Ushuhuda huu ni moto sana,acha Mungu aitwe Mungu,tusimkatie tamaa binadamu yeyote aliye hai Kwa maana hujui siku atakutana na Yesu Kristo,nampenda sana uyu Mwokozi Yesu.🙏❤️
@magdalenapeter61066 ай бұрын
YESU ANATISHAAAAAA
@EvelinWilson-zx6uq6 ай бұрын
Hakika mungu ni mwomozi acha tu aitwe mungu instosha
@annkim26906 ай бұрын
Wachungaji wako na KAZI kweli tunafaa kuwapenda na kuwa heshimu kweli
@GRACENyanda-cn3pg6 ай бұрын
Kweli Yesu anaokoa
@Esthermordecai6 ай бұрын
Sehemu ya pili Jacktan tunasubiri Kwa hamu kubwa mno.Mwenyezi Mungu Awabariki wote.🙏
@endlessloveofchristlovewor99916 ай бұрын
Ufunuo 12:11 Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.
@evermayala58176 ай бұрын
Yesu ni mwamba. ❤
@FrançoisBarakaFaustin5 ай бұрын
Mungu amekusaidiya sana muheshimiwa Asante sana
@josephmuli83006 ай бұрын
Namshukuru MUNGU kwa kunifungua macho zaidi, jose kutoka Kenya.
@magdalenapeter61066 ай бұрын
Aiseee
@Frosita6 ай бұрын
Nlichogundua hadi leo vita ni kubwa lkn vita ya watoto wa watumishi ni kubwa zaidi..
@HellenDana6 ай бұрын
Chinekemeeoooooh!!!hakika Mungu anatoa watu mbali
@MaryMichaelMaryMichael-i7o6 ай бұрын
Blessd kaka jacktan na Audax n promover tv ❤..the power of testimony
@giffttymlemwa45236 ай бұрын
Mungu ni kweli
@bishopgeorgemusapreacher73746 ай бұрын
Safi Sana Ubarikiwe Evangelist
@samsonsungwana-wz6pq6 ай бұрын
Amen Baba Bishop
@xcaliber83006 ай бұрын
" ati sijawahi kumkaba mtu halafu asijinyee"😂🤣🤣 duuuuh
@magdalenapeter61066 ай бұрын
😂😂😂
@esterpeter85566 ай бұрын
Mungu hataudharau moyo unaomtafta zaburi51:17. Moyo wa mamaake na mtumishi Sam, nawaza ayo machozi ya mamaake
@LispafulgenceSimon-rs1zg6 ай бұрын
Jina la Bwana litukuzwe
@shuhudazakweli34066 ай бұрын
Amen
@endlessloveofchristlovewor99916 ай бұрын
Mushtara ni neno la kiarabu maana yake "mutual"
@PCharlzy-rr2iv6 ай бұрын
Pastor una unyakyusa mwingi .... Mbinguni tutafika? Ashukuliwe Mungu aliye hai anayetutoa gizani na kutuweka ktk mwanga wa tumaini la wokovu na utukufu wake