ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1

  Рет қаралды 7,783

PROMOVER TV

PROMOVER TV

4 жыл бұрын

Пікірлер: 22
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Aina 99.....kama sifa za allah ana majina 99 mle mle
@yususfzulekha6183
@yususfzulekha6183 2 жыл бұрын
Maskini ujui unayo sema Allah umuongoza amtakae na ipo siku utakuja kujua ukweli Allah akusamee
@BerylSeer1
@BerylSeer1 4 жыл бұрын
😳😲😲🤯Ningefeli huu mtihani........ Sasa uliona maimuna
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
Hatari sana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 4 жыл бұрын
Namba ni wasiliane na chungaji Rashidi ktk WhatsApp
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Kumbe mizimu sio majini,ila ni watu waliokufa zamani.mhh afadhali tunajifunza.sasa mbona tunasikia baadhi ya watu kuwa wanakwenda kuzimu.hapo ndio sielewi
@melissateddybearcossan9506
@melissateddybearcossan9506 4 жыл бұрын
Wanaokwenda kuzimu wanapelekwa na wachawi ili wakafanye kazi na mizimu ile ambayo wameifufua toka makaburini
@ignusrwelamila7355
@ignusrwelamila7355 Жыл бұрын
Mizimu,, sio wanadamu walio kufa mpendwa ,bali minizimu ni mapepo wanaovaa sura za watu walio kufa nakuanza kuwatokea watu katika familia au jamii flani ila sio kwamba ni watu walio kufa kwasababu mtu akiisha kufa anakuwa anamawasiliano tena na walio Hai aiwezekani mtu akiisha kufa kurudi tena,ukiona karudi huyo anakuwa sio yeye bali ni pepo linakuwa limevaa sura yake na ndomaana akiwepo mtu mwenye nguvu ya Mungu akilikemea kwa jina la Yesu aliwezi kubaki wala kurudi tena,eleweni watu wa Mungu,,asante
@ignusrwelamila7355
@ignusrwelamila7355 Жыл бұрын
@@melissateddybearcossan9506 Bwana Yesu asifiwe,mizimu aiwezi kufufuliwa mpendwa kwamaana mizimu sio mwili wa marehemu aliye kufa labda unabidi utambue kwamba mtu akisha kufa ukaona tena kamavile karudi anakuwa sio yeye yule bali ni people limevaa sura yake,ni namna shetani anavyo teka wanadamu ambao wanakuwa awajampokea Kristo na ndomaana kwakulidhibitisha hilo familia zilizo hokoka vizuri mambo hayo hayawezi kutokea hata siku moja,,na kingine pepo au mchawi,au mganga au hata shetani mwenyewe awezi kumfufua mtu ila anaye weza ni Yesu ,au mtu mwenye nguvu ya Mungu pekee na kwanini mtu aliye hokoka anaweza mfufua mtu,ni kwasababu Yesu alitoa mamlaka hiyo na kusema maneno yangu yakikaa ndani yenu Nami nitakaa ndani yenu basi lolote muombalo nitalifanya na kazi kubwa kuliko hata mimi nilizo zifanya mta zifanya kwa martini hiyo Yesu alifufua watu nasi kwakumpokea tuna weza ila ,sio shetani au wakala wake yoyote
@blessingmalaika4045
@blessingmalaika4045 3 жыл бұрын
Kaka mpe time aeleze, maswali yako yana interrupt
@darwingabriel4463
@darwingabriel4463 2 жыл бұрын
Sorry to be so off topic but does someone know a way to get back into an instagram account?? I was stupid forgot my account password. I love any tricks you can give me.
@clarkandre1200
@clarkandre1200 2 жыл бұрын
@Darwin Gabriel instablaster =)
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 4 жыл бұрын
Uislamu ni dini ya haki na ni dini ya kweli na dini ya Allah pekee iliyo ridhiwa/kubalika na kufaridhiwa/kutakiwa na Mungu iwe dini ya Wa2 na viumbe wote wakiwemo hata hao majinimashetani (mainilisi) sote 2narakiwa kufuta amri ya Allah (Mola Mumba wa kila ki2/kila kiumbe). Kutii amri sheria za Allah/Mungu ndo Kusilimu/Uislamu (kunyenyekea na kumuabudu Allah pekee). So asokisalimisha /asonyenyekea/asomwabudu Allah ndo huwa shetani/ibilisi (muovu/muasi=amekataa/anakataa amri/mafundisho ya Allah).
@melissateddybearcossan9506
@melissateddybearcossan9506 4 жыл бұрын
Kumbe wale wanaoua wakristo na wanaowachukia wakristo wanakua wameasi uislamu,Maana umesema Dini ya uislamu ni ya kutii ,kunyenyekea na kuwa mtu mwema ,na ina maana hautamiliki majini wala Mapepo majinamizi
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 4 жыл бұрын
Hakuna dini ya hatari kama uislamu! Mnaamini majini!! Kweli hii Ni danger....viumbe waliofukuzwa mbinguni na Mungu mwnyw nyie mnajifanya wajanja na kuyasilimisha?!!!
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 3 жыл бұрын
@@sarahmichael7538 umesema kweli waislamu ni waabudu shetani
@ignusrwelamila7355
@ignusrwelamila7355 Жыл бұрын
Kila dini ni ya haki kwa watu wake na ndomaana akuna dini inayo wa ua watu wake bali inawapenda na kuendelea kuwafundisha kile inacho kiamini kulingana na mtazamo wa muanzilishi wake,,lakini tatizo ni kwamba dini yako inafuata misingi ya Mungu wa mbinguni na kukili kuwa Yesu Kristo ni mwana wa Mungu na pasipo yeye hakuna wokovu kwa mwanadamu, kama dini yako mpendwa aimtambui YESU kuwa ni Bwana na mwokozi wake tambua mpendwa umepotea hata kama unapewa nini cha kujua ni kwamba unaitaji kugeuka na kumkubali Yesu kuwa ndiye Bwana na mwokozi bila hivo mpendwa hakuna wokovu kupitia sehemu yoyote kwasababu Kristo ndiye aliye beba dhambi ya ulimwengu mzima wala sio Mohamed,butha wala hindu au mtu yoyote mpendwa ,,
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 2
29:55
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.
Part1:USHUHUDA WA ALIYEKUWA AKIMILIKI MAJINI 4,004
32:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 23 М.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 14 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
USHUHUDA WOTE(Part1-9)Aliyekuwa Chifu wa Wageregere kabila la kichawi
4:52:28