimbo una faraja sana hata nikiwa kwa shida nauweka tu,,, Mungu atutie nguvu,,,,,🙏🙏🙏🙏🙏
@emmanuelsimba6651 Жыл бұрын
Tanzanian Gospel artist are on another level ❤️❤️❤️
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Ng,ambo nifke bila kukutenda dhambi😿😿😿😿😿😿naskia kulia mm
@mazagazagaonlinetv97759 ай бұрын
Jamaa unajuwa mtumshi
@kiswagobhkiswagobh Жыл бұрын
Barikiwa ndugu yangu
@DanielDePeterson3 жыл бұрын
Mutumishi basi mimi ninabarikiwasana nahuduma yako, lakini naombi kama unaeza kuni pati shauri,kwani nami naimba ila naitaji mutu wakunishika mkono mungu atakubariki kama una ni jibu tuasiliane basi
@doricemrema21772 жыл бұрын
NITIE NGUVU Mungu🙏🙏🤦😭😭😭🤦 nishinde MAJARIBU nisiwe mtu WA kukata tamaa
@Paspas2542 жыл бұрын
Kenya Watching over and over Mtumishi i love your music
@winnieamanya15503 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi ..Niko Qatar naambia mungu anitie nguvu...namtegemea mungu katika safari hii nifike mwisho salama...tujuane kama unabarikiwa na huu wimbonna ukiwa Gulf....
@samwelkidakule22952 жыл бұрын
Nakubar Sana Mungu kweli yupo jamani anataman tumgeukie yeye katika maisha ubarikiwe sana Pascal🤲🤲
@winnieamanya15503 жыл бұрын
Thank you man of God ..I'm blessed with your Gospel..
@pendoshabani7588 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@lukeloobadia81162 жыл бұрын
Nakuelewa sana bro!
@isayawamea6701 Жыл бұрын
Nyimbo Zako zinanifanya nijitie nguvu katika maisha Mungu abariki kazi yako mchungaji
@HappinessSooi-gh1ir Жыл бұрын
Ee Mungu tutie nguvu ,tumalize safari salama,Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu
@belsoi97993 жыл бұрын
Amen ! Mungu ututie nguvu tumalize safari salama, ubarikiwe Sana ndugu naipenda nyimbo zako Sana zina ujumbe
@mauricesimiyu5992 Жыл бұрын
Pure God calling,Soul touching and encouraging massage
@christopherpetro-qi6hw Жыл бұрын
Mungu akubariik sana
@richardsikazwe91973 жыл бұрын
Barikiwa sana
@ngabimoses85933 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@stephanomshani49822 жыл бұрын
Aminaaaa nisaidie Jehova
@husseinmachinja43613 жыл бұрын
Ubarkiwe mtumishi
@veronikampate98483 жыл бұрын
Kwakweli mtumishi wamungu uwanikisikia nyimbo zako zinanifariji sana pia mtumikie mungu kwauwaminifu asante mungu akubariki sana
@JosephMwambeje2 жыл бұрын
Amina tumekumic kakubilo geita
@derrickmbithi55417 ай бұрын
Great🔥
@lilianndibalema9708 Жыл бұрын
Jamani mtumishi mungu mwenyezi akulinde akupe ujasil zaidi nakupenda Sana paschal
@aliceoside29563 жыл бұрын
Ameni mungu yuko na wewe Sanaa nmekuwa nkikufatilia Sanaa kutoka ulivyo Pata ajali nmekuombea sanaaa mungu atakutia nguvu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@barakaanthony3613 Жыл бұрын
Thanks Man Of God Be blessed ujumbe mzur sana unaoishi🙏
@abrahamchisaina3633 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako...kuna nyimbo nyingine hukukamilisha ni fupi kama vile 'makanisa ya kuzimu na Siku zinakuja tutachomwa na moto' video zake ni fupi na ni nyimbo tamu sana .
@jumamosijoseph48113 жыл бұрын
Kaka pole Sana kwa mnajaribu uliyopitia ,na mungu akujalie mema na akupe nguvu yakumsifu
@asthermbayi66582 жыл бұрын
Kwaimani ya mngu utamaliza safari
@nuruanaelisha19273 жыл бұрын
Mungu akutunze kaka paschal ,bhado unasafari ndefu lakini MUNGU hatakuacha utembee mwenyewe atakushika mkono wako hadi mwisho wa dahari,kupitia kazi ya nasi twazidi kuinuka kiimani
@angelkassimu59493 жыл бұрын
Usiope mtumishi aliye kushindia katika yote atakushindia na hayo soma Isaya 41:10 nakuendelea wewe in mshindi
@PASTORMPONDA Жыл бұрын
Mungu akubariki
@abdulazizali77013 жыл бұрын
Utukufu umrudie Mungu. kweli njia za kutoka mautin zina yeye Bwana
@bigmandubesamuelndetsa2682 жыл бұрын
Asante kwa wimbo ,tumepewa tayari Nguvu . Mungu ainuwe uduma yako
@alicejumaa89 Жыл бұрын
Barikiwa
@winnieamanya15503 жыл бұрын
Mungu simama,, peke yangu siwezi.... Hallelujah 🙏🙏🙏
@gibsonlaureangmail.5 ай бұрын
Mungu akubariki sana kka pascal
@rsfdzxzx22742 жыл бұрын
mugu agkumpe mahisha marefu
@pamelanzitunga20523 жыл бұрын
Nitiye nguvu baba nifike salama, safari iko ndefu sana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😭😍
@julianangeki14673 жыл бұрын
Wimbo mzur unatia amani
@ectorykimara38012 жыл бұрын
Hujawahi kuniangusha kwenye nyimbo zako nimefarijika sana
@jeniphermsambazi79642 жыл бұрын
Amen.kweli.atutienguvu
@pamelaamunga14942 жыл бұрын
this song gave me power when i had lost my only son. God bless you the servant of the most high. very much blessed by your songs
@mayamonabeatrice6823 Жыл бұрын
My favorite song. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏🏾🙏🏾
@morganwabomba97782 жыл бұрын
great 👏
@fatumanaliaka22103 жыл бұрын
Ameeeeen and Ameeeeen be blessed too much may God be with you always in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@magreciousthomas35279 ай бұрын
The voice🎉🎉
@furahaalenga95463 жыл бұрын
Mungu akuepushe na mabaya
@costeajoakim46053 жыл бұрын
MUNGU akubariki kaka nakubar na napenda unacho fanya MUNGU akutie nguvu!!
@Smoker_bunyeho5 ай бұрын
ubarikiwe mchungaji
@KhadijaKhadija-uc2uw3 жыл бұрын
Nimefurahi sana kukuona umepona mungu azidi kukupigania na maaduwi
@kemibiika54613 жыл бұрын
Mung akubarki sana nabarkiwa sana nyimbo zako zinaujumbe wakumjeng Mt napend sn
@kentlubinda7292 жыл бұрын
Ubarikiwe
@fridafrida21422 жыл бұрын
Iiubarikiwe sana
@frolakaringa90362 жыл бұрын
Naipenda hii nyimbo Mungu ainuwe huduma yako
@ameniameni6173 жыл бұрын
Mungu azidi kukutetee nyimbo zako nyingi zinabariki nakuinua mioyo iliyokata tamaa
@calvintheone2993 жыл бұрын
Daaah naipenda sana hiii nyimbo
@annemakaka2103 жыл бұрын
Ooooooh yes! Nitie nguvu Mungu wangu nisikutende dhambi
@johnmtumishi85542 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu aliye hai
@ruthkhalayi50973 жыл бұрын
Aki mungu wewe ni mungu wa ajabu, Asante mungu kwa kumponya pascal thank you Jesus Christ you are God of healing keep going Cassian utafika mbali sana, thank so much God bless you pascal
@deboramleya58913 жыл бұрын
Mungu wangu akukumbuke,songa mbele kaka tunakuombea
@aggreyyilima19173 жыл бұрын
Barikiwa kaka
@enitamwashambwa20822 жыл бұрын
Thanks ev pascal this song gave me power when I heard at that time when lost my m@my God bless you much more.
@jamesdonard20813 жыл бұрын
Kaka MUNGU awe pamoja na wewe katika utumishi wako