Professor Jay alivyoingia na Style ya Kurap Bungeni

  Рет қаралды 30,621

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Hapa nakukutanisha na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu Professor Jay baada ya kupewa nafasi ya kuchangia mapendekezo yake katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ambapo akaamua kuingiza style za kurap baada ya kupewa dakika chache za kuchangiua.

Пікірлер: 30
@alfredycheyo8847
@alfredycheyo8847 6 жыл бұрын
Mikumi stand up,,Pagamisa Like za kutosha tafadhali Kama unamkubali huyu Prof.Jay..!!
@gadiergidiongadiergidion5996
@gadiergidiongadiergidion5996 6 жыл бұрын
Nakukubali .prf
@yunushenry3472
@yunushenry3472 3 ай бұрын
Ndio mzee... Salute sana Mzee wa Mitulinga
@darusidota1925
@darusidota1925 6 жыл бұрын
kweli we mwana hiphop
@langamtolya9312
@langamtolya9312 5 жыл бұрын
Mwana Fasihi wangu bora kabisa.
@sajiduathuman1560
@sajiduathuman1560 6 жыл бұрын
Nakubali
@fadhilrashid2711
@fadhilrashid2711 6 жыл бұрын
prf upo vzr xana
@tanzirujumaa1780
@tanzirujumaa1780 6 жыл бұрын
sawa mzee watakuelewa2
@onesmojeremia9713
@onesmojeremia9713 6 жыл бұрын
Ahsante sana ,kwa mtu ambae anatafut majibu ya wananchi ,cyo kubeza beza akili yako ni kubwa.
@lissahmajanja7639
@lissahmajanja7639 6 жыл бұрын
duh le professere
@nassororamadhan2515
@nassororamadhan2515 6 жыл бұрын
Hatareee nakukubali sana prof
@aliphoncemalaba5223
@aliphoncemalaba5223 6 жыл бұрын
Hatariiiiiiii
@danfordmidale5376
@danfordmidale5376 6 жыл бұрын
aminia
@user-xw5re3bh5x
@user-xw5re3bh5x 6 жыл бұрын
saaafiiii
@elisantemungure7506
@elisantemungure7506 6 жыл бұрын
BIG UP J WAMITULINGA
@papawaroma
@papawaroma 4 жыл бұрын
Compare this MP and MP Jaguar wa kenya, the common denominator is that all are musicians but this one is on higher level politically speaking.
@simoninzumi2888
@simoninzumi2888 6 жыл бұрын
Dkk 4 maneno milioni 4😀
@tayanaernest1431
@tayanaernest1431 6 жыл бұрын
Nouma sana Jay
@bjzee1981
@bjzee1981 6 жыл бұрын
Dakika 5 zake wame mwonea katumia 4:10
@siddyoneonlinesi5433
@siddyoneonlinesi5433 6 жыл бұрын
hatare
@mussamangalo7926
@mussamangalo7926 6 жыл бұрын
Kweli akili kubwa haitumiii nguvu kuwaelewesha wana tr 1.5
@bjzee1981
@bjzee1981 6 жыл бұрын
Hawa ndi ma star walio soma. Acha kina ali kiba na chibu
@ngwandugashi6839
@ngwandugashi6839 6 жыл бұрын
Tarifa zinazo jiri sasa
@kisharimoshi930
@kisharimoshi930 6 жыл бұрын
Nimekusahau mzee was Vick unazeeka punguza digo
@elijahmutati8061
@elijahmutati8061 Жыл бұрын
Hakika huyu ni shujaa
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 5 жыл бұрын
Kwaujumla mmjeinamkubali nabongelambunge ilachaamachakehamnakitu
@abdallahkalala7053
@abdallahkalala7053 6 жыл бұрын
umeongea ki hip hop yani fasta fasta na umeeleweka mzee wa pagamisa
@oceientertainment8282
@oceientertainment8282 6 жыл бұрын
Hello reply to me
@danielmwaigaga1586
@danielmwaigaga1586 6 жыл бұрын
poa sana mkuu
@abasimageta386
@abasimageta386 6 жыл бұрын
sikupingii
PROFESSOR JAY: Nilishawahi kwenda kwa MKE WANGU na MCHEPUKO
20:30
Wasafi Media
Рет қаралды 153 М.
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 24 МЛН
Prof Jay awapagawisha Wanamorogoro mbele ya JPM
4:24
Azam TV
Рет қаралды 306 М.
SUGU ALIVYOTINGA BUNGENI NA KUSIMAMISHA SHUGHULI KWA MUDA
2:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 142 М.
Professor Jay atoa shoo kali Kampeni Chadema
4:48
Bongo5
Рет қаралды 10 М.