PROPHET IPM AFUNGUKA WACHUNGAJI KUTOA KAFARA ILI KUPATA UTAJIRI NA WACHUNGAJI WA MAFUTA YA UPAKO

  Рет қаралды 12,261

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

26 күн бұрын

PROPHET IPM ALITUPA WASAA WA KUZUNGUMZA NAYE KUHUSU MAHUBIRI YAKE AMBAYO YANAONEKANA KAMA NI YA UGANGA WA KIENYEJI KATIKA MADHABAHU

Пікірлер: 165
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 24 күн бұрын
Heshimika na Mungu sio wanadamu wewe ni ibilisi kwenye imani
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 13 күн бұрын
Kwa sababu Watu hawasemi Neno la Mungu kwa kusikiliza Sauti ya Mungu. Hata huyu msomi hajajua Neno la Mungu Sadaka na Kafara zilikoma kwa Sadaka na Kafara aliyoitoa Yesu Msalabani
@tahnsorg3855
@tahnsorg3855 13 күн бұрын
Nabii Mungu akubarik sana sana. Mungu azidi kukutumia sana kutoa mtazamo kwetu
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
Basi kama wewe unahubi ya kale basi injili ya Yesu achana nayo hubiri ya kale
@user-ep1pi5pw3k
@user-ep1pi5pw3k 24 күн бұрын
ASHAWAHI KUMWONA MWISLAMU WA DHATI ANAUZA POMBE? JE BAKRESA ANAUZA SIGARA NA POMBE KATAJIRIKA?
@davidjoshua129
@davidjoshua129 15 күн бұрын
Mbona kule ulipo mji mtakatifu wanauza Pombe ? Na bado ni matajiri?
@kwisa4899
@kwisa4899 24 күн бұрын
Tutafika mbinguni tumechoka sana Mwenyezi Mungu ilifumbo alilotupatia ni zito sana
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 22 күн бұрын
Mpndwa kikubwa shikiria biblia ndiyo mwisho wamaswali yoteeee
@user-mv6pj6hq3z
@user-mv6pj6hq3z 24 күн бұрын
Narudia tena hujui kaa kimya kwa mungu Kuna zaka na sadaka hakuna kafara kafala ipo kwa shetani achana nahabali za mungu unataka umarufu igiza cheza film imba ila sio abali za MUNGU uta pauka mda somrefu
@saidhamisibora1057
@saidhamisibora1057 15 күн бұрын
Hivi ni kafara au kafala twende na haka kamstari "Isaya 56:7; “Nitawaleta hao nao hata mlima wangu mtakatifu, na kuwa furahisha katika nyumba yangu ya sala; makafara yao na dhabihu zao zita kubaliwa juu ya madhabahu zangu; kwa maana nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote.” zembea kuyajua maisha yakupige.
@ibrahimovicsonda4892
@ibrahimovicsonda4892 14 күн бұрын
Vp Range unazo ngapi au unaziona tyu kwa madogo
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
​@@saidhamisibora1057aliwaambia wayahudi sisi ni Wakristo kafara yetu ni Yesu
@mrflyover9928
@mrflyover9928 24 күн бұрын
Wewe Ni IBILISI TENA SHETANI
@user-ep1pi5pw3k
@user-ep1pi5pw3k 24 күн бұрын
Hata wauza POMBE hawamuungi mkono kabisaaa
@HarunaNicholaus-ed3mq
@HarunaNicholaus-ed3mq 24 күн бұрын
Kristo ni mwisho wa yote kafara ya Kristo ndio mwisho akuna Tena kafara wewe baba Yako ibilisi ndo kazi zake izo
@user-gi8ny2xt3y
@user-gi8ny2xt3y 21 күн бұрын
@@HarunaNicholaus-ed3mq ndo akili Yako ilipoishia amka iyo ndoto Yako so nzuri munaambiwa ukwer munabisha🥱🥱
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 18 күн бұрын
​@@user-gi8ny2xt3ykumbe na wew ni mwana wa ibilisi kama uyo nabii wa uwongo, walio tabiriwa,
@facebkmulatya2674
@facebkmulatya2674 13 күн бұрын
​@@user-gi8ny2xt3ywewe na Ipm mmepotoka. Nini maana ya hekalu kubomolewa na kujengwa tena? Tunastahili kujitoa sisi wala sio wanyama
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
Kwahio yesu ni muongo aliposema damu yake ndoimeondoa laana zote
@joseaugust2805
@joseaugust2805 23 күн бұрын
Kuchinja kama mkisto , bi kurudi nyuma kwa manabii wa kale , ni sawa na ukasema kuwa Kristo Yesu akufa , maana kufa kwake na kufufuka ni kafara tosha ya milele , Kafara ya saivi ya Kristo Yesu ni kujifungamanisha naye na kujitoa dhabihu mwili wako , maana yake Kristo aishi ndani yako , na sio tena kuchinja wanyama kama kafara ,
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 15 күн бұрын
Wasabato pia wapo kipindi cha kale kama hao wanaochinja 😂😂😂
@K-go1qj
@K-go1qj 8 күн бұрын
Akawahubirie Wayahudi sisi Wakristo Damu ya Yesu ndio kafara yenyewe.
@user-du3pd7gb4c
@user-du3pd7gb4c 22 күн бұрын
!!Kwa maswali unajuwa kuuliza ubarikiwe sana amejikanyaga sana
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Katoka kwenye uislam bila kuacha uislam
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 22 күн бұрын
Pastor kama ni hivo kwanini sasa na una mke moja??!!
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 7 күн бұрын
Jamani Mungu atusaidie
@antonychitara5707
@antonychitara5707 24 күн бұрын
Hyu mtangazaji pia atachelewa sana sababu ameshikilia mapokeo😂😂😂
@MartinPangani
@MartinPangani 20 күн бұрын
Hujui neno bro agano la kale ni kibuli cha agano jipya ebr 8:5 pia Ebr 9:9-10 Yesu ndio sadaka iliyotolewa ww enzi za musa unazileta leo duh dunia imefika mwisho
@ibrahimovicsonda4892
@ibrahimovicsonda4892 14 күн бұрын
Sadaka ya yesu Ili uponywe dhambi zako sio utajir utajir jiongeze
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 6 күн бұрын
Nafikiri uyu mchungaji amechanganya uislamu na ukristo, Yesu Kristo amekwisha mwaga damu yake pale msalabani na imetosha.
@FideleLisha
@FideleLisha 7 күн бұрын
Unasema kuwa hatutakiwi kuambiya watu yakuacha ni kweli unasema, lakini tunatakiwa kuambiya yakufanaya, yaani kumuamini Kristo Yesu, kisha badae, yeye Sasa ndo anawaongoza kupitiya Neno lake, Yohana 16:13, huyo Roho, Neno linasema hatawatiya kwenye kweli na kweli ni Neno la Kristo, sasa naicho unachokisema hapo ni tofauti na kweli ya Neno, kwa Yesu Kristo, tunakuja namaisha yetu yakale kisha yeye kupitiya Sadaka yakusulibishwa Kwake anatubadilisha ili tupate kumfanana Yeye kupitiya kuzaliwa marapili, yanii mtu ule wakwanza anakufa na tamaa zake zakale, anazaliwa ungine kupitiya mbegu ya Neno la Mungu, sasa unapofundisha kusema kuwa wauze na kufanya kazi wanazo zifanya, kisha mwisho iweje wa hayo maisha?, na unaposema habari za karafa ama kuchinja, kweli ni maandiko, lakini sasa je sisi mataifa tuko Israeli ?ama, kwenye agano lakale? je sisi mataifa ni Israeli? Sababu Israeli ndo alikabiziwa hayo mausiya ya Sadaka za wanyama na siyo sisi watu wamataifana, nahata kwa Israeli,Kristo atakapofunuliwa kwao,sadaka na kafara zitakoma, kaka acha kutiya maandiko ama kutafsiri, nafasi ambayo hayastahili Acha kuchanganya maandiko na maswala ya helimu.
@ndayikezaoscar3467
@ndayikezaoscar3467 24 күн бұрын
IRAQ ni Africa jamani??? Uyu jamaa daaaahhhh
@goldenvibeztz8579
@goldenvibeztz8579 2 сағат бұрын
Wakristo hatuna ibada za kuchinja Yesu alifanyika kafara kwa ajili yetu huo ni ushetani na utajibu siku ya mwisho soma ufunuo 13:8
@annanamuyala
@annanamuyala 13 күн бұрын
Tatizo munachanganya agano lakale na jipya agano lakale mwanadamu alijitenga na mungu na ndiyo maana walikuwa wanatoa kafala baada ya kumutuma mwanae yesu alitolewa kafala kwajili ya kupatanisha kwa damu yake yesu agano jipya akuna kafala ni iyo nimizinu kwa sababu yelemia 31vs31-34
@K-go1qj
@K-go1qj 8 күн бұрын
Aache kupotosha watu umasikini ni matokeo ya mfumo hata kwa wasio Wakristo. Mbona nchi za ulaya Wakristo ni matajiri
@chaco1466
@chaco1466 24 күн бұрын
Kwaiyo MADAWA YA KULEVYA NI ALALI kuuza?
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 24 күн бұрын
Huwo ndo ukristo Sio Uislam? Huyu jamaa atakua balozi wa kinywaji cha kilimanjaro au safari.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 24 күн бұрын
Sasa Unachinja mwenyewe au waislam ndo wanakuchinjia?
@bernardmwenda5186
@bernardmwenda5186 24 күн бұрын
IPM; Naona kumbe hata Yesu kufa msalabani mwenzetu haikuhusu. Kwa taarifa yako, Yesu ndiyo alifanyika kuwa sadaka, hata akasema, " Imekwisha" SAsa unaposema hivi sasa tuchinje; inashangaza sana, hivyo hata kufa kwa Yesu kwetu kama sadaka, kwako hujajua kabisa. Unasema unamwaminI Kristo, naona huamini kabisa, kwa sababu hata kufa kwake kama sadaka ya mwisho hauna. Mungu akusaidie sana; umeleta Uislamu Kanisani. Rais hawezi kufunga viwanda vya pombe, kwa sababu anaongoza watu wa dunia, sasa ulitaka akataze watu wote wasinywe pombe?Wewe maana ya kuwa Mkristo ni nini? Unaowahubiria, waagize waache dhambi, ikiwa ni pamoja na pombe. HUwezi kusema, unawahubiria watu, halafu unawaagiza, waendelee kufanya biashara haramu wawauzie watu! Soma Habakuki 2: 15!
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
Nakuletea sadaka ya katon ya konyagi
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 22 күн бұрын
Ushindwe mkirsto Hana kafala YESU alimaliza yotee
@barakabusima
@barakabusima 22 күн бұрын
Wewe ni mganga bwana 😂 wacha zako
@user-xw1ib1ns3m
@user-xw1ib1ns3m 6 күн бұрын
Nabii hizi ni zam za agano jipya Damu ya Yesu inatosha
@LaureenGodwin
@LaureenGodwin 12 күн бұрын
Hapa sijakuelewa wakati wote nilikuaminia, sasa hapa kuchinja kunakujaje? Wakati Yesu alishamwaga damu msalabani? Unafundishaje kuchinja wakati ule tuliishi kwa Torati Sheria,na sasa tunaishi kwa Neema baada ya Kifo cha Kristo
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 9 күн бұрын
Safi sana mchungaji..
@aronlubango7934
@aronlubango7934 16 күн бұрын
Huyu bado anauchanga wa neno,hakufundishwa nn Yesu alifanyika kafara
@alexmahenge3817
@alexmahenge3817 24 күн бұрын
😂 Nilichogundua IPM kwenye injili Bado Mchanga mnoo 😂 yaani kaanza kuhubiri akiwa bado mchanga mnoo. Tusamehewe sisi wakristo tuliompokea kutoka Uislamu kuja ukristo na hatujamkomaza kimaandiko. Yaani ni mchanga mnoooo mnooo. Na hili ni tatizo mnoooo😅 Siku akikomaa kiimani atajutia hizi Interviews zake😂😂😂😂😂
@sciencesocietyoftanzania5957
@sciencesocietyoftanzania5957 23 күн бұрын
@@alexmahenge3817 Kwani Mila na Desturi za mambabu zetu zilisemaje kuhusu kafara. Kabla ya imani ya wazungu na waarabu kuja?
@fademoonlinetv
@fademoonlinetv 23 күн бұрын
Kwani Ibrahimu, AYUBU, ISAKA, YAKOBO walitoa nini? Si walitoa Kafara? Makuhani walikuwa wakitoa nini hekaluni? Siyo kafara? Au kiswahili ndicho kinawavuruga wakristo?
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 22 күн бұрын
​@@fademoonlinetv Nawewe ushindwa. Kafala zamani kipndi kirsto hajaja. Saivi hatuna mambo yakafara kafala nimashetani. Mnamtolea shetani kafala. Nasyo YEHOVA. Mspoteze loho za watu nyie
@MartinPangani
@MartinPangani 20 күн бұрын
Hajui chochote huyu na hawezi kuelewa hata cku moja
@MartinPangani
@MartinPangani 20 күн бұрын
​@@fademoonlinetvww nawe hujui kitu nyamaza biblia huijui kama hyo baba yako IPM
@antonychitara5707
@antonychitara5707 24 күн бұрын
Nakubaliana sana na hyo IPM
@asmanikahungu7171
@asmanikahungu7171 19 күн бұрын
Sio kweli
@antonychitara5707
@antonychitara5707 19 күн бұрын
@@asmanikahungu7171 hyo siyo kweli, hyo ni yako ndgu,, ila mm kweli yangu nakubaliana nae
@jimmymwashambwa7364
@jimmymwashambwa7364 18 күн бұрын
Kipindi hiki kutuma damu za wanyama Ina maana wewe hujui kwa kiasi cha kutisha kajifunze uweza mkubwa wa Yesu
@dansonmuthusi20
@dansonmuthusi20 23 күн бұрын
Wewe sio Mchungaji Kabisa, wewe ni mganga
@nicksonkagimbo5441
@nicksonkagimbo5441 12 күн бұрын
Rudi kwenye uislamu acha kupotosha .Yesu alifanyika kafara kwa ajiri yetu
@ndayikezaoscar3467
@ndayikezaoscar3467 24 күн бұрын
Kuanzia leo we jamaa SIKUKUBALI
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 7 күн бұрын
😂😂😂😂
@joseaugust2805
@joseaugust2805 23 күн бұрын
Kuna nira ya YESU na kuna nira ya manabii wa kale ,. Sasa kama mkristo ndo uchague unataka nira ya YESU au unataka nira ya manabii wa kale ??? Kuna kisa Yesu aliwaambia wale mafarisayo kuwa anataka rehema na sio sadaka ,
@user13375
@user13375 17 күн бұрын
Kujiita tuu prophet ,tayari ushapishana na Mungu😮😮😮😮
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 24 күн бұрын
Apm Adunnia sijin lmuiminin wajjannatul kafr. Kwayo ulicho amua hicho umefeli mnoo na kizazi chako nahao uliowadanganya
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE 14 күн бұрын
Kumbe ipm nikichaa nasubutu kusema hili kwahabari ya uchungaji wako, kamwaga dam ilikuondoa dhambi sio kwa biashara....... Upuuzi huu.
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 12 күн бұрын
Kwa maneno haya ukristo umepotoshwa kabisa. Ukristo hauna mambo ya kafara . Kafara ni agano la kale .Basi kwa maneno yako Mungu ataamua kama uko sawa
@ZakayoSanga-ge4jr
@ZakayoSanga-ge4jr 15 күн бұрын
Mbona wakati upo,kwenye dini Yakoyamwanzo haya mambo ulikua huzungumzi,
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Mifano yako haiendani kabisa
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
Mwandishi nimekupenda
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Sio Africa ni Iraq ndipo bustani ya Edeni ilipokuwa
@user-eo4is4wk4v
@user-eo4is4wk4v Күн бұрын
mafundisho ya upotoshaji
@WilliamsWilliams-v8y
@WilliamsWilliams-v8y 17 күн бұрын
Kati ya agano jipy na lakale lip liynatumika kwa ssa 😊
@d.family.choir1799
@d.family.choir1799 17 күн бұрын
Lakin ipm mbona yesu alifanyika kafara ili uchinjaji ukome mbona wewe unachinja nikwa maandiko gani sasa
@ibrahimovicsonda4892
@ibrahimovicsonda4892 14 күн бұрын
Damu ya yesu Ili uponywe dhambi zako sio utajir utajir jiongeze
@Abdul_mjungu1
@Abdul_mjungu1 24 күн бұрын
Anachokijibu kimekaa ki political diplomacy ila kimisingi ya bibilia na Quran yupo OP mnoo.
@happymrema7487
@happymrema7487 5 күн бұрын
Ni kwel wachungaj weng wanachinja huyu anaongea fact
@MushagalusaLeonard-zw8rr
@MushagalusaLeonard-zw8rr 13 күн бұрын
Mzee lala
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
Kesho utatuambia kichinja watu na kuwapiga mawe hadi kufa maana yameandikwa pia hapokale?
@user-hp1im5ek4r
@user-hp1im5ek4r 15 күн бұрын
Yaani hapo ni uongo kafara iliishia msalabani leo utaniambiaje nitoe kafara ya kuchinja
@K-go1qj
@K-go1qj 8 күн бұрын
Mbona wazungu Wakristo wao ni matajiri je wao wanachinja nini? Umasikini wa waafrika ni matokeo ya mfumo mbovu wa uongozi na sio dini
@paschalmasheyo2349
@paschalmasheyo2349 19 күн бұрын
Upeo wako ni mdogo sana kuhusu Biblia na Mungu ,na unapotosha imani moja kwa moja, Yawezekana waliokupokea walikupa mafundisho dhaifu sana .Yesu ilisema mtawatambua kwa Matunda ,Yani kama kuharibu hapo umeharibu vibaya sana yani haupo kwenye Imani
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Kaja kwa mission maalumu ya kuwapeleka watu kuzimu
@tahnsorg3855
@tahnsorg3855 13 күн бұрын
NABII MUNGU AKULINDEAKUBARIK. UMENIPA MAJIBU YA MASWALI YANGU YALIKUWA YANANITATISHA MAISHANI. ENDELEA TUPO TUNAEKUAMINI KWA ULICHOBARIKIWA NA MUNGU UTUFUNDISHE
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 9 күн бұрын
Mchungaji nimecheka sana..😂😂😂 ndiyo maana myoka.wa leo wana.hasira sana wakikutafuna unakufa.😅
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 18 күн бұрын
Umulize na yale mafuta ya dhahabu, alie kuwa anauza yalikuwa ya nini?
@djmurphyoffcial3595
@djmurphyoffcial3595 14 күн бұрын
Sija wahii KUJUA kama Ufahamu wako Bado uko msikitini inga Wa nimchungaji
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 11 күн бұрын
Huyu haijui Damu iliyomwagika pale msalabani
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 13 күн бұрын
Huyu mpendwa ni mpotoshaji pole kwa wasio na Roho Mtakatifu watapotoshwa na Mtu kama huyu.
@K-go1qj
@K-go1qj 8 күн бұрын
@@vicentgodda3357 nguvu ya kuasi hii ndani mwake
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 7 күн бұрын
​@@K-go1qj😂
@happymrema7487
@happymrema7487 5 күн бұрын
Kwel sadak ya kuchinja Ina nguv
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 11 күн бұрын
Mtafute tena bishop ngonyani aliongelee hili
@user-eo4is4wk4v
@user-eo4is4wk4v Күн бұрын
unapotosha watu wasiosoma maandiko na kuyazingatia
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
We wasema hutaki kudanganya,hivyo umatuamomisha kuwa Yesu mi muongo?
@user-zf7gb6pq5b
@user-zf7gb6pq5b 20 күн бұрын
Yani bibliya inaruhusu kunwa pombe ? Kama inaruhusu leta mahandiko
@annanamuyala
@annanamuyala 13 күн бұрын
Yesu alijitoa kafala kwa damu yake alileta magano mapia mathayo 26 vs 28 iyo sikweli
@K-go1qj
@K-go1qj 8 күн бұрын
Huyu mtu ni mzushi na mpotoshi Mkubwa kabisa. Ajibu mbona wahindi waarabu wasomali waislamu safi hawauzi sigara Wala pombe na ni matajiri?
@annanamuyala
@annanamuyala 13 күн бұрын
Tanzania munachosha jamani
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Acha uongo kuchinja ni ushirikina
@facebkmulatya2674
@facebkmulatya2674 13 күн бұрын
Matunda sioa kuacha neno laungu wala Kuhubiri yale yasioandikwa kwenye biblia. Manabii wa uongo wanatumia Biblia vile shetani alitumia Neno lililoandikwa.
@happymrema7487
@happymrema7487 5 күн бұрын
Huyu yuko Waz
@FideleLisha
@FideleLisha 7 күн бұрын
Kaka achakupotosha maandiko kwa tafsiri zako za kielimu ya kimwili, Mtume Paulo, aliyekuwa mjumbe kwa mataifa ambao ni sisi ajatufundisha ivo kwenye nyaraka zake zote, huyo yesu unaye mfundisha wewe ni mwingine, siyo ambae walituhubiri wale mitu 11 nawa 12 ni Paulo. Kanisa la Kristo rudiye kwenye maandiko muache kupotoshwa na kila pepo za mafundisho.
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Zijaribuni kila roho watatokea makristo wengi
@user-mv6pj6hq3z
@user-mv6pj6hq3z 24 күн бұрын
Kwamganga nikafala kwamungu ni zaka na sadaka yachunguze maandiko kwamungu hamna kafala usdanganye
@fademoonlinetv
@fademoonlinetv 23 күн бұрын
Kwani Ibrahimu, AYUBU, ISAKA, YAKOBO walitoa nini? Si walitoa Kafara? Makuhani walikuwa wakitoa nini hekaluni? Siyo kafara? Au kiswahili ndicho kinawavuruga wakristo?
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 7 күн бұрын
Mimi simuelewi na hata sitamwelewa
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 7 күн бұрын
Kwa hiyo tuanze kuchinja na sisi daaaaaa
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Mtume gani amewahi chinja
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 23 күн бұрын
Huyu sio kristo
@felixmugambi2237
@felixmugambi2237 17 күн бұрын
Wale wakufuata huyu mganga kanisani ,washa wafuate kuzimu yawasubiri
@davidjoseph5093
@davidjoseph5093 16 күн бұрын
Una knowledge ndogo sana,
@prosperjuma905
@prosperjuma905 18 күн бұрын
Hapa hamna kitu
@luc66lumona93
@luc66lumona93 17 күн бұрын
Irak sio Africa
@K-go1qj
@K-go1qj 9 күн бұрын
Pana biashara za watu wa dini na zisizo za watu wa dini mbona waislamu ni matajiri na hawauzi sigara pombe Wala haramu yeyeto
@devissyprian1526
@devissyprian1526 7 күн бұрын
Wewe jamaa mpumbavu Sana huna akili IPM
@Ngendakumana-leonc
@Ngendakumana-leonc 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂nimecheka😅
@user-ep1pi5pw3k
@user-ep1pi5pw3k 24 күн бұрын
HUYU BADOO ANAYAISHI MAFUNZO YA KIISLAMU.HANA MENTOR WA KUMLEA KAMA BABA WA KIROHO.ANAJITEGEMEA KIMAFUNUO
@Abdul_mjungu1
@Abdul_mjungu1 24 күн бұрын
@@user-ep1pi5pw3k hujui unachokisema wewe
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 7 күн бұрын
Ufagio naikataa hata hiyo yako naikataa
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
We ni mwanazuoni au mwanaichumi?
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
Madhahu hio ni ya nani ?Yesu?
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 20 күн бұрын
huyu tapeli kama tapeli wengine sio kuchinja tu ni mshirikina sema ndugu zetu mnakazi sana mana mpaka mtachanganyikiwa kila mmoja anakuja kwenye dini yenu alafu ni wepesi kukubali ndio mana mnadanganywa kiwepesi utasikia roho kamwingia nyie mtapigwa sana
@cascanicolnicol2008
@cascanicolnicol2008 16 күн бұрын
Siri ya utajiri sio kuchinja ni malimbuko na mafungu ya kumi ( mtawajua kwa matendo yao)
@ibrahimovicsonda4892
@ibrahimovicsonda4892 14 күн бұрын
@@cascanicolnicol2008 vp Range unazo ngapi hukoo?
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 23 күн бұрын
Unamchinjia nani?
@user-gn6gn7vs2j
@user-gn6gn7vs2j 13 күн бұрын
Mchungaji! Soma biblia
@felixmugambi2237
@felixmugambi2237 17 күн бұрын
Huyu ni mganga kanisani
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 22 күн бұрын
Nakubaliana na IPM kutoka Gikombaa nairobi
@asmanikahungu7171
@asmanikahungu7171 19 күн бұрын
Sio kweli Christo njo sadaka tosha
@K-go1qj
@K-go1qj 8 күн бұрын
@@Brunotarimo10 Nje ya Ukristo
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 8 күн бұрын
@@K-go1qj naam
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 18 күн бұрын
HUYU ANACHANGANYA MAMBO!!
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 22 күн бұрын
Minakuona wewe umetumwa na baba Tako shetani. Kafara niyesu kirsto nifuul stop. Wewe unamatatizo wewe ni shetani. Nawatakao kuelewa nimashetani wenzio. Kuchinja ilikua zamani. Kirsto alipo jitoa iliisha msalabani wewe ni muislamtu. Unaeneza kwa sula mpya. Huna utumishi wowote wewe. Unawapotosha watu.
@user-eo4is4wk4v
@user-eo4is4wk4v Күн бұрын
wewe haujawahi kuokoka una ungaunga maneno
🔴 #LIVE KWANINI TUTOE KAFARA YA MNYAMA ?
54:11
EGAN TV
Рет қаралды 1,9 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 3,2 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
CHIEF GODLOVE NA KAFARA SADAKA SACRIFICE FAHAMU KUHUSU KAFARA
10:44
Chief_Godlove
Рет қаралды 10 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН