USHUHUDA WA MCH.MSEMAKWELI:Bibi alinifundisha uchawi nikawa gwiji nikafuga misukule na kutesa kijiji

  Рет қаралды 11,026

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 38
@amosemmanuel3528
@amosemmanuel3528 Жыл бұрын
Mchungaji endelea kufichua Watu wajue Siri hizi Watu waokoke wampookee YESU.Aminaaaa.
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Yesu Kristo ni Bwana na mwokozi wa Ulimwengu huu Tafadhali ndugu zangu ambao hamjamkili Yesu Kristo njoo kwake sasa na mmkili yeye.
@BLESED-CHANNEL
@BLESED-CHANNEL Жыл бұрын
USHUHUDA HUU UMENIJENGA SANA NA NIMEJIFUNZA MBINU ZA ADUI KUSABABISHA MAKWAZO ILI ATUTEKE BE BLESSED PASTOR NA KAMA ANAO MWINGINE USHUHUDA TUKO TAYALI KUPOKEA
@fenellalilian4590
@fenellalilian4590 Жыл бұрын
Wa kwanza give me likes
@andrewnday9127
@andrewnday9127 Жыл бұрын
Bwana Yesu asfiwe. Mungu akubariki kwa ushuda huu. Mtumishi Jacktan, ebu muulize kama anarejesha kwa maombi hiyo misukule.
@yusufuassani2032
@yusufuassani2032 Жыл бұрын
Mubarikiwe wana wa MUNGU
@quintavitalis926
@quintavitalis926 Жыл бұрын
Yesu ni mwenye huruma jamani , nakupenda YESU
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Yesu asaidie watu tumjue Yesu Kristo Kweli Kweli,Asanteni saana Jacktan Na Team yako
@saidmatikiti1566
@saidmatikiti1566 Жыл бұрын
Huyu mtumishi wa Mungu ni mnyenyekevu sana
@gracej9648
@gracej9648 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kwa ushuhuda huu. Asante sana Jacktan kwa kazi yako nzuri.
@charigrace5993
@charigrace5993 Жыл бұрын
Asante .ndugu Jacktan natuma salamu kwa Mchungaji Katekela na Mungu awalinde.
@cocotz1892
@cocotz1892 Жыл бұрын
Amen Mungu ni mkuu sana
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 Жыл бұрын
Hakika Mungu hafananishwi na chochote
@godfreymollec8206
@godfreymollec8206 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi inzuri mnayofanya naaomba utufundishe namna ya kuepuka au kuzuia uchawi
@joyprecious1642
@joyprecious1642 Жыл бұрын
Well done, Tunashukuru Kwa kazi njema promover Tv mnayoifanya,Mda mwingi umepita hatumuoni wala kumsikia Mch Amiel Katekela, Hope he is okay
@Akinyisafi
@Akinyisafi Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🙏
@DaudMsemakwel
@DaudMsemakwel Жыл бұрын
Niombee mtumishi Mungu sana Mungu anisaidie kufikia watu
@mauwasafi3430
@mauwasafi3430 2 ай бұрын
Amen
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Sasa ni mwiko wenu au ulikuwa mwiko wa Wachawi??yaani utafikiri bado ni Mchawi anavyoeleza
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub 10 ай бұрын
Nasikiliza nikiwa congo🇨🇩
@alexelias8488
@alexelias8488 Жыл бұрын
Thank you lord
@DaudMsemakwel
@DaudMsemakwel Жыл бұрын
Niombeee sana niwafikie watu wajuwe Yesu
@DaudMsemakwel
@DaudMsemakwel 10 ай бұрын
Habar za huko kongo
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 Жыл бұрын
Amen amen mungu ni mkuu sana
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Nasikiliza ushuhuda u nikiwa pwani kibaha kongowe mtaa wa bamba.
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Ameeeeeeeen
@PeninahMwendwa
@PeninahMwendwa Жыл бұрын
🙏🙏
@joelmutie2149
@joelmutie2149 Жыл бұрын
Jacktan msafiri ubarikiwe sana
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen
@MatthewMoodlley
@MatthewMoodlley 9 ай бұрын
Naingine Bibi alipofariki je alikufa akuwekwamusukule?
@MatthewMoodlley
@MatthewMoodlley 9 ай бұрын
Sasa ningeuliza uyomuchunhajininani
@LukusaFrank-dg1ib
@LukusaFrank-dg1ib Жыл бұрын
Jafta unabowa sana acha maswali atuelewi kama ni interview wala niushuhuda.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Jamani Akina Bibi wasiookoka ni hatari tupu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Kama Uchawi upo basi na Mbingu ipo asilimia 100
@godfreymollec8206
@godfreymollec8206 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi inzuri mnayofanya naaomba utufundishe namna ya kuepuka au kuzuia uchawi
@DaudMsemakwel
@DaudMsemakwel Жыл бұрын
Kuuzui uchawi nimaombi mtu mtumishi wa Mungu
@MatthewMoodlley
@MatthewMoodlley 9 ай бұрын
Naingine Bibi alipofariki je alikufa akuwekwamusukule?
@DaudMsemakwel
@DaudMsemakwel 6 ай бұрын
Hapana hukuwa msukule alizikwa kabisa yeye
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 442 М.