No video

Uradi Niliyoupokea Kutoka Kwa Sheikh Yahya Husein / Nyinyi Mnaopinga Jaribuni Muone / Sheikh Walid

  Рет қаралды 5,536

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Uradi Niliyoupokea Kutoka Kwa Sheikh Yahya Husein / Nyinyi Mnaopinga Jaribuni Muone / Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Uradi Niliyoupokea Kutoka Kwa Sheikh Yahya Husein / Nyinyi Mnaopinga Jaribuni Muone / Sheikh Walid Alhad Omar
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Tusipomtaja Mtume (S.A.W) Tumtaje Nani / Twendeni Tukamtaje MtumeSehemu Zote / Sheikh Walid Alhad Omar
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 19
@user-do8yb7ff3v
@user-do8yb7ff3v 9 ай бұрын
Wapenzi wa mtume like hapa hapa kama unampenda kwl
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 9 ай бұрын
Sio dalili ya kumpenda mtume swallallahu alaihi wasallam,,,kwahio wacha uzushi mche Mola wako
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 9 ай бұрын
Alafu wamtaja bila ya kumsalia jambo ambalo Ni kosa kubwa ,,na hapa unadhirihika unafiki wenu nyinyi masufi hamna mahaba yoyote kwa mtume swallallahu alaihi wasallam
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 9 ай бұрын
Naona umenyoa kaza jambo ambalo mtume swallallahu alaihi wasallam alilikataza sasa wewe utaelewa vipi maana ya kumpenda mtume swallallahu alaihi wasallam,,,,wewe unadalili za kisanii ,,acha nikuache tu
@user-do8yb7ff3v
@user-do8yb7ff3v 9 ай бұрын
Ok sawa
@sammarley1413
@sammarley1413 6 ай бұрын
​@@ABUUJAAFAR92 Alie anzisha uwahabi lengo lake kubwa ilikua kuwaleta waislam mfano wako ambao wtafanya kazi kama canjo Kazi ya canjo ni virusi ambavyo hucukuliwa nabadae kutumiwa virusi hivyo hivyo dhidi ya virusi vyenzake. Bada yakumalizika vita vya vikuu vya dunia makafiri wa uingereza walikaa cini nakuafikiana yakua ili kuwaweza waislam lazima tuwatumie hao hao waislam lakini waislam ambao tumewatengeneza sisi. Basi hapo ndio wakafikiana kusimika madarakaninkabila la al Saudi amabao ndio watawla wa sasa wa Saudi Arabia. Ikapacikwa hasa najina la Saudia saudia sio jina nchi Ile Bali iliitwa HIJAZ Zama za rasul s.a.w Hapo nimwaka 1947 na hawa al Saudi walikua nimajambazi tu wakuvizia misafara na asili yao nimayahudi wa Iraq katika mji wa Najaf. Mwaka huo huo akaletwa kiongozi wakidini Muhammad Abdul Wahab nae akasimikwa kama nguzo ya dini namshirika mkuu wa utawala huo mpya Hoja kubwa wlioitumia hawa ni waliyu l amri yani serkali ndio waliyuo amri watubwote wanalazimika kutiii amri. Na Jambo lolote la dini fatwa itatoka kwa Abdul Wahab na haikufatwa Aya wala hadith badili ilikua ni mashirika yakijasusi C I A na MOSSAD ndio hukaa nakujadili Jambo kisha kuitarifu serkali ya riyadh nayo inamuagiza Mufti kujuzisha mipango yao hiyo Nahapa nakukumbusha aal Saudi hao hao ndio waliocangia sana kuungusha utawala wa uthmniyin othoman empire. Saudi imeanzishwa mwaka 1947 Israel imesimikwa kwenye ardhi za waislam mwaka hiyo huyo1947 unalifaham Hilo?????? Ukoo huyu umefanya maovu mengi sana kwa waislam cini ya mwavuli wa dini Soma history ya Taliban kule afghnistan. Saudia waliagiza ma laki yavijana wakiislam kwenda kupambana na rusia ambayo Zama hizo ilikua ni unatied Soviet socialist of rusia USSR Walikufa maelfu yavijana wakiislam katika vita vyamrekani dhidi ya rusia kwa kisingizio ca jihad !!!!!! Hiyo ndio kazi maalum ya Saudia na mamasheikh zao kuuvunja uislam kutokea ndani ya uislam wenyewe Hayo nimambo yamiaka ya yazaman lakini hapa kinaco shangaza waislam wengi bado wapo tu kwenye ujinga nahata hawazindukni Je nikipi mnacotaka kiwe ili muamini wanazuoni wasaudia na watawala wao si waislam ????????????!! Vita vya ghaza haitoshi kuwa dalili kwenu???? Wakati ambapo ulimwengu mzima hata makafiri wanasimama nataifa madhlum la palestine Saudia wao wanakusanya misaada kuitumia Israel nasio palestine !!!!!! Nimarufuku mtu yoyote yule awae kuongelea hali yaghaza katika ardhi ya Saudia na ukijaribu unauwwa!!!!!!!!! Masheikh wenye itkadi Kali waliohimiza jihadi dhi ya Syria wako wapi Leo katika kunusuru kibla ca Kwanza ca waislam baitul muqadas????????? DAESH ao ISS ambao ni kundi la itikadi kli wajiitao salafi wapo wapi??????? Viongozi wa hamas zipo video nyingi sana wanajitokeza nakiushukuru IRAN kwa kusimama nao kidetete kwa hali na mali HAMAS hawasomi khitma wala maulidi jeeeee mko wapi???? Mbona hamuwasaidiii?????? Katika gulf nzima nchi peke inayosimama na ghaza ni OMAN!!!!! oman pia sio masuni Bali ni ibadhi. Yote hiyi inaonesha yakua tofauti ya madhehebu sio tatizo kwa waislam wa kweli ama waislam wakupandikizwa ndio tatizo kubwa mno ALWAHABIYIN hawa ndio kiini kikuu camatatizo ya waislam Kila kinacoleta uhai kw uislam lazima watasimama kupinga kw nguvu kubwa . Ok maulidi haram vip sasa kuhusu Saudia huko huko kwa mawahabi kukoje Leo? Pombe zimehlalishwa zina imetapakaa matamasha ya muziki Hadi madina ufuska wakila Aina umeruhusiw dhahiri dhahiri mcana kweupe bado tu hamjaona kua hawa wamesimikwa kwa lengo maalum???? Mnataka iwe vip ili muamini??? Kama kweli unampenda mungu namtume basi fuatilia kinacoendelea Saudia kisha ucukue maamuzi sahihi.
@rahmamohammed9678
@rahmamohammed9678 9 ай бұрын
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA JIMAIN ❤️❤️❤️
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 9 ай бұрын
Maishallah.Umesema tukulmbuke swadaka.
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 9 ай бұрын
Mashaallah
@abdillahimohammed3544
@abdillahimohammed3544 9 ай бұрын
Tumekubali sana ❤
@user-yb3jl5nj9z
@user-yb3jl5nj9z 9 ай бұрын
MashaAlah
@hamisisalimu6908
@hamisisalimu6908 9 ай бұрын
Asiekubali shauri yakee
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 9 ай бұрын
Ndio maana unatetea mambo ya kipuuzi kumbe umesomeshwa na mganga mshirikina na mtabiri wa Afrika Mashariki
@DarsaTV.
@DarsaTV. 9 ай бұрын
Subhanallah
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 9 ай бұрын
Wala usishangae ndugu hawa masufi ukiwajua vizuri basi utajua wengi waganga tu
@user-sx8rq9ku8u
@user-sx8rq9ku8u 5 ай бұрын
Jmn sisi wenye elimu ya chini,, tusipende kutuhumiana jmn ni dhimmah,,, tukaeni kimya jamani,,, kila mmoja atabeba mzigo wake jmn kumbukeni ilo. Allah anasema وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ
@AdamRajab-xd3zg
@AdamRajab-xd3zg Ай бұрын
Dah unapataje ujacr huu kuwatuc mashkh ila n sawa kiongozi wenu almpinga mtume muhammad kwenye kugawa ghawira kwa hyo naww n walewale
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 91 М.
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 52 МЛН
SIKILIZA KISA HIKI KIFUPI KWA UMAKINI MKUBWA UNA HERI NDANI YAKE
7:01
Masjid Lillah-vingunguti
Рет қаралды 9 М.
AINA TATU ZA WANAWAKE WA KUWAEPUKA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
15:56
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН